Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU, leo imemfikisha
katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Afisa Mtendaji Mkuu wa wakala wa
Usajili, Ufilisi na Udhamini-RITA, Bw. Philip Saliboko kwa tuhuma za
kupokea rushwa.
Kwa
mujibu wa mwendesha mashtaka waTAKUKURU Bw. Denis Lekayo, Saliboko
anatuhumiwa kupokea rushwa ya shilingi milioni arobaini, laki nne na
elfu ishirini na
Sakata la Escrow: Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA Afikishwa Mahakamani
↧
↧
Mchungaji Gwajima Ajisalimisha Polisi Kuhojiwa Juu ya Lugha Chafu Dhidi Ya Askofu Pengo.
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo, Josephat Gwajima amejisalimisha kituo cha polisi kati kuhojiwa juu ya kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Mchungaji Gwajima anatuhumiwa kumkashifu na kumtukana hadharani Kardinali Pengo.
Matusi hayo ni yale yaliyoonekana kupitia mitandao mbalimbali
↧
NEC Yaikana Kauli ya Mwenyekiti wake.......Yasisitiza Kuwa Kura ya Maoni Iko Palepale
TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imesisitiza kwamba tarehe ya kufanyika kwa kura ya maoni kuhusu Katiba Inayopendekezwa ipo pale pale na hakuna mabadiliko yoyote kama inavyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey alisema kwa mara kadhaa baadhi ya vyombo vya habari vimenukuliwa vikiandika habari kuwa
↧
Kumekucha: Kipenga Ndani ya CCM Kupulizwa Juni Mwaka Huu.......Kinana Asema Chama Kitasikiliza Sauti Ya Wengi Kumteua Mgombea
Filimbi kwa ajili ya kuanza kampeni za kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi za udiwani, ubunge na urais, itapulizwa rasmi Juni mwaka huu.
Katika hatua nyingine, chama hicho kimesema kitasikiliza sauti ya wengi katika kumteua mgombea wa urais, wabunge na madiwani katika Uchaguzi Mkuu ujao, ilimradi mgombea atakayepaziwa sauti na wengi awe na sifa stahili.
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 28 March 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 28 March 2015
↧
↧
Hukumu DNA Mtoto wa Nay April 8
Lile sakata la mtoto kuwa si wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’ kwa mujibu wa madai yaliyotolewa na mzazi mwenzake, Siwema
limeingia hatua nyingine baada ya ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
kusema majibu kamili ya kipimo cha vinasaba ‘DNA’ yatatolewa Aprili 8,
mwaka huu.
Akizungumza na Risasi Jumamosi juzi jijini Dar, Nay alisema kila kitu
kimekwenda sawa, hivyo
↧
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Yabaini Madudu Makubwa Serikalini.......Rais Kikwete Atoa Maagizo Makali
Rais Jakaya Kikwete amekabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka unaoishia Juni 2014 na kuagiza
vyombo vya dola kuwabaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na
matumizi mabaya ya fedha za umma, ili wachukuliwe hatua kali za
kisheria.
Pia, Rais Kikwete ameagiza kuchukuliwa kwa
hatua kali za kisheria kwa maofisa wote wa Serikali ambao
↧
‘Gaidi’ wa Amboni Tanga Atiwa Mbaroni Akiwa na Bunduki Yenye Risasi 29 na Mabomu Matatu
JESHI la Polisi mkoani Tanga, limedai kufanikiwa kumkamata mmoja wa
watuhumiwa aliyehusika kwenye tukio lenye sura ya kigaidi katika mapango
ya Amboni.
Zaidi Jeshi hilo limemuhusisha mtuhumiwa huyo na tukio la uporaji silaha
kwa askari waliokuwa doria eneo la barabara ya nne na tano Mtaa wa
Makoko jijini Tanga, Januari 26 mwaka huu.
Takribani mwezi mmoja uliopita, tukio hilo la
↧
UKAWA: Ikulu Hiyo 2015......Wakutana Zanzibar na Kukubaliana Kuweka Mgombea Mmoja Kila Jimbo
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umesema kila chama ndani ya
umoja huo kiko huru kutoa fomu na kuandaa wanachama wake
watakaoshindanishwa katika mchakato wa kuwapata wagombea katika Uchaguzi
Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Tamko hilo lilitolewa na
viongozi wakuu wa Ukawa baada ya kumalizika kwa kikao cha siku mbili
kilichofanyika Shangani, Zanzibar kujadili hali ya kisiasa na
↧
↧
Davina: Mume Wangu Ataniua Kwa Wivu
Staa wa kike anayetesa katika filamu za kibongo Halima Yahya 'Davina' amefunguka kuwa mumewe anamuonea sana wivu kiasi cha kumfanya ajihisi kama malkia katika ndoa yao.
Akiteta na Mpekuzi, Davina alisema: "Mume wangu ananionea sana wivu hasa siku hizi nilizojazia, lakini wivu wake unaongeza chachu ya mapenzi.
