Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Diamond: Aliyenifundisha Kuongea Kiingereza ni Penny, sio Wema Sepetu

$
0
0
Wakati  kila mtu akiamini mwalimu wake wa lugha ya Kiingereza ni Wema Sepetu ‘Madam’ staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameibuka na kudai aliyemfundisha lugha hiyo ni aliyekuwa mpenzi wake, Peniel Mungilwa.   Diamond aliwataka watu wote waliokuwa wakiamini Wema ndiye mwalimu wake wa ung’eng’e wafute imani hiyo kwani Penny ndiye mpango mzima. “Ujue kila mtu huwa ana hisia

Mke wa Mtu Anaswa Akijiuza Kusaka Pesa za Christmass

$
0
0
Tabia ya wanawake kujiuza kwa kisingizio cha kusaka fedha kwa ajili ya Sikukuu ya Krismasi imewatokea puani wanawake zaidi ya kumi akiwemo mke wa mtu baada ya kunaswa mawindoni na kutiwa nguvuni. Tukio hilo la aibu lilitokea katika msako maalum wa polisi  uliofanyika katika eneo ‘korofi’ la ltinga, Msamvu Kata ya Mwembesongo mkoani  Morogoro, wikiendi iliyopita.  

Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 22 Disemba 2014

$
0
0
Magazeti  ya  Leo Jumatatu  ya  tarehe 22 Disemba  2014

Wema Ampongeza Jokate Lakini Asisitiza Kuendelea Kumnunia

$
0
0
Mastaa mbalimbali wamajitokeza na kumponzea mwanadada Jokate Mwegelo kwakuweza kupambana na kufanikiwa kuingia mkataba na kampuni kutoka China , kwaajili ya kutengeneza vitu mbalimbali kama nywele, viatu, na nk ,kupitia kampuni yake ya KIDOTI.   Mwigizaji Wema Sepetu nae haukuwa nyuma kwani jana kupitia mtandao alimpongeza mwanadada Jokate kwa hatua aliyofikia na akasema hii ni kama

Sakata la Escrow: Rais Kikwete Amfukuza kazi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Anna Tibaijuka.....Muhongo awekwa kiporo

$
0
0
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametengua uteuzi wa waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Prof. Anna Tibaijuka kutokakana na makosa ya ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma hasa namna alivyopokea sehemu ya fedha za malipo ya Escrow huku akimweka kiporo waziri wa nishati na madini Prof. Sospeter Muhongo.   Rais Kikwete ameyasema hayo jijini Dar es salaaam alipokuwa akizungumza

Mume Ajinyonga Ukweni baada ya Mkewe Kumkataa

$
0
0
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyamisisi, Kata ya Kukirango, wilayani Butiama,  Ryakora Kurwijira (34) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shati lake akiwa ukweni baada ya kukataliwa na mkewe aliyekuwa akiishi naye. Habari zilizopatikana kutoka kwa ndugu wa karibu, zinaeleza kwamba marehemu alikuwa akiishi na mkewe aitwaye Doy Nyanyara katika Kijiji cha Nyatwari wilayani Bunda kwa kipindi

Mtu mmoja Afariki Dunia baada ya kulipuliwa na bomu alilotaka kuwarushia askari Polisi.....Tume yaundwa kuchunguza tukio hilo

$
0
0
Askari  polisi aliyejeruhiwa Jeshi la polisi limeunda timu ya makachero kutoka makao makuu ya jeshi hilo jijini Dar es salaam  wakishirikiana na wa mkoa wa Ruvuma kufanya uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aliyelipukiwa na bomu maeneo ya majengo mjini songea  na kujeruhi askari polisi wawili wakati akijiandaa kuwarushia  askari waliokuwa doria na kisha bomu hilo kumuua mwenyewe.

Diamond Hana Uwezo wa Kumpa Mwanamke Ujauzito

$
0
0
BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba. Akizungumza na GlobalTV Online  hivi karibuni, Diamond alifunguka: “Nilimpa (Penny) mimba ya kwanza, sikuamini ikabidi twende naye

Mgombea Uenyekiti na Mfanyakazi wake wauawa kwa kukatwa Mapanga

$
0
0
ALIYEKUWA mgombea nafasi ya Uenyekiti wa Serikali ya kitongoji cha Idodomiya kijiji cha Kanoga na mfanyakazi wake kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, wameuawa kwa kupigwa kwa mapanga.   Katibu wa chama hicho Wilaya, Rajabu Hamisi alisema kuwa mauaji hayo yalitokea juzi nyumbani kwake katika kijiji cha Kanoga wilayani Kaliua mkoani hapa.  

