Ni dhahiri sasa vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo vimeanza kuumana jino
kwa jino kutokana na kupishana kwenye mikutano ya kisiasa inayoendelea
mikoani.
Wakati vyama hivyo vikiendelea kuchuana na kujaza mamia ya wananchi
kwenye mikutano yao, viongozi wake wamekuwa wakituhumiana kwa mambo
mbalimbali.
Vyama hivyo vimekuwa vikipishana katika kanda tangu vilipoanza ziara za
mikoani
Mapambano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo Yazidi Kupamba Moto.....Zitto Asema Ndo Kwanza Kumekucha, Mnyika Azidi Kumchafua Zitto
↧
↧
Mwanafunzi darasa la nne ajinyonga chumbani
Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Pugu jijini Dar es
Salaam, Festo Filbert (11) amekutwa chumbani kwake akiwa amejinyonga
hadi kufa kwa kutumia mkanda wa kuvalia nguo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Mary Nzuki alisema tukio hilo lilitokea jana katika eneo la Majohe kwa Ngozoma.
Alisema sababu za kujinyonga mwanafunzi huyo bado hazijafahamika kwani
↧
Mgawo wa Majimbo Waipasua Kichwa UKAWA....Mwafaka wa kugawana kufanyika Wiki Ijayo
Hatima ya kuachiana kwa majimbo ya uchaguzi kwa vyama vya siasa vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), inatarajiwa kujulikana wiki ijayo.
Itajulikana baada ya mkutano baina vyama washirika, uliolenga kutaka kufikiwa kwa mwafaka wa ugawanaji wa majimbo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Hayo yamethibitishwa na mmoja wa viongozi wa Ukawa, ambaye pia ni
↧
Utabiri wa Rais Ajaye toka Ndani ya CCM
Mjumbe mstaafu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Bw. Mashimba Hussein, amesema mgombea urais wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu ujao, atatoka miongoni mwa makada sita waliopewa adhabu kwa kosa la kuanza kampeni mapema; hivyo kukiuka taratibu za chama.
Bw. Mashimba aliyasema hayo jana katika mazungumzo maalumu na mtandao hu kuhusu hatima ya chama hicho kumpata mgombea mwenye sifa za
↧
Mfanyabiashara Afia Hotelini na Kete 30 za Heroin
Mfanyabiashara wa dawa za kulevya, Kervin Mafita (40),mkazi wa Kinondoni, Dar es Salaam, amekutwa amekufa kwenye Hoteli iliyopo jijini Arusha akiwa na shehena ya dawa hizo aina ya heroin tumboni mwake.
Meneja wa hoteli hiyo, Bw. Douglas Minja, alisema marehemu alifika hotelini hapo Aprili 12, mwaka huu, akiwa ameongozana na mama yake mzazi, mdogo wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka
↧
↧
Tusiwachukue Wanaijeria, tutoe ngoma kali tutaenda nao sawa – Diamond
Diamond Platnumz amewasihi wasanii wa Tanzania kuacha kulalamika
kutawaliwa na muziki wa Nigeria bali wanatakiwa kutoa ngoma kali kuwapa
ushindani.
Diamond alitoa kauli hiyo kwenye 255 ya XXL kupitia kituo cha redio cha Clouds FM.
“Unajua huwezi kuwalaumu tu Wanigeria, wao walitumia taaluma yao na
technique zao ili kuteka soko, sasa ukionekana unamind utaonekana pia
hauna akili
↧
Watanzania 18 Warejea Nyumbani Kutoka Yemen Ambako Hakukaliki Kutokana Na Vita
Balozi wa Tanzania nchini
Oman Mh. Ali Ahmed Saleh (aliyebeba mtoto) akiwa na baadhi ya kundi la
Watanzania 18 waliookolewa kutoka Yemen ambako hakukaliki kutokana na
vita.
Hapa wananchi hao wapo katika uwanja wa ndege wa Muscat wakiwa
njiani kurejeshwa nyumbani.
Sehemu ya wananchi hao wakijiandaa kuondoka Muscat, Oman, kurejea nyumbani
↧
Rais Wa Zamani wa Misri Mohamed Morsi Ahukumiwa Miaka 20 Jela
Rais wa zamani wa Misri Bw. Mohamed Morsi amehukumiwa kifungo cha
miaka 20 jela kwa makosa ya kusababisha kuuliwa waandamanaji mwaka 2012.
Korti ya makosa ya jinai mjini Cairo imetoa hukumu hiyo wakati Morsi
na watuhumiwa wengine katika kesi hiyo, wengi wao wakiwa viongozi wa
chama cha Udugu wa kiislam wakisimama ndani ya tundu la vigae katika ya
ukumbi wa mahakama katika Chuo cha
↧
Majambazi Yavamia Gari la Bonite (Coca Cola) Moshi na Kuwaua Dereva na Mlinzi Kisha Kupora Mamilioni ya Pesa
Mlinzi wa Kampuni ya Bonite, aliyetambulika kwa jina la Edson Shamba baada ya kupigwa risasi na majambazi mjini Moshi.
Dereva wa Kampuni ya Bonite aliyetambulika kwa jina la Amini Mselemu mara baada ya kushambuliwa kwa risasi na majambazi.
