Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 3 March 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 3 March 2015
↧
↧
Mchungaji Gwajima Ashindwa Kuhojiwa Polisi Kutokana Na Afya Yake Kutoimarika.......Atakiwa Kuripoti Tena Alhamisi Ya Wiki Ijayo.
Mahojiano baina ya Jeshi la Polisi na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima yaliyokuwa yanatarajiwa kuendelea jana, ikiwa ni siku mbili baada ya kuachiwa kwa dhamana na jeshi hilo, jana yalikwama kuendelea kutokana na kile kilichoelezwa kutoimarika kwa afya ya askofu huyo, na sasa yatafanyika Alhamisi ijayo.
Gwajima alidaiwa kuzimia wakati akihojiwa na makachero wa
↧
Majaliwa Ya Sheikh Ponda Ni Mwezi Wa Saba......Hakimu Anayesikiliza Kesi Yake Kaanza Likizo Ya Uzazi ya Miezi Mitatu.
Majaliwa ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Nchini , Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo ipo kwenye hatua ya utetezi itapatikana miezi mitatu ijayo.
Hiyo inatokana na hakimu anayesikiliza kesi hiyo Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo kuanza rasmi likizo ya uzazi ya miezi mitatu na hivyo Hakimu Mfawidhi wa wilaya ya Morogoro Maua Hamduni kuiahirisha
↧
Wazee Wamzawadia Lowassa Ng’ombe Kumuunga Mkono Katika Harakati Zake za Kugombea Urais
Baraza la wazee Wilaya ya Nyamagana na Ilemela jijini Mwanza, limempatia
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ng’ombe wawili ikiwa ni sehemu ya
kumuunga mkono katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha
Mapinduzi(CCM), muda ukifika.
Akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika mwishoni mwa wiki
iliyopita jijini hapa, wakati wa kupokea mrejesho wa Umoja wa Shirika la
↧
Mwalimu Wa Madrasa Anaswa na Watoto 11 Akiwafundisha Dini Ya Kiislam......Kisheria Watoto Hao Walipaswa Kuwa Shuleni
Mwalimu wa Madrasa, Alhaji Maulana Shiraz (71) wa Jumuiya za Wi’yatu LiQadria iliyoko kijiji cha Chikundi wilayani Masasi mkoa wa Mtwara, anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Masasi kwa tuhuma za kukutwa na watoto wadogo wapatao 11, wa kike na wa kiume, kinyume na taratibu na sheria za nchi.
Pia, amekutwa na fomu za usajili zinazoonesha taarifa muhimu za mwanafunzi hao, zikiwemo
↧
↧
Kardinali Pengo Kuongoza Misa Ya Ijumaa Kuu
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, anatarajiwa kuongoza misa ya Ijumaa Kuu, itakayofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jimboni humo.
Wakristo wote duniani hufanya misa hiyo kila mwaka, kukumbuka mateso na kufa kwa Yesu Kristo.
Ratiba iliyotolewa Dar es Salaam jana na Katibu wa Jimbo, Dennis Wigirwa ilionesha kuwa Pengo
↧
Nape Amtaka Zitto Ajenge Upinzani wa Kweli.....Asema Akitaka Heshima Aachane na Siasa za CHADEMA Zenye Mlengo wa Kuruga Amani
Siku chache baada ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kutangaza kujiunga na chama cha ACT-Tanzania, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amemtaka kujenga upinzani wa kweli kwa ajili ya kujenga nchi na si kubomoa.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mikoa ya Dodoma
↧
Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu Jijini Mwanza Wamtaka Lowassa Agombee Urais......Wasema Hawapo Tayari Kuzibwa Midomo, Wapo Tayari Kufa Ili Lowassa Awe Lowassa Awe Rais
Shinikizo la kumshawishi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu Oktoba, mwaka huu, limeendelea na safari hii wanafunzi wa vyuo vikuu vitatu vya jijini Mwanza, wametoa tamko la kumtaka kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.
Wakizungumza na waandishi wa habari jana jijini hapa, viongozi wa vyuo vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT),
↧
Athari 12 Za Sheria Mpya Ya Masuala ya Mitandao ( Tanzania Cybercrimes Act, 2015 ) Iliyopitishwa Bungeni......Athari Hizi Zimechambuliwa Na Mbunge David Kafulila
Sheria hii ni muhimu duniani kote na ndio maana hata Tanzania ilikuwa
inangojea kupata sheria ya kuongoza masuala ya mitandao yaani Cyber Law
kutokana na uhalifu wa aina mbalimbali wa masuala ya mitandao.
Sifa kuu ya sheria ya kuongoza masuala ya mitandao ni kuweka bayana
makosa ya mitandaoni na pia kuyatolea adhabu. Sheria hii inayopitishwa
kwa dharura madhara yake ni:
Moja,
↧
↧
Kilaini: Acheni Kujikweza Na Kutowathamini Wenzenu Pindi Mnapopata Vyeo
Waumini wa dini ya Kikristo mkoani Kagera, wametakiwa kuacha tabia ya
kujikweza na kutowathamini wenzao, wanapopata vyeo mbalimbali.