"Yaani nikichelewa kidogo tu
↧
Baada ya Kuzimia, Akizinduka Askofu Gwajima Atakiwa Kuripoti kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Kesho Kutwa Kutoa Maelezo
Wakati Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akijisalimisha kwa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda amemtaka alipoti ofisini kwake kesho kutwa kutoa maelezo kuhusiana na tuhuma za kumkashifu kiongozi mwenzake wa dini.
Makonda amemwandikia barua Askofu Gwajima akimtaka kufikia ofisini kwake kutoa ufafanuzi juu ya maneno makali dhidi ya kiongozi huyo
↧
Gwajima Azimia Akihojiwa Polisi.....Akimbizwa Hospitali ya Polisi Kurasini, Ahamishwa Usiku. Alipoteza Fahamu Muda Mfupi Baada ya Kuhojiwa Kuhusu Mali Anazozimiliki.
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia
na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi
Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Gwajima ambaye alijisalimisha kituoni hapo saa 8:22 jana mchana
akiitikia wito wa polisi uliomtaka kufika kutokana na tuhuma za kutoa
lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es
Salaam,
↧
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 29 March 2015
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 29 March 2015
↧
↧
Rais Kikwete Atoa Msimamo wake Kuhusu Mahakama ya Kadhi......Asema Muswada wa Sheria uliko Bungeni ni Kwa Ajili Kutambua Uamuzi Unaofanywa na Kadhi.
RAIS Jakaya Kikwete amefafanua msimamo wa Serikali katika mjadala unaoendelea wa Mahakama ya Kadhi, na kuweka wazi kuwa Serikali haina mpango wa kuianzisha, wala kuiendesha.
Mbali na hiyo, Rais Kikwete ambaye jana alizungumza na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini mkoani Dar es Salaam, pia alielezea kusikitishwa kwake na tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania, lililowaelekeza waumini wao
↧
Hali ya Gwajima Bado ni Tete......Bado yupo Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) TMJ. Dr. Slaa, Baregu Wamtembelea.
Wakati hali ya kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa tete kwa siku mbili mfululizo, Jeshi la Polisi na waumini wa Askofu huyo wanadaiwa kuvutana hospitali inayofaa kumpa matibabu.
Askofu Gwajima, alizimia ghafla juzi majira ya saa 2: 45 usiku akiwa kwenye chumba cha mahojiano katika Kituo cha Polisi Kati, baada ya kutuhumiwa kumkashifu na kumtukana kiongozi
↧
Abdul Bonge, Mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection Afariki Dunia
Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na
mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia
ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam.
Chanzo cha kifo cha Abdul Bonge bado hakijafahamika ila msiba upo Manzese Tip Top.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN
↧
Zitto Kabwe Achaguliwa Kuwa Mkuu wa Chama cha ACT-Tanzania
Kiongozi mpya wa chama cha ACT Tanzania, Zitto Kabwe akionyesha alama ya chama ambayo ni "Uwazi" baada ya kuchaguliwa.
Zitto akihutubia wajumbe.
Zitto akihutubia wajumbe wakati wa uchaguzi huo.
Wajumbe wakiserebuka wakati wa uchaguzi huo.
Wajumbe wakifurahi kwa kushikana mikono kuonyesha umoja.
Wajumbe wakipiga
↧
↧
Urais 2015: Lowassa Aongoza, Mwingulu Nchemba Ang'ara Kama Kijana Anayekubalika Zaidi
Taasisi isiyo ya kiserikali ya Positive Thinkers Tanzania imetoa ripoti yake ya utafiti kuhusu mwanasiasa anayekubalika zaidi na wananchi katika nafasi ya Rais ajaye.
Lowassa aongoza na nafasi ya 2 imeenda kwa Dr. Wilbroad Slaa huku Mwigulu Nchemba aking'ara kama kijana aliyeongoza kwa kukubalika kwa kukamata namba 3.
Ifuatayo ni orodha ya wanasiasa waliongia 10 bora na asilimia ya
↧
Hiki Ndo Chanzo cha Kifo cha Abdul Bonge, Mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection
Kifo cha mdau wa muziki nchini ambaye ni mwanzilishi na meneja wa
kundi la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale, kilichotokea
Magomeni-Kagera jijini Dar es Salaam, juzi jioni kimeendelea kuzua utata
kufuatia mtuhumiwa wa mauaji mtu aliyetajwa kwa jina la Nassoro Idd
kuingia mitini.
Akizungumza na mandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na
mdogo wa marehemu, Hamisi
↧
Kafulila Aikana ACT- Tanzania
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, ambaye ni Katibu Mwenezi wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amesema hana sababu yoyote ya kuhama chama chake na kujiunga na chama kipya cha siasa cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania).
Kafulila alisema hayo jana alipokuwa akijibu swali kuhusu kusambaa kwa tetesi katika mitandao ya kijamii kwamba, anahamia chama hicho akiambatana na
↧
More Pages to Explore .....