Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Dr. Wilbrod Slaa Amlilia Marehemu Kapteni John Komba.....Asema Taifa Limepoteza Mpigani wa Kweli!!

$
0
0
Yakiwa  Yamepita  Masaa Machache  baada ya Mbunge wa Mbinga mashariki Kaptain John Komba kufariki dunia Gafla kutokana na kusumbuliwa na Ugonjwa wa kisukari kwa mda mrefu, Viongozi mbalimbali wakimwemo wanasiasa wametoa masikitiko yao kufuatia kifo hicho.   Wakizungumza na Mpekuzi, wanasiasa hao wameonyesha kugushwa na msiba huo na wa kwanza kuzungumza na mwandishi wetu ni Katibu Mkuu wa

VIDEO: Kamati Kuu ya CCM Yawatimua Akina Chenge, Ngeleja na Tibaijuka.....Hatima Ya Akina Lowassa , Membe na Wengine Yaachiwa Kamati ya Maadili

$
0
0
KAMATI kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM /CC,imewazuia Viongozi wake  waliochukua pesa kwenye Akaunt ya Escrow kutoingia kwenye Vikao vya juu  vya Chama hicho. Viongozi waliozuiliwa ni Mbunge wa Muleba kusini Profesa Anne Tibajuka,Mbunge wa Bariada Magharibi Adrew Chenge pamoja Mbunge wa Sengerema William Ngeleja ambao wote kwa pamoja waliingiziwa pesa na Mbia wa kampuni ya IPTL bwana james

Rais Kikwete atoa Salamu za Rambirambi kufuatia kifo cha Mbunge wa Mbinga,Mh. John Komba

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko mkubwa na huzuni nyingi taarifa za kifo cha ghafla cha Mheshimiwa Kepteni John Damian Komba, Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa ya CCM na msanii hodari sana wa kizazi chake. Katika salamu zake za rambirambi kwa Spika wa Bunge,

Pinda kuigawa wilaya ya Chunya kabla ya Oktoba 30

$
0
0
Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda ameahidi kuigawa wilaya ya Chunya ili kupata wilaya mbili kabla ya uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Uamuzi wa waziri mkuu kuigawa wilaya ya Chunya haraka unatokana na maombi ya wananchi wa jimbo la Songwe hususan katika kijiji cha Mbuyuni ambao wameamua kulala chini kwenye mavumbi, huku mbunge wa jimbo la Songwe,

NEC yaongeza muda wa kujiandikisha Makambako

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeongeza muda wa siku mbili zaidi katika zoezi la uandikishaji wapiga kura kwenye daftari lakudumu la wapiga kura kwa njia ya Biometric voters registration (BVR) lililokuwa limalizike hii leo katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe kutokana na idadi kubwa ya watu waliojitokeza kujiandikisha.   Mpekuzi  ilifika katika baadhi ya vituo kwenye mitaa

Kapteni Komba kuagwa kesho jijini Dar

$
0
0
Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na Mkurugenzi wa kundi la uhamasishaji chama cha CCM LA Tanzania One Theatre (TOT), Kapteni Mstaafu John Komba unatarajiwa kuagwa kesho katika viwanja vya Karimjee. Mwili huo utaagwa kuanzia saa nne asubuhi kabla ya kusafirishwa kwenda Mbinga kwa maziko siku ya Jumanne.   Kifo cha Marehemu Komba kinakuwa ni pigo jingine kubwa katika tasnia

VIDEO: Rais Kikwete Aifariji Familia ya Marehemu Kapten John Komba Leo

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015. Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo

Kapt. Komba kuzikwa Mbinga, Jumanne Machi 3

$
0
0
Mwili wa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi nchini Tanzania Kapteni mstaafu John Komba unatarajiwa kuagwa kesho katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam. Akizungumza na Kurasa nyumbani kwa marehemu Komba. Mmoja wa watoto wake Gerard Komba amesema mara baada ya kuagwa kwa mwili huo hapo kesho utasafirishwa hadi katika kijiji cha Lituhi wilayani Mbinga tayari kwa maziko

Wazazi waliooza binti wa miaka 10 kortini

$
0
0
WAZAZI wa mtoto mwenye umri wa miaka 10 aliyeozwa kwa siri wilayani Bahi, katika Mkoa wa Dodoma, wanafikishwa mahakamani leo kujibu mashitaka yanayowakabili.   Mtoto huyo aliokolewa kutoka kwenye ndoa aliyokuwa amelipiwa mahari ya mbuzi 12 na Sh 100,000.   Kijana, Joshua Mnamba (25) aliyekuwa amemuoa, inadaiwa alifikishwa mahakamani Februari 24, mwaka huu.   Kamanda wa Polisi wa Mkoa

Watu Watano Mahututi baada ya kunywa dawa za Kienyeji Walizopewa na Mganga wa Jadi

$
0
0
WATU watano wa familia moja katika Kitongoji cha Benaco, Kata ya Mtandi Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara, wamelazwa katika Hospitali ya Mkomaindo huku hali zao zikiwa mbaya baada ya kunywa dawa ya kienyeji waliyopewa na mganga wa tiba za asili.   Dawa hiyo ya kienyeji inaitwa nyungu, ambayo hutokana na mchanganyiko wa majani tofauti ambayo hupondwa kwenye kinu na kuchanganywa na

Linah na Recho Wanaswa Wakifanya Mambo ya Aibu Mbele ya Watu

$
0
0
Masistaduu wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ na rafiki yake, Winfrida Josephate ‘Recho’, wamefanya mambo ya aibu mbele ya kadamnasi.   Tukio hilo la aibu lilijiri hivi karibuni usiku kwenye bwawa la kuogelea (swimming pool) ndani ya Hoteli ya Regency-Mikocheni jijini Dar ambapo kulikuwa na ‘bethidei’ ya Recho.   Awali, mastaa hao walianza kwa kulishana keki kwa staili ya njiwa (

Shamsa: Sipendi Wanaolalamika Kutendwa!

