Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Spika Amzuia Zitto Kabwe Kuliaga Bunge.....Chama cha ACT Chamwandalia Makazi Mapya

$
0
0
Pamoja na mpango wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kuliaga Bunge kukwama jana, Chama cha ACT- Tanzania kimetangaza kukamilisha maandalizi ya kumpokea mwanasiasa huyo kuanzia leo.   Mbunge huyo alipanga kuliaga bunge na alisema amekwishapata ruksa ya Spika kuwa angesimama bungeni kuwaaga wabunge na wanachama wa Chadema baada ya chama hicho kumtimua uanachama wake hivi karibuni

Juma Nature: Nikitaka ubunge wa Temeke naupata kirahisi kabisa

$
0
0
Juma Nature anaamini kuwa akiamua kugombe ubunge wa Temeke ataupata kirahisi. Nature ameiambia XXL ya Clouds FM kuwa alishafuatwa na baadhi ya viongozi wamkita agombee nafasi hiyo.   “Walishanifuata watu, lakini kwa mwaka huu nimeona kwanza nikaushe,” amesema Nature.    “Mimi mbona ubunge wa Temeke nakula, tena vizuri kabisa, bila hata matatizo. Kwa vyama mbalimbali siwezi

Lulu Michael Ajinadi Kwamba Yeye ni MTAMU Zaidi ya Mcharo....."Ahsante Mungu na Wazazi Wangu Kwakunifanya Mtamu!"

$
0
0
Mrembo na Staa wa Bongo Movies,  Elizabeth  Michael ‘Lulu’ ambaye hakuna anayebisha kuwa amejaaliwa  uzuri wa sura na umbo, kupitia ukursa wake wa instagram amemshuruku Mungu na wazazi wake kwa mfanya kuwa zaidi ya mcharo, yaani  mtamu.   “Ahsante kwa Mungu....Shoutout kwa Mama & Baba Lulu + Make up….u'all knw wat I mean....Kitu Mcharo plus…..(Basi kuna watu wata panic......kufwaaaa

Mpango wa Kumuua Dr. Slaa: Upepo umebadilika.......Usalama wa Taifa Hawahusiki, Kiama Chawarudia CHADEMA Wenyewe.

$
0
0
JESHI la Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha kuhusika kwa Idara  Usalama wa Taifa katika mipango ya kutaka kumuua Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dokta Wilbroad Slaa.   Kauli ya jeshi la polisi kanda hiyo ni kama  inamjibu Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA (CC), Mabere Marando ambaye katika taarifa yake kwa vyombo vya Habari alimtuhumu Naibu mkuu wa

Kesi Ya Shehe Ponda Issa Ponda, Yapigwa Kalenda

$
0
0
KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo kwa sasa ipo kwenye hatua ya utetezi haikuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro, baada ya hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutofika mahakamani hapo jana.   Hakimu Mwandamizi wa Mahakama hiyo, Mary Moyo anayesikiliza kesi hiyo hakufika mahakamani kwa kile

Muswada sheria ya maafa wawasilishwa bungeni

$
0
0
SERIKALI imewasilisha bungeni muswada wa sheria ya usimamizi wa maafa ambao unalenga kuanzisha chombo kinachojitegemea ambacho kitashughulikia maafa.   Nia ni kupunguza urasimu unaochelewesha maamuzi ya kujiandaa, kupunguza athari, kukabili maafa na kurejesha hali baada ya maafa kutokea.   Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Bunge), Jenista Mhagama aliliambia Bunge kuwa sheria

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 21 March 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  Tarehe  21  March  2015

Zitto Kabwe Atangaza RASMI Kujiuzulu Ubunge......Awaaga Wabunge Wenzie Na Wananchi. Tamko Lake na Barua Yake ya Kujiuzulu Viko Hapa

$
0
0
Hatimaye Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto amekubali yaishe na kuamua kuaga wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Watanzania, wabunge wenzake na wajumbe wa Kamati wa Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kabla ya kutangaza kuachia ubunge wake.   Katika maelezo yake kwa mwenyekiti wa shughuli za Bunge muda mfupi kabla ya kuahirisha shughuli hizo  jana  usiku , Mussa Azzan Zungu, Zitto

Mwanaume Achapwa Vibao Na Mkewe Jijini Mwanza

$
0
0
Kuna kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani Mwanza kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri hivi karibuni maeneo hayo

Sakata La Nay Wa Mitego Kumfumania Mpenzi wake Lachukua Sura Mpya Baada ya Siwema Kueleza Ukweli Wote Huku AKILIA

$
0
0
Sakata la Nay wa Mitego na Aliyekuwa Mpenzi wake Siwema limeingia ukurasa mpya baada ya Siwema Kumjibu Nay wa Mitego na Kusema mambo makubwa yakustusha..... Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani: "Daah, siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt, iko hivi:@nay, naomba usisahau kama ni wewe

Masheikh 50 Waandamana Kwenda Kwa LOWASSA Kumtaka Agombee URAIS 2015.......Wamkabidhi 700,000 Imsaidie Kuchukua Fomu