Ushauri huo ulitolewa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba,
Methodius Kilaini wakati wa mahubiri ya misa takatifu ya Ijumaa Kuu,
iliyoadhimishwa katika Kanisa Kuu la Jimbo hilo mjini Bukoba.
Askofu Kilaini alisema wapo baadhi ya watu ambao
↧
Mashabiki 7 wa Simba wafa ajalini Morogoro
Mashabiki
saba (7) wa timu ya soka ya simba ya jijini dar es salaam wamefariki
dunia na wengine 13 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria
aina ya costa kwenda mkoani shinyanga kushuhudia mechi baina ya timu
hiyo na wakata miwa wa Kagera Sugar, kuacha njia na kupinduka katika
eneo la kwa Makunganya, barabara kuu ya Morogoro - Dodoma.
Mashuhuda wa ajali hiyo waliokutwa
↧
Madereva wanane wafutiwa leseni
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchikavu na Majini (SUMATRA)
imewafutia leseni madereva wanane, waliosababisha ajali kwa uzembe na
hawataruhusiwa kuendesha mabasi ya abiria.
Madereva hao, ambao majina na picha zao zinatolewa katika vyombo vya
habari ni wale waliosababisha ajali na kuua watu mwezi uliopita na wao
kusalimika kifo.
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka hiyo, David
↧
Watanzania walioathirika mauaji ya Kenya watafutwa......Juzi Al Shabaab Walishambulia Kenya Na Kuua Watu 147
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe,
amesema Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, unafuatilia kama kuna
wanafunzi wa Tanzania waliojeruhiwa au kuuawa katika shambulio la
kigaidi, lililoua wanafunzi 147 wa Chuo Kikuu nchini humo.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Membe alisema
ubalozi huo unatarajiwa kumpa taarifa mapema iwezekanavyo na
↧
↧
Nyaraka za umiliki wa Zanzibar zaibwa
Nyaraka za kale za mikataba ya kimataifa ya Zanzibar na Ujerumani,
inayohusu umiliki wa Zanzibar katika eneo la mwambao wa Pwani ya Afrika
ya Mashariki kuanzia Mombasa hadi Kilwa, zimeibwa katika Nyumba ya
Nyaraka Kilimani.
Nyaraka hizo zinadaiwa kuibwa na ofisa mmoja wa Ubalozi wa Oman kwa
utashi wake na si kwa amri ya Serikali ya Oman, kama ilivyodhaniwa na
baadhi ya watu.
↧
Charles Hillary wa BBC kurejea Tanzania na kujiunga na Azam TV
Ngome ya kituo cha Azam TV inaendelea kuimarishwa, baada ya
kuzinduliwa kwa studio kubwa na za kisasa za kituo hicho zilizogharimu
zaidi shilingi bilioni 56, inadaiwa kuwa kampuni ya Azam Media
itamrejesha nyumbani mtangazaji mkongwe wa BBC, Charles Hillary kwaajili
ya kuja kujiunga na Azam TV.
Mchambuzi maarufu wa soka Edo Kumwembe ambaye pia hufanya uchambuzi
kwenye kituo hicho,
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 4 April 2014
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 4 April 2014
↧
Tahadhari ya kiintelijensia kuhusu uwezekano wa shambulio la kigaidi nchini Tanzania
Juzi, magaidi wa Al-Shabaab walifanya shambulio
kubwa la ugaidi katika mji wa Garisa, uliopo mpakani mwa Kenya na
Somalia.Shambulio hilo limepelekea vifo vya watu takriban 150 huku
taarifa mbalimbali zikionyesha uwezekano wa kuwepo idadi kubwa zaidi ya
waliouawa.
Awali, nilikuwa upande wa watetezi wa serikali ya Kenya na vyombo vya
usalama vya nchi hiyo katika lawama kwamba
↧
↧
Rais Kikwete Aombwa Kutoupitisha Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni, 2015 ....Ombi Hili Limetolewa Na Chama cha Bloggers Tanzania (TBN)
Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.
Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa
↧
Hakimu kesi ya mauaji ya Dk. Mvungi ajitoa
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Waliarwande Lema,
amejitoa kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa mjumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi, inayowakabili
washtakiwa 11.
Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya washtakiwa hao 11 kumuomba Hakimu
Lema ajitoe kuisikiliza kesi yao ili iweze kupangwa kwa hakimu mwingine
ambaye wao wanaona
↧
Zitto Kabwe Aanika Mali Zake Hadharani
Ukwasi wa Kiongozi Mkuu wa Chama Cha Alliance for Change and
Transparency(ACT Wazalendo), Zitto Kabwe umeongezeka kutoka umiliki wa
shamba moja na Sh milioni 30 alizokuwa amezihifadhi katika akaunti za
benki mbili tofauti hapa nchini, na sasa anamiliki mali na fedha
zinazofikia Sh milioni 690.
Kwa mujibu wa taarifa hizo mpya alizoziweka hadharani wiki hii katika
fomu maalum ya
↧
More Pages to Explore .....