Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Chama Kipiya Cha Zitto Kabwe, ACT-Tanzania Chapania Kuchukua Majimbo Manne Ya Uchaguzi Mwaka Huu

$
0
0
Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT), kimesema kinatarajia kunyakuwa majimbo manne ya ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu. Kimetaja majimbo hayo kuwa ni Ubungo, ambalo linaongozwa na John Mnyika (Chadema), Kawe linaloshikiliwa na Halima Mdee (Chadema), Segerea ambalo Mbunge wake ni Makongoro Mahanga (CCM) na Kahama la James Lembeli (CCM). Kiongozi

Wanachokitaka UKAWA Kabla Ya Uchaguzi Mkuu Wa Octoba Mwaka Huu

$
0
0
Uamuzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuahirisha Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa umewafungulia viongozi wa Ukawa kuishinikiza Serikali kuiboresha Katiba ya sasa katika maeneo manne ili kuondoa mvutano katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.    Mambo manne yanayodaiwa na Ukawa  ni: Ushindi wa urais kuamuliwa kwa asilimia zaidi ya 50. Mgombea binafsi katika nafasi za udiwani,

Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

$
0
0
Pendeza na Dr Kessy Products . Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka   1.Tengeneza  shep, mahips  au  makalio Dawa  ya  kupaka 50,000 Vidonge   80,000. 2.Punguza  maziwa  na  kuyasimamisha-  40,000/= 3.Punguza  mwili  pamoja  na  kilo- 60,000/= 4.Ongeza  nguvu  za 

Tishio la Ugaidi: Waziri Wa Mambo Ya Ndani Asema Nchi Ipo Katika Hali Ya Tahadhari

$
0
0
Waziri wa Mambo ya ndani  ya  Nchi,Matthais Chikawe amesema nchi  ipo katika tahadhari ya juu  kufuatia taarifa za vyombo  mbalimbali  vya habari  kwamba, kuna uwezekano wa shambilio la ugaidi katika miji ya Dar es salaam na Mwanza.   Chikawe amesema hayo ikiwa  ni  siku  chache  baada  ya  taarifa  kusambaa kuwa mmoja ya waliokamatwa katika shambulio la chuo kikuu cha Garissa nchini

Radi Yapiga Kanisa Geita Na Kuua Watu Watano Waliokuwa Katika Ibada Ya Pasaka

$
0
0
Watu watano wamefariki dunia papo hapo katika kijiji cha Shilabela, kata ya Bwanga, wilayani Chato, mkoa wa Geita, baada ya kupigwa na radi wakati wakiendelea na ibada ya Sikukuu ya Pasaka. Tukio hilo lilitokea juzi jioni kwenye Kanisa la Assemblies of God Tanzania (AGT) na kujeruhi watu wengine 18 wakati wakiwa kwenye maadhimisho ya sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo, Pasaka. Kati ya

Je, Una Mwili Mwembamba au Umedhoofika kutokana na Maradhi?.....Bofya hapa Ujipatie Dawa Lishe ya kuongeza na kunenepesha mwili

$
0
0
Je  una  mwili  mwembamba  na  unataka  kuongeza  na  kunenepesha  mwili  wako ? Umedhoofika  kutokana  na  maradhi  mbalimbali  na  unataka  kurejesha  afya  yako  na  mwili  wako ? Unataka  kutengeneza  shape  ya  mwili  wako  kwa  vitu  vya  asili  visivyo  na  madhara  kwa  afya  yako ? Kama  jibu  ni  ndio  basi, hii ni  habari njema  sana  kwako. Neema  Herbalist  ni  wauzaji  wa 

Kwa Uliedhani Ujauzito wa Zari ( Mchumba Wa Diamond ) Ulikua Feki, Bofya Hapa Ukione Kitumbo Kilivyo Kwa Sasa

$
0
0
Labda uliziona picha za mwanzoni za mrembo Zari kutoka Uganda lakini ukaamini maneno ya wengine kwamba shemeji yetu huyu kwa Diamond Platnumz alidanganya kuhusu kuwa na ujauzito huo wa Diamond.    Picha mpya kutoka kwake  ni hii hapa chini ikionyesha jinsi ujauzito wake unavyozidi kukua…

Picha Za Irene Uwoya Akiwa Jijini Mwanza Zilizosababisha Mafuriko Ya LIKES Huko Instagram

$
0
0
Hizi ni baadhi ya picha ambazo staa mrembo Irene Uwoya ame-share  kupitia ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram akiwa jijini Mwanza.   Huu  ulikuwa mtoko wake wa sikukuu ya PASAKA . Mbali ya picha hizi kusababisha mafuriko ya LIKES na COMMENTS huko Instagram, sio mbaya nawewe hapa kama mdau ukasafisha macho na picha hizi na kufunguka chochote kuhusu mtoko huu wa mrembo huyu ambae

Leo Ndo Mwisho wa Gwajima Kusali Kawe.....NHC Wanadai Lile ni Eneo Lao, Kanisa La Gwajima Lipo Pale Kimakosa

$
0
0
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limemtaka Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, kuhamisha makazi ya kanisa lake lililopo katika  viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe, jijini Dar es Salaam leo. Meneja Uhusiano wa NHC, Yahya Charahani amelieleza Gazeti  la Nipashe kuwa, walimpatia notisi Askofu Gwajima ya kuhama eneo hilo mwezi mmoja uliopita, lakini hakutekeleza

Jeshi la Kenya Lafanya Shambulio Somalia Kulipiza Kisasi Baada ya Al Shabaab Kuuwa Wanafuzi 148 Kenya

