Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Ajali Iliyoua Watu 50 Iringa: Mbatia aitupia lawama Serikali.....Aapa Kulipeleka Swala Hili Bungeni ili Wahusika Wawajibishwe

$
0
0
Mwenyekiti  wa  NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia amesema kwamba  ajali  iliyotokea eneo la Mafinga Changalawe mkoani Iringa ilikuwa imepangwa na binadamu na wala sio mipango ya Mungu.    Akizungumza jijini Dar leo Mbatia amesema ajali hiyo ilipangwa na watendaji wa serikali  kwa sababu ajali hiyo ilisababishwa na shimo kubwa ambalo limekaa kwa muda mrefu eneo hilo pasipo juhudi

Jaribio la Kutaka Kuuawa: Dr. Slaa Atinga Kituo Cha Polisi Central Kujieleza

$
0
0
Akihojiwa na Wanahabari.    ..Slaa(kulia), akitoka katika lango kuu la kituo cha Polisi akiwa na viongozi wengine wa chama hicho. Waandishi wa habari (kulia) wakimsubiri Slaa nje.Gari la Dr. Slaa likiwa limepaki nje ya Kituo cha Polisi Central.  ******    SIKU mbili baada ya kuachiwa mtuhumiwa Khalid Kagenzi anayedaiwa kutaka kumuuwa kwa sumu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na

Majambazi Wapora Bunduki, Waitumia Kuiba Pesa CRDB na Dukani

$
0
0
Vitendo  vya ujambazi vinazidi kushika kasi kwenye jiji la Dar es Salaam, ambapo tukio lingine limetokea leo mishale ya saa kumi jioni maeneo ya Mikocheni Kwa-Mwalimu Nyerere baada ya watu wanne kutinga eneo hilo wakiwa na pikipiki na kumpora mlinzi silaha aina ya Shot Gun aliyekuwa akilinda kwenye ATM ya CRDB.   Majambazi hao waliitumia bunduki hiyo kwa kuvamia duka la vinywaji

Video Iliyorekodiwa Kwa Simu Wakati Majambazi Walipopora Bunduki na Kuiba Mikocheni-Dar

$
0
0
Video iliyopachikwa hapo chini (imepatikana via WhatsApp) inaonesha tukio la leo Alhamisi, Machi 12, 2015 la majambazi wakivamia na kisha kupora fedha kutoka kwenye maduka katika eneo la Mikochieni mitaa ya kwa Mwalimu Nyerere kutoka kwenye ATM ya CRDB na duka la vinywaji la Mohans na maduka mengine ya jirani, ambapo inasadikiwa kuwa kiasi cha shilingi milioni 100/= kilichukuliwa.

Wasichana Wadogo Wanaobeba Mimba Waongezeka

$
0
0
Msichana mmoja kati ya wanne wenye umri wa  miaka 15 hadi 19 ni mjamzito au ana mtoto, imeelezwa. Idadi hii inawakilisha maisha halisi na kuonesha kwamba kama jitihada za makusudi hazitachukuliwa wasichana wataendelea kukosa haki zao za msingi na kuzidi kuwa wategemezi.   Hayo yalisema na mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akifungua mkutano wa kimataifa wa utafiti katika ukunga

Waziri Mkuu Atoa UFAFANUZI Juu ya wa Muswada wa Mahakama ya Kadhi Ambao Wiki Ijayo Utapelekwa Bungeni

$
0
0
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wenye sehemu 14 likiwemo suala la Mahakama ya Kadhi. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Magogoni jijini Dar es Salaam, juzi jioni (Jumatano, Machi 11, 2015) Waziri Mkuu alisema Serikali inakusudia kuwasilisha muswada huo kwenye mkutano ujao wa Bunge unaotarajiwa kuanza

Madereva Kupelekwa Mafunzo Ya Miezi 6 Kuzuia Ajali

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia, amesema katika kudhibiti ajali za mara kwa mara nchini, Serikali inatakiwa kuchukua hatua za haraka na kuwapeleka madereva wote wa abiria katika masomo ya miezi sita ili wawe na uchungu wa maisha ya watu. Pia ameitaka Serikali kuipitia Sheria vizuri na kuhakikisha kuwa madereva wote wazembe wanaosababisha ajali, wananyang’anywa leseni

Waganga 55 Wakamatwa Jijini Mwanza Wakihusishwa Na Mauaji Ya Albino Na Ramli Chonganishi

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia waganga wa kienyeji 55 wanaopiga ramli chonganishi na kusababisha madhara makubwa yakiwemo ya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi pamoja na vikongwe. Katika idadi hiyo, mmoja wa waganga hao anadaiwa kukutwa na nywele zinazodhaniwa kuwa ni za mlemavu wa ngozi (albino) pamoja na debe tatu za bangi.   Hayo yalielezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa

Mama Aliyemsaidia Mwanae Kubaka Atupwa Jela Miaka 30 Sawa Na Mwanae

$
0
0
Mama aliyemsaidia mwanawe kubaka , Regina Kigelulye, ametupwa jela miaka 30 sawa na mtoto wake ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kubaka, Sagimembe Mroso.   Mtoto huyo pamoja na kwenda jela miaka 30 amepewa adhabu ya kuchapwa viboko 12, sita akiingia jela na sita akitoka.   Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mpwapwa, Paskal Mayumba mwendesha mashitaka wa Polisi Godwin

Nuh Mziwanda Akubali kuwa 'BWEGE'......Asisitiza Kuwa Hakuna Mapenzi ya Kweli bila Kupigwa Na MKEO......Aaapa kutoachana na Shilole Milele

