Raia wa Tanzania wanaoishi Afrika Kusini
sasa wanadaiwa kushika silaha tayari kwa mapambo dhidi ya vikundi vya
raia wa Taifa hilo vinavyoshambulia wahamiaji wa Kiafrika.
Taarifa kutoka
kwa Watanzania hao zimeeleza hatua hiyo imefikiwa baada ya kupatikana
kwa taarifa zinazodai kuwa wenzao wawili wameuawa katika machafuko ya
jiji la Durban ambayo chanzo chake ni mashambulizi
Watanzania Washika Silaha Afrika Kusini....Wajiandaa Kujihami Dhidi ya Mashambulizi ya Wenyeji
↧
↧
Wema Sepetu: Niacheni nipumzike na mimi ni binadamu
Mwigizaji Wema Sepetu amewataka watu wanomsakama kwa maneno
waache apumzike kufanya hivyo kwani yeye ni binadamu kama ilivyo kwa
wengine na anaumia kama wanavyoumia wengine.
Wema ambaye alikuwa akizungumzia ujumbe
aliouandika hivi karibuni katika mtandao wa Instagram kuhusu kutopata
mtoto, anasema kuna watu hawajali maumivu yake ndiyo maana kila kukicha
wanamkashifu.
“Watu hao
↧
Serikali Yarejesha Utaratibu wa Madereva kwenda Kusoma Kila baada ya Miaka Mitatu
Serikali imerejesha mafunzo ya madereva kila baada ya miaka mitatu wakati wa kumalizika kwa muda wa leseni zao, huku ikifafanua kuwa elimu watakayoipata ina umuhimu katika kazi zao, kutokana na mabadiliko mbalimbali yanayotokea katika sekta hiyo.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga, alitangaza uamuzi huo wa Serikali jana katika mkutano kati yake na viongozi wa madereva wa
↧
Mwalimu ajinyonga, mtendaji agongwa na kufariki papo hapo
Watu wawili wamekufa mkoani Mara katika matukio mawili tofauti.
Akizungumzia matukio hayo Kaimu Kamanda wa Polisi
mkoani hapa, Audax Mjaliwa alisema katika Mtaa wa Nyamatare Manispaa ya
Musoma, mwalimu Tengeru Mongu (43) wa Shule ya Msingi Igina wilayani
Serengeti alikutwa amejinyonga katika chumba cha binamu yake Mauma
Machunde.
Akisimulia mkasa huo binamu wa marehemu huyo
↧
Zitto Kabwe akanusha tuhuma dhidi ya Dk. Mengi...Asema wanaomhusisha ni walioumbuliwa na PAC
Siku moja tu baada ya Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, kutangaza usalama wa maisha yake kuwa hatarini, kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameibuka na kudai tuhuma alizohusishwa dhidi ya Mengi si za kweli.
Dk. Mengi, alitangaza hofu yake juzi, wakati alipokutana na vyombo mbalimbali vya habari, kufuatia gazeti moja linalochapishwa kila wiki kuandika kuwa Rais
↧
↧
Je, unapenda kuwa mrembo na mwenye mvuto kwa haraka? MARKSON BEAUTY PRODUCTS inakuletea Bidhaa zenye Ubora na Matokeo ya Haraka Zisizo na Madhara kwa Mtumiaji.
Je, unapenda kuwa mrembo na mwenye mvuto kwa haraka? MARKSON BEAUTY
PRODUCTS inakuletea bidhaa zenye ubora na matokeo ya haraka zisizo na
kemikali wala madhara kwa mtumiaji.
Tuna uzoefu wa miaka 15 na bidhaa
zetu zote zimethibitishwa.
TUNAZO BIDHAA ZA:-
1. Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=.
2. Kutengeneza shepu (hips na makalio) @
↧
Lowassa athibitisha ubora wa afya yake
WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowasa, jana alithibitisha kwa vitendo
kuwa afya yake iko safi baada ya kutembea umbali wa kilomita tano kwa
miguu kwenye matembezi ya kupinga mauaji ya albino nchini.
