Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mvua Yaua Jijini Dar.....Mtoto Asombwa na Maji akiwa Amelala, Ajuza aangukiwa na ukuta wa nyumba kichwani

$
0
0
MVUA iliyonyesha jijini Dar es Salaam jana, imeleta balaa baada ya kuua watu wawili, katika maeneo tofauti ya jiji, likiwemo tukio la mtoto wa miaka minane kufa baada ya kuzidiwa na maji yaliyoingia ndani ya nyumba aliyokuwa amelala.   Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, matukio hayo yalitokea jana mchana kwenye maeneo mawili tofauti. Tukio moja

Binti Ajizalisha na kutumbukiza mtoto kwenye ndoo

$
0
0
MSICHANA mmoja mkazi wa Mtaa wa Zaire eneo la Kijenge Kaskazini mkoani Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru chini ya ulinzi mkali wa Polisi baada ya kujizalisha mwenyewe na kisha kumtumbukiza mtoto wake kwenye ndoo ya maji.   Baba mwenye nyumba ambayo binti huyo alikuwa amepanga chumba cha kuishi, Reuben Mollel alisema msichana huyo alikuwa anajulikana kama ‘Dada Pendo,’

Mgombea urais atabiriwa kifo.....Yadaiwa Atafariki Ghafla Akiwa Jukwaani

$
0
0
Maalim Hassan Hussein, ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mtabiri maarufu nchini, marehemu Sheikh Yahya Hussein, ametabiri mambo 18 yatakayotokea mwakani, likiwamo la kufariki ghafla kwa kiongozi mmoja mzee ambaye yumo kwenye mbio za urais mwakani.   Hussein alisema juzi kuwa kiongozi huyo atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufariki dunia wakati akipelekwa hospitali.Akitangaza utabiri wa

Washitakiwa mauaji ya Dk Mvungi wazua kizaazaa mahakamani

$
0
0
Washtakiwa 11 wa kesi ya mauaji ya  kukusudia ya Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk.  Sengondo Mvungi wamegoma kushuka kizimbani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakishinikiza kuelezwa jalada la kesi yao lipo wapi na imefikia katika hatua gani.   Sakata hilo lilitokea jana majira ya saa 4:00 asubuhi, muda mfupi baada ya Wakili wa Serikali, Peter Njike

AJALI: Lori la mafuta lateketea kwa moto huko Tanga

$
0
0
Lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga nguzo ya umeme maeneo ya Amasia huko Handeni mkoani Tanga leo.    

Kimenuka: Simba nayo yawatimua Makocha wake

$
0
0
Klabu ya Simba imewafukuza kazi Kocha Patrick Phiri raia wa Zambia na msaidizi wake Selemani Matola kutokana na matokeo mabaya ya timu.

Thea: Hatuvai Vimini Kusaka Mabwana, Vimini ni KIKI tu ya Mjini

$
0
0
MWIGIZAJI Ndumbagwe Misayo maarufu kama Thea, amesema wasanii huvaa sketi fupi ‘vimini’ wakilenga kwenda na wakati na si kujipitisha mbele ya wanaume. Thea aliiambia Mwanaspoti, kuwa ni kama wanatekeleza wimbo wa mwanamuziki Bwana Misosi ‘Nitoke Vipi’, lakini haimaanishi kwamba wavaaji wote ni wahuni. “Vimini ni ‘kiki’ tu mjini, watu wengi wanaamini ni sehemu mojawapo ya uvaaji au Nitoke

Mapenzi Moto Moto: Diamond Kula Sikukuu ya Mwaka Mpya Rwanda na Mpenzi Wake Mpya.....Kapokelewa kama mfalme huko Rwanda

$
0
0
Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Rwanda jana. Diamond Platnumz (katikati) akiwa kamshika mkono mpenzi wake wa sasa Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Rwanda. Diamond na The Boss Lady wakifanya yao. Diamond (kulia)

Samantha Apokelewa Kwa Mikono Miwili na Familia ya Idris ( Mshindi wa Big Brother)

$
0
0
Mapenzi /urafiki wa Idris Sultan na mrembo wa Afrika Kusini aliyekuwa swahiba wake wa karibu kwenye shindano la Big Brother Africa, Samantha, umefika kwenye hatua ya juu zaidi. Samantha ambaye bado yupo nchini amepokelewa kwa mikono miwili na familia ya Idris. “They’ve only been good to me and I can’t say thank you enough. How people can love you this much but only no you a few weeks

Polisi Yatangaza Msako kwa Wanawake Wanaofanya Biashara ya Ngono

$
0
0
Polisi mkoani Tanga wamesema wataendesha msako wa kuwakamata watu wanaofanya biashara ya ngono katika nyumba za starehe na mitaa maarufu kwa biashara hiyo.   Msako huo unatokana na malalamiko ya muda mrefu ya wakazi wa Jiji la Tanga hususan wanaoishi mitaa ya Centrol na Ngamiani ambako biashara hiyo inadaiwa kukithiri.   Akizungumza na Mwandishi hivi karibuni, Kamanda wa Polisi Mkoa

