Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Mgombea CCM, mpigakura wafariki dunia ghafla

$
0
0
Mgombea uenyekiti kupitia CCM Mtaa wa Swea, Kata ya Mkolani, Nyamagana, Mwanza, Pius Mihayo amefariki dunia ghafla akiwa mtaani kwake, muda mfupi baada ya kupiga kura.   Msimamizi wa uchaguzi huo, Halifa Hida alisema mgombea huyo alifariki dunia ghafla akiwa kwenye mtaa wake wa Swea na chanzo cha kifo hicho hakijajulikana... “Sasa kwa mujibu wa taratibu za uchaguzi, tutatangaza

Polisi Kagera yatawanya maandamano ya CHADEMA

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wakiandamana huku wakifurahia ushindi walioupata katika uchaguzi wa serikali za mitaa.   Akizungumza mara baada ya kuwatawanya wananchi hao Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera Henry Mwaibambe amesema jeshi hilo

CCM Mtwara yakiri kukabiliwa na upinzani Mkubwa

$
0
0
Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Mtwara kimekiri kuwa upinzani umekuwa mkubwa hasa maeneo ya mjini baada ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kuonesha kuwa CCM imeshinda viti 58, wakati vyama vya upinzani vikiwa vimeshinda mitaa 53.   Akitoa taarifa ya matokeo hayo katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Shaibu Akweilombe amesema mitaa iliyoshindaniwa katika manispaa ya Mtwara mjini ni

Watendaji Waliovuruga Uchaguzi wa Serikali za mtaa Kufukuzwa Kazi

$
0
0
SERIKALI imesema itachukua hatua kali ikiwemo kuwafukuza kazi, kuwavua madaraka, kuwashusha vyeo na kuwakata mishahara viongozi walioshindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa na kusababisha kasoro na kuvurugika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya maeneo nchini.   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia alisema hayo Dar es Salaam

Mganga wa Jadi awachoma Moto Wateja Wake

$
0
0
Mganga wa tiba za asili, Omari Kikukwa (32) mkazi wa Kijiji cha Bondo , Kata ya Mswaki wilayani hapa anashikiliwa na polisi kwa kuwachoma moto wateja wake na kusababisha kifo cha mtu mmoja.   Aziza Hassani (35) mmoja wa mwanafamilia aliyenusurika kwenye mkasa huo akisimulia kuwa ilikuwa tarehe 27 mwezi uliopita yeye, mama yake pamoja na watoto wake wawili walipelekwa kwa mganga wa

CHADEMA Yatikisa Tarime

$
0
0
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezoa viti vingi vya vitongoji, mitaa na vijiji vilivyokuwa vikikaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Tarime.   Matokeo ya awali yanaonesha Chadema imeshinda vitongoji zaidi ya 100 kati ya vitongoji 503, mitaa zaidi ya 30 na vijiji zaidi ya 30 kati ya vijiji 88.   Awali Chadema walikuwa na vijiji 4 na vitongoji zaidi 13. Mkurugenzi

Aliyeshinda CHADEMA Akutwa Amekufa Kisimani huko Geita

$
0
0
Kumetokea hali isiyo ya kawaida iliyowastua wananchi wa mtaa wa Msalala Road mkoani Geita ya kuondokewa na mgombea wa nafasi ya Wajumbe wa Serikali za Mitaa (Viti Maalumu) kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bertha Nchimanyi (40) baada ya kukutwa amekufa kisimani. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana majira ya saa 9:00 wakati mgombea huyo alipotoka nje kuongea

Auawa akishangilia ushindi wa CHADEMA

$
0
0
Imeelezwa kuwa uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Serikali za Mitaa nchini uliofanyika juzi Jumapili umeendelea kumwaga damu ambapo mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Simeo Isaka (42), mkazi wa kijiji cha Ngokolo kata ya Bukomela wilayani Kahama mkoani Shinyanga, ameuawa kwa kukatwa na jembe kichwani na watu wasiojulikana wakati akishangilia ushindi wa mgombea wa Chama Cha

Matokeo ya Uchaguzi wa Wenyeviti wa Serikali za Mtaa Mkoa wa Mwanza

$
0
0
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Halifa Hida, ofisini kwake akiwa mbele ya waandishi wa habari ametangaza matokeo ya uchaguzi wawenyeviti wa serikali za mitaa katika mitaa 175 ya Jimbo la Nyamagana jijini Mwanza. Hida amesema katika kata ya Mabatini yenye jumla ya mitaa 6, CCM 5 Chadema 1, kata ya Mbugani yenye mitaa 6, CCM 3 Chadema 3, kata ya Butimba jumla mitaa 8, CCM

