Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Lowassa Atoa Waraka Mzito Kumlilia Komba......"Moyo Wangu Unabubujika Machozi ya Damu Kila Nikimkumbuka Komba"

$
0
0
Siku chache baada ya kifo na maziko ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), Kapteni John Komba, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amemlilia akieleza kuwa ni mtu ambaye alikuwa ‘muumini asiyeyumba wa safari ya matumaini.’ Marehemu Komba ambaye alizikwa Jumanne iliyopita kijijini kwake Lituhi, anatajwa kuwa alikuwa rafiki wa karibu na Lowassa.   Katika taarifa yake

Flora Mbasha: Nipo tayari kurudiana na mume wangu

$
0
0
Muimbaji wa muziki wa Injili, Flora Mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake Emmanuel Mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia miguuni na kumuomba msamaha.   Flora alisema hayo jana alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kumaliza kutoa ushahidi wake juu ya kesi ya ubakaji inayomkabili Mbasha ambayo inasikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala.   “Mbasha nimemsamehe

Nimepokea Kwa Masikitiko Makubwa Sana Kufukuzwa kwa Zitto Kabwe CHADEMA

$
0
0
Nimepokea kwa masikitiko taarifa kuwa ndugu yangu Zitto Kabwe amefukuzwa kwenye chama cha Chadema. Ni habari ya kusikitisha unapotafakari demokrasia tunayojitahidi kuijenga. Zitto amekuwa mwanachama wa Chadema tangu akiwa kijana mdogo. Mwenyekiti wa chama hicho , Freeman Mbowe, amenukuliwa mara kadhaa akikumbushia jinsi alivyoshirikiana na Zitto kuhamasisha vijana wengine waliokuwa

Nape Adai Dr. Slaa ni MUONGO na MZUSHI Aliyebobea Kiasi cha Kuitwa Dokta......Aanika Maovu Yote ya Slaa, Amtaka Amrudie Mwenyezi Mungu Haraka

$
0
0
Tarehe 08/03/2015, Dr. Wilbroad Slaa Katibu Mkuu wa Chadema kupitia kwa mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Ndugu Mabere Marando alitoa tuhuma kwa Serikali na kuwahusisha baadhi ya viongozi wa juu wa CCM kuwa wanapanga njama za kumdhuru Katibu Mkuu huyo wa Chadema. Kimsingi tuhuma hizi ni za kipuuzi, lakini uongo huu usipojibiwa unaweza kugeuzwa kuwa ajenda na Chama hiki cha Chadema kwa kukosa

Breaking News: Ajali Mbaya ya Roli na Basi Yaua Watu 50 Mafinga......Kontena la lori hilo limeilalia basi

$
0
0
Ajali mbaya imetokea Jumatano hii maeneo ya Mafinga mkoani Iringa katika kijiji cha Changarawe baada ya lori la mizigo lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya lililokuwa likikwepa shimo kubwa lililopo katikati ya barabara, kugongana na gari la abiria la kampuni ya Majinja lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam. Kontena la lori hilo limeilalia basi na watu wengine

Mpango wa Kumuua Dr. Slaa: Mlinzi Wake Alipuka....Adai CHADEMA ni MAGAIDI......Asimulia Jinsi Alivyoteswa na Kupoteza Nguvu za Kiume

$
0
0
Siku chache kupita baada ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando kufichua njama za Mlinzi wa Katibu Mkuu wa Chama hicho Wilbroad Slaa, bwana Khalid Kangezi kupanga mipango ya kumuua  katibu huyo huku akishirikiana na Vigogo wa Chama Mapinduzi CCM pamoja na Mkuu wa Usalama wa Taifa Mkoa wa Kinondoni,naye Mlinzi huyo ameibuka  na   kufichua siri

Majonzi Yatawala Hospitali ya Wilaya Ya Mafinga Baada ya Kuwasili Miili Ya Waliopata Ajali Leo

$
0
0
Simanzi  ilitawala  katika Hospitali ya Wilaya ya Mafinga wakati maiti zilizopatikana kwenye ajali mbaya iliyotokea mapema leo asubuhi,maeneo ya Changarawe,Mafinga Mkoani Iringa,zikiwasili.    Zaidi ya 45  wamepoteza maisha katika ajali hiyo iliyohusisha Lori la Mizigo na Basi la abiria la Kampuni ya Majinja lililokuwa likitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es salaam. Ni majonzi

Taarifa Ya Jeshi La Polisi Nchini Juu Ya Mauaji Ya Albino

$
0
0
Katika juhudi za kukomesha matukio ya kihalifu yaliyoibuka hivi karibuni ya kuwaua na kuwajeruhi ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi (Albino) kwa visingizio vya imani potofu za ushirikina, Jeshi la Polisi nchini, limeendelea kupambana na vitendo hivyo vya kikatili ili kuhakikisha kwamba matukio kama hayo hayaendelei na wenzetu wenye ulemavu wa ngozi hawaishi kwa hofu ya kutendewa uhalifu.

