Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

"BODA BODA NI SERA YA CCM KUSAIDIA VIJANA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA "..LOWASSA

$
0
0
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana.Akizungumza katika haraambee na uzinduzi wa mfuko wa waendesha pikipiki maarufu mkoani Arusha, Lowassa alisema sera hiyo ni ya kuwakomboa vijana.Alisema kuwa kitendo cha wafanyabishara wa Arusha

MWANAUME AKATWA MAPANGA AKIDAIWA KUCHUKUA MKE WA MTU HUKO TABORA

$
0
0
   Ramadhani Mahanga ambaye amenusurika kuuawa baada ya kukatwakatwa mapanga na kijana mwenzake anayefahamika kwa jina la Juma  Hamisi ambaye alidai anatembea na mkewe na hivyo kuchukua uamuzi wa kutaka kumuua  katika kijiji cha Isenga manispaa ya Tabora. Baba wa kijana  Juma Hamisi ambaye anadaiwa kumkatakata  mapanga Ramadhani Mahanga akiwa amekwenda kumjulia hali katika Hospitali ya

BINTI AOZA MKONO BAADA YA KUANGUKA KATIKA BAISKELI....MADAKTARI WAMESHINDWA KUUPONYA, MAOMBEZI YAHITAJIKA

$
0
0
Janeth Nicholaus (25)mkazi wa Rwanzari Manispaa ya Tabora akionesha mkono wake wa kulia ukiwa tayari umeanza kuoza baada ya kupata ajali ya baiskeli maarufu daladala wakati akitokea nyumbani kwenda Soko kuu la Tabora mjini ajali ambayo ilitokea kwenye makutano ya barabara ya NBC.  Huu ndio mkono wenyewe unavyoendelea kuharibika baada ya kupita hospitali kadhaa hapa Tabora mjini na

WAPENZI WADONDOKA NA KUFA WAKATI WAKIFANYA MAPENZI DIRISHANI

$
0
0
Wapenzi wameanguka na kufa baada ya dirisha walipokuwa wakifanyia mapenzi kufunguka ghafla nchini China. Wawili hao wanasemekana kudondoka kutoka kwenye dirisha la jengo moja la makazi kwenye jiji la Wuhan nchini humo pale dirisha hilo walilokuwa wameegemea kufunguka. Mashuhuda walivieleza vyombo vya habari vya China kwamba wapenzi hao walikumbatiana wakati wakianguka kwenye njia ya

KAMERA ZA JUMBA LA BIG BROTHER ZAMUANIKA POKELLO WA ZIMBABWE AKIWA MTUPU ....

$
0
0
<!-- adsense --> Mshiriki  wa  Zimbabwe  ( POKELLO )  katika  shindano  la  Big Brother  Africa  amejukuta  akiumbuka tena  baada  ya  kamera  za  jumba  hilo  kumuanika  akiwa  mtupu  kama  alivyozaliwa  ndani  ya  mabafu  ya  jengo  hilo... Hii  ni  nafasi  nyingine  ya  kipekee  kwa  wafuatiliaji  wa  shindano  hilo  ambao  hawakubahatika  kuiona  sinema  hiyo ya  bure. Kuitazama  video 

LOWASSA AMTAKA OBAMA ASIZUNGUMZIE MAMBO YA USHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA AKIWA TANZANIA

$
0
0
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo yaNje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Lowassa, amemtahadhalisha kujiepusha na kauli za kuunga mkono ushoga.  Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, ameliambia NIPASHE Jumapili ofisini kwake jijini hapa jana kuwa ushoga na hai za ndoa kwa watu wa jinsia moja vinaweza `kuiharibu’ ziara yake hapa nchini. Mapema wiki hii, Rais Obama alikaririwa akizungumzia

OFISI YA CCM WILAYA YA MBINGA YACHOMWA MOTO

$
0
0
  Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi akionyesha sehemu iliyoanzia moto kuwaka na kukamata  pazia.   Kama unavyoona katika picha hapo ni ndani ya ofisi baada ya moto kuwaka Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi anayeonekana katika picha akitoa  maelezo kwa nje ambapo walimwaga mafuta aina ya petroli dilishani na kuwasha moto

KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA MAKETE ATUPWA JELA MIEZI 9 KWA KOSA LA KUTOTII AMRI YA POLISI

$
0
0
Mahakama ya mwanzo Makete mjini wilayani Makete mkoani Njombe imemuhukumu katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wilaya hiyo Bw Godfrey Mahenge (63) kwenda jela miezi 9 kwa kosa la kutotii amri halali ya jeshi la polisi Makete Akitoa hukumu hiyo hakimu wa mahakama ya mwanzo Makete mjini Mh. John Mpitanjia amesema mtuhumiwa huyo alitumia lugha ya matusi kwa askari polisi

DENTI WA KIKE APEWA KICHAPO CHA MBWA MWITU BAADA YA WAZAZI WAKE KUMNASA AKIWA GEST HOUSE NA MPENZI WAKE

$
0
0
Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.Hata hivyo mfumaniwa mwenzake  ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia. Wazazi wenye  uchungu na hasira wakiwa na binti yao mara baada ya fumanizi. Wazazi wakimpiga binti yao kwa