Uchaguzi wa marudio, Katibu wa Mbunge ajeruhiwa Vibaya

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilayani Iringa kimelalamikia rafu na kasoro mbalimbali zilizojitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Disemba 14 na kusema kuwa uchaguzi huo uligubikwa na kasoro nyingi ambapo wakati uchaguzi huo  wa marudio  ukiendelea hapo jana, watu wasiojulikana wamemshambulia kwa nondo na mapanga katibu wa mbunge wa Iringa mjini Bwana Joseph

CUF:Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI wawajibishwe

$
0
0
Chama cha Wananchi - CUF kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuwajibisha Waziri Mkuu na Waziri wa TAMISEMI kwa kushindwa kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya kuibuka dosari kubwa zikiwemo kukosekana kwa wino, majina ya wananchi na karatasi za kupigia kura jambo lililoleta vurugu na kusababisha vituo vingi kurudiwa uchaguzi.   Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa

CCM yasikitishwa na dosari katika uchaguzi wa Serikali za Mtaa.....Yataka waliohusika na uzembe huo wachukuliwe hatua kali

$
0
0
Chama cha Mapinduzi CCM kimesema hakioni sababu ya suala la waliohusika kusababisha dosari zilizojitokeza wakati wa zoezi la upigaji kura kuundiwa tume au kuchunguzwa wakati wanajulikana. Chama hicho kimesema kuwa badala ya hatua hizo, watu hao wachukuliwe hatua, huku kikieleza kusikitishwa na mapungufu yaliyojitokeza ambayo wamedai yalitokana na uzembe wa watendaji wachache.  

Watu 7 Wafariki katika Ajali Mbaya ya Basi la Mohammed Trans

$
0
0
Watu saba wamefariki Igunga, mkoani  Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi la Mohammed Trans  lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, kukatika 'steering power'   na  kuacha njia na kisha  kupinduka.    Basi hilo limepinduka jana majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi walipelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga.  

Kibaka Anusurika "Kuchomwa Moto" Baada ya Kuiba Pikipiki Magomeni Dar

$
0
0
Kijana ambaye jina lake haikufahamika mara moja, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kwa tuhuma za wizi wa pikipiki jijini Dar.Tukio hilo la kusisimua limetokea jana asubuhi Magomeni-Mwembechai,  ambapo lilisababisha foleni ndefu ya  magari wakati kijana huyo akiadhibiwa na wananchi.   Mashuhuda wa tukio hili walisema kijana huyo na wenzake waliiba pikipiki mbali na hapo

Sakata zima La Mabasi Kutekwa jijini Mwanza ambapo Abiria walijeruhiwa Vibaya na baadhi ya Wanawake Kubakwa

$
0
0
Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki iliyopita, saa 6:30 usiku eneo la Ng’ungumalwa mkoani Mwanza. Miongoni mwa magari yaliyotekwa, mawili yalikuwa ni mabasi ya abiria, Super Najmnisa na Princess Mnaa huku mengine yakiwa ni malori na gari

Escrow yamng’oa Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema

$
0
0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (pichani)  Disemba 16  amejiuzulu nafasi yake na tayari amemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete.   Mwanasheria mkuu, pamoja na baadhi ya wanasiasa na maafisa waandamizi wa serikali walituhumiwa kuhusika kwa namna moja au nyingine kufanikisha kufanyika kwa miamala haramu ya fedha za

Wakurugenzi Wafukuzwa kazi kwa uzembe uliojitokeza wakati wa Uchaguzi

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (pichani) leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda, Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua kwa uzembe wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Aisha Madinda Afariki dunia

$
0
0
Aliyekuwa mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.   Akiongea na Mpekuzi, Mkurugenzi wa bendi ya Twanga Pepeta amesema kuwa alipewa taarifa na Daktari mmoja kuwa wameona kama mwili wa Aisha Madinda hospitalini hapo, ndipo akatuma watu kwenda kuangalia akiwemo Luiza Mbutu ili kuhakikisha kama kweli ni yeye ndipo

Penny- Natamani Mtoto lakini sina wa Kuzaa nae

$
0
0
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume wa kuzaa naye. Penny alitoa tamko hilo baada ya Diamond kunukuliwa jana (Alhamisi) na gazeti la Amani kuwa, alimpa mimba mara mbili binti huyo lakini zikayeyuka katika mazingira ya kutatanisha.   Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Penny alisema,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images