Zitto Kabwe Asisitiza Kuwa Yeye Ni Mbunge Halali Wa Kigoma Kaskazini.......Asema Hana Taarifa Ya Kuvuliwa Uanachama CHADEMA

$
0
0
Siku moja baada ya mahakama kuu kutupilia mbali ombi la mbunge wa Kigoma kaskazini Mh Zitto Kabwe kujadiliwa na vikao vya CHADEMA kuhusu hatma ya uanachama wake na kutakiwa kulipa  gharama za kesi hiyo, mbunge huyo amedai kuzisikia taarifa hizo kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari lakini hana taarifa rasmi.   Hayo ndio yalikuwa majibu ya awali ya mbunge huyo wa Kigoma kaskazini

Majeruhi wa Basi Lililoua Watu 42 LEO Wazungumzia UKAIDI Wa Dreva wa Basi Hilo

$
0
0
Watu arobaini na wawili wamefariki dunia huku ishirini na wawili wakiwa wamelazwa hospitalini baada ya ajali ya barabarani iliyotokea asubuhi ya Jumatano, Machi 11, 2015 huko katika eneo la Changarawe, Mufindi katika mkoa wa Iringa. Ajali hiyo ilitokea baada ya basi la abiria la kampuni ya Majinja Express lililokua likitokea Iringa likielekea Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na

Rais Kikwete Atuma Salamu za Rambirambi Kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kufuatia Ajali Mbaya ya Basi Iliyoua Watu 42 Mafinga Leo

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea  Mafinga katika mkoa wa Iringa eneo lijulikanalo kwa jina la Changarawe, ambayo imepoteza uhai wa watu zaidi ya 40 waliokuwa wakisafiri kwa basi hilo na wengine kadhaa kujeruhiwa.   Katika salamu zake hizo, rais Kikwete amewahakikishia wafiwa wote kuwa yuko

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Tarehe 12 march 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  Ya  Leo  Alhamisi  Ya  Tarehe  12  march  2015

Mjamzito Afariki Baada Ya Kuangukiwa Na Mti Korogwe

$
0
0
Ndugu wawili akiwemo mwanamke mwenye ujauzito wa miezi saba, wamefariki dunia katika kijiji cha Zege kata ya Dindira wilayani Korogwe, wamekufa papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa vibaya baada ya kuangukiwa na mti wakati wakitafuta kuni msituni. Waliokufa kutokana na kuangukiwa na mti aina ya msambu ni Mariam Saidi (17), mwanafunzi wa kidato cha nne katika Sekondari ya Dindira na Selina

Padri Feki Wa Morogoro Apandishwa Kizimbani.......Ashindwa Masharti Ya Dhamana, Atupwa Rumande

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imempandisha kizimbani Josephat Asenga (47) mhasibu wa kujitegemea ambaye ni padri feki mkazi wa mtaa wa Lusanga, kwa mashitaka ya udanganyifu na kujifanya padri wa Kanisa Katoliki. Mbele ya Hakimu Mkazi Agripina Kimanze, wakili wa Serikali  Gloria  Rwakibarika alidai kuwa  mshitakiwa kwa nyakati tofauti  kati ya  Mei mwaka jana na Machi 5 mwaka

Ufisadi Mwingine Wa Milioni 700 Wizara ya Nishati

$
0
0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imetoa maelekezo kwa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali(CAG) kufanya uchunguzi wa Sh milioni 699 zinazodaiwa kutolewa na Wizara ya Nishati na Madini kwenda Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambazo zinaonekana kuyeyuka katika mazingira yasiyoeleweka. Agizo hilo lilitolewa na Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe katika kikao kilichofanyika

Wasomi Waipigia Magoti CHADEMA Imsamehe Zitto Kabwe

$
0
0
Wasomi na wachambuzi wa masuala ya siasa nchini, wamekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumsamehe Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto kwa kuwa bado anahitajika kujenga chama hicho. Mmoja wa wasomi wa chuo cha Diplomasia, Mhadhiri Mwandamizi wa chuo hicho, Balozi Charles Sanga alisema kuwa pamoja na umuhimu wa kuheshimu katiba ya chama, ameshauri chama hicho kingefanya

Majina ya Abiria Wote Wa Ajali Ya Basi Iliyoua Watu 42 Mafinga Yako Hapa.

$
0
0
 "Ni ajali ambayo haijawahi kutokea katika maeneo haya," ni baadhi ya maneno yaliyosikika kutoka kwa wakazi wengi wa mjini Mafinga na vitongoji vyake, ambao jana walishuhudia ajali  katika historia ya mji huo. Ajali hiyo ilihusisha lori aina ya Scania namba T 689 APJ, mali ya Cipex Company lililokuwa likiendeshwa na Maka Sebastian (26)  na basi aina ya Scania namba T438 CED, mali ya

Bunge Lamkingia Kifua Zitto Kabwe......Lasema Bado ni Mbunge Halali na Spika wa Bunge ana Mamlaka Kisheria Ya Kutengua Maamuzi ya CHADEMA

$
0
0
Ofisi ya Bunge imesema haijapata barua yoyote kuhusu kuvuliwa uanachama kwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema). Kauli ya hiyo ya Bunge imekuja siku moja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutangaza kumvua uanachama Zitto, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC). Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar

Aunt Ezekiel Akanusha Kujifungua....Asema Video ya Mtandaoni ni kipande cha Filamu Yake

$
0
0
Baada ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, mwanahabari wetu ametia timu nyumbani kwa Aunt na kujiridhisha pasipo na shaka kuwa mrembo huyo bado yu mjamzito na taarifa za kujifungua si za kweli. Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video kinachomuonyesha mwigizaji

Taarifa Mpya Za Idadi Ya Waliofariki Katika Ajali Ya Basi Na Lori Jana

$
0
0
Zoezi la kuwatambua maiti waliofariki katika ajali ya basi la Majinja iliyotokea katika eneo la changarawe wilayani mufindi hapo jana linaendelea katika chumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa wa iringa na hospitali ya wilaya ya mufindi ambapo ndugu wa marehemu wameendelea kumiminika kuwatambua ndugu zao.   Taarifa iliyotolewa asubuhi ya leo na Mganga mkuu wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images