Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

VIDEO YA WEMA SEPETU AKIWAPOROMOSHEA MATUSI MAZITO WAFANYAKAZI WAKE WA NDANI

$
0
0
STAA wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa vimbwanga, Wema Isaac Sepetu amezua bonge la timbwili kwa wafanyakazi wake wa ndani wa kiume na kike akiwemo mlinzi.   Tukio hilo lililonaswa na vifaa vyetu vya kisasa vya kunasia matukio ya mnato na video, lilijiri juzikati nyumbani kwa mwanadada huyo, Kijitonyama, jijini Dar na kusababisha majirani kufaidi sinema ya bure ya matusi ya nguoni.  

CHUO KIKUU HURIA TANZANIA KITAMTUNUKU PhD RAIS OBAMA

$
0
0
Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT),kimepanga kumtunuku Rais wa Marekani, Barack Obama Shahada ya Heshima ya Uzamivu kwa kutambua mchango wake kwa jamii husasani kwenye maendeleo ya kukuza uchumi. Akizungumza na waandishi wa habari jana,Makamu Mkuu wa chuo hicho,Profesa Tolly Mbwete alisema tuzo hiyo imethibitishwa na Baraza Kuu la Chuo hicho baadaye

BABY MADAHA ALIZWA NGUO ZAKE ZA NDANI....

$
0
0
KATIKA hali ya kushangaza, msanii wa filamu na muziki Baby Joseph Madaha amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuibiwa nguo zake za ndani alizokuwa ameanika nje maeneo ya Mikocheni jijini Dar. Chanzo  cha habari ambacho ni shosti wa karibu wa mwanadada huyo kilichoomba hifadhi ya jina lake kilitiririka: “Alizifua kama dazeni nzima hivi na kuzianika nje kisha kwenda kwenye mishe zake

SAKATA LA BINTI ALIYEJIFUNGULIA BARABARANI MKOANI MOROGORO

$
0
0
BINTI mmoja aitwaye Josephine Michael mkazi wa Kijiji cha Kiegea nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro, Jumatano iliyopita alijifungua barabarani wakati akikimbizwa hospitalini kwa kutumia usafiri wa bodaboda. Tukio hilo lililowashtua watu wengi lilitokea asubuhi kwenye Kituo cha Daladala Cha Nanenane kandokando ya Barabara Kuu iendayo Dar es Salaam.   Mwandishi wetu alifika eneo

NAIBU MKURUGENZI WA CUF ATEKWA NA WANAUSALAMA HUKO MTWARA

$
0
0
Naibu Mkurugenzi wa Oganaizesheni Uchaguzi na Bunge wa Chama Cha Wananchi CUF - Shaweji Mketo ametekwa na wanausalama na wanajeshi waliopiga kambi Mtwara MJINI.Mketo alienda Mtwara MJINI jana na Leo asubuhi alihudhuria mahakamani ambapo kesi ya Mwenyekiti wa vijana CUF taifa (JUVICUF) Katani Ahmed Katani iliahirishwa.Baada ya ahirisho hilo, Mketo alikutana na wanachama wa CUF walioko

MAMIA NCHINI AFRIKA KUSINI WAJITOKEZA KATIKA MAANDAMANO YA AMANI YA KUPINGA KUJA KWA RAISI OBAMA

$
0
0
 Waandamanaji Nchini Afrika Kusini wakiwa wamebeba mabango yanayopinga kuja Kwa Raisi Obama nchini Humo wakati wa maandamano ya Amani ya Kupinga Kuja Kwa Obama Katika Jiji la Pretoria Nchini Afrika  jana Jioni - Juni 28  Waandamanaji Nchini Afrika Kusini Wakisali mbele ya Bango linalopinga Kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Afrika Kusini Jioni ya jana 

