Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mwanaume Ajinyonga hadi Kufa kwa Gauni la Mkewe Kisa kikiwa ni Wivu wa Mapenzi

$
0
0
MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.   Inadaiwa kabla ya kujinyonga jana saa 12 asubuhi, alimkata mapanga mkewe akimtuhumu kutembea nje ya ndoa.    Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe alisema wanandoa hao walikuwa na

Ungekuwa wewe Ungefanyaje??....Jamaa anamtaka Kimapenzi Mchumba wa mtu kisa kawasikia Usiku Wakifanya

$
0
0
Hii  story  nimekuta  inajadiliwa  sehemu  flani, nikaona  si  mbaya  nikusogezee  na  wewe  mdau.Jamaa  anasema  alikuwa  Lodge  na  mpenzi  wake  wamejipumzisha. Kama  unavyojua  mambo  ya  Lodge, hasa  unapokuwa  na  mke  wako  au  mchumbaako, jamaa  anadai  walijiachia  vyakutosha  ili  mradi  tu  kila  mmoja  aifurahie  siku  hiyo. Kumbe  purukushani  zao  za  chumbani  zilikuwa 

Wawili Wafariki Dunia Baada ya Kufunikwa na Kifusi Wakichimba Vito Tanga

$
0
0
Wakazi wawili wa kata ya Kigongoi wilayani Mkinga, wamekufa papo hapo baada ya kufukiwa na kifusi cha udongo walipokuwa wakichimba madini aina ya vito. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki alibainisha hayo wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu matukio mbalimbali mkoani humo.   Aliwataja waliokufa ni Nyange Mussa (21) ambaye ni mkazi wa kitongoji cha Hemsambia

Zabuni ya Ujenzi wa Barabara za Juu Kutangazwa Mwezi Ujao

$
0
0
Zabuni  ya ujenzi wa barabara za juu jijini Dar es Salaam inatarajiwa kutangazwa mwezi ujao. Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli alitoa taarifa hiyo wakati wa hafla ambayo serikali ya Japan ilitia saini mkataba wa kusaidia serikali fedha za ununuzi wa magari ya kubebea wagonjwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na mashine ya kukamulia mafuta ya alizeti wilayani Chato.   Ingawa Magufuli

Ombi la Maranda wa EPA Kusikilizwa Februari 18

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 18, mwaka huu kusikiliza ombi la kwenda kutibiwa nchini India, lililowasilishwa na mshitakiwa wa kesi ya wizi wa Sh milioni 207 katika Benki Kuu (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) Rajab Maranda. Kesi hiyo ilitajwa kwa ajili ya kusikiliza ombi hilo lakini Hakimu Mkazi Frank Moshi, aliahirisha kwa kuwa jopo la mahakimu wanaosikiliza

Kituo cha Televisheni cha EATV na East Africa Radio Chazindua kampeni ya #ZamuYako2015 Kwa Ajili ya Kutoa Elimu ya Uchaguzi

$
0
0
Kituo cha Televisheni  cha EATV na kituo chake cha East Africa Radio wameandaa kampeni maalumu itakayojulikana kama Zamu yako 2015 kwa ajili ya kuwakumbusha na kuwaelimisha vijana umuhimu pamoja na uwezo walionao katika kufanya maamuzi sahihi kwenye masuala makubwa ya kitaifa yanayohusu siasa. Akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Mkuu wa Vipindi wa

Wafanyabiashara Mwanza Wafunga Maduka tena

$
0
0
Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza kwa mara nyingine tena, wameendelea kuonja adha ya migomo, ambapo jana wafanyabiashara zaidi ya 600 wenye maduka makubwa na ya kati yaliyopo katika mitaa mbalimbali ya jiji hilo wameamua kufunga maduka yao na kuisababishia serikali hasara ya mamilioni ya shilingi.   Mgomo huo wa maduka ambao ulitangazwa kufanyika Februari 11 mwaka huu na viongozi wa

Wakulima wa Miwa Mvomero Waandamana Kudai Malipo

$
0
0
Jeshi la polisi wilayani Mvomero mkoani Morogoro limezuia maandamano ya wakulima wa miwa Turiani waliotaka kuandamana kwa lengo la kulalamikia kiwanda cha Mtibwa kushindwa kulipa madeni yao kwa muda mrefu. Wakizungumza kwa jazba wakulima hao wakiwemo wazee wamesema hawaoni sababu ya jeshi la polisi wakiwa na silaha kuwazuia kufanya maandamano ya kudai haki yao kwani ni muda mrefu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Asema Ratiba ya Mchakato wa Katiba iko Palepale

$
0
0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju amesisitiza kuwa mchakato wa Katiba mpya unaendelea vizuri na kwamba muda uliopo unatosha kwa ajili ya zoezi la kampemi pamoja na kupiga kura ya maoni.   Akizungumza katika mahojiano muda mfupi baada ya kukutana na wahariri wa vyombo vya habari, Mwanasheria Mkuu Masaju amewataka wananchi kuondoa hofu juu ya uwezekano wa kufanyika kwa kura ya