WATANZANIA 60 WAKAMATWA AFRIKA KUSINI WAKATI WA ZIARA YA OBAMA

$
0
0
Watanzania 60 wamekamatwa Afrika Kusini kutokana na maandalizi yaliofanyika nchini humo ya kumpokea Rais Barack Obama wa Marekani.   Rais Obama aliwasili Afrika Kuisini  wiki iliyopita  kwa ziara ya siku tatu akitokea Senegal. Watu hao wamekamatwa baada ya kudaiwa kuishi kinyume cha sheria Afrika Kusini.  Baada ya Watanzania hao kutiwa mbaroni na vyombo vya usalama wamehifadhiwa

GEORGE BUSH NA MKEWE KUTUA NCHINI KESHO

$
0
0
RAIS mstaafu wa Marekani, George W. Bush na mkewe, Laura wanatarajiwa kesho kuwa nchini kuhutubia kongamano linalojadili wajibu wa wake wa marais katika kuinua wanawake duniani. Kuwasili kwa Bush, ni mwendelezo wa wiki hii Jiji la Dar es Salaam kuwa katika pilikapilika za kupokea ugeni wa watu maarufu. Kongamano hilo limeandaliwa na Taasisi ya George Bush na litafanyika kesho na

WAGHANA WAMLAANI NANDO WA TANZANIA KWA KUZINI NA DEMU WAO ( SELLY) NDANI YA BBA......MAMA MZAZI WA BINTI AMTETEA

$
0
0
  Wiki iliyopita wapenzi Nando wa Tanzania na Selly wa Ghana  waliucheza ule mchezo wa kikubwa   katika Big Brother ‘The Chase’ inayoendelea, na inasemekana baada ya Ghana na Afrika kwa ujumla kushuhudia mechi hiyo ya kirafiki watu wa karibu na mpenzi wa Selly wamemshauri ampige kibuti. Wote tunafahamu kwamba washiriki wote wa BBA wana maisha yao nje ya Big Brother na inawezekana kila

MAANDALIZI YA KUMPOKEA OBAMA YAKAMILIKA...HIZI NI TASWIRA ZA IKULU LEO ASUBUHI

$
0
0
Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake amepita kila mahali kuangalia kwamba mambo yanaenda vizuri, ikiwa ni pamoja na kusaliamiana na makundi ya wananchi wa Dar es salaam walioko katika lango kuu la Mashariki. 

JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAKANUSHA KUHUSUKIA NA VITENDO VYA UBAKAJI HUKO MTWARA

$
0
0
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepokea taarifa kwamba waandishi wa Habari kadhaa wamepelekwa Mtwara kwenda kumhoji msichana mmoja kwa madai ya kubakwa na wananjeshi wa JWTZ.JWTZ  linapenda kuwafahamisha wananchi kuwa endapo taarifa hizo zitatangazwa kwenye baadhi ya vyombo vya Habari wazipuuze kwani hazina ukweli  wowote zaidi  ya kuwa ni za upotoshaji.Msichana huyo

MAKAMU WA RAIS KENYA ADAI KENYA INA MARAFIKI WENGI TOFAUTI NA MAREKANI NA KAMWE HAWAWEZI KURUHUSU SERA YA USHOGA YA OBAMA

$
0
0
NAIBU wa Rais Bw William Ruto, jana alivunja kimya chake kuhusu hatua ya rais wa Marekani Barack Obama kutozuru humu nchini kwa kusema hatua hiyo haina madhara yoyote kwa Kenya. Huku akiongea katika kanisa la Katoliki la St Gabriel Bahati, kaunti ya Nakuru,  Bw Ruto alisema nchi hii ina 'marafiki’ wengine wengi duniani ambao inaweza kushirikiana nao huku akiongezea kuwa

OBAMA AMEKWISHATUA NCHINI TANZANIA

$
0
0
Rais wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama, ametua nchini Tanzania kwa mara ya kwanza muda huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo katika Uwanja wa Ndege wa  Julius Nyerere kwa ajili ya kumpokea mgeni wake huyo.<!-- adsense -->

UPEPO WAMUUMBUA AMBER ROSE

VIDEO YA RAIS OBAMA AKIWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA JK NYERERE

$
0
0
Rais wa Marekani Barack Obama mchana wa leo amewasili nchini tayari kwa ziara yake ya leo na kesho jijini Dar es Salaam. Rais huyo aliyeongozana na mkewe Michelle na wanae wa kike wawili Malia na Sasha amepokelewa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere<!-- adsense -->

TUJIKUMBUSHE MAMBO MACHACHE YANAYOTENDEKA KUHUSU OBAMA AMBAYE TAYARI YUPO TANZANIA

$
0
0
Obama akiwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Tanzania leo Jumatatu kwa zara ya siku mbili, ikiwa ni kituo chake cha mwisho cha ziara yake barani Afrika akitokea nchini Afrika Kusini. Obama ambaye ameambatana na mkewe Michelle Obama amepokelewa na mwenyeji wake rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Salma Kikwete

MKE WA OBAMA ATEMBELEA WAMA FOUNDATION NA KUKUTANA NA MAMA SALMA KIKWETE JIONI HII

$
0
0
Mke wa Rais wa Markani mama Michelle Barack Obama akiwasili katika ofisi za Wanawake na Maendeleo WAMA  jioni hii wakati alipotembelea katika ofisi hiyo na kuwa na mazungumzo na mwenyeji wake Mwenyekiti wa  WAMA Mama Salma Kikwete katika makao makuu ya taaisis hiyo leo... Rais Barack Obama na Mke wake Michelle Obama wako  katika ziara ya siku mbili ya kikazi nchini Tanzania wakiongozana 
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images