Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mtuhumiwa Wa Fedha za Escrow Ajichanganya......Ni Yule Kigogo Wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Ambaye Alihojiwa Jana na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma

$
0
0
MKURUGENZI Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Dk James Diu, amejichanganya mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kuhusu matumizi halisi ya fedha alizozipokea kutoka kwa James Rugemalira ambazo ni Sh milioni 80.8.   Akijitetea mbele ya baraza hilo, Mkurugenzi huyo ambaye pia aliwahi kushika wadhifa wa Meneja Udhibiti Uchumi katika Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati

Mwanafunzi wa Sekondari Afikishwa Mahakamani Akituhumiwa Kuhusika na 'Ugaidi' Uliotokea Katika Mapango ya Amboni Tanga

$
0
0
WAKAZI 10 wa jijini Tanga, akiwemo mwanafunzi wa sekondari wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wakikabiliwa na makosa matano tofauti kuhusu tukio la kuwanyang’anya polisi silaha pamoja na kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Sajenti Mohamed Rashid Kajembe.   Mwanafunzi aliyefikishwa mahakamani ni Rajab Bakari (19) wa shule ya sekondari na mkazi wa

"Kajala ni rafiki MBAYA Kuliko Wote Duniani, NAJUTA kumsaidia" - Wema Sepetu

$
0
0
Hatimaye  Wema Sepetu   kaamua kufunguka kuhusu  Ugomvi  Wake  na  Kajala.  Yaani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho.   Amedai Kajala ni  miongoni  mwa  marafiki wabaya aliowahi  kuwa  nao  na kasema anajuta  sana kumsaidia Kajala,ile kumlipia kumtoa jela anasema anaregret vibaya sana.   Msikilize mwenyewe akiongea

Mwakyembe Ajibu Tuhuma Za Ununuzi Wa Mabehewa FEKI zinazodaiwa kumfanya Atolewe Wizara ya Uchukuzi na Kupelekwa Afrika Mashariki

$
0
0
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Harrison Mwakyembe, amesema kuhamishwa kwake katika Wizara hiyo akitokea Wizara ya Uchukuzi, si kwa sababu ya kuepushwa na kashfa ya ununuzi wa mabehewa feki.   Alisema uamuzi wa kuhamishwa Wizara umefanywa na Rais Jakaya Kikwete kwa sababu tofauti na hizo kama zilivyoandikwa katika gazeti moja linalotoka kila siku . Dkt. Mwakyembe

Lowassa, Mbowe Watoa Mkono Wa Pole Kwa Waathirika wa Mafuriko Shinyanga

$
0
0
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa na mwenyekiti wa  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, wametoa salamu za pole na rambirambi kwa wananchi wa kijiji cha Mwakata wilayani Kahama walioathirika na mvua ya mawe na upepo mkali hivi karibuni. Akizungumza kwa niaba ya Lowassa ambaye pia ni mbunge wa Monduli, mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, Hamis

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya March 10 -2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  Ya  Leo  Jumanne  Ya  March  10  -2015

Kauli ya Mama Maria Nyerere Baada ya Kuzushiwa Kifo

$
0
0
Mama Maria Nyerere ambaye ni mjane wa mke wa Rais wa kwanza wa Tanzania, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, jana  jioni  alizungumza na kituo cha runinga cha Taifa, TBC na kukanusha uvumi ulioenezwa katika mitandao ya kijamii kuwa ameaga dunia. Akizungumza na mtangazaji, Mama Nyerere alimuuliza, "ukiniangalia unanionaje?" ambapo mtangazaji alimjibu, "nakuona mzima!" huku

Breaking News: CHADEMA Washinda Kesi Iliyokuwa Imefunguliwa na Zitto Kabwe Kupinga Kamati Kuu Kumjadili.......Aamuriwa Kulipa Gharama Zote za Kesi

$
0
0
Chama  cha  Demokrasia  na  Maendeleo (CHADEMA)  kimeshinda kesi dhidi ya aliyekuwa mwanachama wake Zitto Kabwe. Katika  hukumu  hiyo  iliyotolewa  leo  na  Jaji  Mziray,Mahakama imewaruhusu  CHADEMA kuendelea na taratibu zake  za  Awali. Aidha, Mahakama imeamuru Zitto Kabwe alipe gharama zote za kesi. Ikumbukwe  kuwa, mwaka jana Zitto Kabwe aliweka pingamizi mahakamani kuzuia kikao

Hawa ni Watanzania Wenzetu......Wanatafuta Wachumba, Wapenzi, Waume na Wengine Wanataka Ma-Wife!!!!!.....

$
0
0
Habari  Mpendwa  Msomaji  wa  mtandao  huu.Tuliahidi  kuyarusha  hewani  maombi  ya  wasomaji  wetu  ambao  kimsingi  wamekuwa  wakipigana  usiku  na  mchana  kupata  waume  na  wake. Kama  ilivyokawaida  yetu, Mpekuzi  ni  mtandao  wa  jamii  ambapo  Maudhui  yake  ni  kuihabarisha  jamii  ya  kitanzania  kwa  kila  tukio  tunalolipata. Ili  kuhakikisha  kwamba  haki  inatendeka,

Kauli ya Zitto Kabwe baada ya Kushindwa Kesi Aliyoifungua Dhidi ya CHADEMA.

