Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mkuu Mpya wa Mkoa wa Mwanza Atoa Onyo kwa Jeshi la Polisi......Apiga STOP Matumizi ya Mabomu kuwakabili Machinga

$
0
0
Mkuu Mpya  wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo, amelitaka jeshi la polisi mkoani Mwanza kutotumia nguvu pamoja na kufurumusha mabomu ya machozi kuwatimua wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga mara wanapoombwa na halmashauri ya jiji bila kupata maelekezo.   Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhitimisha ziara yake ya ghafla katika wilaya ya Nyamagana, Mulongo amesema

Rais Kikwete Atunuku Nishani Ikulu Dar

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Pius Chipanda Msekwa baada ya kumtunuku Nishani. Rais Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Pili Samuel John Sitta. Rais Jakaya Kikwete akimvisha Nishani ya Ushupavu Kassim Said Kassim ambaye ni muuza Chips katika maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam, Kassim alitunukiwa Nishani hiyo baada ya kupambana

Hamisa Mobeto na mchumba wake Dj Majey wa E-FM wanatarajia kupata mtoto

$
0
0
Leo Dec.10 ni birthday ya mwanamitindo mrembo Hamisa Mobeto a.k.a kadomo ambaye ni ubavu wa mmoja wa wakurugenzi wa E-FM ambaye pia ni Dj, Dj Majey.   Kama ilivyo kawaida kwenye siku kama hizi wapenzi hutakiana heri ya siku ya kuzaliwa, kitu ambacho hata Majey kakifanya kwa Hamisa, lakini wishes hizo zimeambatana na kuweka wazi kuwa wawili hao wanatarajia kupata mtoto.  

Picha: Wema Sepetu na Van Vicker wafanya movie Ghana, inaitwa ‘Day After Death’

$
0
0
Wema Sepetu amesafiri hadi jijini Accra, Ghana kwenda kushoot filamu mpya na msanii mashuhuri nchini humo, Van Vicker. Filamu hiyo inaitwa ‘Day After Death’, na inaongozwa na  Vicker mwenyewe. Pia mtoto wa kike wa msanii huyo ataigiza kwenye filamu hiyo ambayo Vicker anaiita kitu chake kikubwa kijacho. Kupitia Instagram, muigizaji huyo wa Ghana amemsifia Wema kwa jinsi

TID: Demu Wangu Kanisaliti......I will never trust a bit*ch Again

$
0
0
Huenda nyimbo anazoskiliza zaidi TID kwa sasa ni pamoja na ‘Loyal’ ya Chris Brown na ‘Sitaki Demu’ ya Juma Nature.    TID amedai kusalitiwa na mpenzi wake na hajaona aibu kuliweka hilo wazi. TID ameumwaga mchele huo kwenye akaunti yake ya Facebook: The last time I trusted a broke asss bit*ch………..she cheated on me.”   Pole TID!!

Davido Ampiga Dongo Diamond: " Jiwe lisilo na shukrani hatimaye huanguka"

$
0
0
Huhitaji kujifikiria mara mbili kuamini kuwa Davido na Diamond haziivi tena kwa sasa! Yote yalianza baada ya Davido kutweet ‘N they cheat again, Lol’ baada ya Idris kutangazwa mshindi wa Big Brother Hotshots. Tweet hiyo ikimfanya Davido atukanwe matusi ya kila aina kutoka kwa Watanzania.    Usiku huo huo, Diamond alishinda tuzo za TFA (The Future Awards) za Nigeria na kuandika:  

Mfanyabiashara Maarufu Moshi Ajiua kwa Risasi

$
0
0
MWEZI mmoja baada ya mfanyabiashara wa Arusha, Timoth Mroki (36) kujiua kwa kujipiga risasi, mfanyabiashara mwingine maarufu wa Moshi, Augustino Mallya, naye amejiua kwa kujipiga risasi akiwa nyumbani kwake eneo la Karanga katika Manispaa ya Moshi.   Mfanyabiashara huyo alikuwa akijishughulisha na biashara za maduka ya bidhaa za jumla na nyumba za kupangisha katika eneo la Karanga. Tukio

Benki Kukopesha Vijana Nchini......Wasomi Vyuo Vikuu kuzoa hadi milioni 50,Walio katika vikundi kuanzia na Milioni 200

$
0
0
KATIKA kuhakikisha vijana nchini wanajiajiri, Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) na Benki ya TIB, wameingia mkataba wa kuwawezesha kwa mikopo wajasiriamali vijana wanaomaliza vyuo vikuu nchini na vingine vya kati ili waweze kujiajiri.   Katika makubaliano hayo, TIB itatoa mikopo hiyo na kwa kuanzia kiasi cha Sh bilioni 1 kimetengwa kwa ajili ya mpango huo utakaoratibiwa

VIP ya Rugemalira Yadai Maamuzi ya Bunge Kuhusu Sakata la Escrow ni ya Kipuuzi

$
0
0
Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajia kutoa maamuzi juu ya kashfa ya uchotaji wa fedha zaidi ya Sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow wiki ijayo, Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, imedai maamuzi ya Bunge yaliyopendekezwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ni ya kipuuzi. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana yenye kurasa 19 na orodha ya

