Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

CCM Arusha Watoa ONYO Kali kwa Nape Nnauye Kuhusu Kauli Zake Kwa Lowassa.....Wasema kama Anamgombea Wake Anayempigia Debe Basi AMTANGAZE

$
0
0
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) MKoani Arusha, Robson Meitinyiki, amemtaka Katibu wa halmashauri Kuu (Nec) Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, kuchunga kauli zake dhidi ya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa. Hayo ameyasema leo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake juu ya kauli ya Nape dhidi ya Lowassa kuwa, amepoteza sifa ya kuwa mgombea wa uraisi

Pigo Jingine Kwa Chama Kipya Cha ACT-Tanzania: Baraza la Kilimo Lapinga ACT Kutumika Kama Jina la Chama

$
0
0
Baraza la Kilimo Tanzania (ACT) limekitaka chama cha siasa cha ACT – Tanzania kutotumia jina hilo kwa kuwa tayari baraza hilo limekwsha sajili jina la ACT kama kifupi cha jina la Baraza hilo. Akizungumza leo na  mwandishi wetu, Mwenyekiti wa Baraza hilo Dkt Sinare Yusuf Sinare amesema kuwa jina ACT linatambulika kama kifupi cha Agricultural Council of Tanzania na kwa mujibu wa taratibu za

Rwanda kushirikiana na Tanzania - Kagame

$
0
0
Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema serikali yake itashirikiana na Tanzania pamoja na nchi nyingine zinazounda ukanda wa kati wa maendeleo, ili kuhakikisha kuwa ujenzi wa reli ya kisasa inayounganisha nchi hizo unakamilika. Akizungumza katika siku ya mwisho ya mkutano wa kimataifa wa wakuu wa nchi hizo unaofanyika jijini Dar es Salaam, Rais Kagame amesema ujenzi wa reli hiyo una

Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Nchini Afutiwa Dhamana

$
0
0
Mahakama mkoani Dodoma imefuta dhamana ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Johnson Minja kutokana na kukiuka masharti ya dhamana aliyopewa ikiwemo ya kutowazuia wafanyabiashara kufunga maduka yao wakati kesi yake ikiendelea mahakamani Akitoa taarifa mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya mkoa wa Dodoma, Rebecca Mbilu, Mwendesha mashtaka wa serikali Rose Shio amesema

Afumaniwa Gesti na Mume wa Dada Yake.

$
0
0
Binti aliyetajwa kwa jina la Biena mkazi wa Kawe jijini Dar, hivi karibuni alipata aibu baada ya kufumaniwa ndani ya gesti (ipo maeneo hayohayo) akiwa na mume wa dada yake. Chanzo makini kilichokuwa eneo la tukio kilieleza kuwa, Biena na mume wa dada yake aitwaye Abasi wamekuwa na uhusiano kwa muda mrefu kabla ya juzikati kunaswa laivu wakiwa gesti.   “Beina anaishi na dada yake

Afya Mama Yake Diamond Bado si Nzuri

$
0
0
Afya ya mama mzazi wa msanii nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz, Sanura Kassim ‘Sandra’ bado si shwari juzikati hali yake ilibadilika ghafla na kuilazimu familia yake kumkimbiza katika Hospitali ya TMJ iliyoko Mikocheni jijini Dar ambako amepewa kitanda. Chanzo cha uhakika kimedai kuwa mama Diamond ambaye amekuwa akisumbuliwa na maradhi yenye kuashiria kupooza,

Nikifa mazishi yangu nataka yawe ya mwaliko maalum – Lady Jaydee

$
0
0
Lady Jaydee haogopi kufa na infact anataka mazishi yake yawe na mwaliko kama vile harusi zilivyo. Katika muendelezo wa post zake ‘controversial’ Lady Jaydee ameweka picha za majeneza mawili ya kifahari ambayo anapenda akifa azikwe. Hata hivyo ana masharti – mazishi yatakuwa ya mialiko maalum na hatopenda mwili wake ufunuliwe.   “I’ve changed my mind Sitaki tena lile la purple

Mshiriki wa Miss Tanzania Anaswa "Akichimba Dawa" Hadharani

$
0
0
Mrembo aliyewahi  kushiriki Kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2005/06, Maureen Gislary, hivi karibuni amenaswa usiku akijisaidia haja ndogo barabarani (kuchimba dawa) huku akiwa hana wasiwasi.    Ilikuwa mida ya saa 7 usiku maeneo ya Magomeni jijini Dar ambapo mrembo huyo alionekana kuzidiwa na kuamua kufanya hivyo huku baadhi ya watu wakimpiga chabo.   Hata hivyo, baada ya

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Tarehe 27 March 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  ya  Tarehe  27  March  2015

Kesi ya Mtikila Kupinga Mahakama ya Kadhi yapangiwa Jaji.

