Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mchungaji Gwajima Avamiwa.....Apigwa Panga Kichwani na Kulazwa ICU

0
0
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima jijini Mwanza, Samson Gwajima na Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Amin Neigwa, wamevamiwa na majambazi ambao wamewajeruhi vibaya kwa kuwakata mapanga vichwani. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika Mtaa wa Lyila, Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza. Akizungumza kwa taabu na mwandishi wetu

Picha 10 za Mkutano wa ACT- Wazalendo Mkoani Iringa.......Watu walijaa Kumsikiliza Zitto Kabwe Akimwaga Sera

0
0
   Wanannchi wakiendelea kufuatilia Kiongozi wa Chama, Mwenyekiti na Katibu Mkuu  Kiongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Zitto Kabwe akiimba Wimbo wa Taifa Ndugu Habibu Mchange katika wimbo wa Taifa Mwenyekiti wa chama Afande  Sele  Akihutubia

Wanajeshi Walioongoza Mapinduzi Yaliyoshindwa Burundi Wakamatwa

0
0
Majenerali watatu waliojaribu kufanya jaribio la mapinduzi nchini Burundi wamekamatwa, lakini kiongozi wao aliyeongoza jaribio hilo la kumpindua Rais Pierre Nkurunziza bado “yuko mafichoni“    Baada ya makabiliano makali ya udhibiti wa makao makuu ya redio na televisheni ya taifa kushuhudiwa jana, barabara za mji mkuu Bujumbura zimesalia kuwa tulivu hii leo.    Rais Nkurunziza ambaye

Mheshimiwa Lowassa Awasili Jijini Arusha Kuongoza Harambee ya Ujenzi wa Msikiti wa Patandi

0
0
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwasili jijini Arusha kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti wa Patandi. Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akilakiwa na baadhi ya viongozi wa dini ya Kiislamu jijini Arusha alipowasili kwa ajili ya kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa msikiti wa Patandi.

Miswada 9 ya Sheria Yasainiwa na Rais Kikwete

0
0
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Kikwete ameshasaini miswada 9 katika ya 14 iliyopitishwa na bunge katika mkutano wake wa 19 ukiwemo wa sheria ya makosa ya mitandao pamoja na muswada wa sheria ya takwimu iliyozua utata.   Akitoa taarifa kuhusu kusainiwa kwa miswada hiyo leo Bungeni Spika wa Bunge Anna Makinda amesema miswada mitano iliyobaki atatolea ufafanuzi

Msajili Amuonya Kadawi Limbu Kujitambulisha Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo.....Asema akiendelea Hatua Kali Za Kisheria Zitachukulia Dhidi Yake.

0
0
OFISI ya Msajili wa Vyama vyama vya siasa nchini, imemuonya Mwanachama wa ACT Wazalendo, Kadawi Limbu na kumtaka kuacha kujitambulisha kama mwenyekiti wa Chama hicho katika maeneo mbali mbali vinginevyo itamchukulia hatua za kisheria.   Limbu amepewa onyo hilo kwa barua ya Mei 5 mwaka huu yenye kumbu kumbu namba HA.322/362/20/98, iliyosainiwa na Sisty Nyahoza   msajili msaidizi wa vyama

CCM yaituhumu CUF kuingiza wapigakura Unguja

0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema kimegundua mbinu na udanganyifu unaofanywa na Chama cha Wananchi (CUF) cha kutoa wapigakura Pemba na kuwaingiza katika majimbo ya uchaguzi yaliyopo Unguja kwa lengo la kuongeza kura za urais.   Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai alisema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Mabata eneo la Mwanakwerekwe

Rais Kikwete Aagiza Ujenzi Wa Kidato Cha 5 Na 6 Kila Kata.......Lengo ni Kila Atakayefaulu Form 4 Aingie Form 5

0
0
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza Wakuu wa Mikoa na Maofisa Elimu wote nchini, kuanza ujenzi wa shule maalumu za kidato cha tano na sita kwa kila kata na wakishindwa, katika shule za sekondari za kata, wachague baadhi na kujenga madarasa ya vidato hivyo.   Alitoa agizo hilo jana katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Elimu, yaliyoadhimishwa kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma

Maoni: Rais Pierre Nkurunziza ni Mshindi Alieshindwa

0
0
Hakuna njia nyingine ila kusonga mbele nchini Burundi katika harakati za kuitekeleza katiba ya nchi.Hayo anasema mwandishi wa  DW, bwana  Claus Stacker katika maoni yake.    Rais Pierre Nkurunziza ambae hapo awali alikuwa kiongozi wa waasi kwa mara nyingine amethibitisha kwamba yeye ni kamanda hodari wa kijeshi.   Amefanikiwa kuwazuia wanajeshi waasi kumwondoa madarakani. Na jumuiya

Picha ya Waziri Nyalandu Akiwa Amempakata Askari Yafika Bungeni.......Msikilize Mbunge Nassari akiongelea sakata hilo.

0
0
Waziri Nyalandu akiwa amembeba mmoja wa askari wa  kike.   Kitendo  hicho  kimeonekana  kuwakera  wabunge  ambao  wamepaaza  sauti  na  kuhoji  uhalali  wa  waziri  kumshika  kiuno  Askari  wa  kike.... Hapo  chini  kuna  audio  ya  Mbunge  Nassari  akiongelea  sakata  hilo.  

