Tanzania Tunayoijua ni kwamba Watanzania ni ndugu na
tumechanganyika. Hata hivyo, Wahenga walisema; " Kamba hukatikia pabovu."
Siku zote, uzoefu ni mwalimu mzuri
sana. Mathalan, uzoefu unatufundisha, kuwa kuwasha moto ni jambo jepesi
sana, lakini, kuuzima moto, yaweza kuwa ni kazi ngumu sana.
Ona, moto ulioanza kwenye nyumba moja
ya nyasi kijijini, waweza kusambaa haraka na
Tukitafakari Mauaji ya Garissa, Hii Ndo Tanzania Tunayoitaka.....
↧
↧
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) Chasema Mgomo wa Madereva Kesho ni Batili.....Kimesema Wamiliki Hawataki Magari Yao Yatumike Kuwagombanisha Na Serikali
Chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania, TABOA kimesema mgomo wa madereva unaotarajiwa kuanza kesho ni batili.
Sababu kubwa ya madereva hao kugoma ni kuishinikiza serikali kuweka mfumo mzuri wa ajira na kupinga kanuni inayowataka kurudia kusoma katika chuo cha taifa cha usafirishaji,NIT kila leseni zao zinapokwisha muda.
Kwa mujibu wa TABOA,
↧
Breaking News: Watu 10 Wafariki Dunia Baada Ya basi La NGORIKA na RATCO Kugongana Uso Kwa Uso
Watu 10 wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha magari matatu katika
eneo la Mkata kijiji cha Mbweni wilayani Handeni Mkoani Tanga majira ya
saa 5 asubuhi ya leo.
Akizungumza na Mwandishi wetu Kamanda
wa kikosi cha usalama barabara mkoa wa Tanga amesema kuwa ajali hiyo
imehusisha mabasi mawili ya abiria na gari dogo katika barabara ya Dar
es salaa kwenda Tanga na Arusha.
Kwa
↧
Ajali Nyingine Yatokea Mikumbi......Watu Kadhaa Wahofiwa Kufa Baada Ya Basi La Happy Nation Kutumbukia Mfrejini
Watu
kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Happy Nation
lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Mbeya kupata ajali na
kutumbukia kwenye mfereji katika eneo la Mikumi mkoani Morogoro.
Ajali hiyo imetokea leo mchana ikiwa ni
muda mfupi baada ya ajali nyingine kutokea leo ikihusisha magari matatu
kwenye Kijiji cha Mbweni, Handeni mkoani Tanga na kuua watu 10.
↧
Kesi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja Yapigwa Kalenda Hadi Mei 7 Mwaka Huu
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja leo amefikishwa
mahakamani kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali ya kesi inayomkabili
ya uchochezi, lakini upande wa serikali ulikuwa haujakamilisha kuandika
maelezo hayo.
Mwendesha mashtaka mwandamizi wa serikali, Rose Shio aliiambia
mahakama kuwa kesi hiyo ilifika mahakamani hapo leo kwa ajili ya usikilizwaji wa awali
↧
↧
Mkapa Auponda Mkataba wa EPA......Adai ni wa Kikoloni
Rais
mstaafu wa awamu ya tatu nchini Tanzania, Mhe. Benjamin William Mkapa,
ameelezea kusikitishwa na jinsi Tanzania pamoja na nchi nyingine za
Afrika Mashariki, zilivyosaini mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi, baina
ya Jumuiya ya Ulaya na nchi za Afrika, Karibeani na Pasifiki, mkataba
unaojulikana kwa kifupi kama EPA (Economic Partnership Agreement).
Akizungumza na watumishi wa
↧
Rais Kikwete Asiongezewe Muda - Peter Mziray
Mwenyekiti
wa Baraza la vyama vya siasa Tanzania Peter Kuga Mziray amesema
mwenendo wa Tume ya Uchaguzi kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura
hauridhishi na unatoa viashiaria vya uwezekano wa kuahirishwa kwa
uchaguzi mkuu mwezi Oktoba na kuwaongezea muda viongozi waliopo akiwemo
Rais Kikwete.
Mziray amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika suala la
uboreshaji wa
↧
Zitto Kabwe Asema Kitendo Cha kuitwa MSALITI Ni Mbinu Zinazotumika Kumuua Mwanasiasa wa Upinzani
Kiongozi wa chama cha ACT-Tanzania,Zitto Kabwe amesema kuitwa msaliti ni mbinu zinazotumika 'kumuua' mwanasiasa wa upinzani nchini.
Amesema mwanasiasa wa upinzani akitakiwa kuuawa kisiasa si jambo geni kusikia anatuhumiwa kutumika na Usalama wa Taifa au Pandikizi la Chama cha Mapinduzi, CCM.
Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari jijini
↧
Shamsa Ford Akana Kutoka Kimapenzi na Nay Wa Mitego
Msanii wa Filamu Nchini, Mwanadada Shamsa Ford amekana kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwana hip hop,Elibarik Emamanuel 'Nay wa Mitego' na kuweka wazi kuwa wako mbioni kuachia filamu yao mpya ya Manyaunyau.
Akizungumza na mtandao huu juzi,Shamsa alisema, kinachoendelea kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni Promosheni kwa ajili ya ujio wa
↧
↧
Khadija: Kwa Maisha Haya Ya Muziki Mume Wa Nini?....Mapenzi Yasubiri Kwanza!
Staa kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’,
Khadija Maige ‘Kadja Nito’, hatimaye ameamua kufunguka na kusema kuwa,
kwa maisha yake ya sasa ya kimuziki haoni kama kuna umuhimu wa kufikiria
masuala ya kuolewa.