$
0
0
Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Machi 30, mwaka huu kusikiliza kesi iliyofunguliwa na Mchungaji Christopher Mtikila, akipinga kitendo cha Serikali kupeleka Muswada bungeni wa kutunga sheria ya kuanzishwa Mahakama ya Kadhi, kwamba uko kinyume na Katiba ya nchi. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Richard Mziray. Katika kesi

Urais CCM: Mtandao Waibuka na Mkakati Mpya Wa Kuwaunganisha Edward Lowassa na Benard Membe

$
0
0
Mkakati wa kutafuta jina la mgombea urais kupitia CCM unazidi kupanda moto baada ya kuwepo taarifa kwamba kundi la mtandao lililomuingiza Rais Jakaya Kikwete, madarakani limeanza mikakati ya kuwaunganisha vigogo wawili wa kundi hilo, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward  Lowassa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kama moja ya mikakati ya kusaka ushindi. Chanzo

Sakata la Askofu Gwajima Kumtukana Askofu Pengo, Polisi Wamtaka Ajisalimishe Kituo cha Polisi cha Kati Haraka Ili Sheria Ichukue Mkondo Wake

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtaka Askofu JOSEPHAT GWAJIMA wa Kanisa la Ufufuo na Uzima afike haraka katika kituo cha Polisi cha Kati ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa mahojiano kuhusu tuhuma za kashfa na matusi. "Tumepokea malalamiko ya kukashifiwa na kutukanwa hadharani Mwadhama Kaldinari Polycarp Pengo ambaye ni kiongozi wa Kanisa

Nape Ampongeza Lowassa Kwa Kutii Maagizo Ya Kuyazuia Makundi Yanayoenda Kumshawishii Agombee Urais...Vijana Wadai Kuwa Lowassa Akiondolewa, CCM Ijiandae Kuumia

$
0
0
Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kusitisha makundi yanayokwenda kumshawishi kugombea urais, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amempongeza kwa kutii agizo la chama hicho. Nape amesema hatua hiyo ya Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli ni nzuri kwa kuamua kusitisha makundi kwenda kumshawishi agombee urais, ambayo kwa siku chache mfululizo yalikwenda

Tumia Bidhaa za AFRICAN BEAUTY PRODUCTS Kupata Muonekano wa Kupendeza kwa Kuongeza Hips, Makalio, Mapaja, Kurefusha Nywele na Mengine

$
0
0
Je unataka Kuwa Mrembo na Muonekano wa Kupendeza kwa Kuongeza Hips, Makalio, Mapaja, Kurefusha Nywele, Kupunguza Unene na Kuondoa Tumbo? Basi African Beauty Products Wanakuletea Hii: Kabla ya Kutumia Dawa na Baada ya Kutumia Dawa zetu 1.Kuongeza Hips Makalio na Mapaja 100,000/ 2.Kunenepesha Miguu iwe chupa ya Bia 70,000/ 3.Kuwa Mnene Mwili Mzima 80,000/ 4.Kupunguza Tumbo na Nyama

Wabunge Dk Puja na Sebba Walioteuliwa na Rais Kikwete Waapishwa Rasmi Na Spika wa Bunge.

$
0
0
Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Dkt Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.  Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.

Treni Yagongwa Na Gari Eneo La Karume Jijini Dar es Salaam

$
0
0
Treni ambayo ilikuwa na kichwa kimoja ikielekea kuchukua mabehewa asubuhi ya leo imegongwa na gari kubwa la mizigo eneo la Karume jijini Dar na kusababisha foleni ndefu eneo hilo.   Tukio hilo limejiri asubuhi ya saa 12 alfajiri ambapo gari hilo lilikuwa likipita kwa kasi bila kufuata alama za barabarani zinazoonesha sehemu ya reli.   Akizungumza na mwandishi wetu, Ofisa Oparesheni

Dar es Salaam: Wafanyabiashara wa Kariakoo Waendelea Na Mgomo Kushinikiza Mahakama Imwachie Huru Mwenyekiti Wao

$
0
0
Wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam wamefunga maduka yao hii leo, kushinikiza mahakama kumuachia huru Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini Johnson Minja. Hapo jana Mahakama Mkoa wa Dodoma ilimfutia dhamana Minja kutokana na kukiuka masharti ya dhamana aliyopewa ikiwemo ya kutowazuia wafanyabiashara kufunga maduka yao wakati kesi yake inaposikiliwa mahakamani

Ikulu Yatoa Waraka Kwa Wagombea.....Kama wewe ni Mtumishi Wa Umma na Ulikuwa Na Ndoto Ya Kugombea Ubunge Au Udiwani, huu Waraka Unakuhusu!

$
0
0
Ikulu imetoa waraka mpya kwa watumishi wa umma wenye nia ya kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa, ikiwamo urais, ubunge na udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.   Kwa mujibu wa waraka huo, mtumishi wa umma anayetaka kuwania moja ya nafasi hizo za kisiasa, atalazimika kuacha kazi na kulipwa mafao yake, endapo jina lake litateuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kama mgombea.

Je, Rais Kikwete Amevunja Katiba Kuteua Wabunge Wawili Kwa Muda Huu Uliosalia?......Mwanasheria Mkuu wa Serikali Amelijibu Swali. Tazama Hii Video

$
0
0
Mwanasheria mkuu wa Serikali, Mh. George Masaju  amesema  leo  Bungeni  kuwa Katiba  haikuvunjwa  kwa  Rais  Kikwete  Kuteua  wabunge  Wawili, miezi  mitatu  kabla  ya  Bunge  la  Kumi  halijavunjwa. Masaju  aliyasema  hayo  wakati  akijibu mwongozo  ulioombwa  na   Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Bw. Felix Mkosamali. Akijibu  hoja  ya  kiinua  mgongo  kwa  wabunge  hawa 

Wafanyabiashara Jijini Mwanza Waendelea na Mgomo Kisa Mwenyekiti Wao Kunyimwa Dhamana

$
0
0
Baadhi ya maduka katika mitaa mbalimbali mkoani Mwanza yakiwa yamefungwa huku wananchi wakihangaika kutafuta huduma hiyo. Asilimia kubwa ya maduka yamefungwa. ...Hali ilikuwa hivi katika mitaa mbalimbali jijini Mwanza.   ******** Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao kwenye Mtaa wa Liberty jijini Mwanza, wamegoma kufanya biashara zao wakidai mwenyekiti wa chama cha wafanya biashara
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images