Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Aisha Madinda: Kutoka Kigoma,Uholanzi,Dubai hadi Kifo

$
0
0
Siku ya Desemba 17, mwaka huu haikuwa poa hata kidogo kwenye tasnia ya muziki wa dansi Bongo katika kipengele cha unenguaji. Zilikuwa ni habari mbaya za kifo cha aliyekuwa mnenguaji bei mbaya wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ inayosimamiwa na Kampuni ya ASET chini ya mkurugenzi wake, Asha Baraka, Mwanaisha Mohamed Mbegu. Wengi tulimzoea kwa jina la stejini la Aisha Madinda.

Sakata la Escrow: Tibaijuka Agoma kujiuzulu.....Asema Yeye na Prof Muhongo hawang`oki, Afurahia mgao wa mabilioni Escrow

$
0
0
Siku mbili baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema, kujiuzulu, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, ameibuka na kusema yeye pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo, hawawezi kuchukua uamuzi huo kwa sababu Rais Jakaya Kikwete anawategemea kwa uchapaji kazi wao.Prof. Tibaijuka na Prof. Muhongo, ni miongoni mwa

Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2015 Watajwa

$
0
0
Jumla ya wanafunzi 438,960 kati ya wanafunzi 451,392 waliofaulu mtihani wa darasa la saba nchini Tanzania wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule za serikali za sekondari kwa awamu ya kwanza. Akitangaza matokeo ya ufaulu huo kwa vyombo vya habari na wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na

Johari: Namsubiri Mwanaume wa Kunifungua Kizazi

$
0
0
Pamoja na tetesi kuwa nguli wa filamu za Kibongo Blandina Chagula ‘Johari’, ameshindwa kushika mimba, mwenyewe ameamua kufunguka na kudai kuwa kizazi chake kinafanya kazi na anachosubiri ni kumpata mwanaume ambaye atakuwa tayari kumuoa ndipo atakaporuhusu kuzalishwa. Akizungumza na Amani, Johari alisema kuwa endapo akitokea tayari yupo ndani ya ndoa anaweza kufanya hivyo lakini kwa

Hatimaye Mwili wa Aisha Madinda Wafanyiwa Uchunguzi, Kuzikwa Leo Mchana

$
0
0
Baada ya danadana nyingi, hatimaye mwili wa mnenguaji Aisha Madinda unafanyiwa upasuaji muda huu katika hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam.   Akizungumza na mtandao wa Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili.   Asha Baraka amesema baada ya zoezi hilo, watauosha mwili wa

Mtoto afanyiwa unyama na mama yake mzazi

$
0
0
Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita amefanyiwa visa vya kinyama na mama yake mzazi, ambaye  anadaiwa kumjeruhi vibaya kwa kumchoma moto mikono yake na kisha kumfungia ndani kwa siku nne akiugulia majeraha bila kutibiwa wala kula chakula. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda,  mama aliyefanya ukatili huo (jina linahifadhiwa) ni mkazi wa mtaa wa Eden,

Jokate Mwegelo asaini mkataba wa thamani ya Sh8.5 bilioni na kampuni ya Kichina

$
0
0
Mbunifu mavazi, Miss Tanzania wa namba mbili 2006,  mwanamuziki na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo amesaini makubaliano yenye thamani ya Sh8.5 billion na kampuni ya Kichina,  Rainbow Shell Craft Company Limited kwa ajili ya kuzalisha na kuuza bidhaa mbalimbali za lebo yake ya Kidoti.Makubaliano hayo yalisainiwa jana kwenye hotel ya  Serena baina ya Jokate na Afisa Mtendaji mkuu wa

Aisha Madinda Azikwa Kibada Kigamboni

$
0
0
WAKURUGENZI wa bendi hasimu za dansi Tanzania, African Stars, Asha Baraka na Extra Bongo, Ali Choki, jana wameongoza mamia ya waombolezaji kumzika aliyekuwa mnenguaji wa zamani wa bendi hizo, Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’. Mazishi ya Aisha Madinda yamefanyika jana kwenye Makaburi ya Kijiji cha Mikwambe, Kigamboni jijini Dar es Salaam, baada ya kukwama kufanyika juzi kutokana na

Serikali "kuwaanika" wanaoiba dawa kutoka MSD

$
0
0
Serikali imesema itawataja hadharani watu wote wanaodaiwa kujihusisha na wizi wa dawa zinazonunuliwa na serikali kupitia Bohari Kuu ya Madawa (MSD) ili waweze kutambuliwa na wananchi, ambao wamekuwa wakichangia ukosefu wa dawa katika vituo vya afya na hosipitali za serikali hapa nchini.   Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Dornald Mmbando wakati wa

Wakazi 500 wa Kiseke Mwanza, kuhama kupisha mnara wa Rada

$
0
0
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania – TMA, kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Nguvu za Atomiki imewataka wakazi wa Kiseke jijini Mwanza wanaoishi ndani ya eneo la mita 500 hadi kilometa moja toka eneo ulipojengwa mnara wa rada ya hali ya hewa kuhama mara moja ili kujikinga na madhara yanayoweza kusababishwa na mionzi pindi mtambo huo utakapoanza kazi rasmi.   Meneja wa mradi huo wa

