Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

WANAUME WA KENYA WAZIDI KUNYANYASWA.....MWAMAUME MWINGINE APIGWA VIBAYA NA MKEWE

$
0
0
Ni ngumu kumuona mwanaume akitokwa machozi kama hivi…. hii imetokana na mke wake kumpiga makofi hadharani kwenye mji wa Meru nchini Kenya ambapo Mwanamke huyo alikua anadai jamaa kamkana, japo anasisitiza kwamba ni mume wake na ndio baba wa watoto mapacha akiwemo mmoja alienae mgongoni, Mwanaume alikataa kabisa na kusema hata watoto sio wake. Taarifa ambayo imerushwa na KTN Kenya, ni

MOTO WAUA WATU WANNE WA FAMILIA MOJA JIJINI MWANZA ......BAADA YA KULA DAKU WALISAHAU KUZIMA JIKO

$
0
0
WATU wanne wa familia moja, wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi, kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia  jana.  Ajali hiyo ilitokea eneo la Lumala Mashariki wilayani Ilemela na ilitokana na jiko la mafuta, ambalo halikuzimwa baada ya wanafamilia hao kula daku usiku; matokeo yake, lililipuka alfajiri. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza,

TANZANIA YAMJIBU RAIS KAGAME....YADAI IPO TAYARI KWA LOLOTE NA AKITHUBUTU ITAMCHAPA KAMA MTOTO

$
0
0
SERIKALI ya Tanzania imeipa onyo kali nchi ya Rwanda ikiitaka isijaribu kuota ndoto za kuishambulia kijeshi, vinginevyo itajibu mapigo kwa nguvu zote na kuhakikisha kuwa imeichakaza. Kauli hiyo ya kwanza nzito imetolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Kimataifa kufuatia taarifa ya matamshi makali yanayodaiwa kutolewa na Rais Paul Kagame wa Rwanda, dhidi ya Rais Jakaya

SERIKALI YATANGAZA VIWANGO VIPYA VYA CHINI VYA MISHAHARA KISEKTA

$
0
0
Serikali imetangaza viwango vipya vya chini vya mishahara kisekta ambavyo vinatofautiana kati ya sekta moja na nyingine ambavyo ni kuanzia Sh40,000 hadi Sh400,000 kwa mwezi kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema, watakaolipwa kima kidogo zaidi cha Sh40,000 ni wafanyakazi wa

"KILA MTANZANIA NI LAZIMA ALIPIE SH. 1000 KWA AJILI YA KADI YA SIMU YAKE"....WAZIRI WA FEDHA AMESISITIZA TENA

$
0
0
 SERIKALI imesisitiza kuwa itatoza Sh 1,000 kwa kila kadi ya simu inayotumika lakini pia inaangalia utaratibu wa kufanya makato hayo kwa njia ambayo haitamuumiza mtumiaji wa simu. Akizungumza jana jijini Dar es salaam, Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa alisema kuwa kupitia tozo hizo wanatarajia kukusanya Sh bilioni 160 kwa mwaka. “Kupitia wawakilishi wenu na sisi serikali

VIDEO YA WEMA SEPETU AKIPIGWA MATE YAVUJA.....

$
0
0
  Video inayomuonesha staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akidendeka na mwanaume imevuja mtandaoni... Haikuweza kufahamika mara moja lengo la Wema na mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Aidany ‘kujishoot’ wakifanya vitendo hivyo ila wanaonekana wakiwa katika mazingira ya ki-Mr & Mrs. Aidha, katika video hiyo, Wema anaonekana kutumia nguvu kubwa kumshawishi Aidany amsogezee mdomo

