Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mtanzania Akamatwa Akishukiwa Kuhusika na Shambulizi la Al Shabaab Lilioua Watu 147 Kenya

$
0
0
Mtanzania mmoja ambaye hajafahamika amekamatwa kuhusiana na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, Kenya.   Taarifa zilizopatikana jana usiku na kutangazwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), zilieleza kuwa Mtanzania huyo anahojiwa kuwapo kwake katika eneo hilo hasa ikizingatiwa kwamba siyo mwanafunzi wala mtumishi katika chuo hicho.   Taarifa hizo zinasema

Kardinali Pengo Asali Chini ya Ulinzi Mkali.....FFU Wakiwa Na Mbwa 8 Waliweka Doria Kuimarisha Ulinzi

$
0
0
Katika  hali isiyo ya kawaida, Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa na mbwa nane, waliweka doria katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika jana.   Ibada hiyo iliyoanza saa tisa jioni iliongozwa na Paroko wa Kanisa hilo, Audax Kaasa na Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyetarajiwa kuiendesha kama ratiba ya Baraza la

Kova: Tumejipanga Vizuri Kukabiliana Na Ugaidi Au Ujambazi Wa Aina Yoyote

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema limejipanga vizuri kukabiliana na viashiria vya matukio ya kigaidi na ujambazi wa kutumia silaha katika ukanda wa Afrika Mashariki.   Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, alisema watashirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha udhibiti wa matukio ya uhalifu au fujo

Picha:Reginald Mengi amefunga ndoa na Jacqueline Ntuyabaliwe

$
0
0
Hizi  ni  Picha  kutoka kwenye harusi  Reginald  Mengi ambayo imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya Mauritius  mwisho wa mwezi March 2015.    Hii ndoa pia ilishuhudiwa na watoto wao wawili mapacha kama wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia pamoja na ndugu ambao idadi yao inafikia 50.   Ndoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky Dubai

Taarifa kuhusu upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015

$
0
0
 Taarifa kwa vyombo vya Habari , 4 Aprili 2015 Taarifa kuhusu upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015 Naomba nifafanue kuhusu propaganda inayoenezwa na maafisa wa TCRA kupitia CloundsFM kuhusu Sikika na Mswada wa ‪#‎CyberCrimeBill‬. Sikika haikuhudhuria mkutano wa wadau unaodaiwa kufanyika Dodoma kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na leo maafisa wa TCRA.

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya Tarehe 5 April 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  Ya  Leo  Jumapili  Ya  Tarehe  5  April  2015

Tishio La Ugaidi Mwanza na Dar Es Salaam: IGP Mangu Asema Ulinzi Umeimarishwa, Wananchi Watakiwa Kutoa Taarifa Mapema Wanapohisi Ugaidi

$
0
0
Kufuatia tishio la ugaidi la kuipiga miji mikubwa ya Tanzania, Dar es Salaam na Mwanza, kupitia ujumbe uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii, majeshi ya ulinzi yamesema yameimarisha ulinzi nchi nzima. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Ernest Mangu, alipoulizwa na mwandishi wetu jana, alithibitisha kuwa jeshi hilo linazo taarifa za uwekezako wa kuwapo kwa ugaidi. Alisema hata hivyo

Kundi Laandaliwa Kumzomea Benard Membe

$
0
0
Mkurugenzi wa ‪‎Msama‬ Promotion, Alex Msama ametoa onyo kwa kikundi cha watu kilichojipanga kumzomea Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ‪‎Bernard‬ Membe atakayekuwa mgeni rasmi wa Tamasha la ‪‎Pasaka‬ linalotarajiwa kufanyika hii leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.   Akizungumza na mwandishi jana, Msama alisema kuwa amepata taarifa kuhusu uwapo wa

Polisi Yamkamata Mtu Mmoja Aliyeingia Kanisani na Bastola Yenye Risasi 8

$
0
0
Hofu‬ imewakumba waumini wa ‪Kanisa‬ ‪Katoliki‬ la Mtakatifu Stephano, ‪‎Kisarawe‬ mkoani ‪‎Pwani‬ katika ibada ya Ijumaa Kuu baada mtu mmoja kukamatwa katikati ya ibada ya Ijumaa Kuu akiwa na bastola yenye risasi nane. Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka kwa waumini na kuthibitishwa na polisi, mwanaume huyo ambaye si muumini wa kanisa hilo anadaiwa kutaka kufanya uhalifu kanisani

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Tarehe 6 April 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Tarehe  6  April  2015

