Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

BINTI ABAKWA NA KUCHOMEKWA MIWA SEHEMU ZA SIRI

$
0
0
Mdada mwenye miaka 9  mkazi wa kijiji kimoja nchini brazil,mapema wikiendi  hii amebakwa karibu na shamba la miwa na watu wanaoaminika kuwa ni watumiaji wa madawa ya kulevya...  Baada  ya  kumbaka, vijana  hao  walimchoma  na  miwa  katika  sehemu  zake  za  siri  na  kumsababishia  maumivu  makali  yaliyomfanya  apoteze  maisha... <!-- adsense -->

ODAMA AWAJIBU WANAOMTUHUMU KUZIFANYIA " PHOTOSHOP " PICHA ZAKE NA KUDANGANYA ALIKUWA ULAYA

$
0
0
Baada ya kuzagaa kwa habari zikimtumu mwanadada wa filamu Tanzania Jennifer Kyaka aka Odama kwamba huzifanyia makeke ya photoshop picha zake na kuwadanganya wananchi kuwa amezipigia Ulaya, ameongea na na  mwandishi wetu  kukanusha huku akionesha picha halisi zinazomuonesha akiwa mbele.   Baada ya tuhuma hizo kumkabili Odama, Mwandishi wetu alimtafuta mwanadada huyo wa filamu na ndipo

MBOWE ATIWA MBARONI NA KUHOJIWA KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI

$
0
0
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kutoa kauli za uchochezi dhidi ya jeshi hilo, vyombo vya dola na serikali kwa ujumla. Taarifa ya jeshi hilo iliyotolewa na Msemaji wake, Mrakibu Mwandamizi, Advera Senso, imesema kuwa Mbowe amekuwa akitoa kauli ambazo zimekuwa na mlengo wa uchochezi na

WANAJESHI WENGINE WATATU WA TANZANIA WAFARIKI DUNIA HUKO SUDANI, MAPIGANO MAKALI YAIBUKA HUKO KONGO KATI YA SERIKALI NA WAASI WA M23

$
0
0
WINGU zito limetanda kwa askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), katika nchi za Sudani Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).    Wakati Watanzania wakiendelea kuomboleza vifo vya wanajeshi saba wa jeshi hilo waliopoteza maisha katika Jimbo la Darfur, Sudani kwa kushambuliwa na waasi, nchini DRC yamezuka mapigano makali baina ya waasi na majeshi ya Serikali.    

DALADALA YANUSURIKA KUINGIA BUCHANI MWENGE

$
0
0
Daladala lenye namba za usajili T 741 AEG baada ya kuhama njia na kuparamia mtaro uliopo jirani na bucha eneo la Mwenge. Daladala lenye namba za usajili T 741 AEG linalofanya safari zake kati ya Temeke na Mwenge asubuhi hii nusura liingie katika bucha iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar katika barabara iendayo Afrika Sana.  Daladala hilo lilisaidiwa na mtaro uliopo

HATIMAYE LUDOVICK JOSEPH NAYE AACHIWA KWA DHAMANA

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia kwa dhamana Ludovick Joseph anayeshitakiwa pamoja na Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema Wilfred Lwakatare, baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miezi minne.Ludovick aliachiwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Aloyce Katemana baada ya kutimiza masharti ya dhamana yaliyotolewa Juni 10 mwaka huu.Washitakiwa hao waliofikishwa mahakamani kwa mara ya

DRC NI UWANJA WA VITA KATI YA TANZANIA NA RWANDA ( PROX WAR)

$
0
0
PROX  WAR  au Proxy Warfare ni vita inayopiganwa kwa kupitia sehemu nyingine. Katika vita 'ya kawaida' mapigano huwa kati ya nchi na nchi.Kwa mfano, Vita ya Kagera ilkuwa kati ya Tanzania na Uganda, na mapambano yalitokea katika nch zote mbili. Katika proxy war hali ni tofauti. Nchi A inaweza kupigana vita na nchi B katika nchi C.Yaani kwa ufasaha zaidi, kwa mfano, kuna mapambano

UKATILI: VIDEO YA MATESO YA KIJANA MWIZI AKISULUBIWA NA WANAKIJIJI BAADA YA KUVUNJA DIRISHA LA NYUMBA ILI AIBE

$
0
0
<!-- adsense --> Huyu  ni  mwizi  aliyenaswa  na  wanakijiji    nchini  Uganda  akijaribu    kuvunja  dirisha  la  nyumba  ili  aibe.... Wanakijiji  walipomnasa  walianza  kwa  kumpa  kichapo  kikali  kabla  ya  kumfunga  miguu  na  kumburuza  barabarani  huku  wengine  wakiendelea  kumshushia  kichapo VIDEO  YA  TUKIO:

AUNT EZEKIEL AMTOSA MUMEWE

$
0
0
Wengi  walitegemea  kuwa  Aunt  Ezekiel ataungana  na  mumewe Sunday  katika  kipindi  hiki  cha  mwezi  mtukufu wa Ramadhani  lakini  hali  imekuwa  ni  tofauti.... Aunt  anayetumia  jina  la  Rahma  baada  ya  kubadili  dini  ili  aolewe  na  mwanaume  huyo,   amemtosa  mkaka  huyo  na  kuendelea  kula  bata  nchini  huku  akidai  kuwa  mumewe  hana  mengi. "Sina  mpango  wowote  wa 

VIDEO: ILI UWE MWALIMU NI LAZIMA UWE "BAUNSA" KIASI HIKI??

