BWENI la wanafunzi wa shule ya sekondari ya Idodi iliyoko Jimbo la Isimani Wilaya ya Iringa Vijijini Mkoani Iringa, limeteketea kwa moto na kusababisha hasara ya mamilioni ya shilingi, ikiwa ni miaka sita tu tangu bweni hilo liungue na kusababisha hasara kubwa na vifo vya wanafunzi 13.
Agosti 25, 2009 bweni la shule hiyo, liliwaka moto na kusababisha vifo vya wanafunzi wa kike 13, ambao
Mabweni ya Shule ya sekondari Idodi Jimboni kwa Lukuvi Yateketea kwa Moto TENA
↧
↧
Mtuhumiwa sakata la Escrow kizimbani leo
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo inatarajia kumsomea maelezo ya awali Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4 ambazo ni sehemu ya fedha zilizokuwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
Mujunangoma anatarajiwa kupanda kizimbani na kusomewa maelezo ya awali mbele ya Hakimu Mkazi
↧
Uchaguzi Mkuu 2015: Polisi yaapa Kukabiliana na Vurugu za Aina Yoyote.....“Tutawakomesha Waleta Vurugu”
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limeahidi kuwa limejipanga vizuri, kukabiliana na vurugu na matukio ya kihuni kuelekea uchaguzi mkuu, utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Hayo yalisemwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Mihayo Msikhela alipozungumza na mwandishi ofisini kwake mjini hapa jana.
“Hatutakuwa na msalie Mtume kwa mtu yeyote atakayejihusisha na uvunjifu wa amani na kufanya mambo ya
↧
Baba Amuunguza Mdomo Mwanae kisa Kadokoa Maharage
Vitendo vya kikatili na unyanyasaji wa Wanawake na watoto vinaendelea kushika kasi licha ya Serikali na mashirika mbalimbali ya haki za Binadamu kupiga vita vitendo hivyo kwa nguvu .
Hali hiyo imejitokeza katika kijiji cha Kasaka, Kata ya Nyaruyoba Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma baada ya Baba mzazi aliyefahamika kwa jina la Sindotuma Nyamubi, kumchoma moto na kumuunguza vibaya sehemu za
↧
Shinyanga Yaendelea Kulia na Ukosefu wa Maji.....Hizi ni Picha za Wakazi wake wakiteseka kutafuta Maji
WAKAZI
wa manispaa ya Shinyanga na viunga vyake, wameendelea kuteseka kwa
kukosa maji safi na salama kwa mfululizo wa siku nne sasa, baada ya
mitambo ya kusukuma maji kutoka chanzo cha ziwa Victoria (Ihelele), na
kusambaza maji hayo katika miji ya Kahama na Shinynga kupata hitilafu
kwenye mfumo wa umeme.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi hao wamezitupia lawama
mamlaka za
↧
↧
Matokeo ya Kidato cha Nnne ( Form four ) Kutangazwa Jumapili ya Wiki Hii
Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne nchini ya mwaka 2014, yanatarajiwa kutangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Jumapili wiki hii.
Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde (pichani), alitoa ahadi hiyo kama zawadi kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mpwapwa mkoani Dodoma, kufuatia ajali ya moto iliyotokea Januari 20, mwaka huu na kuteketeza mali zote zilizokuwa kwenye bweni
↧
CHADEMA: Hatutakubali Kura Zetu ziibiwe tena.....Mbowe Azindua Mafunzo ya vijana 200 wa Red Brigade na Wacheza Kareti
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimejipanga kuhakikisha katika uchaguzi Mkuu hawaibiwi kura.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freemon Mbowe wakati akizindua mafunzo ya Kikosi cha Ulinzi na Usalama cha chama hicho (Red Brigade), kwa vijana 200 wa Kanda ya Kati pamoja na Kikosi maalum cha Karate.
“Katika uchaguzi huu hatutaki kulalamika
↧
Mtoto wa Miaka 6 Abakwa na Kunyongwa Porini
MKAZI wa Kijiji cha Mayaka, Kata ya Minyughe, Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Samaha Mtawa (6) amekufa baada kubakwa na kunyongwa wakati akichuma matunda porini.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi, Thobias Sedoyeka, mwili wa mtoto huyo ulionekana Februari 7 mwaka huu saa 12 asubuhi umbali wa mita 150 kutoka nyumbani kwao.
"Uchunguzi wa awali
↧
Hizi ni picha zinazoonyesha Jengo la ghorofa tatu la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lilipo Dar likiungua Moto.
Moto
Mkubwa umezuka mapema leo kwenye moja ya nyumba za Jengo la ghorofa tatu la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lililopo Mtaa wa Moscow na Libya eneo la Posta Jijini Dar es Salaam na kuteketeza mali kadhaa.
Chanzo cha
moto huo bado hakijafahamika rasmi.Jeshi la Polisi liliwahi kufika eneo la
tukio kuhakikisha amani na utulivu vinakuwepo huku magari ya zimamoto
nayo yakiendelea
↧
↧
Sauda Mwilima Ayaanika Maziwa Yake
Mtangazaji wa kituo kimoja cha runinga nchini, Sauda Mwilima ‘Mwarabu wa Kigoma’ juzikati alionekana akiwa ameachia nido zake ukumbini.
