Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mahakama Kuu Yasimamisha Mjadala wa Ripoti ya Escrow Kujadiliwa Bungeni

$
0
0
Jopo la majaji watatu wa mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam chini ya jaji Radhia Sheikhe limezuia mjadala wa ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow hadi hapo hoja ya msingi ambayo ipo mahakamani itakapofanyiwa kazi.   Jopo hilo lililokuwa likiongozwa na Mh Radhia Sheikhe wameagiza kutofanyika kwa mjadala wotote kuhusu ripoti ya CAG huko

Hakuna wa Kuzuia Escrow Isijadiliwe Bungeni - Anna Makinda

$
0
0
Kufuatia  Taarifa za  kujadiliwa kwa suala la  ufisadi katika akaunti ya Tegeta Escrow kupelekwa mahakamani ili lisijadiliwe na Bunge, Spika wa Bunge Bi. Anna Makinda amesema hakuna Muhimili utakaoweza kuingilia shughuli za bunge.   Akitoa Muongozo wake Baada ya Mbunge wa Bariadi Mashariki Mh. John Cheyo kutaka kujua ni hatua gani zitachukuliwa na Bunge dhidi ya suala hilo kufikishwa

Rais Kikwete Kurejea Nchini Novemba 29, 2014

$
0
0
Taratibu za matibabu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, zimekamilika jana, Jumatatu, Novemba 24, 2014.   Taratibu hizo za matibabu za Mheshimiwa Rais Kikwete zilikamilika kiasi cha saa 12 asubuhi ya jana wakati madaktari bingwa katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko mjini Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani, walipomfanyia hatua ya

Tweets 3 za Dk.Wilbroad Slaa kuhusiana na kashfa ya Escrow

$
0
0
…Tulisema hili la Escrow mapema. Akaunti nyingi zilizopokea hela zilikuwa ni mpya, nyingine hazikuwa hata na vitabu vya hundi. Hatuliachi….”    -“… Ni jambo la kusikitisha sana kuona hata benki zinazomilikiwa na madhehebu ya dini sasa zimekuwa sehemu ya kusambaza fedha zilizoibwa…’.   -‘…Fisadi anapoachia ngazi bila kufikishwa mbele ya sheria ni sawa na kupewa mapumziko kwenda kutumia

Ripoti Ya Escrow.....Leo ndio Leo!!!

$
0
0
Ripoti itakayowasilishwa bungeni hii hapa. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiilinda ripoti hiyo usiku kucha. Wajumbe wa kamati wakiipitia ripoti hiyo kabla ya kuwasilishwa leo bungeni. ** LEO ndiyo siku iliyokuwa ikisubiriwa baada ya mbinu za kila aina za kutaka kuzuia mjadala wa ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL ambapo Kamati ya Hesabu za Serikali (

Ripoti Ya Escrow Yawasilishwa Bungeni.....Bonyeza Hapa Kuisoma Ripoti hiyo.

$
0
0
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali katika Bunge la Jamumuhi ya Muungano wa Tanzania, imewasilisha ripoti ya uchunguzi wa kashfa ya IPTL na kuhusisha uchotwaji wa shilingi bilioni 306 za kitanzania. Pamoja na kuwepo tetesi za pingamizi ya mahakama kuzuia kusomwa kwa ripoti hiyo Bungeni, Mwenyeti wa kamati Zitto Kabwe alisoma ripoti na kulithibitishia Bunge hilo kwamba viongozi na

Sakata la Escrow: Kamati ya PAC Yamtaka Waziri Mkuu,Mwanasheria Mkuu, Waziri wa Nishati na Madini Waachie Ngazi

$
0
0
WAZIRI MKUU - Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu, alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha kutoka katika akaunti ya ESCROW.   -Kamati, kwa kuzingatia kielelezo namba 22, inathibitisha bila shaka kwamba, Waziri Mkuu alikuwa analijua jambo hili vizuri na kwamba aliridhia muamala huu ufanyike. Ndiyo maana katika maelezo yake ya

Maajabu: Mti Mwingine Uliokuwa Umeanguka miaka Mitano Iliyopita WAINUKA Wenyewe Mkoani Tabora