$
0
0
Mahakama  Kuu ya Tanzania, leo imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Zitto Zubeir Kabwe mwaka jana, akipinga kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kumjadili, akikitaka chombo hicho cha sheria, kukielekeza chama chake, kusubiri kwanza rufaa yake aliyokuwa amekata katika Baraza Kuu.   Mahakama iliyoketi chini ya Jaji Mziray, ilikubaliana na hoja za mawakili wa Chadema, waliosema kuwa

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Tundu Lissu Atangaza Rasmi Kuwa Zitto Kabwe Si Mwanachama wa CHADEMA

$
0
0
Mwanasheria mkuu wa chama cha upinzani nchini CHADEMA, Tundu Lissu leo ametangaza kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa Kigoma Kasikani Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe. "Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo

Flora Mbasha Atoa Ushahidi wake Kwa Siri Kuhusu Kesi ya Ubakaji Inayomkabili Mumewe, Emmanuel Mbasha

$
0
0
Kesi ya kudaiwa kumbaka shemeji yake inayomkabili mfanyabiashara na mwimba Injili Bongo, Emmanuel Mbasha imeendelea kuunguruma leo katika Mahakama ya Ilala jijini Dar ambapo mkewe Flora alifika na kutoa ushahidi kwa siri.   Kesi hiyo ilianza kuunguruma kwenye ofisi ya hakimu (Chamber), mishale ya saa 5 hadi saa 8 mchana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama wa Wilaya ya Ilala, Flora

Picha: Zitto Kabwe Alivyovuliwa Ubunge wa Kigoma Kaskazini Leo

$
0
0
Mnadhimu Mkuu Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, akitoa tamko la kumvua uanachama Zitto Zuberi Kabwe leo.    Waandishi wa habari wakifuatilia tukio hilo. Lissu akitoa ufafanuzi baada ya kuulizwa maswali na wanahabari.   Katibu Mkuu wa Chadema Willbroad Slaa (kulia) akifuatilia mkutano huo wa kumvua uanachama Zitto Kabwe.   MBUNGE wa Kigoma Kaskazini,  Zuberi Zitto

Baamedi 700 Watunukiwa Vyeti Vya Kimataifa

$
0
0
Kampuni ya bia ya Serengeti imewatunuku vyeti wahudumu wa baa 700, walioshiriki mafunzo ya kimataifa ya Diageo Master Academy (MBA), yaliyoandaliwa kwa ajili ya kuwapa wahudumu hao ujuzi wa kufanya kazi kwa weledi. Akitunuku vyeti hivyo kwa wahitimu hao jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Masoko wa Vinywaji Vikali, Stanley Samtu,  alisema mafunzo hayo yatawawezesha wahitimu hao kushiriki

Albino Kukatwa Mkono: Waganga 10 Pamoja na Baba Mzazi Watiwa Mbaroni

$
0
0
Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu 17 wakiwemo waganga wa jadi 10 wakihusishwa na tukio la kikatili katika kijijini cha Kipeta , Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga ambako mtoto mlemavu wa ngozi (albino), Baraka Cosmas (6) mwishoni mwa wiki alishambuliwa na kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana.   Miongoni mwa watuhumiwa waliokamatwa ni watu saba ambao

Nuh Mziwanda Azungumzia Ishu ya kutafutiwa mwanamke Ambaye Hatampiga

$
0
0
Kuna  tetesi zilizoenea kuwa wa dada wa mjini akiwemo muigizaji, Jacqueline Wolper wamemchoka msanii Shilole kwa madai kuwa amekuwa akimpiga mpenzi wake Nuh Mziwanda mara kwa mara na wanataka kumtafutia  mpenzi mwingine ambae hatampiga, mpango uliopangwa siku ambayo Shilole alimpiga Nuh na wasanii waliokuwepo kuingilia.   Soudy Brown amemtafuta Shilole na kumpa taarifa hizo na kusema sio

Je, Unatamani Kuzaa Mtoto Wa Kike?......Hapa kuna njia Kuu 5 Ambazo zitakusaidia Kutimiza Ndoto zako za Kupata Mtoto wa Kike

$
0
0
Ulimwengu wa sasa umeendelea sana kiasi kwamba matatizo mengi katika jamii yanatatuliwa kwa msaada wa wataalamu mbalimbali. Mojawapo ni suala la mtu kuzaa mtoto wa kike au wa kiume.    Ingawa njia hizo nitakazoziandika hapa pengine hazina uhakika mia kwa mia, lakini wapo watu wengi wamejaribu na zimewasaidia. Hivyo nina matumaini kwa kufuata maelekezo haya unaweza kupanga na kuzaa mtoto

Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume Halisi

$
0
0
Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa dansi ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana. Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa. “Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend

Bob Junior: Sikupenda Ndoa Yangu Ivunjike

$
0
0
Msanii na mtayarishaji wa muziki wa Sharobaro Records, Bob Junior amesema hayakuwa mapenzi yake kuacha ndoa yake ivunjike. Bob Junior amesema kuwa kilichotokea ni majaliwa ya mwenyezi Mungu. “Nitaoa lakini sio miaka ya karibuni ni miaka ya mbele sana kwa sababu niliingia kwenye ndoa halafu mwisho wa siku ndo haikukaa muda mwingi ikanishinda,” amesema. “Yaani siwezi tena kusema
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images