$
0
0
Msaniii wa Bongo fleva Nuh Mziwanda ambae ni mpenzi wa wa msanii Shilole amefunguka na kusema hakuna binadamu wa kuweza kuwatenganisha katika mapenzi yao licha ya manneo ya watu kuzungumza vibaya kuhusu mpenzi wake huyo ambae amekuwa akimpiga mara kwa mara.   Mziwanda alisema kuwa ni Mungu tu ndiyo anaweza kuwatenganisha na kama ni kipigo basi yeye amezoea maana hakuna mapenzi ya kweli

Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 60 na Kuchapwa viboko 12 kwa Kosa la Kubaka Wasichana Wawili Kwa Zamu

$
0
0
Mahakama ya Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, juzi imemhukumu mwanamume mmoja Festo Domisian (30), mkazi wa wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, kutumikia kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kuchapwa viboko 12, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka wasichana wawili kwa zamu akiwa na kisu na kumjeruhi mmoja wao.   Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu wa Mahakama hiyo, Hamad Said Kasonso, baada ya

Tume Ya Uchaguzi Yasema Haiwezi Kutengua Ubunge Wa Zitto Kabwe Hadi Ipokee Barua Ya Spika wa Bunge na Sio ya CHADEMA Pekee.

$
0
0
Tume ya Uchaguzi imesema  hata ikipokea barua  kutoa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe haina uwezo wa kuchukua hatua yoyote mpaka watakapopokea barua kutoka kwa Spika wa Bunge. Akizungumza na mwandishi, Mkuu wa Idara ya Elimu ya Mpiga Kura na Habari wa NEC,  Ruth Masham, alisema mpaka sasa hakuna barua iliyofika katika

Hizi ni Picha Za Wema Sepetu Na Ommy Dimpoz Wakibadilishana MATE Kitandani

$
0
0
Baada ya Ali kiba kuachia single mpya iitwayo Cheka Chaketua hivi karibuni,  Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ameshare nasi hizi kava nne zinazokaribisha ujio wa single yake mpya iitwayo Wanjera inayotarajiwa kuachia leo  tarehe 13, 2015. Kava hizo zinamuonesha Ommy Dimpoz  akiwa  kimahaba  na msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu.

Update: Waliokufa Katika Ajali Ya Basi Mafinga Wafika 50

$
0
0
Miili ya watu wanane tu kati ya watu 50 walikufa katika ajali ya juzi, iliyohusisha basi na lori katika eneo la Changarawe, Mafinga mkoani Iringa, ndiyo iliyotambuliwa mpaka mchana. Idadi ya marehemu wa ajali hiyo iliongezeka kutoka 42 waliokufa mapema juzi hadi 50. Mmoja wa hao walioongezeka aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya mkoa wa Iringa, ametambuliwa kuwa ni Oswald Mwinuka (58).

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa Ya March 13 2015

$
0
0
Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  Ya  Leo  Ijumaa Ya  March  13  2015

Makalio Yampaisha Marekani Agness Masogange.......Mitandao ya Nje Yasifia Kiuno Chake

$
0
0
Staa  aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na makalio yake, Agnes Gerald ‘Masogange’ sasa amepaa kimataifa zaidi na kuwa  gumzo hadi Marekani baada ya hivi karibuni mtandao mmoja wa watu maarufu nchini humo kumpa shavu. Masogange aliripotiwa na mtandao wa Media Take Out na kumuelezea kuwa ni staa mwenye makalio makubwa barani Afrika akitokea Tanzania.   Mbali na maelezo kibao

Mwanamke Aliye Mrekodi Video Ya UCHI Mtangazaji wa Runinga ya TV1, Ezden Akamatwa na Jeshi La Polisi

$
0
0
JESHI la polisi jijini Dar limemkamata binti anayefahamika kwa jina la Moza kwa kosa la kudaiwa kumdhalilisha Mtangazaji wa Runinga ya TV1, Ezden Jumanne ambapo anatarajiwa kuburuzwa mahakamani muda wowote baada ya uchunguzi kukamilika. Moza ambaye alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji huyo kisha kuachwa, anadaiwa kumrekodi video ya utupu Ezden kipindi walipokuwa kwenye

Wanafunzi Wakutwa Wakilawitiana Katika Shamba la Migomba huko Moshi

$
0
0
Picha  Ya  Maktaba Wanafunzi  wawili wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Ongoma iliyopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamekutwa wakilawitiana katika shamba la migomba jirani na shule hiyo.   Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, Jerad Kesi, amesema kuwa tukio hilo lilitokea Machi 5 mwaka huu.   Kutokana na tukio hilo, Mwalimu Kesi alisema mmoja wa wazazi wa watoto hao alivamia

Umeziona Picha Za Wema Sepetu Akipapaswa Na Ommy Dimpoz Kitandani???......VIDEO Iko Hapa.

$
0
0
Ommy Dimpoz na Wema Sepetu walichukua headlines kwa zaidi ya mwezi mmoja kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa kwa picha zenye utata zikiwaonyesha wakiwa mapenzini na ikapelekea watu kujua labda Ommy ameamua kurithi kiti cha Diamond Platnumz.    Kumbe  ilikua ni video mpya ya Ommy aliyokwenda kuifanya South Africa na imemuhusisha Idriss wa BBA pia, itazame hapa chini alafu

Taarifa ya Rais Kikwete ya kuiagiza JKT ijenge nyumba za walioathiriwa na mvua Kahama

$
0
0
 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameliagiza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuwajengea nyumba 403 mpya waathirika ambao walibomolewa nyumba zao kutokana na mvua kubwa, yenye mawe na upepo mkali iliyonyesha usiku wa Machi 3, 2015, katika vijiji vitatu vya Kata ya Mwakata, Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga.  
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>