DPP ASHINDWA KUMSHITAKI SUGU KUTOKANA NA MAPUNGUFU YA HATI YA MASHITAKA..... SUGU YUPO HURU

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma Mjini, jana ilimuachia huru Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (41), maarufu kama Sugu aliyefikishwa mahakamani kwa kosa la kutumia lugha ya matusi dhidi ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda baada ya hati ya mashtaka kuonesha mapungufu. Kutokana na uamuzi huo wa Mahakama imeutaka upande wa mashtaka kurekebisha hati hiyo na kumfikisha tena mshtakiwa

NAY WA MITEGO AMPARAMIA PANCHO NA KUDAI NI SHOGA BAADA YA KUTOBOA JICHO LAKE MITHILI YA BINTI MREMBO ANAYESAKA BWANA

$
0
0
Kuna  beef  la  chini chini  kati  ya  Pancho  na Nay wa Mitego baada  ya  Nay  kudai  kuwa  Pancho ni SHOGA...!! Madai  ya  ushoga  yameibuka  baada  Linah  kuweka  picha  akiwa  na  Pancho  studio.Katika picha  hiyo, Pancho  anaonekana  katoboa  JICHO  mithili  ya  BINTI  MREMBO  anayesaka  mwanaume  wa  kumwondolea  "mawazo".... Baadhi  ya  mashabiki  wamemuunga  mkono  Nay  na

HUYU NDO MSANII WA BONGO MOVIE ANAYEDAI KUWA YEYE NI BIKRA NA HAMJUI MWANAUME

$
0
0
Mwigizaji wa kike anayetesa katika tasnia ya filamu Bongo Diana Rose kimaro ‘Diana’ amedai kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote na wala hafikirii kuwa na Boyfriend kwani yeye bado ni mwanafunzi na akili yake yote ipo katika masomo . Wakati ukifika akiwa na maisha yake atachagua ni mwanaume yupi anastahili kuwa naye kwa maisha yake rasmi lakini si sasa.  “Sijui kabisa

JACK WOLPER ADAI KUWA ANAPENDA KUTEMBEA NA "SERENGETI BOYS" KWA SABABU WANAYAJUA MAPENZI UKILINGANISHA NA WATU WAZIMA WENYE PESA ZAO

$
0
0
Nyota wa tasnia ya filamu , Jaqueline Wolper ‘Wolper Gambe’ amedai kuwa hawapendi sana wanaume wenye fedha kwani wengi wao ni waume za watu... Wolper anadai kuwa nao si rahisi kuonyeshwa mapenzi yao ya dhati  kwani mapenzi yao ni ya  chumbani tu... " Unajua unapokuwa na mtu mwenye fedha zake , alafu mtu mzima, ni  lazmia  ukose  penzi la kweli kwani mapenzi yenu ni chumbani tu,

VIDEO YA RAIS KIKWETE AKIONGELEA SABABU ZA OBAMA KUJA TANZANIA

$
0
0
Ubalozi wa Tanzania London ukishirikiana na Urban Pulse na Freddy Macha wakuletea video fupi ya Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akizungumzia ziara ya Rais Barack Obama, alipokuwa Uingereza karibuni.<!-- adsense -->

MIZENGO PINDA AIPIGILIA MISUMARI KAULI YAKE...ADAI KUWA SERIKALI HAITAMVUMILIA MTU YOYOTE ATAKAYEPANDIKIZA CHUKI NCHINI

$
0
0
Serikali imesisitiza kuwa haitavumilia kuona baadhi ya watu wanaendelea kupanda mbegu za chuki za kidini na kisiasa miongoni mwa Watanzania na imesisitiza kuchukua hatua bila huruma kuzimaliza njama hizo.Kauli hiyo ilitolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana, wakati akiahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge hadi Agosti 27, mwaka huu.“Nataka niwahakikishie Watanzania kuwa serikali haitavumilia hata

KINACHOMFANYA MWANAUME AKOROME NA KULALA BAADA YA TENDO LA NDOA NI MAUMBILE NA SIYO HIARI YAKE

$
0
0
Jambo hili huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu mzima kama kuna mahali wamekosea au hawajawavutia wapenzi wao, pale wenzi wao wanapogeukia upande wa pili na kushikwa na usingizi punde tu baada ya kumaliza tendo la kujamiiana. Lakini utafiti uliofanywa hivi na wanasayansi unawapa wanaume ahuweni katika kuepuka lawama hizo, kwamba, kumbe siyo hiyari yao,