Shuhudia Namna Zitto Zitto Kabwe na ACT-Wazalendo Walivyopigwa Mvua Kubwa Wakiwahutubia Wakazi wa Njombe

0
0
Mamia  ya  wakazi  wa  Njombe  Wakiwa  mkutanoni  kabla  ya  mvua  kunyesha Hapa  ni  baada  ya  mvua  kuanza Licha  ya  mvua  kubwa, wananjombe  walionyesha  uzalendo  wa  kutosha

Wabunge wa CCM nusura wazichape bungeni

0
0
Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Gosbert Blandes (Karagwe) na Rosemary Kirigini (Viti Maalumu) jana nusura wakunjane mashati nje ya Ukumbi wa Bunge, baada ya Kirigini kukasilishwa na kauli iliyotolewa na mwenzake akimtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Dari Rwegasira.   Blandes alitoa shutuma hizo jana wakati akichangia mjadala wa makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa

Lowassa Alitikisa Jiji La Arusha.....Mitaa Yafungwa, 'Safari ya Matumaini' Kutangazwa Rasmi Mei 24 Mwaka huu

0
0
Shughuli mbalimbali jijini Arusha jana zilisimama kwa muda wakati umati wa watu ulipofurika kumlaki Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa aliyewasili mkoani hapa kwa ajili ya kuendesha harambee ya ujenzi wa Msikiti wa Patandi ulioko wilayani Arumeru.    Lowassa, ambaye jana aliweka bayana kuwa atatangaza rasmi nia yake ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, alienda kuendesha harambee

Uwoya: Siogopi Maneno ya Watu, Ila Mwacheni Mwanangu..

0
0
Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake. "Mamboz! Nataka niulize swali hivi kunamtu nilimlazimisha kuni follow au ni kwa mapenz tuuu? sasa kwanini mtu anataka kuchukua jukumu la mzazi wangu kujifanya anajua sana maisha yangu wakati toka

Wema Sepetu Aeleza Kwanini Hampendi tena Diamond na Kwanini Zari Hamtishi Kwenye Fashion

0
0
Wema Sepetu hampendi tena Diamond Platnumz na anasema kila anapoukumbua uhusiano wao, anakumbuka mambo mabaya zaidi kuliko mazuri. “Hapana simpendi [Diamond], yalishaisha hayo, nilishampendega, niliwahi kumpenda sana, lakini hamna tena, yaani hata sishtuki,” Wema alikiambia kipindi kifupi cha Kabali cha EFM. “Nikimkumbuka Diamond most of the things ambavyo ninavikumbuka sio vitu

Diamond Amuita Jokate Makombo...."Mwacheni Ali Kiba Ajilie Makombo"

0
0
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna jipya kwani anakula makombo. Diamond ametoa kauli hiyo Jumatano iliyopita wakati mwanahabari wetu alipotaka kujua anajisikiaje kuona wapenzi wake wa zamani Jokate na Wema Sepetu ‘Madam’ wanamuunga mkono Ali

Matangazo ya Nafasi za Kazi KCB, NMB, TANESCO, Equity Bank na Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini na Wale walioitwa kwenye Usaili

0
0
Hapa  kuna  mkusanyiko   wa  matangazo  mbalimbali  ya  kazi  kama  ifuatavyo; 1. Nafasi  za  kazi  Tanesco 2. Nafasi za  Kazi  benki  ya  NMB 3.Nafasi  za  Kazi Benki  ya  KCB 4. Afisa  mtendaji  daraja  la  2  na  3  Misungwi  Mwanza 5. Walioitwa  kwenye  usaili  tarehe  18  na  wale  wa  tarehe  25 6. Walioitwa  kazini Kuyaona  yote  hayo  na  Matangazo  mengine  ya  Kazi  

Photos From Diamond Platnumz' Interview With BBC In London.

0
0
google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841"; google_ad_slot = "3088887306"; google_ad_width = 336; google_ad_height = 280; Superstar Diamond Platnumz took flight from Dudai to London, and while in London he had interview with BBC. Here are some pics ....... google_ad_client = "ca-pub-9495610419384841"; google_ad_slot = "3088887306";

Baba aua binti yake, amzika nyumbani kwake

0
0
JESHI la Polisi Mkoa wa Kagera, linamshikilia Gerald Paulo (34) kwa kosa la kumpiga binti yake, Anisia Gerald (14), sehemu mbalimbali za mwili wake na kumyonga kwa kutumia kanga. Akizungumzia tukio hilo mjini hapa juzi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera,  Henry Mwaibambe, alisema tukio hilo lilitokea Mei 7, mwaka huu katika Kijiji cha Rugazi Kyaitoke kisha alichimba kaburi nyuma ya nyumba

Kizimbani kwa kesi ya viungo vya binadamu

0
0
WAKAZI wawili wa Kijiji cha Bukigi kilichopo Kata ya Malampaka mkoani Simiyu, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kupatikana na viungo vya binadamu. Waliofikishwa juzi katika Mahakama ya Wilaya ya Maswa mbele wa Hakimu Tumaini Marwa, ni Matheyo Yumbu (50) na Juma Mihangwa (28). Ilidaiwa mahakamani hapo na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Nassibu Swedy kuwa Mei 5, mwaka huu, saa 11 alfajiri
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images