Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Hakimu Afikishwa Mahakamani Kwa Utekaji, Wizi na Kumpiga Picha Za UCHI Mtumishi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi akimtuhumu Kutembea na Mumewe

0
0
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Somanda Wilayani bariadi Janeth Mazigi (28) amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi kwa makosa manne (4) aliyoyatenda dhidi ya mtumishi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi kwa kile kinachosadikiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Hakimu huyo inadaiwa kuwa alitumia wadhifa alionao kumteka mtumishi huyo (jina linahifadhiwa) na kumnyanyasa kijinsia

Magazeti ya Leo Jumatatu ya March 9 -2015

0
0
Magazeti  ya  Leo  Jumatatu  ya  March 9 -2015

Photos: Wema Sepetu's New Braided Hairstyle..............Katokelezea Au Kazingua?

0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Wema Sepetu has just showed us her new hairdo "braids". Wema was in Arusha for an event and she shared these photos on her Instagram, but some people on the social media think Wema doesn't look fabulous at this style.  

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana Arusha Kombora IKULU.......Amtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue Awafute Kazi Watuhumiwa wa ESCROW

0
0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemuomba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni  Sefue, kuwasimamisha kazi watumishi wa serikali wanaihusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu Tanzania (Bot) hadi hapo tuhuma dhidi yao zitakamalizika. Kinana alitoa ombi hilo katika mkutano wa hadhara

Am 29 Years but Can't Seem To Get a Man.....Please Sample My Pics and Help Me Get One!!!!

0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); A girl in Facebook went on to post her desperate hunt for a hubby before she pulled the post and profile off.. See the photos she posted …. Her profile name was “Mimi ni Mtamu” (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); What can you Advice Such A Girl?

Dr. Slaa Anusurika Kuuawa na Mlinzi Wake

0
0
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amenusurika kuuawa na mlinzi wake.   Hilo limebainika baada ya kitengo cha ulinzi cha chama hicho kutibua mpango unaodaiwa kuratibiwa na maofisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TIS), wa kumuua kiongozi huyo kwa kumtumia mlinzi wake binafsi (PSU), Khalidi Kagenzi.   Akizungumza na waandishi wa habari jijini

Sakata la Watoto 18 Waliofungiwa Ndani Huko Moshi ili Kufundishwa Maadili ya Imani ya Dini ya Kiislamu Lazua Tafrani

0
0
Zaidi ya raia 500 wameizingira nyumba moja mjini Moshi  iliyokuwa imewafungia ndani watoto 18  wakiwamo watatu wa familia moja wanaodaiwa kupotea tangu mwezi Februari mwaka jana . Watoto  hao wana umri kati ya miaka mitatu na 17 .   Watoto hao inadaiwa walifungiwa kwenye nyumba hiyo yenye vyumba vinne na choo kimoja ambapo inadaiwa walikuwa wakifundishwa masomo ya dini  ya  kiislam.  

Kingwendu Amsamehe Jirani yake ALIYEMBAKA Mkewe

0
0
Msanii wa vichekesho Bongo, Rashidi Mwinshehe ‘Kingwendu’ amefunguka kwamba japokuwa alipata maumivu ya moyo baada ya jirani yake kumbaka mkewe, Mama Maua ameamua kumsamehe. Akizungumza Global Tv Online, Kingwendu alisema mara nyingi mkewe alikuwa akimwambia kuhusu jirani huyo kumtongoza lakini akawa anamkatalia lakini siku hiyo alimvizia na kutimiza azma yake ambapo baada ya hapo

Picha: Kweli Hakuna Mtu Mwembamba Duniani...Mcheki Hapa JB Alivyokuwa Zamani na Alivyo Kwa sasa

0
0
Ule usemi  wa kuwa hakuna mtu mwembamba umejidhuhilisha hapa kwa Staa huyu  wa Bongo Movies, Jacob Stephen “ JB”.   Hapo juu ni picha za JB akiwa katika umri na wakati tofauti. Moja ya zamani na nyingine ya sasa.

Uongozi wa Diamond waongea kuhusu barua ya TRA iliyosambaa mtandaoni

0
0
Kuna barua iliyosambaa mtandaoni weekend hii inayoonekana imetoka kwenye mamlaka ya mapato nchini, TRA ikiutaka uongozi/kampuni inayosimamia kazi zake kuwasilisha nakala za mkataba wa makubaliano kati yao kuhusiana na masuala ya promotion katika kipindi cha kuanzika mwaka 2010 – 2014. Barua hiyo pia inaongeza kuwa: "Unatakiwa pia kuwasiliasha vielelezo vya ushahidi kuhusiana na

Wema Sepetu Aukana Wimbo Wa Diamond Platnumz

0
0
Wakati hit single ya Diamond Platnumz, Ntampata Wapi inatoka mwaka jana, watu wengi waliamini kuwa wimbo huo amemwandikia ex wake, Wema Sepetu. Tetesi hizo zilienea baada ya kubainika kuwa wawili hao wameachana tena. Hata hivyo Wema amedai kuwa si kweli.   “Leo nasema rasmi kuwa hii nyimbo hakuniandikia mimi,” Wema aliiambia Radio 5 ya jijini Arusha.   “Because nilikuwa

