Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Tiko: Nataka Mtoto wa Pili lakini Sina Mwanaume wa Kunipa Mimba

$
0
0
Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan amesema kuwa anatamani kupata mtoto wa pili kwa sababu mtoto wake wa kwanza amefikisha miaka 10, tatizo hana wa kuzaa naye. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Tiko alisema yeye ni ‘mgonjwa’ wa watoto wachanga na anahisi sasa ni muda muafaka ila tatizo mwanaume aliyenaye hana mpango wa kupata mtoto.   “Yaani acha tu, mpenzi niliyenaye naona

Mke wa Mtu Anaswa Akifanya Mapenzi na Njemba Kwenye Gari

$
0
0
Mwanamke mmoja anayedaiwa  kuwa  ni  mke  wa  mtu amenaswa live  akifanya mapenzi ndani ya gari katika eneo la Kirumba  jijini  Mwanza. Mwanamke  huyo alinaswa majira ya saa tisa za usiku katika eneo  hilo  maarufu  kwa biashara  haramu  ya ngono  lililopo jirani na Villa Park ambapo mbali  na  tukio  hilo, mwandishi  pia  alishuhudia wanawake wengi wakiwa wamesimama na kujinadi kwa

Mwanamke Auawa na Mumewe Kwa Kipigo na kisha Mwili wake Kufukiwa katika Zizi la Ng'ombe

$
0
0
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Ubetu Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amefariki dunia baada ya kupigwa na mume wake sehemu mbalimbali za mwili na kisha kuzika mwili wake kwenye boma la ng'ombe.   Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alisema tukio hilo lilitokea Februari 25 mwaka huu saa 11:45 jioni.   Akieleza mazingira ya tukio hilo, Kamanda Kamwela, alisema siku

Wafuasi wa CUF Wawazidi Ujanja Polisi Mahakamani.....Kesi yapigwa kalenda hadi March 23

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam,jana iligeuka mithili ya uwanja wa sinema baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP) kuwafutia mashitaka watu 30 wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) kutimua mbio na kutoweka eneo la mahakama hiyo. Kitendo hicho kiliwafanya wafuasi hao wanusurike kuunganishwa katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim

Ndege ya Jeshi Yaanguka na kuwaka moto jijini Mwanza.....Rubani Anusurika

$
0
0
Ndege ya kijeshi imeanguka leo uwanja wa ndege wa Mwanza na kuwaka moto wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu.   Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya  injini za ndege hiyo ilipotaka kuruka,  ikashindwa na kuanguka.

Diamond Platnumz Banned From Mombasa Events!

$
0
0
This just in: according to Grace Kerongo, Diamond Platnumz has been declared persona non-grata at Mombasa events.   The decision was allegedly reached after the Tanzanian sexy flexxy singer reportedly infuriated one of the county staff during some recent showbiz shindig. (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); Talking about matters ego related

JWTZ Watoa Tamko Baada ya Ajali ya Ndege ya Kivita Iliyotokea Mkoani Mwanza Leo

$
0
0
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa ya ajali ya Ndegevita moja (1) iliyotokea leo tarehe 27 Februari 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza. Ndegevita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida ya kivita, Wakati rubani wa ndegevita iliyopata ajali akijiandaa kuruka ndipo ndege mnyama akaingia katika moja ya injini zake na kusababisha ndegevita

Kesi ya Kumdhuru Mfanyakai Wa Ndani Yapigwa Kalenda

$
0
0
Kesi ya kumdhuru mfanyakazi wa ndani inayomkabili raia wa Ufaransa, Folkertsma Laurent (41), imeahirishwa hadi Machi 31, mwaka huu kutokana na shahidi kutofika mahakamani. Awali, Wakili wa Serikali, Felista Mosha wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, alidai kwamba kesi hiyo jana ilikuja kwa ajili ya kusikilizwa na kwamba shahidi waliyemtegemea mahakamani hapo hakufika.   Pia alidai kuwa

Kijana Akana Kubaka Na Kumpa Mimba Mwanafunzi wa Miaka 16

$
0
0
Mkazi wa Tabata, Erasto Clement (22) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala na kukana mashitaka ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa miaka 16. Akisomewa maelezo ya awali jana, Wakili wa Serikali Felista Mosha alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Juma Hassan kuwa katika tarehe na mwezi usiofahamika, mwaka jana, Clement pamoja na

Kobe 250 Wakamatwa Uwanja Wa Ndege Zanzibar Wakitoroshwa Kwenda Malaysia

$
0
0
Kobe wadogo 250, wamekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, wakiwa njiani kusafirishwa kwa njia ya magendo kwenda Malaysia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkadam Khamis Mkadam, alisema kobe hao walikamatwa wakiwa wamehifadhiwa katika masanduku yaliyowekwa maembe ndani yake, katika hatua za mwisho za kusafirishwa.   “Ni kweli tumekamata kobe