MAOFISA WA MAREKANI WADAI KUWA WAO NDO WATAPANGA MAWAZIRI WA TANZANIA WATAKAORUHUSIWA KUSHIKANA MKONO NA OBAMA AKIJA DAR

$
0
0
Wakati magari 150 ya msafara wa ziara ya Rais Barack Obama yamewasili nchini, majina ya mawaziri wa Tanzania yatakayoruhusiwa kumpokea kiongozi huyo kuchujwa na makachero wa FBI. Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Moses Malaki aliliambia gazeti hili jana kuwa matayarisho ya ujio wa Rais huyo ni kabambe na hayajawahi kutokea katika

DOKII ATOA WIMBO WA KUMKARIBISHA OBAMA TANZANIA....

$
0
0
Nyimbo iliyoimbwa na Dokii yenye maadhi ya kiafrika inayo mkaribisha rais Obama. jina la wimbo OBAMA WELCOME TANZANIA<!-- adsense -->

OBAMA ATOA SABABU ZILIZOMFANYA ASIENDE KENYA KWA SASA... SABABU KUBWA NI KESI YA UHURU KENYATTA NA MAKAMU WAKE

$
0
0
US President Barack Obama said Saturday the “timing was not right” for him to travel to Kenya, his father’s homeland, during his current Africa tour, but he expected to go there many times in the future. Obama said the new government of President Uhuru Kenyatta was still finding its feet after an election in March, and that Nairobi was “still working out issues with the international

DIVA WA CLOUDS FM AMVAA TENA HUDDAH....KISA NI PENZI LA PREZZO

$
0
0
Kama utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea kati ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva Loveness love. kiufupi ni bif kupitia twitter kisa kikiwa ni CMB Prezzo Katika interview iliyofanywa  na Huddah, mrembo huyo wa Kenya  amesema hana uhusiano na Prezzo, ni rafiki yake tu, na hana beef yoyote na Diva na kwanza

SUMAYE AWAASA VIJANA KULINDA TAIFA LAO NA WASIKUBALI KUNUNULIWA MWAKA 2015

$
0
0
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ametaka vijana kusimama imara kulinda na kulijenga taifa lao. Alisitiza maendeleo ya taifa hili, katu hayataweza kusonga mbele, kama viongozi wake wataendelea kuendeleza vitendo vya rushwa na biashara ya dawa za kulevya. Aidha, alisema ataendelea kupiga vita tatizo la rushwa lililopo nchini, licha ya suala hilo kuonekana kuwa mwiba mchungu kwa

SERIKALI YASHUSHA USHURU WA PETROLI....USHURU WA SIMU WAFUTWA

$
0
0
MFUMO mpya wa Bunge kuanza na bajeti za kisekta na kumalizia na Bajeti ya Serikali pamoja na uundwaji wa Kamati ya Bajeti, umeonesha makali yake kiasi na kuilazimisha Serikali, kushusha kodi ya petroli na kufuta ushuru wa kutuma na kupokea fedha kwa njia ya simu. Kabla ya Serikali kufikia uamuzi huo jana saa sita usiku, Kamati ya Bunge na wabunge walivutana na Serikali mara kadha wa

NIKKI LEE: MWANAMKE ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 5000 NDANI YA MIAKA 9

$
0
0
  Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Wakati wapo wanawake ambao hawapati salamu barabarani, Nikki Lee, 25 amevunja rekodi baada ya kutimiza idadi ya wanaume 5,000 aliofanya nao ngono.Nikki ambaye aliibukia katika fani ya urembo anasema alifanya vitendo hivyo kwa muda wa miaka tisa sehemu mbalimbali alizokuwa akitembelea.Anasema alikuwa anafanya ngono katika klabu za usiku, ndani ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live


Latest Images