Natafuta Mume wa Kunioa

0
0
Naitwa Rusi nina umri wa mika 30 nimeajiriwa kwenye private company. Natafuta mume mwenye umri wa miaka 31-35, awe na alimu ya kidato cha sita na kuendelea, awe muajiriwa, awe mweusi au maji ya kunde, awe mrefu au wakati, awe mwembamba au wakati, mcheshi na mwenyekujua thamani ya mwanamke.   Awe na mapenzi ya kweli awe mcha Mungu, Mkristo mwenye hofu ya Mungu zaidi, mwenyekujitambua

Je, Upo Singo na Unatafuta Mpenzi Au Mchumba???.....Bofya hapa Tukusaidie

0
0
Je, Upo Single  na  unatafuta  mpenzi  au  mchumba?  Kama  jibu  ni  ndio  basi  Mpekuzi  ni  Chaguo  lako. Tuandikie  Taarifa  zako  na  sisi  tutazirusha  hewani  moja  kwa  moja  kupitia  mtandao  huu  unaopendwa  na  watu wengi  nchini  Tanzania......  Angalizo: Mpekuzi  haitahusika  na  lolote  litakalowakuta  na  huyo  mpenzi  au  mchumba  wako  baada  ya  kukutana. Ni  wajibu 

Serikali Sasa Yakusanya bil.900/- Kwa Mwezi

0
0
RAIS Jakaya Kikwete amesema alipoingia madarakani, serikali ilikuwa ikikusanya mapato ya Sh bilioni 170 kwa mwezi, lakini sasa inakusanya Sh bilioni 900 kwa mwezi.   Rais alisema hayo Dar es Salaam jana wakati akifungua Mkutano wa 22 wa Wahasibu Wakuu wa Ukanda wa Afrika Mashariki na kusini mwa Bara la Afrika (ESAAG), ulioshirikisha nchi 14.   “Nilipoingia madarakani, serikali ilikuwa

SUMATRA Yawaonya Wenye Mabasi

0
0
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewaonya baadhi ya wasafirishaji ambao wamekuwa wakitoza nauli wanazotaka wao, kuwa jambo hilo ni uvunjaji wa sheria na halikubaliki.   Hayo yalielezwa jana na Mkurugenzi wa Sumatra, Gilliard Ngewe wakati wa mkutano wa kukusanya maoni kuhusu mapitio ya viwango vya nauli za mabasi, ambao uliwashirikisha wadau mbalimbali wa

Ujauzito ulimkosesha Snura mamilioni ya pesa

0
0
Wakati msanii wa Bongo Fleva,Snura Mushi yuko kimya kwa zaidi ya miezi kwa karibu miezi mitano na zaidi ili kupisha ujauzito wake ukue kwa siri hadi akajifungua mtoto wake wa tatu zaidi ya mwezi mmoja uliopita, Snura ijumaa iliyopita aliachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Hawashi’ na kuifichua siri yake ya kubeba ujauzito na kuficha siri hadi anajifungua.   Kwa mujibu wa meneja wa msanii

Oscar Pistorius Agoma Kula Chakula cha Gerezani

0
0
Gereza la Death Island, South Africa alikofungwa mwanariadha mlemavu Oscar Pistorius lilimpa uhuru kwenye baadhi ya vitu mwanariadha huyo, ikiwemo kuwasiliana kwa simu, kutembelewa na wageni na hata kusikiliza redio, baadhi ya wafungwa waliona kama anapendelewa.    Taarifa kutoka gerezani zinahusu Oscar Pistorius kugoma kula chakula cha gerezani kutokana na hofu kwamba wafungwa wenzake

CCM: "Majina Yatakayopita Kura ya Maoni Hayatakatwa, Wananchi Jitokezeni Kugombea"

0
0
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameshauriwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa mwaka huu, huku wakihakikishiwa majina yao kutokatwa kwa watakaoongoza kwenye kura za maoni.   Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa aliyasema hayo alipozungumza na wanaCCM wa Chamwino Ikulu wilayani Chamwino wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman

Mwanamke Apigwa Mawe Akituhumiwa Kuwa na Uhusiano na Mume wa Mtu.

0
0
Mwanamke  mmoja  Mkoani  Shinyanga   amepigwa  Jiwe   na kujeruhiwa shingoni kwa kutuhumiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mume wa mtu.    Mwanamke huyo amesema kuwa alitoka kumsindikiza mgeni wake wakati anarudi akapata lift ya pikipiki lakini ghafla alishangaa kupigwa jiwe na watu anaowafahamu ambao ni mtu na mke wake.   Mwanamke huyo amesema baada ya kupigwa walisimama ili

Katiba Inayopendekezwa Itapita Kwa Kishindo- Nape

0
0
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema vyama vya upinzani vitaendelea kuwa wasindikizaji wa CCM katika chaguzi mbalimbali zitakaofanyika nchini kutokana na wananchi wengi kuendelea kukiamini chama hicho.   Aidha amesisitiza kuwa Katiba Inayopendekezwa itapita kwa kishindo wakati wa Kura ya Maoni itakayofanyika Aprili 30, mwaka huu, pamoja
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images