Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mbowe Akagua 'JESHI' lake la Red Brigade jijini Mwanza.......Hizi ni Picha za 'Wanajeshi' hao Wakila Kiapo cha Utii

$
0
0
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) akisikiliza. Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini

No More Twerking!!, Tanzania Bans The Provocative Dance

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); “This sounds like violation of human rights? You have a bum but you can’t put it in use!! Why?? You will provoke weak men to rape you??” ---that’s what the internet seems to think about the ban!! Tanzanian government has banned the provocative dance move because it undermines Tanzanias  culture.    Police

Rais Kikwete Aongoza Mamia Ya Wananchi Katika Kuuaga Mwili Wa Aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  na mkewe Mama salma Kikwete sambamba na viongozi mbali mbali wa kitaifa wamewaongoza mamia ya waombolezaji kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba katika Viwanja vya Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Mwili wake umepokelewa kwa heshima huku ukiwa umebebwa na Askari maalumu wa bunge huku ndugu

Hotuba ya Rais kikwete ya mwisho wa mwezo Februari, 2015

$
0
0
Utangulizi Ndugu Wananchi; Kama ilivyo ada tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuzungumza kupitia utaratibu wetu huu mzuri wa hotuba za kila mwisho wa mwezi. Kwa mwisho wa mwezi wa Februari nina mambo matano ninayopenda kuyazungumzia.   Zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura Ndugu Wananchi; Jambo la kwanza ni uandikishaji wa Wapiga Kura. Tarehe 24 Februari, 2015

TAZARA Sasa Kusukwa Upya Kiutendaji na Kimfumo

$
0
0
Serikali ya Tanzania na Zambia zimekubali kulisuka upya Shirika la Reli la nchi hizo (Tazara), kwa kufanya marekebisho ya kimfumo na kiutendaji ili kutatua matatizo ya kimuundo na kimenejimenti yanayochangia kuzorota kwa ufanisi wa shirikia hilo. Katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi Februari, aliyoitoa juzi usiku, Rais Kikwete alisema hatua hiyo inatokana na mafanikio ya ziara yake ya

Upelelezi Kesi ya Lwakatare wa CHADEMA na Mwenzake bado Kukamilika.....Kesi yao Yaahirishwa hadi April Mosi

$
0
0
Upelelezi wa kesi ya kula njama ya kudhuru kwa sumu, inayomkabili Mkurugenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilfred Lwakatare na mwenzake bado haujakamilika. Wakili wa Serikali Genes Tesha alidai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Janeth Kaluyenda wakati kesi hiyo ilipotajwa jana.   Hakimu Kaluyenda aliahirisha kesi hiyo hadi Aprili Mosi

TANESCO Yakiri MADUDU Katika Mfumo wa LUKU

$
0
0
Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme nchini (TANESCO), limekiri kuwepo na matatizo ya mfumo wa kununua Luku, ulioanza Ijumaa jioni wiki iliyopita  hadi jana na kuwa matatizo hayo yanatokana na mfumo wa kuuza umeme wa Luku. Akizungumza na mwandishi jijini Dar es Salaam jana, Meneja Mawasiliano wa Tanesco, Adrian Shogholo alisema ni kweli kuwa tatizo hilo lipo na limetokana na mfumo wa

Mume na Mke Wafikishwa Kortini kwa Kumwozesha Binti wa Miaka 10......Mahakama Yafunga Dhamana Hadi Kesi Itakapokamilika

$
0
0
Mke na Mume wanaotuhumiwa kumuoza binti wa miaka 10 jana walifikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma Mjini huku Mahakama ikifunga dhamana yao hadi kesi hiyo itakapomalizika. Washtakiwa hao wanakabiliwa na shtaka la kumuozesha mtoto mwenye umri wa miaka 10 ambaye ni binti yao kwa mahari ya Sh 100,000 na mbuzi 12.   Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya Dodoma Mjini , Mwajuma

Rais Kikwete Atangaza Hali ya Hatari Kwa Watu Wanaoua Albino....Aagiza Wasakwe Kila Kona ,akubali kukutana na Viongozi wa Albino Wiki Ijayo

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amezungumzia hali ya usalama wa nchi, ikiwemo  uvamizi wa vituo vya Polisi,  uporaji wa silaha ulioambatana na vifo vya askari na kusema matukio hayo, baadhi yake yana dalili za ugaidi. Akizungumzia hali ya usalama nchini jana katika hotuba yake ya mwisho wa Februari, Rais Kikwete pia amekuja juu  kuhusu mauaji kwa watu wenye albinism na kusema vitendo hivyo

