Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Tarehe 23 March 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  Ya  Leo  Jumatatu  Ya  Tarehe  23  March  2015

Afande Sele Ajitoa CHADEMA Kwa Madai Kwamba Zitto Kabwe Ameonewa.......Ajiunga Rasmi Na Chama Kipya Cha ACT-Tanzania

$
0
0
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Seleman Msindi 'Afande Sele' naye amejiunga rasmi na chama cha ACT-Tanzania. Afande Sele ambaye alikuwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amejiunga na ACT-Tanzania jana wakati wa mkutano na wanahabari uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.  Msanii  huyo  alisema  kuwa  amechukua  uamuzi  huo  baada  ya 

Lowassa HAKAMATIKI.....Bodaboda, Machinga na Wanafunzi wa Chuo Kikuu UDOM Waandamana Kwenda Kumtaka Agombee Urais.....Wamkabidhi 800,000 ya Kuchukulia Fomu

$
0
0
Vijana  zaidi ya 300 ambao ni wawakilishi wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma, waendesha bodaboda na wamachinga, wamefika nyumbani kwa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kumtaka agombee urais.   Vijana hao walifika nyumbani kwa Lowassa eneo la Area C saa 5.00 wakitembea kwa miguu wakiongozwa na bodaboda.   Baadhi yao walikuwa wamebeba mabango yaliyokuwa na ujumbe tofauti

Taasisi Ya Kiislam Yaitaka Serikali Iwakamate Maaskofu Waliotoa Tamko......Yasema Wasipokamatwa Itahamasisha Waislam Wote Kupiga Kura Ya HAPANA

$
0
0
Taasisi ya dini ya Kiislam imeitaka serikali kuwakamata maaskofu na wachungaji ambao  inadai wametoa matamko ya kichochezi na endapo serikali itashindwa kuwakamata, basi jumuiya hiyo itawahamasisha waamini wa dini ya kiislam popote walipo kuipigia kura ya Hapana Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba.   Kauli ya taasisi hiyo yenye misimamo mikali inatokana na Tamko lililotolewa 

Zitto Kabwe Ataja Sababu 5 Za Kujiunga ACT......Azoa Wabunge 10 Fasta, Vigogo Lukuki wa CCM na CHADEMA Wachukua Kadi za Chama Hicho.

$
0
0
Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, amesema atafanya kazi kukijenga chama  cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kwa kukipaisha kama alivyofanya kazi akiwa ndani ya Chadema.   Amesema akiwa kiongozi Chadema kwa miaka zaidi ya 20 alifanya kazi ya kukijenga chama na kuhakikisha kinatoka kuwa na

Video:Nuhu Mziwanda Afunguka Makubwa Kuhusu Kupigwa na Shilole Pia Kutokujua Lugha ya Kingereza

$
0
0
Kwa mara ya Kwanza, Nuhu Mziwanda amefunguka  mambo  kibao  ya  chumbani  baada  ya  kufanyiwa  mahojiano  ya  kina  na  Udaku  Tv . Tazama  Video  hapo  chini  umsikie  alivyolizungumzia  suala  la  kunaswa  vibao  na  Shilole  pamoja  na  changamoto  za  lugha  ya  kiingereza.

Watu 6 Mbaroni Kwa Kumiliki Silaha Kinyume Cha Sheria, Kulima Bangi na Kuingia Nchini Kinyume cha Sheria Mkoani Dodoma

$
0
0
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu sita (6) kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kumiliki silaha kinyume cha sheria, kulima na kukutwa na bhangi pamoja na kuingia nchini bila kibali, kufuatia operesheni inayoendelea Mkoani Dodoma kusaka watuwanaojihusisha na uhalifu wa aina mbalimbali. Akithibitisha matukio hayo

Lowassa Ni Moto Wa Kuotea Mbali.....Mamia ya Wachungaji Waandamana Kuelekea Nyumbani Kwake Kumtaka Agombee Urais Huku Wakiwa na Mabango

$
0
0
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akimkaribisha mratibu wa msafara wa wachungaji mbalimbali wa Makanisa ya Pentekoste kutoka maeneo mbalimbali nchini, Mchungaji Bernedict Kamzee kutoka kanisa la Glory of Crist la mkoani Katavi.  Mchungaji Benedickto Kamzee kutoka Kanisa la Glory of Christ la Katavi amesema wamefikia uamuzi huo wa kuja Dodoma kuonana na Edward

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Tarehe 24 March 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  Ya  Leo  Jumanne  Ya  Tarehe  24  March  2015

Je, Unataka Kupunguza Kitambi? Una Maziwa Yaliyolala na Unataka Yasimame? Una Chunusi Usoni? Unatatizo la nguvu za Kiume? BOFYA Hapa Ukutane na Dr Kessy

$
0
0
Pendeza na Dr Kessy Products . Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka   1.Tengeneza  shep, mahips  au  makalio Dawa  ya  kupaka 50,000 Vidonge   80,000. 2.Punguza  maziwa  na  kuyasimamisha-  40,000/= 3.Punguza  mwili  pamoja  na  kilo- 60,000/= 4.Ongeza  nguvu  za  kiume

Watu 6 Wafariki Dunia Usiku Wa Kuamkia Leo baada ya Magari Manne Kugongana Huko Nzega.....Hapa kuna Picha 10 Toka Eneo la Ajali

$
0
0
Watu 6 wamefariki  dunia  na  wengine  9 kujeruhiwa  vibaya  katika  ajali  mbaya   iliyohusisha  magari  manne  huko Undomo wilayani Nzega  usiku  wa  kuamika  leo.

