Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mtu Mmoja Akutwa Amejinyonga Porini

$
0
0
MTU mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 27 mpaka 30 ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekutwa akining'inia juu ya mti wa Mwembe uliopo katika pori lililopo nje kidogo ya mji wa Pongwe,Mkoani Tanga akiwa amejinyonga. Hali ya sintofahamu iliendelea kutanda katika eneo hilo huku kila alieweza kufika katika eneo hilo la tukio akiwa na mshangao wa kipi

Diamond na Ommy Dimpoz watajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards 2015 za Uganda

$
0
0
Mastaa wa Tanzania Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platnumz na Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, nyimbo zao zimetajwa kuwania tuzo za HiPipo Music Awards (HMA2015) za Uganda zinazotarajiwa kutolewa mwakani.   ‘Number One’ (original) ya Diamond na ‘Ndagushima’ ya Dimpoz zinachuana na nyimbo zingine za Afrika Mashariki kwenye kipengele kimoja cha East Africa Super Hit.   Nyimbo za Ommy na

Ray: Uwezo unao, kwanini unasumbua watu na michango ya harusi

$
0
0
Muigizaji wa filamu nchini, Vicent ‘Ray’ Kigosi amedai kushangazwa na watu wenye uwezo mkubwa lakini bado kwenye harusi zao wanachangisha michango.   Akizungumza kwenye kipindi cha Boys Boys cha TV1, Ray ameshauri ni bora kujipanga kabla ya kuoa kuliko kuwasumbua watu na kadi za michango.   “Sio mtu unawapa watu mizigo isiyo ya kwao,” alisema.    “Kama una uwezo fanya mwenyewe, kwa

AT ashinda kesi dhidi ya mganga wa jadi aliyemshitaki kwa kutomlipa pesa baada ya kupandisha nyota yake

$
0
0
Muimbaji wa Mduara, AT ameshinda kesi iliyokuwa ikimkabili na iliyofunguliwa na mganga wa jadi kwa madai kuwa hakulipwa fedha baada ya kumpandisha nyota na kupata mafanikio mengi.   Akizungumza XXL ya Clouds FM, AT amesema uamuzi huo ni faraja kwake kwakuwa ilimfanya ashindwe kufanya mambo yake.   “Hukumu imetolewa kama dakika tano zilizopita lakini tulikuwa tumefika toka asubuhi saa

Magazeti ya Leo Jumamosi ya Tarehe 13 Disemba 2014

$
0
0
Magazeti  ya  Leo  Jumamosi  ya  Tarehe 13 Disemba 2014

Happyness asema sapoti ya watanzania imempa nguvu

$
0
0
Mshiriki anayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World, Happiness Watimanya amewashukuru watanzania kwa kuanza kuonesha muamko wa aina yake na kumpigia kura kuiwezesha Tanzania kuingia katika orodha ya 10 bora ya Chaguo la Watu la washiriki wenye nafasi ya kushinda Miss World Mwaka huu.   Mrembo huyu ameweza kuongea na Moekuzi  akiwa jijini London na kusema kuwa, sapoti ya

Tayo wa Big Brother Akanusha kupewa $350,000 na Bilionea

$
0
0
Mshindi wa pili wa BBA Hotshots, Tayo kutoka Nigeria amekanusha habari zilisambaa wiki hii kuwa amezawadiwa $350,000 na bilionea wa Nigeria, Ayiri Emani baada ya kuzikosa $300,000 za BBA zilizonyakuliwa na Idris wa Tanzania.   Tayo amekanusha habari hizo alipohojiwa na kituo cha Radio 1 South Africa. Amesema kuwa habari hizo za kupewa kiasi hicho kikubwa cha pesa na huku hata

Lulu: Hapyy Akishinda Miss World ntaitwa Luppy

$
0
0
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' amendika katika Instagram kuwa mshiriki wa Tanzania kwenye Miss World, Happiness Watimanywa akishinda atabadilisha jina na kuitwa Luppy!

Idris Amfungukia Lulu Michael

$
0
0
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu. Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa kauli hiyo, imeonesha dhahiri wawili hao ni marafiki wa kweli

Mke afumaniwa, amgeuzia kibao mume wake Polisi

$
0
0
Jamaa mmoja alisababisha kizaazaa baada ya kuvamia chumbani ambako mtu na mkewe walikuwa wamelala. Fununu zinasema jamaa huyo baada ya tukio hilo alimhoji mkewe kwamba huyo aliyeingia bila hodi chumbani kwao wakiwa wamelala ni nani?   Baada ya jamaa huyo, Calvin Murapata kutoridhishwa na majibu ya mke wake Nomagugu Ncube alimpiga na kumchania nguo, ambapo mwanamke huyo alifungua