Tukio hilo lilitokea katika Ukumbi wa Escape One, jijini Dar ambapo
Sauda alikuwa ameambatana na mumewe, Kauli Juma huku sehemu ya kifua
chake ikiacha nido zake wazi kutokana na nguo aliyokuwa ameivaa.
“Jamani hivi siku hizi imekuwa ni fasheni watu
↧
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba Kitandani zilipigwa Usiku wa Manane.....Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy akizungumza katika kipindi cha Uheard na Soudy Brown amesema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi
↧
Suti ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh Steven Wassira Yageuka GUMZO Baada ya Kukosewa Kufungwa Vifungo
Suti ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh Steven Wassira imegeuka gumzo mtandaoni baada ya kukosewa kufungwa vifungo vyake.....
Wassira alionekana ndani ya vazi hilo wakati wa Sherehe za Utume zilizoandaliwa na kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) na kujumuisha nchi zingine 11 za Afrika Mashariki na Kati.
Sherehe hizo zilizofanyika juzi uwanja wa taifa
↧
Uagizaji Mafuta kwa Pamoja Kuokoa Mabilioni
Tanzania inatarajia kuokoa mabilioni ya fedha kutokana na kuanza kutekeleza mfumo wa uagizaji mafuta kwa pamoja na kwa kiasi kikubwa.
Hayo yalibainishwa Dar es Salaam jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage alipofungua programu ya mafunzo maalumu ya wajasiriamali wanaoagiza nishati ya mafuta, yaliyoandaliwa na First National Bank (FNB).
Mafunzo hayo yanahusu namna
↧
↧
Kesi ya Sheikh Ponda Kusikilizwa tena Februari 16
Kesi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini Shehe Ponda Issa Ponda jana imeahirishwa hadi Februari 16, mwaka huu kwa mashahidi wa upande wa mashitaka kuendelea kutoa ushahidi mahakamani.
Tayari mashahidi saba wa upande huo wameshatoa ushahidi wao mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa wa Morogoro, akiwemo aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Faustine
↧
Afisa Mtendaji Atandikwa Makofi Hadharani
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu
**
OFISA Mtendaji wa kijiji cha Lumesule, Kata ya Lumesule, wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Swalehe Daimu, anadaiwa kupigwa na mkazi wa kijiji hicho, kwa madai ya kumkamata dada yake na kumtoza faini ya Sh 5,000 kwa kushindwa kushiriki shughuli za ujenzi wa maabara.
Akizungumza mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu, kijijini hapo jana,
↧
Tanzania Yasikitishwa na Uamuzi wa Kenya wa kuzuia magari ya kitalii ya Tanzania
Serikali imeelezea kusikitishwa na uamuzi wa Kenya wa kuzuia magari ya kitalii ya Tanzania kwenda kuchukua na kushusha watalii wanaotumia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, kwa kusema kuwa hatua hiyo haijengi wala kuendana na dhamira njema ya mkataba wa kuanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Waziri wa Afrika Mashariki, Dk Harrison Mwakyembe alisema jana kuwa, dhamira ya
↧
Washitakiwa wa Kesi ya Dk Sengondo Mvungi waomba Kusikilizwa
Washitakiwa wa kesi ya mauaji ya mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi wameiomba Mahakama iwape haki ya kuwasikiliza.
Waliwasilisha ombi hilo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Waliarwande Lema wakati kesi hiyo ilipotajwa na Wakili wa Serikali, Leonard Challo kudai upelelezi bado haujakamilika.
Mshitakiwa Longishu Losingo
↧
↧
Mwalimu Apandishwa Kizimbani kwa Kupora Mume wa Mtu
MWALIMU wa Shule ya Msingi Manga katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Mary Majilanga amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Utemini, mjini Singida kujibu shitaka la kukamatwa ugoni .
Katika kesi hiyo ya madai namba 8 ya mwaka huu, mshitakiwa Mary anatakiwa kulipa Sh milioni 8 za ugoni kwa kuishi kama mume na mke na mwalimu mstaafu, Julius Magandi ambaye imeelezwa ni mume
↧
Simanzi Yatawala Wakati wa Mazishi wa Ndugu Sita wa Familia Moja Walioteketea kwa Moto Dar
Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal jana aliwaongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, kuzika miili ya watu sita wa familia moja waliokufa katika ajali ya moto wakiwa nyumbani kwao Kipunguni, Manispaa ya Ilala usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita.
Katika maziko hayo yaliyofanyika makaburi ya Airwing yaliyopo Ukonga Banana, ibada ya maziko iliongozwa na Askofu Msaidizi wa Kanisa
↧
Babu Amlawiti Mjukuu Wake wa Kike.....Amhonga sh.2000 ili Asitoe Siri
POLISI wilayani Masasi mkoani Mtwara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Maili Sita kata ya Mtandi, Daudi Pilipili (44) kwa tuhuma za kumlawiti mjukuu wake wa kike mwenye umri wa 13.
Mkuu wa Polisi wilaya ya Masasi, Azaria Makubi alisema inadaiwa alitenda kosa hilo juzi saa 9:00 katika kijiji cha Maili Sita huku bibi wa mtoto akiwa amekwenda nyumbani kwa mwalimu wa shule anakosoma mjukuu
↧