$
0
0
Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford  ametoa mtazamo wake kupitia  ukurasa wake wa Instagram  kuhusu swala la watu kulalamika muda wote kuwa  wametendwa kwenye maswala la mahusiano ya kimapenzi.   “Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na kumpuuza”. Aliandika

Waziri Mkuu Awafariji Askari 9 Waliopata Ajali Wakiwa Kwenye Msafara Wake

$
0
0
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda, amewatembelea askari wa Jeshi la Polisi waliolazwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Mbeya kutokana na ajali waliyoipata jana wakati msafara wake ukielekea Kata ya Galula wilayani Chunya.   Waziri Mkuu aliwatembelea majeruhi hao na kuwapa pole jana asubuhi kabla ya kuelekea wilayani Mbozi kuendelea na ziara yake ya Mkoa wa Mbeya. Alifuatana na mkewe Mama Tunu Pinda,

CUF Waishangaa CCM Kuwazuia Akina Chenge, Ngeleja na Tibaijuka Kuhudhuria Vikao vya Chama badala ya Kuwafikisha Mahakamani.

$
0
0
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimeshangazwa na uamuzi wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi wa kuwazuia viongozi waliohusika na kujipatia mgawo wa fedha kutoka katika akaunti ya Tegeta Escrow kutohudhuria vikao vyote vya Halmashauri Kuu na Kamati Kuu badala ya kuwafikisha mahakamani.   Akizungumza na wafuasi wa chama hicho katika Ofisi ya Kata ya Tandale wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam

Radi Yaua Watu Watano wa Familia Moja huko Shinyanga......Wanne kati Yao Walikuwa ni Wanafunzi

$
0
0
WATU watano wa familia moja wakiwemo wanafunzi wanne wamekufa papo hapo kwa kupigwa radi wakiwa shambani katika Kijiji cha Manungu kata ya Uyogo, Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama, mkoani Shinyanga.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Kahama, Leonard Nyadaho, kwa niaba ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, watu hao walipigwa na radi Februari 28,

Ratiba ya Kuuaga Mwili wa Marehemu Kapten Komba Leo katika Viwanja Vya Karimjee

$
0
0
Mwili wa Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi nchini Tanzania Kapteni mstaafu John Komba unatarajiwa kuagwa leo  katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam. >>>BOFYA  HAPA  KUIONA  RATIBA

Hali si Nzuri ndani ya NNCR-Mageuzi: Mbunge wa Kasulu Mjini Moses Machali ASUSA.....Atangaza Kutogombea tena Ubunge wa Jimbo hilo

$
0
0
MBUNGE wa Kasulu Mjini, Moses Machali (NCCR-Mageuzi), ametangaza rasmi kwamba hatagombea tena ubunge wa jimbo hilo wakati wa uchaguzi mkuu mwaka huu.   Amesema ingawa alikuwa na nia ya kuendelea kuongoza jimbo hilo, amelazimika kuacha kwa kuwa baadhi ya viongozi wa chama chake wilayani Kasulu wanachafua jina lake bila sababu.   Machali alitangaza msimamo huo juzi mjini Kasulu

Zitto Kabwe Ataka Andrew Chenge Apewe 'Kifungo Cha Maisha' Uongozi wa Umma

$
0
0
WAKATI Tume ya Maadili ya Utumishi wa Umma ikiendelea na mvutano wa sheria na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, amesema mbunge huyo alistahili kufungiwa kushiriki kwenye uongozi wa umma muda mrefu.   Zitto alisema kuwa tangu izuke kashfa ya rada ambayo pia Chenge alihusishwa, tume ya

Urais 2015: Kiongozi wa CHADEMA Atangaza Kumuunga Mkono Edward Lowassa.....Aitahadharisha CCM Kutofanya Kosa la Kumwacha Lowassa

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetahadharishwa kisifanye mzaha na uteuzi wa mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama hicho, kwani kisipoteua mtu makini na mchapa kazi anayekubalika na jamii, mgombea atakayesimamishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), atashinda kirahisi urais uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu. Akizungumza kwenye mazishi ya kada maarufu wa CCM wilayani Kahama, Emmanuel Chupa

Photos : Girl Takes Her Life After Boyfriend Dumped Her For Best Friend

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); So sad! A young Nigerian girl has taken her life after her boyfriend dumped her for her best friend.   According to a close source,the deceased body was found at the back of a building few days after her boy friend dumped her.   She however declined to say the name of the deceased and her boy friend
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images