Rolene Strauss wa Afrika Kusini ashinda taji la Miss World

$
0
0
Miss South Africa, Rolene Strauss ndiye Miss World 2014. Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 22 na mwanafunzi wa medical ameshinda taji hilo kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili jijini London, Uingereza.   Miss Hungary Edina Kulcsar alishika nafasi ya pili na Miss United States, Elizabeth Safrit akishika nafasi ya tatu.   Kabla ya ushindi orodha ya warembo walioingia Top 10

Vibaka Wamfanyia Kitu maya Aunty Lulu

$
0
0
Huku akiwa bado hajapona jeraha la kuchanwa usoni na bwana’ke, mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefanyiwa kitu mbaya na vibaka na kumnyang’anya kila alichokuwa nacho. Akizungumza na Gpl, Aunty Lulu alisema tukio hilo lilitokea wiki iliyopita maeneo ya Mwenge, jijini Dar ambapo alikuwa akikatiza mitaa hiyo usiku, vibaka walimvamia na kumpiga maeneo ya

Majambazi wavunja Kanisa Katoliki Kilema, wapora

$
0
0
Kundi la watu wanaodhaniwa ni majambazi, wamevamia na kupora fedha taslimu na vitu mbalimbali katika Kanisa Katoliki la Kilema, Jimbo la Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro.   Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 14, mwaka huu, ambapo watu hao wakiwa na vifaa maalumu vya kuvunja milango, walivunja lango kuu la kanisa hilo, kuvunja sanduku la sadaka na kupora vifaa vya kufanyia ibada

Shinyanga: Aua mke kwa kumpigia kura mgombea wa CCM

$
0
0
Katika mtaa wa Mwandu kata ya Tinde  wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga, mwanaume mmoja amemuua mke wake kwa kumpiga makonde kutokana na kile kinachoelezwa kuwa kwa kumchagua mgombea wa CCM badala ya wa CHADEMA. Imeelezwa kuwa mwanaume huyo ni mfuasi wa CHADEMA huku mke wake akiwa ni mfuasi wa CCM. Tukio linaelezwa kuwa limetokea jioni ya jana baada ya mume kumuuliza mkewe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waingia Dosari

$
0
0
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika jana nchini Tanzania ulitawaliwa na kasoro na vurugu zilizosababisha polisi kutumia risasi na mabomu ya machozi huku baadhi ya wapiga kura wakipigana sehemu tofauti tofauti nchini. Vurugu hizo zilitokana na uchaguzi huo kugubikwa na kasoro nyingi na hivyo kusababisha baadhi ya vituo kulazimika kuahirisha uchaguzi hadi

Hausigeli Aliyemtesa Mtoto Uganda Ahukumiwa Jela Miaka Minne

$
0
0
Hausigeli aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo. Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima. Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

Tukio la uvamizi Mgahawa uliopo katikati ya Jiji, hali bado tete

$
0
0
Polisi wakimpokea mmoja wa mateka kutoka katika mgahawa wa Lindt jijini Sydney Hali ni tete katika mgahawa wa Lindt uliopo katikati ya Jiji la Sydney, Australia baada ya kundi la watu ambao hawajatambulika kuvamia mgahawa huo na kuwashikilia mateka ambao idadi yao haijafahamika. Baadhi ya watu ndani ya jengo hilo wameonekana kupitia madirisha wakiwa wamebeba bendera nyeusi zenye maneno

Samantha wa Big Brother Kutua Tanzania leo kula bata na Idris

$
0
0
Mashabiki wa muungano wa pamoja kati ya mshindi wa Big Brother Hotshots, Idris Sultan na swahiba wake Samantha wa Afrika Kusini watawaona tena wakiwa pamoja kuanzia leo Mrembo huyo anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu. Awali alikuwa atue jana Jumapili  lakini alichelewa ndege. Hey everyone sadly Samantha has missed her flight because of a few complications but

Majambazi Sita yauawa mkoani Kagera

$
0
0
Jeshi la polisi mkoani kagera limefanikiwa kuwauwa majambazi Sita waliokuwa wanapanga kuteka mabasi katika eneo la Ngazi Saba wilayani Biharamulo. Akizungumza mkoani Kagera Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera Henri Mwaibambe amesema jeshi la polisi lilipata taarifa ya kwamba kuna kundi la majambazi linafanya mpango wa kuteka magari na kufanya uporaji katika eneo la

Diamond lawamani Mombasa, adaiwa kuwafukuza Nyota Ndogo na wasanii wengine kwenye VIP Lounge

$
0
0
Kunyanyaswa kwa wasanii wa Kenya, kumemfanya Diamond na waandaji wa show yake ya Mombasa weekend iliyopita kutupiwa lawama na wapenzi wa muziki nchini humo. Mtandao wa Standard Media wa Kenya, umeandika kuwa kwenye show hiyo iliyohudhuriwa na watu kibao, Diamond alitaka wasanii wengine wote waliokuwa watumbuize kwenye show hiyo na waliokuwa wamepangiwa kukaa naye kwenye VIP lounge,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>