Akizungumza na mwandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita Kadja
alisema kuwa, muziki sasa ndiyo kila kitu kwake hivyo hawezi kumpa
nafasi mwanaume au kuzungumzia suala
↧
Aliyekuwa Mke wa Mh Mbunge Sugu, Faiza Ally Atangaza Mtandaoni Kuwa Ana Hamu ya Kufanya Mapenzi......Kazi Kwenu Wanaume
Mrembo asiyeishiwa vituko, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa
Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ ametoa kali baada ya kusema kuwa
ana hamu ya kumpata mwanaume mwingine wa kumpa raha lakini mpaka sasa
hajapata.
Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram, Faiza alisema tangu alipoachana na
Mheshimiwa Sugu, aliona bora ajitulize lakini sasa anajiona kuna kitu
anakikosa na wa kumpa
↧
Diwani wa CHADEMA Apewa Adhabu ya Kufua Shuka za Wagonjwa Hospitalini na Kuzibua Mitaro ya Barabarani
Diwani wa Kata ya Kasanda wilayani Kakonko, Dickson Barutwa (40) wa Chadema na wenzake watatu, wamehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kibondo adhabu ya kufua shuka za wagonjwa katika hospitali ya wilaya ya Kakonko na kuzibua mitaro ya barabarani kwa siku 14 baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu.
Baadhi ya makosa hayo yametajwa kuwa ni kuifunga ofisi ya Mtendaji wa Kijiji isivyo
↧
Askari wa JKT Auawa Wakati Akisaidiana na Polisi Kuyakabili Majambazi Yaliyokuwa Yamepora Fedha Iringa
Watu wawili akiwemo jambazi mmoja na askari mwanafunzi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), wamekufa na wengine kunusurika kuuawa katika tukio lililotokea juzi, mjini Mafinga mkoani Iringa wakati majambazi wakirushiana risasi na askari wa Jeshi la Polisi.
Risasi hizo zilipigwa wakati Polisi hao wakijaribu kuokoa fedha za mfanyabiashara Salama Semwaiko zilizoporwa na majambazi wawili
↧
↧
Sakata la Gwajima: Polisi Wamhoji Kwa Masaa Matano..... Atakiwa Kurudi Polisi Wiki Ijayo na Hati ya Usajili wa Kanisa Lake,Helkopta na Viwanja Anavyomiliki
Askofu wa Kanisa la Ufufua na Uzima Josephat Gwajima amelitikisa tena Jiji la Dar es Salaam jana mara baada kuwasili makao makuu ya Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam ili kuendela na mahojiano kuhusu tuhuma za kumkashfu Askofu Pengo.
Gwajima aliwasili Makao Makuu ya Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Majira ya saa mbili kamili asubuhi huku
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa ya Tarehe 10 April 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa ya Tarehe 10 April 2015
↧
Breaking News: Mgomo wa Madereva Waanza Asubuhi ya Leo Sehemu Mbalimbali Nchini
Mgomo wa Madereva umeanza rasmi leo katika maeneo mbalimbali nchini kama ambavyo muungano wa madereva wa vyombo vya usafiri waliahidi wakidai kutotatuliwa kero zao na serikali.
Sababu
kubwa ya madereva hao kugoma ni kuishinikiza serikali kuweka
mfumo mzuri wa ajira na kupinga kanuni inayowataka kurudia
kusoma katika chuo cha taifa cha usafirishaji,
↧
Mgomo wa Madereva: Polisi Waamua Kutumia Mabomu ya Machozi Stendi Kuu Ubungo, Dar
Habari zilizotufikia zinaarifu Polisi Jijini Dar es Salaam wamelazimika kutumia mabomu ya machozi
katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo kutuliza vurugu
zinazofanywa na abiria pamoja na wananchi kufuatia mgomo wa madereva.
↧
↧
Huyu Ndo Mtanzania Anayetuhumiwa Kwa Ugaidi Kenya.....Jana Alifikishwa Mahakamani Chini Ya Ulinzi Mkali
Mtanzania anayedaiwa kuhusika katika shambulizi la kigaidi
lililoua watu 148 katika Chuo Kikuu cha Garissa – Kenya, Rashid Charles
Mberesero, jana alifikishwa mahakamani na kuwekwa kizuizini kwa mwezi
mmoja wakati polisi wakiendelea kukusanya ushahidi dhidi yake.
Mtuhumiwa
huyo ambaye pia anafahamika kwa jina la Rehani Dida alirejeshwa Nairobi
kutoka Garissa alikopelekwa awali kwa
↧
Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Arusha Akanusha Kukamatwa Kwa Mwanaume Mwenye Mabomu Na Watu Wanne Wenye Bunduki
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Liberatusi Sabas amekanusha uvumi ulioenea
katika mitandao ya jamii kuhusu kukamatwa mwanaume mmoja aliyevalia vazi
la baibui akiwa na bomu mkoani humo na kwamba watu wengine wanne wamekamatwa wakijiandaa kuingia chuo cha uhasibu.
Uvumi huo umeanza kusambaa kwa kasi leo asubuhi ukidai kukamatwa kwa watu wanne waliokuwa ndani ya
↧
Picha: Hali Ya Mgomo Ilivyo Eneo La Stendi Ya Ubungo Jijini Dar es Salaam
Muonekano wa mabasi ya mikoani yakiwa yamesimama stendi ya Ubungo, Dar.
Wananchi wakiwa nje ya stendi ya mabasi ubungo jijini Dar.
↧
More Pages to Explore .....