Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Bei ya Mafuta Yaendelea Kuporomoka

$
0
0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kuendelea kushuka kwa bei ya mafuta bei ambazo zinaanza kutumika Jumatano hii. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo, Ewura imesema katika bei hizo mpya, sasa mafuta ya petroli imeshuka kwa Sh 116 kwa lita moja, dizeli  Sh 145 na mafuta ya taa Sh 134 kwa lita moja.   Katika taarifa hiyo imesema kwamba bei

Watu 8 Kortini Kwa Kumvua Nguo Zote Askari Polisi wa Kike......Watano kati yao ni Wanachuo

$
0
0
Wafanyabiashara watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi  Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike  na kumsababishia maumivu makali mwilini. Mwanasheria wa Serikali, Petrida Mutta alidai mbele ya Hakimu Joyce Minde, kwamba kwa pamoja, washitakiwa hao walimfanyia unyama askari huyo kwa kumvua nguo zote na

Mapacha Walioungana Kuingia Kidato cha Tano

$
0
0
Mapacha  walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18), wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoani Njombe, wamefaulu mtihani wao wa kuhitimu kidato cha nne kwa alama sawa isipokuwa masomo mawili. Ufaulu wao wa alama ya Credit 2.0, huku wakiwa wamefanya vizuri katika Kiingereza na Bayolojia, umekuja wakati wanafunzi wengi wa shule ya Sekondari  Maria Consolata iliyoko mkoani

William Ngeleja Ahojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kuhusiana na Kupokea Fedha za ESCROW.....Rugonzibwa yeye Kagoma Kuhojiwa

$
0
0
Mbunge wa Sengerema,  William Ngeleja amekiri mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma kwamba, aliomba na kupokea Sh milioni 40.4 kutoka kwa James Rugemalira, kwa kujitetea alifanya hivyo kama ilivyo kawaida pia kwa wabunge wengine. Ngeleja  alidai mbele ya baraza hilo kwamba, msaada huo aliopewa na Rugemalira hauna tofauti na  mingine aliyowahi kupokea kutoka kwa wafanyabiashara

Waziri wa Ujenzi Ahitimisha Ziara Yake Mkoani Kilimanjaro......Hizi ni Picha za Magufuli na Mbowe Wakiimba na Kucheza kwa Furaha

$
0
0
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli kushoto akizungumza jambo na Mbunge wa Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe wakati Waziri wa Ujenzi alipokagua barabara ya Kwa sadala-Masama-Machame JCT km 16.  Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli kushoto akimtaka mbunge wa Hai mkoani Kilimanjaro ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama

Serengeti Boy Asimulia Jinsi Alivyolifaidi Penzi la Wolper

$
0
0
Siri imefichuka! Bwa’mdogo a.k.a Serengeti Boy kutoka Kundi la Makomando, Fredy Felix amesimulia namna alivyofaidi penzi la staa wa Bongo Movies, Jacqueline Walper Massawe ‘Wolper’. Akizungumza na GlobalTV Online kwenye mahojiano maalum juzikati, dogo huyo alisema kuwa katika maisha yake ya kimapenzi hakuna mwanamke ambaye aliwahi kutoka naye na kujiachia kwa furaha kama ilivyo kwa

Kituo cha Mwenge kurudi kwa ajili ya kushusha na kupandisha abiria tu

$
0
0
Kituo cha Mwenge kurudi tena kwa ajili ya kushusha na abiria tu baada ya kuhamishwa mwaka jana kuelekea kwenye kituo cha Makumbusho,Kijitonyama.   Zaidi msikilize Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mh.Yusuph Mwenda akizungumzia kuhusu kurudi kwa kituo hicho ambapo magari ya abiria hayataruhusiwa kukaa kwa muda mrefu.

Q-Chillah,TID wataka kutwangana kisa,ngoma mpya ya Ali Kiba

$
0
0
Mastaa wa Bongo Fleva,Q-Chillah na TID mwishoni mwa wiki hii walitaka kutwangana walipokutana katika Klabu moja usiku.   Kwa mujibu wa Q-Chillah akizungumza kwenye Uheard na Soudy Brown alisema kuwa alikwenda kwenye klabu hiyo kuangalia shoo iliyokuwa ikifanyika lakini baadaye aliamua kutoka nje kucheza ‘pool table’ ndipo alipomuona TID.   ‘’Nilimuona jamaa(TID) akiniangalia na baadaye

Wanaume Watatu Wanyongwa Mkoani Kilimanjaro na Kisha Maiti Zao Kutelekezwa

$
0
0
Watu watatu  wanaume wasiofahamika, wamekutwa wamekufa na kutelekezwa maeneo ya Mjohoroni wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, huku miili yao ikionesha majeraha maeneo tofauti pamoja na kuvuja damu nyingi puani. Kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey Kamwela (pichani) alithibitisha kutokea kwa tukio hilo, lakini akasema ametuma maofisa wake eneo la tukio na taarifa rasmi ataitoa

Nguo Fupi Yamdhalilisha......Wanaume Wakware Wamshambulia, Aokolewa na Boda boda

$
0
0
Hiyo ni Picha ya Msichana ambayo siku ya jana imesambaa sana mitandaoni...   Inasemekana alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi ambacho kilivuta hisia za wanaume  wakware na kuanza kumzonga zonga wakitaka kumvua kabisa kimini hicho huku wengine wakimchoma vidole sehemu zake za siri. Kwa bahati nzuri alitokea  jamaa  mmoja  mwenye  gari  ambaye  alimchukua  huyu  dada  na