Sakata la Mahakama ya Kadhi: Askofu Gwajima AMTUKANA MATUSI Askofu Pengo kwa Madai Kwamba ni MSALITI.....Atoa Tamko Zito la Mahakama ya Kadhi

$
0
0
Sakata  la  Uanzishwaji  wa  Mahakama  ya  Kadhi  limeendelea  kuitikisa  Nchi  hasa  kutokana  na  matamko  mbalimbali  yanayotolewa  na  viongozi  wa  Kiroho. Hivi  Karibuni, Baraza  la  Maaskofu  Tanzania  lililotoa  tamko  kuwataka  wakristo  wote  nchini  wapige  kura  ya  Hapana  katiba  inayopendekezwa  kwa  sababu  serikali  inaianzisha  kulipa  fadhila  kwa  waislam.... Baada 

Rais Kikwete: Polisi Mjiandae Kukabiliana Na Vurugu Za Uchaguzi

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete amelitaka Jeshi la Polisi nchini kujiandaa kikamilifu ili kukabiliana na vurugu zozote zitakazojitokeza wakati wa uandikishaji wapigakura, upigaji Kura ya Maoni ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, mwaka huu.   Akifunga mafunzo ya maofisa warakibu wasaidizi katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, Dar es

Lowassa ampuuza January Makamba......Asema Hana Muda Wa Kujibizana Nae Maana Kufanya Hivyo Ni Kumpa Sifa Asizostahili

$
0
0
Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, amesema watu wanaosema anawalipa watu wanaomshawishi awanie nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu ujao, ni upuuzi na uongo na kwamba hawezi kuwajibu kwani kufanya hivyo ni kuwapa sifa wasizostahili. Lowassa aliyasema hayo nyumbani kwake jana mjini Dodoma, kufuatia baadhi ya vyombo vya habari, kumnukuu Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na

Ujumbe alioutuma kwa mke wa mtu wapelekea fumanizi hili

$
0
0
Sakata  hili  limetokea maeneo ya Mabibo Hostel ambapo kijana ambae ni mwanafunzi  wa chuo alikuwa  na  uhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu.    Baada ya kukamatwa na mume wa mwanamke huyo, mwanafunzi huyo amesema kuwa mume wa mwanamke huyo alimkuta akiwa ndani kwake akijaribu kumshawishi mke wake ili alale nae, lakini anajitetea kwamba ni bahati mbaya tu imetokea hivyo.  

Baada ya kuambiwa mtoto si Wake, Nay wa Mitego Asema Yupo Tayari Kupima DNA

$
0
0
Kufuatia sintofahamu kati ya wapenzi wawili, Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’, ambaye ni msanii wa Bongo Fleva na Siwema Edson juu ya mtoto wao mwenye umri wa miezi mitatu, mwanaume huyo amesema yupo tayari hata kwa vipimo vya vinasaba (DNA) ili kuthibitisha kuwa Curtis ni mtoto wake wa damu. Siwema ambaye Nay anadai kumfumania kitandani akiwa na mwanaume mwingine mjini Mwanza

Mbaroni kwa kukutwa na Viungo na Mifupa ya Albino

$
0
0
WATU wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera kwa kosa la kukutwa na viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mifupa mitatu ya mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino).   Kamanda wa Polisi mkoani Kagera Henry Mwaibambe alisema kuwa tukio hilo limetokea juzi katika kijiji cha Kyota kata ya Kimwani wilayani Muleba mkoani humo baada ya jeshi hilo kuweka mtego kwa watuhumiwa hao ambao

CCM Yamuonya Tena Lowassa....Yasisitiza Muda Wa Kampeni Bado

$
0
0
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema vitendo vinavyofanywa na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa ni ukiukwaji wa Katiba na kanuni za chama hicho.   Aidha, kimesema vitendo vinavyofanywa na Lowassa ni kampeni za wazi za urais anazoendesha kabla ya muda kufika na hivyo kukiuka Katiba na kanuni za CCM na kuonya kuwa kama ataendelea na kampeni hizo haramu atapoteza sifa

Mchungaji Anaswa Gesti Laivu akiwa na Mke wa Mwanajeshi

$
0
0
Dunia inaelekea mwisho. Mchungaji mmoja wa Kanisa la Pentekoste, raia wa Kenya aitwaye Pasca Mugambi hivi karibuni alinaswa chumbani ‘live’ katika gesti moja iliyopo Manzese Tip Top akiwa na mke wa askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambaye ni muunini wake. Chanzo kilicho karibu na mke wa mjeshi huyo kilisema kuwa mchungaji huyo alikuwa akifanya shughuli zake za

Serikali ina haki ya ‘kuipigia debe’ Katiba mpya

$
0
0
Serikali imesema kuwa ina haki ya kuwahamasisha wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ndio iliyohusika kuiandaa.   Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy Mwalimu alisema hiyo ni sehemu ya kazi ya serikali, lakini pia ame wataka viongozi wa dini wafanye kazi yao ya kuhubiri dini na sio kuingilia masuala ya kisiasa.   Mwalimu aliliambia Bunge kuwa wajumbe wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images