Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

AGNESS MASOGANGE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AFRIKA KUSINI

$
0
0
  HATIMAYE  wale Wanawake wawili walionaswa  na  madawa ya  kulevya  Afrika  kusini wametambuliwa kuwa  ni  mabinti  wa  KITANZANIA .. Mabinti  hao  wanadaiwa kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 6.8 nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania. Akizungumza na mwandishi wetu  jana, Kamanda wa Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Geofrey

CHANZO CHA KULEGEA KWA MISULI YA SEHEMU ZA SIRI ZA WANAWAKE ......( USHAURI NA TIBA )

$
0
0
Tatizo la kulegea kwa misuli ya sehemu za siri za mwanamke au kitaalamu Vaginal prolapsed  huwatokea zaidi wanawake wenye umri mkubwa ingawa pia linaweza kuwakumba hata wenye umri mdogo. Tunapozungumzia kulegea kwa misuli ya sehemu za siri hapa kuna tofauti kidogo na kutanuka kwa misuli hiyo. Tukizungumzia kulegea ina maana misuli ya ukeni inashindwa kubana na kuachia njia. Hapa misuli

WATOTO WAWILI WALIOKUWA WAMEPELEKWA "JANDONI" WAMEFARIKI WA AJALI YA MOTO HUKO LINDI

$
0
0
 Lindi- Watoto wawili wamekufa na mmoja wao kunusurika mauti, baada ya kuungua kwa moto uliosababishwa na kibatari kilichounguza nyasi za kijumba walichokuwemo.Kaimu Kamanda wa Mkoa wa Lindi, Renata Mzinga amesema ajali hiyo ilitokea mwishoni mwa wiki jana katika mtaa wa Mitwero, katika kata ya Rasbura ya Manispaa ya Lindi na kuwataja waliokufa kuwa ni Maliki Kasimu (7) na na

"JACK WOLPER ANATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LANGU....KAMA SANAA IMEMSHINDA BASI AKAJIUZE AU AKAUZE VIPODOZI"...BABY MADAHA

$
0
0
MWIGIZAJI wa kike na mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Baby Madaha Joseph amemshukia mwigizaji mwenzake wa kike Jack Wolper kwa kudai kuwa amekuwa akitumia vyombo vya habari kumsema na baadae kujifanya anamuomba msamaha huku hana dhamira ya kweli. Akiongea na FC , msanii huyo amesema kuwa  Jack  Wolper anatumia jina lake ili apande na kuwa Maarufu (nyota ). “Mimi ni mwanamke mpigaji

HUYO NDO "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA "AGNESS MASOGANGE

$
0
0
Picha  ya  Mrembo Mellis Edward  aliyedakwa  na  madawa  ya  kulevya  Afrika  kusini  akiwa  na  Agness Masogange Mellis Edward Inahisiwa kuwa  huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward”  ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya

CHADEMA YAJIPANGA KUIMARISHA KITENGO CHA ULINZI NA USALAMA " RED BRIGADE" ILI KUWAKABILI VIJANA WA CCM WATAKAOLETA FUJO

$
0
0
MUHTASARI Ili kukabiliana na vitendo vya fujo vinavyofanywa na vijana wa CCM dhidi ya wagombea, Wanachama na viongozi wa CHADEMA, Kamati Kuu imeagiza kwamba kitengo cha ulinzi cha Chama “Red Brigade” kiimarishwe zaidi kwa kuhakikisha kuwa vijana wote wa Red Brigade Nchi nzima wanapewa mafunzo maalum ya UKAKAMAVU yatakayoandaliwa katika Makambi maalum katika mikoa yote.  RIPOTI  KAMILI

"NASUBIRI WAKATI MWAFAKA WA KUMUONYESHA KIKWETE YA KWAMBA MIMI NI NANI".....HILI NI TISHIO LA KIHUNI LA RAISI KAGAME WA RAIS KIKWETE

$
0
0
Nikiwa  katika  upekuzi  wangu, nimeshtushwa sana na kauli za  KIHUNI  za Rais  Paul Kagame  dhidi ya  Rais wetu Kikwete na nchi yetu kwa ujumla.... Rais Kikwete ameepuka malumbano na Kagame kwa  kukaa  kimya , lakini inaelekea Kagame  anadhani ukimya wa Kikwete ni uoga kwake  au labda anatafsiri kuwa anadharauliwa..... Nadhani  huu  ni  wakati  mwafaka  kwetu  sisi  watanzania  kuungana 