Kwa muda mrefu, Lowassa ambaye ni mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) wanaotajwa kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba
mwaka huu, amekuwa akidaiwa kuwa na
↧
Zitto Kabwe Aipasua Ngome Ya CHADEMA Jijini Mwanza......Melfu ya Wananchi Wafurika Viwanja vya Furahisha Kumsikiliza, Juhudi za CHADEMA Kuvuruga Mkutano Zakwama
Juhudi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo kuuvuruga mkutano wa ACT -Wazalendo jana ziligonga mwamba baada ya Maelfu ya wananchi kufurika katika viwanja vya Furahisha kuwasikiliza viongozi wa chama hicho huku ulinzi ukiwa umeimarishwa katika kila kona ya uwanja huo.
Mpekuzi ilishuhudia Difenda tatu za polisi zikifanya doria katika uwanja huo
↧
Mwasisi wa CCM Zanzibar, Mzee Hassan Nassor Moyo Afukuzwa Uanachama wa Chama Hicho
Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM aliyepata kushika nyadhifa
mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwaziri, Mzee Hassan Nassor Moyo
amefukuzwa uanachama wa chama hicho ambacho yeye ni mmoja wa waasisi
wake, akiwa mwanachama namba 7.
Mzee Moyo (81) ni miongoni mwa viongozi waasisi wa Mapinduzi ya
Zanzibar ya mwaka 1964, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar pia wa mwaka
huo na mara tu baada ya
↧
↧
Mambo Makubwa Matatu Yanayompa Kichwa Mh. Sitta Kugombea kiti Cha Urais Mwaka Huu
Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema anasubiri kukamilika
kwa utaratibu wa CCM wa kugombea urais ili aingie rasmi kwenye mbio hizo
kwa kuwa anaridhika na mambo matatu ambayo anasema yanamfanya
ashawishike kugombea nafasi hiyo ya juu katika siasa nchini.
Sitta, mwanasiasa mkongwe na Spika wa Bunge la
Tisa, ni mmoja kati ya makada wa chama hicho tawala wanaotarajiwa
kuchukua fomu za
↧
CCM Kuing'oa CHADEMA Kwa Chopa Moshi Mjini
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, kimeanza kulisaka Jimbo la Moshi Mjini kwa kutumia helikopta (chopa) ili kiweze kuibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi Mkuu ujao.
Katika mkutano wao wa hadhara uliofanyika jana kwenye Viwanja vya Soko la Pasua, Kata ya Bomambuzi, kada wa chama hicho Buni Ramole kwa jina maarufu 'Buni', alitumia usafiri huo kufika
↧
Hapa kuna Sifa 13 Watakazozitumia CCM Kumteua Mgomea Urais Kupitia chama Hicho
Mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye atabeba jukumu la kupeperusha bendera ya chama hicho ili kukipa ushindi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, sasa tunahesabu siku.
Baadhi ya makada wa chama hicho wakiwemo wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), wanasema mchakato huo huenda ukaanza Mei mwaka huu.
Akizungumza na Mwandishi
↧
Diamond Akiri Kulifahamu Tatizo la Wema la Kutopata Mtoto Muda Mrefu, Adai Walijaribu Kulitafutia Tiba Lakini Hawakufanikiwa
Kwa muda mrefu, Diamond Platnumz alikuwa akilijua tatizo la mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu la kutoshika mimba.
Akiongea na kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Diamond alisema
wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu
kupata tiba lakini hawakufanikiwa. Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.
Kuhusu kile Wema alichokiandika
↧
↧
Lulu: Sina cha Kusema Wala Tamko Kuhusu Kifo cha Seki
Kufuatia kuhusishwa na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu
Bilionea Lusekelo Samson Mwandenga ‘Seki’ aliyefariki dunia Alhamisi
iliyopita, Staa wa Bongo Movies Elizaberth Michael ‘Lulu’ amesema hana
la kusema na hana tamko lolote fufuatia kifo cha Seki.