******
Tarehe
20/04/2015, majira ya saa 12 jioni, katika eneo la Soweto ya chini eneo
la Radio Kli Fm, Kata ya Soweto, Tarafa ya Moshi
↧
↧
Siwema na Shamsa Ford 'Washikana Mashati' Kisa Penzi la Nay Wa Mitego
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye kwa hivi sasa ni
mpenzi mpya wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi
wa zamani wa Msanii huyo, Siwema wameanza kuchimbana mkwara baada ya hivi
karibuni kurushiana madongo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa aliposti picha na maneno
akielezea kuwa anajiona ni mwanamke bora kwa kuwa ameweza kuzaa kwa njia
ya kawaida
↧
Breaking News: Majambazi Yatiwa Mbaroni jijini Dar Yakiwa na Bunduki 2
Watuhumiwa
wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa
mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam mchana
huu.
Inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa
kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe
wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea
kuwakimbiza kwa gari na
↧
Kesi ya Mtoto Nasra Mvungi ( Mtoto wa Boksi) Yahamishiwa Mahakama Kuu Kanda Ya Dar Es Salaam........Baba Yake Mzazi Afutiwa Shitaka La Mauaji
Mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mtoto Nasra Mvungi,
Mariam Saidi akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi wakati akirudishwa
katika chumba cha mahabasu mara baada ya kusikiliza kesi inamkabiri ya
mauaji ambapo kesi hiyo sasa itasikilizwa katika mahakama kuu kanda ya
Dar es Salaam.Picha Juma Mtanda.
************
Rashidi
Mvungi baba wa Marehemu Nasra Mvungi ameondolewa katika
↧
Jeshi Laingilia Kati Vurugu Afrika Kusini
Katika kuhakikisha vurugu dhidi ya raia wa kigeni zinakomeshwa nchini
hapa, Serikali imetangaza kuwa, jeshi sasa litatumika kudhibiti ghasia
zilizosababisha vifo vya watu saba, huku zaidi ya 5,000 wakitajwa
kuyaacha makazi yao na kwenda kuishi katika kambi maalumu ili kuokoa
maisha yao.
Hayo yamethibitishwa na Waziri wa Ulinzi wa Afrika Kusini, Nasiviwe
Mapisa-Ngqakula na kuongeza
↧
↧
Shule 250 za Serikali Kuunganishwa na Intaneti
Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imesaini mkataba na
Kampuni za Mawasiliano kwa ajili ya kuziunganisha shule 250 za Serikali
na intaneti pamoja na kuanzisha vituo 25 vya kuwafundishia walimu.
Utekelezaji wa mradi huo wa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano (Tehama) kwa kuunganisha shule, unategemewa kukamilika ndani
ya mwaka huu.
Hayo yalibainishwa Dar es
↧
Msaidizi Wa Gwajima Afikishwa Mahakamani..... Aachiwa Kwa Dhamana Hadi Mei 4 Mwaka Huu
Msaidizi wa
Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, George Mzava,
amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mzava (43),
mfanyabiashara na mkazi wa Ilala, Dar es Salaam, alifikishwa mahakamani
hapo jana na kusomewa mashitaka ya kukutwa na bastola ya kiongozi huyo
na risasi kinyume cha sheria.
Wakili wa
Serikali Mwandamizi, Tumaini Kweka,
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 22 April 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 22 April 2015
↧
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila Afikishwa Mahakamani Chini Ya Ulinzi Mkali Wa Polisi
Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR- Mageuzi), David Kafulila, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kigoma kujibu shtaka la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Uvinza, Hadija Nyembo.
Kafulila alifikishwa mahakamani hapo jana saa 3:00 asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, David Ngunyale, Wakili wa Serikali, Maryasinta
↧
↧
Dr Slaa Arejea Nchini Akitokea Marekani.......Aitupia Zigo La Lawama NEC kuwa Imeanza Na Mikoa Ya CCM Ili Kuhujumu Upinzani
Katibu mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema Tume ya Taifa
ya Uchaguzi (NEC) imeanza kuandikisha wapigakura kwenye mikoa ambayo ni
ngome ya CCM na kwamba ile yenye upinzani itaandikishwa kwa kulipua ili
watu wengi wenye sifa ya kupiga kura wasiandikishwe.
NEC
ilianza kuboresha Daftari la Wapigakura kwa kuandikisha wananchi wa
Mkoa wa Njombe, ambako watu 300,080 waliandikishwa
↧
Wema Sepetu Awatolewa Uvuvu Wanaomsema Ana Miguu Mibaya, Yenye Makovu na Michizi
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu ambao wameibuka kwa wingi mtandaoni wakiitoa karoso miguu ya staa huyo mara baada ya Wema kuweka picha kadhaa akiwa amevaa sketi ambayo inaonyesha miguu yake.
“Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...?
"Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa
↧
Mwigulu atoa Sababu Nne Zinazowafanya Wananchi Wampendekeze Agombee Urais......Achekelea Kufananishwa Na Sokoine
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amebainisha sababu nne
zinazowafanya wananchi wampendekeze kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu
wa Oktoba.
Nchemba aliyasema hayo jana kwenye mahojiano wakati wa
kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV kuhusu tafiti zinazofanywa
juu ya kukubalika kwa baadhi ya watia nia ya urais miongoni mwa wananchi
wanaomtaja.
“Nisingependa kuwa refarii
↧
More Pages to Explore .....