Sakata la Escrow: Mwanasheria wa TANESCO Abadilishiwa Kesi

$
0
0
Mwanasheria Mwandamizi wa Tanesco, Steven Urassa amefutiwa mashitaka ya kupokea sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kusomewa mashitaka ya kupokea rushwa ya Sh milioni 161.7. Urassa aliondolewa mashitaka hayo baada ya Wakili kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai kubadilisha hati ya mashitaka dhidi yake.   Akisoma hati hiyo

Ajiandalia MAZIKO Kwa Miaka 14 sasa Mkoani Rukwa

$
0
0
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mkazi wa mjini Namanyere mkoa wa Rukwa, Gilbert Paul (37) aliyejiandalia maziko yake miaka 14 iliyopita, bado yu hai. Kwa sasa  mtu huyo ameanza maandalizi ya kuchimba na kujenga kaburi la gharama, ikiwa ni pamoja na kununua jeneza.   Paul, baba ya mtoto mmoja na mchoraji maarufu mjini Namanyere aliyehitimu Kidato cha Nne 2001 katika Shule  ya Sekondari

Mkazi wa Mwanza Ajishindia Bajaji ya 6 ya Promosheni ya Tutoke na Serengeti

$
0
0
Bajaji ya sita ya kampeni ya Tutoke na Serengeti, safari hii itaelekea mkoani Mwanza baada ya bwana. Ramadhan Abubakar kutangazwa kuwa mshindi wa Limo Bajaj, kufuatia ushiriki wake yakinifu tangu kuanza kwa kampeni hii.   Akiongea kwa njia ya simu, Abubakar  (28) ambaye ni fundi umeme na mkazi wa Nyamagana, Mwanza alielezea furaha yake baada ya kuelezwa na SBL kwamba ameshinda Limo Bajaj

TAKUKURU Yaapa Kutoacha Mtu Sakata la Escrow

$
0
0
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema kuwa haikurupuki katika kuwashughulikia na kuwafikisha mahakamani viongozi wanaotuhumiwa kujipatia fedha kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kwamba ushahidi pekee ndiyo itakaofanya kuwafikisha mahakamani watuhumiwa. Akizungumza mara baada ya kuzindua jengo la ofisi ya mkoa la Taasisi hiyo mjini Kigoma juzi, Mkurugenzi Mkuu

Serikali Yaiagiza TANESCO Kushusha bei ya Umeme....SUMATRA nao Waagizwa Kushusha bei za Nauli

$
0
0
Baada ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi. Kutangazwa kwa bei hiyo ni agizo la Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene la kuwataka kuangalia uwezekano wa kushusha gharama za umeme ili kushuka kwa mafuta kuwaguse moja kwa moja wananchi wa

Baada ya Kukosea Kufunga Vifungo vya Suti, Wassira Aamua Kumtafuta Sheria Ngowi ili Amtengenezee Suti zake

$
0
0
BAADA ya kuandamwa sana katika mitandao ya kijamii kuhusu kutofunga vizuri vifungo vya suti yake, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Stephen Wasira ameamua kumuona mbunifu wa mavazi wa kimataifa, Sheria Ngowi ili aanze kumtengenezea suti zake. Mhe. Wasira ameamua kukutana na mbunifu huyo aliyeanza mara moja kumchukua vipimo vyake ili amtengenezee mavazi yake ambayo atakuwa

Batuli Afunguka Kuhusu Mambo ya Chumbani na Nguo za Ndani Anazopendelea Kuvaa

$
0
0
STAA wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefungukia mambo yake ya chumbani na kuanika kuwa anapenda kuvaa kufuli zenye rangi tofauti. Akizungumza na Gpl, Batuli ambaye anaendelea kufanya vizuri Bongo Movies kila kukicha, alisema kama binadamu wengine na yeye linapofika suala la viwalo hivyo vya ndani, anapenda kununua vingi vyenye rangi tofauti.   “Nanunua nyingi lakini

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Kova Apiga MARUFUKU Maandamano ya Vijana wa CUF

$
0
0
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imepiga marufuku maandamano ya Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF) kutokana na kile ilichosema yana lengo la kusababisha uvunjifu wa amani.   Maandamano hayo yaliyokuwa yafanyike leo, yalikuwa yaanzie Buguruni hadi Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ajili ya kufikisha madhumuni yao.  

Mkuu wa Wilaya Awapiga Marufuku Waganga Watoa UCHAWI

$
0
0
MKUU wa Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma Betty Mkwasa amepiga marufuku shughuli zote za waganga wa kutoa uchawi maarufu kama lambalamba.   Alisema sasa itaandaliwa amri halali na akisikia kijiji kina lambalamba, mtu wa kwanza kukamatwa ni Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji kwani inaonesha waganga hao wamekuwa na ushirikiano na viongozi hao.   Alitoa kauli hiyo juzi baada ya kutembelea kijiji

Serikali Kuachana na Nguzo za Umeme za Miti

$
0
0
SERIKALI imesema inaendeleza jitihada za kuachana na matumizi ya nguzo za umeme za miti, badala yake itatumia nguzo za zege ikiwa ni hatua mojawapo ya kuboresha huduma ya usambazaji na upatikanaji wa umeme nchini.   Hayo yalibainika mwishoni mwa wiki katika kikao baina ya uongozi wa Kampuni ya Sunshine Group Ltd na wataalamu wa sekta ya umeme kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Shirika
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images