Wimbo wa John Komba Wamliza Rais Kikwete

$
0
0
Wimbo wa John Komba aliouimba katika msiba wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1999, jana uliibua majonzi na kusababisha viongozi mbalimbali, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, kutoa machozi ulipoimbwa kumuaga mbunge huyo.   Wimbo huo uliobadilishwa maneno yanayohusu Mwalimu Nyerere na kuingizwa yanayomtaja mbunge huyo wa Mbinga Magharibi, mbali na Rais Kikwete ulimliza pia Rais

Ina Uma Sana: Marehemu John Komba Asimangwa Mitandaoni, Familia Yalalamika

$
0
0
MTOTO wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi (CCM), John Komba, amelalamikia baadhi ya wananchi wanaosambaza kashfa za baba yake. Anaripoti Sarafina Lindwino… Gerald Komba, mtoto wa tatu wa hayati John Damian Komba amesema, mitandao mingi ya kijamii kumejaa “nukuu chafu za baba yake.” Nukuu hizo, ni zile mbazo alizitoa wakati wa uhai wake. “Ninawaomba Watanzania wenzagu kuacha

Meet Nyambura: A Professional LADY By Day but a MALAYA at Night

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); A well endowed lady named, Wilfreda Nyambura, has been exposed by her colleagues as a professional lady by day but when darkness sets in, she starts selling her flesh to rich men. Apparently, she has been in the business for the last five years and this has enabled her buy a house in South B and two

Mamia ya Wananchi Wamuaga Marehemu John Komba huko Songea

$
0
0
Mamia ya wananchi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, jana walijitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga-Magharibi, Kapteni John Komba ambao uliwasili majira ya saa 10.25 katika Uwanja wa Ndege wa Ruhuwiko, mjini hapa.   Baada ya mwili huo kuwasili kwa ndege ya kukodi mkoani hapa, ulipokelewa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali akiwemo Mkuu wa

Ridhiwani : Kikwete hana ugomvi na Lowassa.......Wanaosema Uhusiano wa mzee (Rais Kikwete) na Lowassa ni mbaya ni Waongo

$
0
0
MTOTO wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwan Kikwete, amesema mzee wake (Kikwete) hana ugomvi wala uhusiano mbaya na aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa; na kwamba kama kungekuwa na ugomvi, basi yeye angekuwa anajua hilo.   Ridhiwan alitoa kauli hiyo jana wakati akihojiwa na Televisheni ya Star TV kupitia kipindi chake cha Changamoto za Kisiasa kwa Watoto wa Viongozi. “Wanaosema uhusiano wa

Unalichukuliaje Swala la CHADEMA Kuwa na 'Jeshi' Lake la Kujihami?? Tupe Maoni Yako

$
0
0
Hii picha ni 'Jeshi' la chama cha CHADEMA maarufu kama RED BRIGADE huko Mwanza wakati wakila kiapo cha utii mbele ya Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe siku ya jumamosi.   Nini maoni yako juu ya 'majeshi' haya ya vyama? #qp_main255652 .qp_btna:hover input {background: rgb(183,222,237)!important;background: -moz-linear-gradient(top, rgba(183,222,237,1) 0%, rgba(113,206,239,1) 50%,

Vikongwe Watatu Akiwemo Mganga wa Kienyeji Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma, Wauawa Kwa Tuhuma za Kuzuia Mvua Isinyeshe Wilayani humo

$
0
0
Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina. Akizungumzia matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali

Rais Kikwete Aongoza Mamia Ya Wananchi Kumzika Mbunge John Komba Kijijini Lituhi Leo

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete leo amewaongoza viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa na mamia ya watanzania waliojitokeza kuuzika mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba Kijijini  Lituhi  Leo   Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba

Serikali Yasitisha Tiketi za Kielekroniki Uwanja wa Taifa

$
0
0
Serikali imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa. Kwa mujibu wa taarifa za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa vyombo vya habari, uamuzi huo ulitangazwa Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia mbele ya viongozi wa shirikisho hilo na

Sheria Yatungwa Kudhibiti Omba Omba

$
0
0
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam inakusudia kutunga sheria kadhaa ndogo, ikiwemo ya kudhibiti ombaomba na uendeshaji wa soko la samaki Feri. Sheria nyingine zinazotarajiwa kutungwa ni pamoja na sheria za zao la ngozi na za mfuko wa elimu.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma na Halmashauri ya Ilala ambayo imesainiwa na Mkurugenzi wake, Isaya Mngurumi imesema

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Yatahadharisha Ukame Mwaka Huu

$
0
0
Hali ya ukame inatarajiwa kukabili nchi kutokana na upungufu wa mvua utakaoathiri pia upatikanaji wa nishati ya umeme. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imehadharisha juu ya hali hiyo na kutaka mamlaka zinazohusika na masuala ya umeme, kuanza kuchukua njia mbadala wa uzalishaji nishati kutokana na tishio hilo.   Aidha, upungufu wa unyevu ardhini kutokana na vipindi vya ukosefu wa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images