Haya ni baadhi ya matairi ya magari yaliyochomwa na baadhi ya Wananchi
maeneo ya stendi kuu ya Ubungo jijini Dar. Polisi wametumia mabomu ya
machozi kuwatawanyisha wananchi hao.
Baadhi ya Wananchi
hawakukubaliana na hilo nao wakaanza kushika mawe na kuwarushia Polisi, ikawa
ni mawe VS Mabomu. Haya yote chanzo ni mgomo wa Madereva ulioanza leo.
Mgomo Wa Madereva Walitikisa jiji la Dar......Polisi Wanatumia Mabomu ya Machonzi, Wananchi nao Wameshika Mawe Kuwakabili Polisi
↧
↧
Mgomo wa Mabasi: Tax Zapanda Bei Musoma......Kutoka Musoma Kwenda Mwanza ni Laki 4
Abiria zaidi 1000 waliokuwa wakisafari kutoka Musoma kwenda Dar es salaam kupitia mikoa ya Mwanza na Shinyanga na wale wa kwenda mpakani mwa Tanzania na Kenya Sirari pamoja na wa ndani ya mkoa wa Mara wameshindwa kusafari baada ya madareva kuitisha mgomo.
Baadhi ya madereva ambao wamekutwa katika kituo kikuu cha mabasi ya Bweri mjini Musoma,wamesema kuwa mgomo huo umeitishwa kwa ajili ya
↧
Mgomo Wa Madereva: Serikali Yakubali Kufuta Agizo la Kuwataka Madereva Kwenda kusoma ili Kumaliza Mgomo
Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo wa madereva baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori kwenda kusoma tena katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)
Kuhusu suala la Madereva kusoma, Serikali na Madereva wamekubaliana kukutana mwezi huu tarehe 18 kuzungumza njia mbadala ya kutumika.
Miongoni mwa malalamiko
↧
Taarifa ya Jeshi la Polisi Nchini Kufuatia Upotoshwaji Unaoenezwa Kwa Njia ya Mtandao ili Kuwatia Watu Hofu
Katika
siku za hivi karibuni kumeibuka tabia ya baadhi ya watu wachache
wasiofahamika kutunga na kusambaza ujumbe kupitia simu za mikononi na
mitandao mbalimbali ya kijamii wenye lengo la kuwatia hofu wananchi,
jambo ambalo ni kinyume cha sheria.
Aidha, watu hao wanaosambaza taarifa
hizo wanajifanya kwamba taarifa hizo zimetoka kwenye taasisi za
kimataifa na taasisi zingine
↧
Zitto Kabwe Leo Amefanya Mkutano wa Kwanza Songea Kukitambulisha Chama Kipya Cha ACT-Tanzania.......Watu Walikuwa Wengi Sana, Kapata Mapokezi Mazuri
Picha Kiongozi wa ACT Wazalendo Ndugu
Zitto Z.Kabwe akihutubia umati mkubwa wa wana Songea waliohudhuria
kumsikiliza,ikiwa ni ziara yake ya kwanza toka ang'atuke katika chama cha
CHADEMA.
Picha Hapa ni Mapokezi ya Viongozi wa Kitaifa wa chama cha ACT Wazalendo Songea
Afande Sele akisalimia wanamkutano
Viongozi wa Kitaifa wa ACT Wazalendo
Wanasongea wakiwa kwenye mkutano
↧
↧
Tishio la Ugaidi Jijini Mwanza: Wanafunzi Wa Chuo Cha SAUT Waumia Wakati Wakikimbizana Kuokoa Roho Zao......Chakufurahisha ni kwambwa,Waliyekuwa Wanamkimbia ni Mwanafunzi Mwenzao
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Cha SAUT Kilichopo jijini Mwanza wamejikuta wakiumia vibaya baada ya kuanza kukimbia hovyo wakidhani wamevamiwa na magaidi. Cha kufurahisha ni kwamba waliyekuwa wanamkimbia kumbe alikuwa ni mwanafunzi mwenzao....
Taarifa kutoka Chuoni hapo zinaarifu kuwa wanafunzi wa shahada ya uzamili katika biashara walikuwa na mtihani
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 11 April 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 11 April 2015
↧
Tishio La Ugaidi: TANESCO Na Vyuo Vikuu Wajihami......Wanafunzi,Wafanyakazi Watakiwa Kuvaa Vitambulisho Masaa Yote
Kusambaa kwa taarifa za uwezekano wa kutokea kwa shambulio la kigaidi katika miji ya Tanzania, ikiwemo Dar es Salaam na Mwanza, kumesababisha baadhi ya taasisi muhimu kama vyuo vikuu na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuchukua hatua za kujihami.
Taarifa zilizotufikia jana zilieleza kuwa Tanesco na baadhi ya vyuo, vimeweka taarifa ya tahadhari na kutoa masharti kwa wafanyakazi na
↧
Bidhaa za magendo zaipatia TRA mil 258/-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya kodi na faini ya jumla ya Sh milioni 258.5 kutokana na bidhaa mbalimbali za magendo zilizokamatwa katika kipindi cha Februari na Machi mwaka huu.
Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi huduma na elimu kwa mlipa kodi Richard Kayombo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Alisema bidhaa hizo zilikamatwa katika Mikoa ya
↧
↧
Ajali ya Lori na Pawatila Yaua Watu 7 Manyara
Watu saba wamekufa na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Endagau tarafa ya Endasaki wilayani Hanang’ mkoani Manyara baada ya lori aina ya Fuso kugongana na powatila.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alisema lori hilo yenye namba za usajili T 781 AAC likitokea Katesh kuelekea Babati liligongana na pawatila iliyokuwa imebeba
↧
Rais Kikwete Apokea Ripoti Ya Oparesheni Tokomeza
Rais Jakaya Kikwete jana alipokea Ripoti ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza katika hafla fupi ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam.
Mara baada ya kupokea ripoti hiyo, Rais Kikwete aliishukuru Tume kwa kazi nzuri na kuongeza kuwa amefurahi kuwa suala zima la Operesheni Tokomeza sasa limefika mwisho wake.
Aidha, Rais amesema kuwa Serikali itaisoma ripoti hiyo na katika wiki mbili itatoa
↧
Baba Ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela Kwa Kosa la Kumbaka Mtoto wake Wa Miaka 9 na Kumsababishia Ujauzito
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Shinyanga imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa mtaa wa Kitangili katika manispaa ya Shinyanga baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumpa ujauzito mtoto wake wa kambo, mwanafunzi wa darasa la tatu.
Alimbaka mtoto huyo kutimiza masharti ya mganga ili kutoa tiba kwa mkewe.
Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi mwandamizi wa wilaya,
↧
Mawakili wa Gwajima ( Peter Kibatala ) Waiandikia Barua Polisi Kuhoji Uhalali Wa Nyaraka 10 Zlizoombwa na Vifungu Vya Sheria Vilivyotumika
Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.
Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi
↧
↧
Lulu Awaogopa Wachawi Kutaja Baba Kijacho Wake
Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anaogopa wachawi kumtaja mhusika wa mimba aliyonayo.
Lulu alifunguka hayo juzikati wakati mwanahabari wa GPL alipotaka
kujua mhusika wa mzigo alionao ndipo msanii huyo aliposema aachwe kwanza
maana wachawi ni wengi.
“Mh! Naomba mniache kwanza maana mjini hapa
wachawi ni wengi, mambo yakiwa freshi kila
↧
Hamisa Mabeto Ajifungua Mtoto wa Kike
Mwanamitindo kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto
amejifungua mtoto wa kike hivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani
mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti na wafanyavyo mastaa
wengine.
↧
Mbio za Urais CCM: Benard Membe Ataka Jina la Edward Lowassa Lisikatwe.......Atamani Akutane Naye Tatu Bora Ili Amwonyeshe Uwezo Wake
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ambaye jina lake linatajwa kutaka kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, anaelezwa kutamani kuingia katika hatua za mwisho za kinyang’anyiro hicho na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
Vyanzo vya habari ndani CCM vinasema kwamba Membe amekua akionyesha kutamani kuingia
↧
Kauli ya Wema Sepetu Yawaliza Wengi. Aweka wazi kuwa hawezi kupata mtoto.
Kupitia ukurasa wake wa instagram,
mwanadada wema Sepetu ameamua kuvunja ukimya kwa kuamua kuweka wazi kuwa
hana uwezo wa kushika ujauzito... hiki ndicho alichosema!
"Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But
sina... Na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe
nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu
mwenyewe... Is
↧
↧
Rais Kikwete Aonya Chokochoko za Siasa Kupitia Dini
RAIS Jakaya Kikwete amesema wakati taifa likielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu, kumeibuka nyufa zinazojengwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa na mashabiki wao ambao wanatumia tofauti za dini zilizopo nchini kwa uchu wa kuingia madarakani.
Kwa hali hiyo, amewaomba viongozi wa dini kuchukua hatua kwa kukemea tatizo hilo ili kuliponya taifa na
↧
Basi Lagongana Uso Kwa Uso La Lori Na Kisha Kuwaka Moto.....Watu 18 Wafariki Dunia
Watu 18 wamekufa papo hapo kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kutokana na basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori aina ya Mitsubishi Fuso, katika kijiji cha Msimba tarafa ya Mikumi, barabara kuu ya Morogoro – Mbeya.
Ajali hiyo imehusisha basi la Kampuni ya Nganga linalofanya safari zake kutoka Wilaya ya Kilombero kuelekea mkoani Mbeya na kugongana na lori hilo
↧
Habari Zilizopo Katika Mafazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 13 April 2015
Habari Zilizopo Katika Mafazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 13 April 2015
↧
More Pages to Explore .....