$
0
0
MASHEKHE wapatao 50 kutoka Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo wamemkabidhi kiasi cha shilingi 700,000/- za kuongezea kuchukua fomu ya kuwania Urais 2015.    Mashekhe hao wakiongozwa na Yusuf Surulu (kulia kwenye picha juu) na Alli Mtumwa (wapili kulia) wamemkabidhi fedha hizo nyumbani kwake mjini Dodoma na kushuhudiwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof Juma Kapuya. Mashekhe hao

House Girl ( Binti wa Kazi ) Asababisha Kifo Baada ya Kufumaniwa na Bosi Wake Huko Arusha......Morani Wachoma Nyumba Kulipiza Kisasi

$
0
0
Makundi ya vijana wanaosadikiwa kuwa ni wa jamii ya kimaasai maarufu kama “Morani” katika eneo la Olasiti Jijini Arusha, wameteketeza kwa moto mali mbalimbali zikiwemo nyumba pamoja na magari ya wakazi wawili wa eneo hilo, wanaotuhumiwa kumpiga na kumsababishia kifo kijana mmoja wa jamii hiyo. Kijana Melita John anadaiwa kuuawa na Bernard Kavishe mkazi wa Olasiti akishirikiana na majirani

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya Tarehe 22 March 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  Ya  Leo  Jumapili  Ya  Tarehe  22  March  2015

Zitto Kabwe Ajiunga Rasmi Na Chama Kipya Cha ACT-Tanzania......Akabidhiwa Kadi Namba 007194

$
0
0
Baada  ya  kuzinguliwa  kwa  muda  mrefu  na  chama  chake  cha  CHADEMA, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa ameamua  kujiunga  rasmi  na  chama  kipya  cha  siasa  cha  ACT-Tanzania   ambapo  jana Jumamosi ya Machi 21  alipokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194.   Hatua  imekuja  ikiwa  ni  siku moja  tu  baada ya Zitto

Bunge: Zitto kulipwa mafao yake yote

$
0
0
  Ikiwa ni siku moja tangu Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kutangaza kung’atuka katika nafasi yake ya ubunge, Bunge limeeleza kuwa mbunge huyo atapata mafao yake yote kama wabunge wengine.   Zitto ambaye alitangaza juzi bungeni kuwa anaondoka baada ya kuvuliwa unanachama wa Chadema aliahidi kuwa ‘Mungu akipenda’ atakuwa tena ndani ya chombo hicho cha kutunga sheria

Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea Urais Mwaka Huu........Hapa Nimekuwekea Pia Historia Fupi Ya Edward Lowassa Tangu Azaliwe.

$
0
0
Hatimaye mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema “ameshawishika” na kuweka bayana kuwa atachukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).   Lowassa, ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Nne, amekuwa akitajwa kuwa ni mmoja wa makada wa CCM wanaowania urais, lakini hakuwahi kutangaza nia ya kuwania nafasi hiyo ya juu ya uongozi nchini.   Lakini

Rais Kikwete na Kenyatta wazima mpasuko.....Magari ya Tanzania Yaruhusiwa Kuingia Kenya

$
0
0
RAIS Jakaya Kikwete na Uhuru Kenyatta wa Kenya wameingilia kati mgogoro uliopo baina ya mataifa hayo mawili kuhusu masuala ya usafirishaji na utalii.   Makubaliano yaliyofanywa na marais hao ni pamoja na Kenya kuruhusu magari ya Tanzania, yanayofanya safari za kupeleka wageni na watalii, maarufu kama ‘Shuttle’ kuingia kupeleka na kuchukua watalii katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo

Amina Mwidau Ndiye Mwenyekiti Mpya Wa Kamati Ya PAC

$
0
0
MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Tanga, Amina Mwidau (CUF) ndiye Mwenyekiti mpya wa Kamati ya PAC baada ya aliyekuwa mwenyekiti wake, Zitto Kabwe kung'atuka kwenye nafasi yake ya ubunge.   Kupitia akaunti yake ya Facebook, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema) na Mwenyekiti wa Kamati ya PAC ambaye jana alijiunga rasmi na Chama cha ACT-Tanzania, Zitto Kabwe amempongeza Amina kwa

Menina na Baba Levo Wanaswa

$
0
0
Mastaa wawili wa Bongo Fleva, Menina Atick na Baba Levo wamenaswa kimahaba hivyo kuibua viulizo kuwa huenda kuna ‘projekti’ inaendelea kati yao.   Katika tukio hilo ambalo Baba Levo alishuhudiwa ‘akijibebisha’ kwa Menina lilijiri kwenye Ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar ambapo wawili hao walijumuika na wasanii wenzao katika hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Ishi Kistaa

Mvua Yaua Watu Watano Jijini Dar

$
0
0
HALI ni tete katika jiji la Dar es Salaam, kutokana na mvua ya masika iliyonyeshwa kwa siku tatu na kusababisha vifo vya watu watano, huku nyumba nyingi zikiwa zimezingirwa na maji.   Maeneo yaliyoathirika zaidi ni Buguruni kwa Mnyamani na eneo la Jangwani katika Manispaa ya Ilala, ambako nyumba nyingi na barabara zimeathirika.   Sehemu nyingine za jiji zimezingirwa na maji kutokana na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images