Mwenyekiti wa CHADEMA Atimuliwa nchini kwa madai kwamba sio Raia wa Tanzania

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wilayani Mbogwe mkoani Geita Omari Atanas, amekamatwa na maofisa Uhamiaji wilayani hapa kurudishwa kwao nchini Rwanda baada ya kubainika sio raia wa Tanzania.   Akizungumzia tukio hilo, Kaimu Mkuu wa wilaya hiyo, Aman Mwenegoha, alisema Mwenyekiti huyo alikamatwa Desemba 22, mwaka huu na maofisa Uhamiaji na kuhojiwa kwa muda na

Wanaoambukiza UKIMWI kwa makusudi kushughulikiwa

$
0
0
SERIKALI wilayani Kiteto mkoani Manyara imewataka watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi kuacha kuambukiza wengine kwa makusudi kwa kufanya ngono zembe.   Akizungumza kwenye maadhimisho ya Ukimwi ambapo kiwilaya yalifanyika Mbeli kata ya Partimbo Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo Mainge Lemalali alisema sheria ipo na jambo hilo la kuambukiza kwa makusudi halikubaliki.   “Serikali

Korea Kazkazini yadai Rais Obama ni Sawa na Tumbili

$
0
0
Korea kaskazini imeilaumu Marekani kutokana na mataizo ya mtandao ambayo yameikumba siku chache zilizopita.   Tume ya taifa ya ulinzi nchini Korea Kaskazini inasema kuwa Marekani inavuruga mifumo ya mitandao ya nchi hiyo huku ikimfananishi rais wa marekani Barack obama na tumbili wa misitu ya tropiki mbali na kumshutumu kwa kuhusika katika kuonyeshwa ka filamu yenye utata inayojulikana

Magazeti ya Leo Jumapili Ya Tarehe 28 Disemba 2014

$
0
0
Magazeti  ya  Leo  Jumapili  Ya  Tarehe 28 Disemba 2014

Tibaijuka: Nitagombea Ubunge Mwakani licha ya Sakata la Escrow

$
0
0
Siku chache  baada ya Rais Kikwete kumfuta kazi  Tibaijuka kama waziri wa ardhi,nyumba na makazi ,mbunge huyo amewaambia wapiga kura wake kwamba hawakumchagua kama waziri bali kama mwakilishi wao.   Tibaijuka alifukuzwa kazi na Rais Kikwete  kufuatia kashfa ya akaunti ya tageta escrow ambapo alipokea sh.billioni 1.6.   ''Mungu anayetoa ndiye aliyechukua jina la mungu libarikiwe",

Waziri Nyalandu atangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania

$
0
0
Mbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani. Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba anao uwezo wa kuiongoza Tanzania, katika harakati za kuwafikisha kwenye maendeleo endelevu wanayotaka Watanzania. Amesema, yuko tayari kushindanishwa na Watanzania wengine watakaoona kuwa

Kashfa ya Escrow ndo sababu kuu ya Anguko la CCM-Wassira

$
0
0
Mh. Stephen Wassira, amekiri kuwa kutochukua hatua za mapema kuhusu sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow ni moja ya sababu ambayo imesababisha chama hicho kutofanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mh,Wassira ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu ameyasema hayo nyumbani kwa Baba wa Taifa

Jiji la Dar es Salaam Lakumbwa na Mafuriko....Maduka yafungwa, Magari yazimika barabarani

$
0
0
Mvua zilizonyesha kwa muda mfupi katika jiji la Dar es Salaam zimesababisha mafuriko katika maeneo ya katikati ya jiji na kusababisha baadhi ya maduka kufungwa na magari kuzimika barabarani kutokana na kuingiwa na maji kulikotokana na tatizo sugu la miundombunu ya maji taka.   Mpekuzi imetembelea katika maeneo mbalimbali ya jiji katika makutano ya barabara ya Morogoro na Bibi titi

Fella adai alipigwa mkwara na mashehe kwa kumvalisha suruali Bibi Cheka

$
0
0
Said Fella amedai kuwa mashehe waliwahi kumfuata na kumtaka aache tabia ya kumvalisha suruali Bibi Cheka.   Akizungumza kwenye kipindi cha Mkasi TV, Fella alisema mashehe hao walimfuata na kumwambia Bibi Cheka anatakiwa kuswali na sio kufanya muziki.   “Kuna muda si unajua dini yangu ya Kiislam wakatokea mashehe ‘ehh bwana unajua yule bibi mzee, kwanini mnamvalisha jeans!   "Na mimi

Bilionea wa Nigeria ampiku Oprah na kuwa mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani

$
0
0
Bilionea wa Nigeria, Folorunsho Alakija amempiku Oprah Winfrey kama mwanamke mweusi tajiri zaidi duniani kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 7.3 kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na jarida la Ventures Africa. Oprah ana utajiri ufikao dola bilioni 2.9 kwa mujibu wa Forbes. Hata hivyo orodha ya hivi karibuni ya Forbes ilionesha kuwa Alakija ana utajiri wa dola bilioni 2.5.   Utajiri wa

Wastara: Sajuki aliondoka na nusu ya akili yangu

$
0
0
Muigizaji wa filamu, Wastara Juma Sajuki amesema pengo la mume wake Sajuki halijazibika. “02.01.2015 Marehemu mume wangu kipenzi Juma Kilowoko (sajuki)anatimiza miaka 2 tangu atuache tukiwa na majozi tele moyoni mwetu,” ameandika Wastara kwenye Facebook.   “Ni ukweli usipoingika ameondoka na nusu ya akili yangu maana sifanyi chochote bila kumfikilia yeye kwa jinsi alivyokua na mawazo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images