Dkt. Magufuli Aongoza Wananchi Kwenye Majaribio ya Uzinduzi wa Kivuko cha MV Dar es Salaam( Dar -Bagamoyo)

$
0
0
Kivuko cha Mv Dar es Salaam, kinachotarajiwa kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kutoka Dar es Salaam kwenda Bagamoyo, jana kilifanyiwa majaribio ya safari ambapo kilitumia saa tatu, huku ikielezwa kwamba kitakapoanza kutoa huduma kitatumia saa mbili kwa safari moja. Akizungumza katika ziara ya ukaguzi wa Kivuko hicho, Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, alisema wamekifanyia

Urais 2015: Hatima ya KIFUNGO cha Akina Lowassa, Membe na Wengine Kujulikana Leo baada ya Kikakoa cha Kamati Kuu ya CCM (CC)

$
0
0
Kamati Kuu ya CCM (CC) iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye inakutana leo na suala kubwa linalotarajiwa na wanachama na wananchi, ni tathmini ya hukumu ya vigogo sita wa chama, waliokuwa wakitumikia adhabu baada ya kubainika kuanza kampeni za urais mapema. Vigogo ambao tathmini ya mwenendo wao inasubiriwa baada ya kikao hicho ni pamoja na waliokuwa mawaziri wakuu, Edward Lowassa na

Diamond Platnumz Busted By His Lover; Find Out What He Was Doing! [Photo]

$
0
0
Awhile back in 2014 Solange Knowles put up a photo of Beyonce sneakily peeping at Jay Z’s phone. She said that it was happening because they had trust issues. Since then, the photo has made rounds around the web as a meme. (adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});   Zari The Bosslady was in the same situation recently when her boyfriend was

Meet The Lady Fired For Not Allegedly Letting MP Have S£X With Her......“Panua Paja Mkwaju Waja! Ama Kataa Nikufute Kazi!”

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); It seems like Jubilee Alliance MPs and Senators are addicted to s*x like their CORD Coalition counterparts. A case in point is Juja MP, Francis Munyua Waititu, who fired his CDF chair lady for refusing to have s*x with him.  Susan Wambui, who is blessed with a curvaceous and sexy body, was fired in October

Wimbi la Kumshawishi Edward Lowassa Kugombea Urais Lazidi Kupamba Moto.

$
0
0
Wimbi la watu kumuunga mkono na kumshawishi Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, kugombea nafasi ya urais wakati utakapofika, limezidi kupamba moto na safari hii, ujumbe mzito kutoka Pemba unajiandaa kufanya hivyo. Taarifa za maandalizi kwa wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Pemba kwenda Monduli kumshawishi Lowassa kugombea urais, zimekuja siku chache baada ya baadhi

DC Paulo Makonda Kufikishwa Mahakamani kwa Udhalilishaji

$
0
0
Viongozi wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wanakusudia kumfikisha mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, Jumatatu ijayo kwa madai ya kuwakashifu, kuwadhalilisha na kuwatukana. Viongozi hao ni aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, John Guninita na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mgana Msindai. Akisoma kusudio hilo jana mbele ya waandishi wa habari kwa

Of The Women Diamond Has “Eaten”, Zari Or Wema Sepetu; Who Is “Sweeter” Between Older Women And Young Girls?

$
0
0
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({}); If you were to ask Diamond, he would probably say that older ladies are sweeter. Something to do with fine wine and time but what do I know?  Personally, I am one of those who believe that raw mangoes taste infinitely better because you can add pilipili and salt to them.   But you see, Diamond dated Wema

Breaking News: Mbunge wa Mbinga Magharibi Mh. Kapteni John Komba Afariki Dunia

$
0
0
Mbunge wa Mbinga Magharibi Mh. Kapteni John Komba amefariki Dunia leo saa 10 jioni katika Hosptali ya TMJ Mikocheni.    Kwa Mujibu wa mtoto wa Marehemu Bw. Jerry Komba amesema kifo cha marehemu baba yake kimetokana na ugonjwa wa kisukari ambapo amedai kuwa sukari ilishuka ghafla akiwa nyumbani kwake Mbezi Beach Dar es salaam.   "Ni kweli mzee amefariki dakika 50 zilizopita, alikuwa

PICHA: Majonzi Yatawala Msabani kwa Mbunge Kapten John Komba

$
0
0
Makazi ya marehemu John Komba, Mbezi Tangi Bovu jijini Dar    ...waombolezaji wakilia kwa uchungu nyumbani kwa marehemu   ...masikitiko na kilio kwa mjane wa marehemu, Bi. Salome Komba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akimfariji mke wa marehemu, Salome komba   ....ni kilio na huzuni kubwa kwa Malkia wa Tarabu Khadija Kopa, ambaye alikuwa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images