"NAOLEWA KWA AJILI YA STAREHE ZA MAPENZI NA SI KWA AJILI YA KUZAA"...NATASHA WA BONGO MOVIE

$
0
0
MWIGIZAJI mkongwe wa maigizo na filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ambaye pia ni mtangazaji wa Radio Times FM, anayetarajia kufunga ndoa kesho, amefunguka kuwa anaoelewa kwa ajili ya kustarehe na siyo kwenda kuzaa kama wengine wanavyofanya. Akizungumza na mwandishi wetu, Natasha alisema kuwa katika maisha yake hakuna kitu anachokichukia kama kubeba mimba na umri alionao ndiyo kabisa

MASHABIKI WAMVAA PREZZO BAADA YA KUMPONDA MSANII DIAMOND WA TANZANIA

$
0
0
Msanni Prezzo wa Kenya  atakuwa amepata sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya kumdiss Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10. Sample ya majibu hayo inaweza kuonekana kupitia comments zote za fans kwenye habari iliyowekwa na mtandao wa ghafla wa nchini Kenya, ambapo asilimia 99 wameonesha kutokubaliana na alichokifanya.

IRENE UWOYA ALIA NA ULIMBUKENI WA PENZI LA MSANII DIAMOND.....

$
0
0
 Kufuatia kuripotiwa kwa habari   iliyopewa kichwa "DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!" , mwanadada  Irene Uwoya  ameamua  kuvunja  ukimya  na  kueleza  dukuduku lake la moyoni.... Habari  hiyo  ililipotiwa  jana  na  magazeti ya udaku  ikisimulia  jinsi  Diamond  na  Uwoya  walivyonasana  na  hatimaye  kuvunja  amri  ya  sita.... Katika  habari  hiyo, msemaji  ni  Diamond  na  wapambe

"RED BRIGADE YA CHADEMA NI KUNDI LA KIGAIDI"....MWIGULU NCHEMBA

$
0
0
Watanzania wenzangu, Ni dhahiri kumekuwa na mijadala kadha wa kadha kuhusu vyama vya siasa kuwa na vijana wao wa kuwa linda.  Nilionesha tofauti baina ya red brigade na greenguard. Wanaojitetea wakakimbilia Dictionary bila kutumia muda kufuatilia historia na chimbuko la kikundi hicho ambacho jina , matendo na malengo yake yako sawasawa na kule kilikoanzia. Lakini mjadala mkubwa ni

MADHARA YA FANGASI SEHEMU ZA SIRI....

$
0
0
Katika makala zetu ya maradhi ya ngozi tumeangalia maradhi ya ngozi yanayosababishwa na fangasi. Leo tuangalie fangasi wanaoshambulia sehemu za siri, yaani Tinea cruris.  Fangasi wa maungo ya siri (Tinea cruris) Aina hii ya fangasi ndiyo inayofahamika zaidi na  Watanzania wengi zaidi ya aina nyinginezo. Aina hii pia

JESHI LA POLISI LATEUA ASKARI WA KUMFUATA AGNESS MASOGANGE ALIYENASWA NA MADAWA YA KULEVYA AFRIKA KUSINI

$
0
0
Jeshi la Polisi litapeleka askari wake Afrika Kusini kuwahoji washiriki wa video za wasanii wa muziki wa Bongo fleva, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mwenzake Melisa Edward waliokamatwa nchini humo na dawa za kulevya. Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa aliiambia  Mwananchi  kwa simu jana kuwa watawapeleka polisi kuwahoji na wanaamini

"WAPINZANI BADO NI WACHANGA SANA KUWARUHUSU WAINGIE IKULU"... MKAPA

$
0
0
RAIS mstaafu, Benjamin William Mkapa, ameonyesha wazi kutoridhishwa na mwenendo wa matukio ya uvunjifu wa amani hivi sasa.  Mkapa, mmoja wa viongozi ambao wanajiamini katika kauli zao, amewataka Watanzania kutochoka kusali na kuiombea nchi ili amani iendelee kutawala. Alisema jukumu hilo linawahusisha watu, wakiwamo viongozi wa dini ambao wana dhamana kubwa kwa waumini wao.Mkapa alitoa