ZITTO KABWE AWATAKA WANANCHI WAGOME KUILIPA KODI YA SIMU YA SH. 1000.....AMEDAI KUWA KODI HIYO ILIPITISHWA KINYEMELA

$
0
0
Sakata  la  kodi  ya  line  ya  simu  limeendelea  kuwakuna wanasiasa  wetu  ambao  wamekuwa  wakifunguka  kwa  nyakati  mbalimbali  kupitia mitandao  ya  kijamii.... Baada  ya  January  Makamba, Zitto  kabwe  naye  amefunguka  na  kudai  kuwa  kodi  hiyo  ni  batili  na  ilipitishwa  kinyemela  kwa  sababu  ilikuwa  imeshaondolewa.... Huu  ni  ujumbe  wake  aliouweka  katika  account  yake

"NITAENDELEA KUPAMBANA NA WABISHI WASIOTAKA KUHAMA ILI KUPISHA MIRADI YA UJENZI"...MAGUFULI

$
0
0
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameapa kupambana kwa kuwabomolea au kuwakomesha kwa njia nyingine, watu waliogoma kuhama kwa ajili ya kupisha miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa na wizara yake. Katika hilo, tayari amekwishatangaza uamuzi mzito wa kuruhusu kampuni ya ujenzi ya Jaspal Singh, kujenga barabara kwa kiwango cha lami kwa kuzizunguka nyumba za wakazi waliogoma

"VYOMBO VYA HABARI HUWA VINAHONGWA NA WAPINZANI ILI VIWAANDIKE VIZURI".....SPIKA WA BUNGE

$
0
0
Spika wa Bunge, Anne Makinda, ameibuka na kauli yenye utata mkubwa akivituhumu vyombo vya habari kwamba vinahongwa na wabunge wa kambi ya upinzani ili viandike habari zao vizuri. Bila kufafanua ni kwa jinsi gani wabunge hao wanatoa hongo hiyo mbali tu ya kusema wanatoa kitu kidogo ili waandikwe vizuri, pia alikana kuwakandamiza wabunge wa kambi hiyo na kuwabeba wale wa Chama Cha

WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO- 2013

$
0
0
<!-- adsense -->    Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai.  Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika.  Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa uongozi wa halmashauri husika kuhusu upungufu wa walimu

MAMA MZAZI WA PROFESA JAY AGONGWA NA GARI NA KUFARIKI DUNIA....

$
0
0
Picha kushoto ni Profesa J akiwa na mama yake mzazi Bi Rosemary Majanjara Haule enzi za uhai wake...   Mama  mzazi  wa  Msanii Profesa Jay  amefariki dunia  usiku  wa  kuamkia  leo  baada  ya  kugongwa  na  gari  maeneo  ya  mbezi  juu  jijini  Dar  alikokuwa  anaishi  na  mwanae. Habari  zinadai  kwamba, marehemu Bi. Rosemary Manjara  Haule  aligongwa na gari akiwa  anavuka barabara

MAMA AJIFUNGUA MTOTO ANAYEFANANA NA NYANI.....

$
0
0
<!-- adsense -->    Mwanamke  mmoja  amejikuta  akimwaga  machozi  baada  ya  kumpoteza  mwanaye  dakika  chache  baada  ya  kujifungua.... Tukio  hilo  lilitokea  siku  ya  jumatatu  katika  hospitali  ya Kargo nchini Nigeria...  Taarifa  zinadai  kuwa  mwanamke  huyo  ambaye  ni  mkazi  wa  kijiji  cha  SabonIcel  alijifungua  mtoto wa  ajabu  anayefanana  na  Nyani, hali  iliyomfanya 