$
0
0
Ndege za kijeshi za Kenya zimeshambulia maeneo ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab katika taifa jirani la Somalia . Ndege hizo zililenga maeneo mawili ya jimbo la Gedo,linalotumiwa na wapiganaji hao kuvuka na kuingia Kenya, msemaji huyo ameongeza. Maeneo hayo mawili hutumiwa na wapiganaji hao kupanga mshambulizi nchini Kenya. Wanajeshi wa AMISOM walitarajiwa kupeleka wanajeshi wao

Watu Sita Wakamatwa Na Jeshi La Polisi Kwa Tuhuma Za Kumbaka Mwanamke Mmoja Kwa Zamu

$
0
0
Watu sita wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 40.   Kamanda wa Polisi mkoa wa Kusini Unguja Juma Saad Khamis, alisema hilo ni moja ya matukio mabaya kuripotiwa kufanywa katika kipindi cha maadhimisho ya sikukuu ya Pasaka.   “Watu hao walikamatwa Jumapili saa 2 usiku wakihusishwa kuhusika na tukio hilo,” alisema.   Uchunguzi wa awali

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Tarehe 8 April 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  Tarehe  8  April  2015

Mwigizaji Shamsa Ford, Ney wa Mitego Ndani ya "PENZI ZITO"

$
0
0
Kilichojificha nyuma ya pazia la uhusiano wa mastaa wa Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, na Shamsa Ford sasa kimevuja baada ya mtandao huu kunasa habari za wawili hao kuwa kwenye uhusiano wa mapenzi kiasi cha kudaiwa kupika na kupakua pamoja. Chanzo  kimeeleza kwamba, wawili hao ambao kila mmoja katika siku za hivi karibuni aligombana na mwenza wake wa awali, wamekuwa

TANESCO Yaja LUKU Mpya Kukabili Tatizo la Sasa

$
0
0
Shirika la Umeme nchini (TANESCO) linatarajia kubadilisha mfumo wa huduma ya Lipia Umeme Kadri Utumiavyo (Luku) na kuuweka wa kisasa ili kuwaondolea usumbufu wateja wake.   Imeelezwa kuwa mfumo unaotumika sasa ni tatizo kutokana na mabadiliko hayo, mfumo mpya huenda ukaanza kutumika mwezi ujao. Hayo yalisemwa jana na Meneja Uhusiano wa Tanesco, Adrian Severin.   Alisema mfumo

Askofu Gwajima Aligomea Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)......Mpaka Jana Kanisa Hilo Lilikuwa Bado Lipo katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam

$
0
0
Licha ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kumtaka Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, kuhamisha makazi ya kanisa lake lililopo katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam, bado hajatekeleza. Wiki iliyopita, Meneja Uhusiano wa NHC, Yahya Charahani, akizungumza na Gazeti la Nipashe alisema kuwa walimpatia notisi Askofu Gwajima ya kuhama eneo hilo

Shilole Aonyesha Utundu Wake Wa Chumbani Stejini Coco Beach

$
0
0
Staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Zuwena Mohamed 'Shilole' juzikati aliwatega vidume baada ya kufanya utundu wa aina yake kwa kuwaita jukwaani na kucheza nao wakati akipafomu kwenye shoo maalum ya Pasaka iliyodhaminiwa na Vodacom mwishoni mwa wiki.   Tukio hilo lilinaswa sawia na mwandishi wetu maeneo ya Coco Beach jijini Dar es Salaam baada ya Shilole kupandwa na ‘mzuka’ wakati

Matumaini: Nimeamua Kumwimbia Mungu

$
0
0
Msanii wa vichekesho, Tumaini Martin ‘Matumaini’ amesema kuwa baada ya kuugua ameamua kumtolea Bwana maisha na sasa anaimba nyimbo za Injili.   “Namshukru Mungu kwa mapito niliyopitia, nimeamua kumkabidhi Mungu maisha yangu kwa kumuimbia na wimbo wangu wa kwanaza ulikuwa ni Nimepona nikimshukru Mungu kwa muujiza wake,”alisema Matumaini  katika  mazungumzo  na  mwandishi wetu.  

Umelisikia Sharti la MAKAHABA ( Machangudoa) Wa Nigeria Walilolitoa Kwa Rais Mpya??......Wako Tayari Kugawa Penzi Bure Kwa Siku 3 Iwapo.....!

$
0
0
Waswahili wanasema ahadi ni deni.. akina dada ambao wanafanya biashara ya kuuza miili yao Nigeria nao wanaahidi kutimiza ahadi yao ya kutoa huduma bure kwa wateja wao nchi nzima.   Chama cha wasichana hao ambao wanafanya biashara hiyo Nigeria waliahidi kwamba wako tayari kutoa huduma bure kwa mtu yoyote iwapo Rais Buhari atashinda Uchaguzi huo..    Kwa kuwa tayari Buhari kashinda

Tishio La Ugaidi Kenya: Ziara Ya Miss World Nchini Humo Yapigwa Chini......Rais Obama Yeye Kasema Haogopi Kitu, Ziara Yake Iko Palepale

$
0
0
Hali ya nchi ikiwa sio nzuri kuna vingi vinaathirika, unaweza ukaona kwa haraka haraka tu kwamba athari kubwa ni vifo na uharibifu wa mali za watu.. lakini ukiiangalia kiundani athari yake ni kubbwa zaidi ya hapo.   Rolene Strauss ni mrembo wa South Africa ambaye alifanikiwa kushinda taji la Miss World 2014. Mrembo huyu alikuwa na ratiba ya ziara yake Nairobi Kenya na ilikuwa afanye
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images