Nimeamua Kutoka Kimapenzi na Binti wa Kazi ( Hausigeli) , Sina Jinsi…

$
0
0
Nina mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au kuchoka. Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vichocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia.    Ukifuatilia labda mke wangu ana mtu sipewi taarifa zozote mbaya. Sasa

Ajali Yaua Wanne Moshi....Moto wateketeza maduka 18, magari na pikipiki Handeni

$
0
0
Watu wanne wamekufa na watatu wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti, zilizotokea Moshi mkoani Kilimanjaro na Handeni mkoani Tanga. Katika ajali ya Moshi, watu wanne wamefariki papo hapo na wengine watano kujeruhiwa  baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Moshi kwenda Same, kupata ajali eneo la Uchira, Moshi Vijijini. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela

Hakimu AJITOA kesi ya Ugaid ya Shekhe Farid

$
0
0
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Hellen Riwa amejitoa kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake. Hakimu Hellen alitangaza kujitoa kusikiliza kesi hiyo jana kutokana na uamuzi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ulioamuru Mahakama ya Kisutu kusikiliza na kutolea

Mtoto ALBINO wa miaka minne atekwa jijini Mwanza.....Polisi waahidi milioni 3 kwa atakyesaidia kumpata mtoto akiwa hai

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wanne, akiwemo baba mzazi, Emmanuel Shirinde (28) wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Pendo Emmanuel ambaye aliporwa na watu wasiojulikana waliovamia nyumbani kwao.   Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, tukio la uporwaji wa mtoto huyo lilitokea Desemba 27, mwaka huu saa 4.30 usiku katika kijiji cha Ndami tarafa ya

Kwa heri mwaka 2014 uliyenogeshwa na Vituko Vingi na Matukio motomoto likiwemo la Katiba na Escrow

$
0
0
Hatmaye miezi 12 imekamilika leo ikiashiria kumalizika kwa mwaka 2014 utakaokumbukwa na wengi kwa kuwa na matukio motomoto.   Matukio ya kukumbukwa ni mengi, hata hivyo andiko hili litahitimishwa kwa kuangazia baadhi ya matukio muhimu yalivyoibua mijadala ya kitaifa na kuvuta hisia za watu wengi.   Tanzania Kinara wa ujangili Februari 10, 2014, ikiwa ni siku chache kabla ya Rais

Picha za Mtuhumiwa aliyeuawa kwa kupigwa Risasi na Polisi Mahakamani leo

$
0
0
JESHI la Magereza limefanikiwa kumdhibiti Mahabusu  wa Kesi ya dawa za kulevya ambaye ni Raia wa Sieralioni,  Abdul Koroma (33) asitoroke chini ya Ulinzi wa Askari Magereza ndani  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kwa kumtwanga risasi na kumuua papo hapo! Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi, baadhi ya wanausalama waliopangwa kulinda usalama Katika Mahakama ya

Akamatwa akijiandaa kufanya ujangili

$
0
0
Jeshi la polisi mkoani Morogoro limeendelea na operesheni shirikishi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, askari wa hifadhi ya taifa TANAPA, hifadhi ya mikumi na wananchi ambapo wamemtia mbaroni mtuhumiwa mwenye silaha aliyekuwa akitaka kwenda kufanya uhalifu.   Katika tukio lililothibitishwa na kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Leonard Paul, mtuhumiwa huyo Juma Salum (

Mvua zasabaisha mafuriko Morogoro

$
0
0
Mvua kubwa zilizonyesha kwa muda mfupi mjini Morogoro zimesababisha mafuriko na baadhi ya barabara kushindwa kupitika na maji kujaa katika baadhi ya maduka.   Wakazi wa mji wa Morogoro wakizungumzia mafuriko hayo wamelalamikia miundombinu mibovu ya barabara kutokana na kuziba kwa mitaro ambapo wameitaka halmasauri ya mji wa Morogoro kuzibua mitaro hiyo huku baadhi ya wafanyabiashara

Wananchi walilia ardhi iliyouzwa kwa mwekezaji

$
0
0
Wakazi wa kijiji cha Ayalabe kata ya Ganako wilaya ya Karatu wameiomba serikali isikie kilio chao kwa kuchukua hatua kwa watendaji wa halmashauri waliohusika katika kuuza hekari 30 za ardhi ya shule ya msingi Ayalabe pamoja na kuuza mlima pekee wa kijiji kwa mwekezaji huku wakigawana zaidi ya shilingi milioni 500 za chama cha ushirika cha kijiji hicho bila kuwashirikisha wananchi.  

Mwakyembe atimua watumishi 6 TRL

$
0
0
Waziri wa Uchukuzi nchini Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe amewafukuza kazi wafanyakazi 6 wa Shirika la Reli nchini (TRL) kwa makosa ya wizi wa fedha na ameamuru wakamatwe kuanzia jana na wafunguliwe mashtaka mara moja. Akiongea Jijini Dar es Salaam katika mazungumzo yake na wafanyakazi wa TRL waliopeleka malalamiko ofisini kwake kuhusiana na uonevu wanaofanyiwa, Dkt. Mwakyembe
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images