"Nay wa Mitego Ana Laana ya Picha Zangu za UCHI"....Fatuma Ayubu

$
0
0
Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema kuwa migogoro yote inayomtokea aliyewahi kuwa mwandani wake, Emmanuel Elibariki ‘Nay’ ni kutokana na laana ya kumsambazia picha zake za utupu. Akiongea  na  mwandishi wetu, Bozi alisema tatizo kubwa lililomkuta Nay kwa mpenzi wake Siwema kumfumania na njemba ni malipo ya kupuuza penzi lake na dhambi kubwa aliyomtendea ya kusambaza

Malasusa: Waumini Wengi ni Washirikina

$
0
0
Matukio ya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi, vikongwe na watu wa makundi mengine ya kijamii nchini, yametajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na hofu na kutojiamini kwa baadhi ya watu, hivyo kujikuta wakitumia nguvu za ziada kutaka kufanikisha mambo yao, badala ya kumtegemea Mungu.   Hayo yamebainishwa kwenye Ibada ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)

Rais Kikwete atoa mhadhara katika kituo cha Kimataifa cha Woodrow

$
0
0
  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali ya awamu ya nne inajivunia mafanikio iliyoyapata tangu kuingia madarakani Mwaka 2005 na kuweka msingi imara wa nchi katika kutekeleza Mkakati wa Maendeleo wa Mwaka  2025 (Tanzania Development Vision 2025) ambao  unalenga  kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye  uchumi wa kati ifikapo Mwaka 2025.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo tarehe 3 Aprili,

Mke Wa Mtu Afumaniwa Akingonoka Na Mume Wa Mtu

$
0
0
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mtu yeye alijikuta akiiserebukia kwa fumanizi gesti, tena akiwa na mume wa mtu!    Tukio hilo lilijiri Alhamisi Kuu maeneo Buza jijini Dar, mishale ya saa 7:00 usiku huku jamii ikiwa katika harakati za kununua hiki na kile kwa ajili ya Sikukuu ya Pasaka

Gwajima Avunja Ukimya.....Asema Atakufa na Lowassa na Dr. Slaa, Asisitiza huu sio Muda wa Kuchaguliana Marafiki......Awataka Waumini Kumsindikiza Polisi

$
0
0
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alihubiri akiwa katika kiti cha magurudumu na kusema hawezi kuwatupa Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kwa kuwa ni marafiki zake wa siku nyingi.    Pia askofu huyo, amewataka waumini wote wa kanisa hilo kufika katika Kituo Kikuu cha Polisi, Alhamisi ijayo siku ambayo

Ali Kiba ‘habari nyingine’ afunika Shoo ya Mwana Dar Live

$
0
0
Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live. Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love. Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi kuwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live. Ali Kiba akizidi kuitawala steji la kupanda na kushuka la Dar Live.   Kwa picha na habari zaidi ya shoo hiyo ingia  >

Polisi Ajiua Kwa Kujipiga Risasi.

$
0
0
Askari wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, H 3416 PC Charles, amejiua kwa kujipiga risasi. Baadhi ya wananchi wanaoishi jirani na kituo hicho cha polisi, Paulo Lazaro na Furahisha Felix, walisema tukio hilo lilitokea Aprili 4, mwaka huu, saa 1:00 usiku kituoni hapo. “Suala hili limetushangaza, kwani sisi tulikuwa nyumbani. Ghafla tulisikia mlio wa bunduki katika kituo

Kauli ya Shibuda kuhusu kuhamia chama Kipya Cha ACT-Tanzania

$
0
0
Mbunge wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda amekataa kuhusishwa na Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania), akisema hana mpango wa kujiunga nacho. Shibuda ambaye ameshatangaza kutogombea ubunge kupitia CHAsdemA katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, amesema “Pamoja na kusema sitagombea kupitia CHADEMA lakini nisilishwe maneno…siendi kwenye chama hicho cha ACT.”

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne Tarehe 7 April 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumanne  Tarehe  7  April  2015

Lowassa: Nafurahishwa na hali ya amani na usalama Zanzibar.

$
0
0
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa amesema anafurahishwa na hali ya amani na usalama iliyopo Zanzibar. Lowassa ambaye yupo visiwani Zanzibar kwa mapumziko ya sikukuu ya Pasaka, alitoa kauli hiyo mara baada ya kumalizika misa ya Pasaka katika Kanisa la Kikirsto la Kilutheri (KKKT) Ushirika wa Zanzibar. Alisema viongozi wa Zanzibar wanapaswa kupongezwa kutokana na juhudi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images