Serikali ya Awamu ya Nne imefanya makubwa: Lowassa

$
0
0
Waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa amewataka watanzania kutokatishwa tamaa na maneno yanayozungumzwa kwenye majukwaa ya kisiasa juu ya utendaji kazi wa serikali iliyoko madarakani, badala yake waipime kwa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na ahadi ilizotoa kwani licha ya changamoto zilizopo imefanya mambo mengi makubwa na yanayoonekaana.   Akizungumza katika mikutano ya kuwanadi

Operator Atiwa Mbaroni kwa kuweka Picha za UCHI katika bango Uwanjani

$
0
0
Ajali popote, huyu jamaa amepata ajali kazini tena huenda katika mazingira ambayo hakuwahi kutarajia.  Kutokana na sheria kali za China, hii haikuwa makusudi lakini kwa sababu tayari kashafanya kosa anastahili hukumu.   Tumezoea kuona mabango ya kisasa katikati ya Miji kama Dar ambayo yanakuwa yanaonyesha picha kama Tv ambapo picha zinazoonekana kuwa zinabadilika badilika.   Nje

Maneno ya Idris kuhusu alichokiandika Davido baada ya ushindi wa Tanzania Big Brother Africa

$
0
0
Jumapili ya Des 7 ni  siku iliyochukua headline kwenye mitandao baada ya Davido kuwakwaza watanzania kwa kile alichokiandika kwenye twitter.Baada ya Mwakilishi kutokea Tanzania Idris Sultan kutangazwa kuwa mshindi wa Big Brother Africa Hotshots.   Mengi yamezungumzwa na watu,lakini  Des 11 mshindi wa Big Brother Africa Hotshots,Idris Sultan alipata nafasi ya kuzungumza na vyombo vya

Rais Kikwete Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Laurence Nyasebwa Mafuru (pichani)  kuwa Msajili wa Hazina kuanzia tarehe 5 Novemba, 2014. Taarifa iliyotolewa  Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa kabla ya uteuzi wake, Bwana Mafuru alikuwa Mkuu wa Idara ya Rasilimali Fedha katika Ofisi ya Rais

Huu ni ushauri wa Chidi Benz kuhusiana na suala la Diamond na Davido

$
0
0
Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya Diamond Platnumz na msanii wa Nigeria Davido. Hiki ndicho alichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.   Mimi binafsi ningeweza kumwambia mdogo wangu Dimooond aseme haya mambo yapite na Davido sorry my brotha,watu wote tuacheni marumbano na isiwe mapema hivi tunashindana..wote Africa Lugha zimechanganyana plus

Escrow yatikisa mpaka Marekani.....Yasitisha Mkataba wa Mabilioni ya Pesa ikisubiri Uamuzi wa Rais Kikwete, Kauli ya Kafulila Yatimia

$
0
0
Wakati Rais Jakaya Kikwete akisubiriwa kutoa maamuzi ya mapendekezo yaliyofikiwa na Bunge kuhusiana na sakata la uchotwaji fedha zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka kaunti ya Tegeta Escrow wiki ijayo,  Marekani imebainisha kuwa  mkataba wa pili wa miradi inayofadhiliwa na shirika lake la Changamoto za Milenia (MCC) utategemea hatua zitakazochukuliwa na serikali ya Tanzania dhidi ya wahusika wa

Kafulila Atiwa Mbaroni kwa Uchochezi

$
0
0
JESHI la Polisi linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kwa tuhuma za uchochezi, akiwataka wananchi wasichangie ujenzi wa maabara katika shule za sekondari nchini.   Kafulila alikamatwa mapema jana asubuhi katika mji mdogo wa Nguruka wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma, ambako alikuwa akifanya mikutano ya hadhara, kuelezea sakata la uchotwaji wa fedha katika akaunti ya

Mwili wa Kichanga Waokotwa ukiwa umetupwa shambani

$
0
0
  Mwili wa kichanga cha jinsia ya kike ulioanza kuaribika umeokotwa jana majira ya saa nane mchana katika eneo la Ukonga Sabasaba Kwa Diofu, kwenye shamba la mzee Msindo.

Shangingi Lachomwa moto baada ya kugonga na kuua madereva watatu wa Bodaboda jijini Dar

$
0
0
Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi jana mchana huko Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda.  

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Ushiriki wa Wanajeshi Kwenye Zoezi hilo

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa ufafanuzi kuhusu ushiriki wa Wanajeshi katika  uboreshaji wa zoezi la uandikishaji wa daftari la kupiga kura. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Tume inasema kutakuwepo na wanajeshi 6 wa Jeshi la Wananchi katika kila kituo ambao kazi yao ni kusaidia shughuli za lojistiki kama vile kuhamisha vifaa kutoka kata moja kwenda nyingine. Pia wanajeshi hao watasaidia

CCM Yawasambaratisha UKAWA Uchaguzi Serikali za Mitaa Dar....Yazoa Maelfu ya Viti bila kupingwa

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa kesho, kikiwa kimeshajizolea maelfu ya nafasi ambazo wagombea wake wamepita bila kupingwa.    Akihutubia kwenye mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi huo, katika Mtaa wa Mtambani B, Kata ya Jangwani, jimbo la Ilala jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alisema, kulingana na
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images