$
0
0
Mwalimu  akitumia  nguvu  ya  ziada  kuwakabili  wanafunzi  waliokuwa  wamechelewa  kuingia darasani... Haijaweza  kufahamika  mara  moja  kuhusu  mahali  ilipo  shule  hii

PICHA: WANAJESHI WA TANZANIA WALIO UAWA DARFUL WAAGWA

$
0
0
 Capt. John Kivunge, a Tanzanian Staff Officer with JOC, reads a program of the brief ceremony. Prayers from a chaplain.Prayers from an Imam for the fallen peacekeepers. Military salute as the 'Last Post'  rings out by Nigbatt in honour of the fallen heroes. Start of the last journey home. <!-- adsense -->

RAIS OMARI AL BASHIR WA SUDANI ATOROKA NIGERIA BAADA MBINU ZA KUMKAMATA KUVUJA

$
0
0
Rais  Omari Al Bashir  wa  Sudan  jana  alilazimika  kutoroka  nchini    Nigeria  baada  ya  mikakati  ya  kumkamata  kuvuja.. Rais Bashir aliyekuwa  anahudhuria mkutano wa viongozi wa serikali za nchi za Muungano wa Afrika AU, kuhusu afya mjini Abuja amelezimika  kuukatisha  mkutano  huo na kutoroka  nchini  humo  jana  Jumatatu  kwa  hofu  ya  kukamatwa Rais  huyo 

WITO WA KUPINGA KODI YA LAINI YA SIMU KILA MWEZI KUFUATIA MABADILIKO YA SHERIA YA KODI 2013

$
0
0
<!-- adsense -->  Sisi wananchi hatujashirikishwa kupitia mjadala wa Bunge kuhusu kodi hii kwani Waziri wa fedha hakusoma hiki kipengele wakati wa hotuba yake na tulikosa taarifa mpaka baada ya kupitishwa kwa sheria ya kodi hii. Kodi hii inamkandamiza mtanzania wa hali ya kawaida na wa hali ya chini ambao ni 67% ya wananchi wanaoishi chini ya kipato cha dola 1.25 (shs 2,000) kwa siku

JAJI MSTAAFU WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA , BUXTON CHIPETA AFARIKI DUNIA

$
0
0
Jaji Buxton Chipeta. Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu Tanzania, Buxton Chipeta amefariki dunia muda mfupi uliopita. Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, Jaji Chipeta alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kisukari ambapo ilifikia wakati akalazimika kukatwa vidole kadhaa vya miguuni. Enzi za uhai wake, Jaji Chipeta aliweza kujijengea heshima

MWEZI WA RAMADHANI WAMFANYA WEMA ABADILIKE TENA

$
0
0
KUFUATIA Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, staa wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ au maarufu kama Madam amebadilika na kuondoa vitu vyote visivyo vya asili mwilini mwake.  Wema alitupia picha yake kwenye mtandao wa kijamii akionekana amekata nywele zote huku akiwa ameondoa kope za bandia na kutoa kucha alizobandika kuashiria kuuheshimu mwezi huu huku akibaki na kila kitu

"NIMECHOSHWA NA WANAUME MASHAROBARO WA TANZANIA....BORA WANIGERIA WANAJUA KUPENDA"...REHEMA FABIAN

$
0
0
Mlimbwende  aliyewahi kung’ara katika Shindano la Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian anadaiwa kuangukia kimapenzi kwa mtoto wa Balozi wa Nigeria nchini China aliyemtaja kwa jina moja la Allen anayetaka kufunga naye ndoa.  Akichati na mwandishi wetu, kwa njia ya mtandao, Rehema alikiri kuwa na mwanaume huyo ambaye ni mtu mzima na kweli ni mtoto wa balozi huyo.  “Nimechoshwa na

"SIWEZI KUMUOMBA MSAMAHA DIAMOND KWENYE TWITTER"...PREZZO

$
0
0
Rapcellency, Prezzo amesema hawezi kumuomba msamaha Diamond kwenye Twitter kwakuwa anaamini hakuna alichomkosea na ni jambo la kitoto. Akiongea jana  mchana kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen, kinachoendeshwa Mzazi Willy M. Tuva, Prezzo amesema Diamond ndiye aliyemchokoza baada ya wasanii hao kutumbuiza mwanzoni mwa mwezi huu kwenye tamasha la Matumaini.  Prezzo anadai

JAJI AJITOA KUENDESHA KESI YA MAUAJI YA PADRI MUSHI

$
0
0
Kesi ya mauaji ya Padri Evarist Mushi imechukua sura mpya, kufuatia Jaji wa Mahakama kuu ya Zanzibar, Mkusa Isaac Sepetu kujitoa baada ya upande wa utetezi kuwasilisha ombi la mshatikiwa Omar Mussa Makame kutokuwa na imani naye.Akisoma uamuzi baada ya kupokea maombi ya upande wa utetezi, ambayo yaliwasilishwa Julai 2 mwaka huu, Jaji Mkusa amesema kwamba uamuzi wa mshtakiwa ni haki yake

NAPE AKWEPA KUZUNGUMZIA MATOKEO UDIWANI ARUSHA..."WAULIZENI VIONGOZI WA CCM ARUSHA"

$
0
0
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi na Uenezi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema wanaopaswa kuulizwa jambo lolote linalohusu uchaguzi wa udiwani wa kata nne uliofanyika Jumapili wiki iliyopita, jijini Arusha, ni viongozi wa chama wa mkoa huo. Nape alisema

KWA NINI CCM IKIHOFIE CHADEMA??

$
0
0
TANGU kuanzishwa kwa vyama vingi nchini mwaka 1992, tayari chaguzi nne zinazoshirikisha vyama vingi zimefanyika.  Katika chaguzi hizo nne, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea kushika dola kwa ushindi wa kishindo katika kiti cha urais, wabunge na madiwani.  Ushindi huu wa kishindo umeendelea kupungua kutoka ngazi ya ubunge na udiwani, ambapo wapinzani wamekuwa wakinyakua viti vya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images