RAIS KIKWETE AWASHANGAA CHADEMA KUTAKA KAMBI YA KUJILINDA...DR. SLAA NAYE AWATAKA POLISI WAYAVUNJE MAKAMBI YA CCM

$
0
0
Rais wa Tanzania amewashangaa na kuwalaani CHADEMA kwa kutangaza kufundisha vijana namna ya kujilinda na kusema kuwa ni watu wa ajabu kama wamefikia huko. Mh. Rais kayasema hayo katika kuhitimisha kongamano la amani  huku bwana Cheyo  nae akisema  kuwa  hata kama  ni kutaka kuwa rais wa nchi CHADEMA wamefika kubaya.... Wakati  mh. Rais  akiwashangaa CHADEMA,Katibu Mkuu wa chama  hiyo,  Dr

VIJANA WAVUA NGUO NA KUCHEZA UCHI WAKIFURAHIA WIMBO WA MADEE " NANI KAMWAGA POMBE YANGU"

$
0
0
<!-- adsense -->   Katika  hali  ya  kushangaza, vijana  wanne  waliamua  kuvua  nguo  zote  na  kucheza  uchi  wakifurahia  wimbo  wa  "NANI  KAMWAGA  POMBE  YANGU" VIDEO  YAO: <<BOFYA  HAPA>> AU  IANGALIE  HAPO  CHINI

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA BAADA YA KUMTUPA MTOTO WAKE CHOONI

$
0
0
Mwanamke mmoja mkazi wa Manga A Jijini Mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kutupa mtoto wake chooni. Tukio hilo lilitokea Juni 14, Mwaka huu katika eneo hilo baada ya watoto waliokuwa wakicheza kugundua kuwepo kwa Mtoto katika choo cha shimo.   Mtuhumiwa baada ya kukamatwa amekiri kutenda kosa hilo na kwamba alifanya hivyo baada ya mzazi mwenzie

PREZZO AMPONDA DIAMOND....

$
0
0
Majigambo ya Diamond kwenye vyombo vya habari kabla ya Tamasha la Matumaini kufanyika kuhusu kumgalagaza Prezzo kwenye show hiyo hayajampendeza Rapcellency na sasa ameamua kujibu. Prezzo ambaye jina lake halisi ni Jackson Makini alianza kwa kuweka picha ya gazeti inayowaonesha akiwa na Diamond kwenye habari iliyohusu tamasha hilo na kuandika ‘Hahahaha #DomoSeriously???? Rapper huyo

PAJA LA WEMA SEPETU LAFANANISHWA NA NGOZI YA "KITI MOTO"

$
0
0
 Baada  ya  mtandao  huu kutupia  picha  ya  paja la wema  sepetu  na   kuelezea  jinsi  lilivyoharibiwa  na  MIKOROGO, wadau  mbali mbali  wamekuwa  wakitoa  maoni  yao  na  kudai  kuwa  Ngozi  ya  paja  hilo  sasa  haina  tofauti  na  ngozi  ya  kiti moto ( ngurume) Wema  Sepetu  ni  miongoni  mwa  wasanii  walioathiriwa  sana  na  Mikorogo.Matumizi  ya  madawa  ya  kujichubua  yamemfanya 

DIVA WA CLOUDS FM AJIPIGA TATOO YA KICHINA KIUNONI...

$
0
0
Katika  kile  kinachotafsriwa  kuwa  ni  harakati  za  kulimwagilia  maji  na  marashi  penzi  lake  kwa  prezzo, Diva  wa  clouds fm  sasa  ameamua  kujipiga TATOO YA  KICHINA  kiunoni  ili  kumchanganya  mwanakaka  wa  Kenya  anayegombaniwa  na  warembo  kibao... Diva amejikuta  katika  ugomvi  mkubwa  na  warembo  wa  Kenya  ambao  wanadai  kunyang'anywa   mpenzi  wao.Miongoni  mwa warembo

MENGI AELEZA UHUSIANO WA RUSHWA NA DAWA ZA KULEVYA.....

$
0
0
MMOJA wa wafanyabiashara maarufu nchini, Dk Reginald Mengi amesema kwamba huwezi kutofautisha watoa rushwa wakubwa na mlipuko wa dawa za kulevya, ambayo kwa sasa yanatikisa nchi. Dk mengi ameyasema hayo wakati akizungumza moja ya vikwazo vikubwa vya uwekezaji nchini katika mazungumzo ya sekta binafsi na umma kwenye uzinduzi wa taarifa inayozungumzia uwekezaji nchini kwa jinsi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images