Mvua ya Mawe Yaleta Maafa Makubwa Mkoani Shinyanga Watu 35 Wafariki Dunia

$
0
0
Zaidi ya watu 35 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 55 wamejeruhiwa baada ya nyumba zao kuwaangukia na kuwafunika usiku wa kuamkia leo kutokana na mvua kubwa iliyonyesha wilayani Kahama, mkoani Shinyanga. Taarifa zilizothibitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya amesema mvua hiyo kubwa iliambatana na upepo mkali, hivyo nyumba nyingi zilianguka na nyingine kuezuliwa na

Nay Wa Mitego apima UKIMWI......Akiri Kumsaliti Mpenzi wake

$
0
0
Nay wa Mitego akiwa na mpenzi wake Siwema Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego hivi karibuni aliweka wazi majibu yake baada ya kupima UKIMWI kupitia account yake ya Instagram na kwamba alikuwa yupo safi yaani(Negative).   Alipoulizwa sababu ya kupima ngoma alisema kuwa alikuwa akiumwa ugonjwa wa Malaria na alikuwa hajaugua kwa muda mrefu na alipokwenda hospitali ilibidi apime na ngoma

Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao

$
0
0
Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.   Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule

Zitto Kabwe Ataka Tuhuma Za Kifisadi Zinazoelekezwa Kwake Zichunguzwe na Yupo Tayari Kuwajibika.

$
0
0
Katika kujitetea mbele ya Baraza la Maadili kuhusu tuhuma dhidi yake za kugawiwa mgawo wa fedha kutoka akaunti ya Escrow, mbunge wa Sengerema Bwana William Ngeleja alisema kuwa ni kawaida wabunge kupewa misaada na wafanyabiashara na taasisi za umma.    Katika Maelezo yake alirudia tuhuma za kipuuzi dhidi yangu zilizokwisha tolewa huko nyuma kwamba: 1) Nilipewa fedha na kampuni ya PAP na

Rais Jakaya Kikwete Atumia Salamu za Rambirambi Kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Kufuatia Vifo Vya Watu 38 Waliouawa na Mvua Kubwa

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mheshimiwa Ali Nasoro Rufunga kuomboleza vifo vya watu 38 huku wengine 82 wakijeruhiwa usiku wa kuamkia tarehe 4 Machi, 2015. Tukio hilo la kusikitisha limetokea katika Kata ya Mwakata iliyoko katika Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga kufuatia mvua

Ufafanuzi juu ya Hali ya Afya ya Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai.

$
0
0
Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa kwenye Mitandao ya kijamii kuhusu hali ya Afya ya Naibu Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai.    Ofisi ya Bunge inapenda kuutangazia umma na Wananchi wote kuwa, taarifa hizo zinazosambazwa katika baadhi ya Mitandao si za kweli, bali ni uzushi mtupu.   Ukweli ni kwamba Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai ni Mzima wa afya na hivi sasa yuko jimboni kwake Kongwa

Rais Kikwete Amtembelea Rubani wa Ndege ya Kivita Iliyopata Ajali na Kuwaka Moto Jijini Mwanza

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakimjulia hali Meja Peter Lyamuya aliyelazwa katika hospitali kuu ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam akiuguza jeraha la mguu alilopata baada ya ndege ya kivita aliyokuwa akiiendesha kuanguka na kulipuka wiki iliyopita.   Askari huyo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) alinusurika kifo baada ya kufanikiwa kujiokoa katika ajali

Umasikini ni Kitu Kibaya Sana: Nuh Mziwanda Anusurika Kupigwa Chupa na Shilole ambaye ni Mpenzi Wake.....Hili ni tukio la Pili

$
0
0
Staa wa Bongo Fleva na Bongo Movie,Shilole amedaiwa kutaka kumpiga tena mpenzi wake ambaye pia ni msanii Nuh Mziwanda kwa chupa hivi karibuni wakiwa kwenye sherehe ya kuzaliwa meneja wa msanii Kajala,aitwaye Lamata iliyofanyika pande za Samaki Samaki,Posta,jijini Dar.   Katika tukio hilo habari zinasema kuwa Shilole alikuwa amelewa sana na kwamba walikuwa wamekaa sehemu tofauti na

Korea Kusini Kutoa Fedha za Daraja Jipya Selander

$
0
0
Serikali ya Jamhuri ya Korea ya Kusini hatimaye imekubali kutoa fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa daraja jipya la kisasa la Selander. Korea imekubali kutoa mkopo wa fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa daraja hilo jipya na la kisasa, ambalo litakuwa mbadala wa daraja la zamani la Selander.      Daraja hilo litapita pembezoni mwa daraja la zamani la Selander kuanzia Coco Beach (

SUMATRA Yaanza Mchakato wa Kurekebisha Nauli za Mabasi

$
0
0
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imeanza mchakato wa mapitio ya viwango vya nauli za mabasi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa SUMATRA, mapitio hayo yana lengo la kubaini haja ya kurekebisha viwango vya nauli za mabasi hapa nchini.   “ Kwa mujibu wa Sheria ya Sumatra ya 2001 na Kanuni zake, Mamlaka imeamua kufanya mapitio ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images