Uchaguzi Serikali za Mitaa: UKAWA Kigoma wafanya Maandamano Makubwa

$
0
0
Mamia ya wananchi na wafuasi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA katika kata ya Kumsenga wilayani Kibondo mkoani Kigoma, wameandamana kupinga wagombea wa UKAWA kuondolewa katika uchaguzi wa serikali za vijiji uliofanyika jumapili iliyopita katika vijiji vya kata hiyo kutokana na hila za maafisa wa serikali.   Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilayani Kibondo

CCM Mara Watishia Kufanya Maandamano

$
0
0
Chama  cha Mapinduzi  wilaya  za Rorya na Musoma mkoani Mara  wamemtaka  waziri  mwenye dhamana na serikali za mtaa kuchukua hatua za haraka kwa wakurugenzi  wa halmashauri hizo  kabla ya kuitisha maandamano ya kuwatoa katika ofisi zao  kwa madai ya  kuvuruga  zoezi  zima  la  uchaguzi  wa serikali za mitaa. Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilaya ya Rorya Samwel Kiboye, amesema

Rais Kikwete Kulihutubia Taifa Tarehe 22, Jumatatu Mchana

$
0
0
Rais Kikwete ameahirisha kulihutubia taifa   kupitia "Wazee wa Dar" ambapo sasa ataongea nao Jumatatu wiki ijayo(Disemba 22, 2014). Ikulu imethibitisha na kusema muda utatangazwa.   Rais kikwete jana tarehe 19 alitarajiwa kulihutubia taifa kupitia wazee wa mkoa wa Dar es salaam katika mkutano wake ambao ulikuwa ufanyike katika ukumbi wa  Hotel ya Blue Pearl,Ubungo jijini Dar es salaam.

Flora Mbasha awasilisha Mahakamaini Dai la Talaka na Maombi Kuhusu Mtoto na Mali

$
0
0
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania,Flora Mbasha, amekwenda katika mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar-es-Salaam, akiomba kuvunjwa kwa ndoa yake na mumewe Emanuel Mbasha. Flora amefungua kesi ya madai namba 64 ya mwaka huu kesi ambayo inasikilizwa na hakimu mkazi, Devota Kisoka. Flora anadai kuomba kuvunja ndoa hiyo na apewe talaka  kutokana na tabia ya mumewe

Chadema: Uchaguzi Serikali za Mitaa ulihujumiwa

$
0
0
Kamati Kuu ya Chadema imesema tathmini yao kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Desemba 14, mwaka huu imebaini kuwa ulihujumiwa.   Pia, kimewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia kujitathmini na kuchukua hatua za kuwajibika kwa kujiuzulu kutokana na kushindwa kusimamia ipasavyo

Amtupa Mjukuu nje ya Basi likiwa katika Mwendo

$
0
0
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida mama moja aliye kuwa akisafiri na  mtoto wake mmoja na wajukuu zake wawili, aliamua kumtupa mjukuu wake wa miaka sita dirishani huku basi likiwa katika mwendo kasi na kusababisha kifo chake baada ya kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.   Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida ACP Thobias Sedoyeka,

Magazeti ya Leo Jumapili ya Tarehe 21 Disemba

$
0
0
Magazeti  ya Leo Jumapili ya Tarehe 21 Disemba

Taarifa ya ziara ya Waziri Mkuu nchini Qatar

$
0
0
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewasili jijini Doha, Qatar jana usiku (Jumamosi, Desemba 20, 2014) kwa ziara ya siku tatu kwa mwaliko wa Serikali ya nchi hiyo inayotarajiwa kuanza leo. Lengo la ziara ya Waziri Mkuu ni kukuza mahusiano baina ya nchi hizi mbili, kuangalia fursa za kiuchumi na miradi mikubwa inayoweza kuzinufaisha nchi hizo na nje ya mipaka yake kwenye Ghuba ya Arabuni (

CHADEMA Watoa Tahadhari kwa Rais kuhusu Kuwatetea Wahusika wa Sakata la Escrow

$
0
0
C/HQ/ADM/PRESS/37 21/12/2014 Ndugu waandishi wa habari, Tumewaita hapa baada ya kupata fununu kuwa Rais Jakaya Kikwete anataka kutumia hotuba yake ya kesho( leo ) na wanaoitwa, “Wazee wa Dar es Salaam” kutetea wizi mkubwa wa fedha za umma uliofanyika ndani ya Benki Kuu (BoT), kupitia Akaunti ya Tegeta Escrow. Tunazo taarifa kuwa Rais

Ikulu yaitisha mkutano na Wanahabari Jumatatu 22 Desemba saa Tatu Kamili Asubuhi

$
0
0
Taarifa iliyotolewa jana usiku  na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam, ilieleza kuwa kumeitishwa Mkutano na waandishi wa habari Jumatatu asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam. Mkutano utafanyika leo saa tatu kamili asubuhi na kila chombo kimetakiwa kutuma Mwandishi pamoja na mpiga picha ambao wametakiwa kuwa tayari wameketi vitini ifikapo saa Mbili Unusu bila
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images