BABU ANAYETAKA KUMFUFUA MWALIMU NYERERE AGEUKA GUMZO

$
0
0
Mzee (pichani) aliyeibuka hivi karibuni akidai kuwa ana uwezo wa kumfufua Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere amezua gumzo.  Babu huyo aliibuka katika studio za Kyera FM huko mkoani Mbeya akihitaji msaada wa kumfikisha Butihama alipozikwa Mwalimu Nyerere mwaka 1999 ili amfufue.  Mzee huyo alikuwa na ufunguo mkononi ambao anadai ndiyo utakaotumika kumfufua Nyerere. Anaeleza kuwa

"RED BRIGED NI LAZIMA IANZISHWE...MBONA CCM NA CUF WANA KUNDI LAO?"...CHADEMA

$
0
0
  SINGO BENSON Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitarudi nyuma katika mpango wa kutoa mafunzo ya ukakamavu kupitia kikundi chake cha red brigade. Chama hicho kimesema, tayari Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF), vyote vikiwa miongoni mwa `vyama vikubwa nchini’, vina vikundi vya aina hiyo.   Mkurugenzi wa Oganizasheni na Mafunzo Chadema, Singo

MPENZI WA NAY WA MITEGO AIPOTEZA MIMBA YAKE BAADA YA KUANGUKA

$
0
0
Rapper Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba wake aliyekuwa mjamzito kwa huzuni kubwa baada ya mchumba wake huyo kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku. “Jana usiku mke wangu alianguka, alifikia tumbo kwahiyo akawa anasikia kizunguzungu nilipompeleka hospitali daktari akasema mtoto amekufa,” Nay . Awali, Nay wa Mitego ameweka picha ya mchumba

CHADEMA YABEBA KATA ZOTE NNE ZA ARUSHA

$
0
0
Uchaguzi uliofanyika jana  Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani wa Kata Nne --Themi, Kaloleni, Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha umemalizika.Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza rasmi washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA imepata ushindi kwa kunyakua Kata zote Nne kama ifuatavyo:KATA YA THEMI: CHADEMA 678; CCM 326; CUF 313KATA YA KIMANDOLU: CHADEMA 2,665; 

BINTI KIZIWI ATUPWA JELA MIAKA MITANO BAADA YA KUNASWA NA MADAWA YA KULEVYA

$
0
0
MTANDAO wa wauza madawa ya kulevya unazidi kupukutika Bongo kufuatia madai ya kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kujishughulisha na ubebaji ‘punda’ wa biashara hiyo haramu. Hivi karibuni, Video Queen wa Wimbo wa Masogange, Agnes Gerald ‘Masogange’ amedaiwa kunaswa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ akiwa na kilo mia moja na hamsini za unga unaoaminika ni sehemu ya madawa ya kulevya. Ameshapanda

JOHN TENDWA AZUNGUMZIA KWA VYAMA VYA SIASA

$
0
0
OFISI  ya Msajili  wa  Vyama Vya Siasa  nchini imevitaka  vyama vya siasa kutii agizo la kutoanzisha kambi za mafunzo ya kulinda amani maarufu kwa jina la mgambo , huku ikisisitiza kwamba itachukua hatua za kisheria  kwa chama chochote kitakachoiuka , ikiwemo kukifuta.Aidha ofisi hiyo imesema kuwa  Katiba ya nchi imempa jukumu  kila mwananchi kulinda amani na usalama wa nchi, pia

TAMKO LA RAIS KIKWETE KUHUSU VIFO VYA WANAJESHI 7 SUDANI

$
0
0
Tamko la Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuhusu tukio la DarfurRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kuhuzunishwa sana na tukio la kushambuliwa na kuuawa kwa vijana saba hodari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania waliokuwa wanalinda amani katika eneo la Darfur, Sudan.Kwa hakika, Rais amesikitishwa sana na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images