Akiongea na gazeti la Ijumaa Wikienda Juzi, lililotaka kujua taarifa za
yeye kuhusishwa na bilionea huyo pamoja na mambo
↧
Gwajima Afunguka Tena....Asema Haogopi Mtu Wala Haogopi Kufa. Awashangaa Wanaomfuatilia huku Wakiongea kwa Kubana Pua
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima,amesema haogopi
mtu yeyote wala kufa bali ataendelea kuinyoosha nchi anapoona haiendi
sawa.
Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana,wakati wa mahubiri yaliyofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe.
Alisema uhusiano wake na watu mbalimbali wakiwamo wanasiasa utaendelea kubaki palepele.
Kwa mujibu Askofu Gwajima,
↧
Kuna Taarifa za Muigizaji Wastara Juma kupata Ajali,Soma Hapa
Mwigizaji Wastara
leo ameandika maneno zaidi ya 100 na kuambatanisha na picha kuthibitisha
kuhusu ajali aliyoipata japo hajaandika kwa undani zaidi kuhusu ajali
yenyewe.
Wastara baada ya kuweka hii picha haya ndio maelezo aliyoyatoa :
"DUA
ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA……hali hii
imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na
↧
VURUGU AFRIKA KUSINI: Waziri Membe asema hakuna Mtanzania aliyeuawa, 21 kurejea nchini
Watanzania 23 waishio Afrika Kusini wamewekwa kwenye kambi
maalumu ya Isipingo nchini humo ili kupewa ulinzi wa maisha yao yaliyo
hatarini kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni.
Watu hao ambao ndiyo idadi ya Watanzania
waliotambulika kuwa hatarini nchini humo, wanatarajia kuwasili nchini
muda wowote baada ya Serikali ya Afrika Kusini kuridhia.
Watakaorejea
↧
↧
Ommy Dimpoz Amwaga Machozi Jukwaani
Weekend iliyopita Escape One kulifanyika show iliyowakutanisha mastar wakubwa ndani na nje ya TZ kama Christian Bella, Ruby, Ali Kiba, Kassim Mganga, Ommy Dimpoz, Msami, na Alicious kutoka Kenya, Wote kwenye stage moja.
Moja ya hits ambazo zimependwa SANA ni ‘Nani Kama Mama‘- collabo ya Ommy Dimpoz na Christian Bella.
Soudy Brown alikuwa mmoja ya watu waliokuwa kwenye show hiyo Escape
↧
TLP yampitisha Mrema kugombea ubunge Vunjo
Kamati Kuu ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imempendekeza
Mwenyekiti wa chama hicho, Augustine Mrema kutetea kiti chake cha ubunge
katika jimbo la Vunjo.
Kaimu Katibu Mkuu wa TLP Nancy Mrikaria,
aliuambia mtandao huu jana kuwa kamati hiyo pia imemthibitisha Mrema
kuendelea na nafasi yake ya uenyekiti wa chama hicho kwa kipindi
kingine.
Alisema kamati imeridhia Mrema
↧
Mtanzania asimulia vurugu Afrika Kusini........Asema Walengwa wakuu walikuwa Wanigeria, Wasomalia, Wachina
Wakati serikali ikitangaza kuwarejesha Watanzania 21 kati ya 23 walioko kwenye moja ya makambi yanayowahifadhi raia wa kigeni walioathirika na vurugu zilizohusisha mauaji, uporaji na watu kukimbia makazi nchini Afrika Kusini, Mtanzania aliyeko nchini humo, amesimulia jinsi raia wengi wa kigeni walivyoathirika.
Joseph Moses, anayeishi mjini Durban, amesema pamoja na baadhi ya raia wa kigeni
↧
More Pages to Explore .....