$
0
0
Lile tukio la ajabu ambalo limestaajabisha wengi la mti ambao ulikuwa umeanguka kwa zaidi ya miaka mitatu kuinuka,  limekaa kwenye headline tena ambapo viongozi wa Serikali wamezungumzia hilo huku wananchi wakisisitizwa kuutunza.   Mti huo umeinuka siku ya Oktoba 15 mwaka huu, ambapo Katibu tawala wa Wilaya ya Uyuwi amesema; “…kwa mazingira tunayoyaona hapa tukio ni kweli limetokea

Bunge laelezwa MAGUNIA yalivyobeba fedha IPTL

$
0
0
WATU mbalimbali na viongozi wa umma waliofaidika na fedha za akaunti ya Tegeta Escrow ya Kampuni ya kufua umeme ya IPTL, wametakiwa kurejesha fedha hizo, kufilisiwa mali zao na kushitakiwa mahakamani.   Aidha, mmiliki wa Kampuni ya PAP, Harbinder Singh Sethi ameamriwa kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa makosa ya utakatishaji fedha haramu, ukwepaji wa kodi na wizi.   Pia kwa kutumia

Watendaji 17 Waswekwa Rumande kwa Kushindwa Kusimamia Agizo la Rais Kikwete kuhusu Ujenzi wa Maabara

$
0
0
MKUU wa Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Festo Kiswaga amewasweka rumande watendaji 17 wa vijiji na kupewa barua za onyo kali, huku mmoja akifukuzwa kazi kwa uzembe wa kutosimamia ipasavyo ujenzi wa maabara za shule za sekondari.   Hali hiyo ilitokea katika ziara aliyoifanya kujionea maendeleo ya ujenzi wa maabara hizo, ambazo Rais Jakaya Kikwete alitoa maagizo kwa wakuu wa wilaya zote

Kondomu Feki Zateketezwa

$
0
0
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) jana liliteketeza kondomu feki aina ya Mood vipande 601,100 vyenye thamani ya Sh. milioni 29.7 ambazo zimebainika kutengenezwa India. Akizungumza jijini Dar es Salaam baada ya zoezi hilo lililofanyika katika eneo la Pugu Dampo, Ofisa Ubora kutoka TBS, Athuman Kisumo, alisema kondomu hizo ziliteketezwa baada ya kuwasili nchini na kubainika hazina ubora na

Baada ya Ishu ya Escrow, haya ni Majibu Mawili ya Waziri Mkuu Pinda ikiwemo Kujiuzulu

$
0
0
Kikao cha Bunge leo Novemba 27 kimeanza kwa maswali mawili kuulizwa na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda.   “…Chini ya uongozi wako kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ukiwa kiongozi wa shughuli za Kiserikali Bungen, tumeiona Serikali ikikumbana na matatizo na vikwazo vingi ikiwemo ‘Operesheni Tokomeza’ ambayo

Ajali Yaua 11 Tanga

$
0
0
WATU 11 wanadaiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa katika ajali mbaya eneo la Mkanyageni mkoani Tanga baada ya gari aina ya Toyota Coaster yenye namba za usajili T 410 BJD kugongana na Scania namba T 605 ABJ leo asubuhi .   Katika ajali hiyo, Coaster lilikuwa likitoka mkoani Tanga kwenda Lushoto na madereva wa magari yote mawili hawajulikani walipo baada ya ajali.  

Sakata la Tegeta Escrow: Kikao cha Bunge Jioni Hii

$
0
0
MWENYEKITI ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu: Wananchi wanataka kujua ukweli, na anatoa nasaha zake ili bunge lisilete fujo   Tundu Lissu: Anaomba radhi ya kauli ya jana kuhusu tuhuma ya wakili kumuua mkewe.   Escrow: Muhongo kapotosha, viambatanisho haviwakilishi alivyosema. Muhongo ameleta vitu viwili tofauti na ni upotoshaji mtupu. Pesa za Escrow ni za

Mahakama Kuu Yamuachia Huru Sheikh Ponda Leo

$
0
0
Mahakama Kuu ya Tanzania imemuachia huru aliyekuwa Katibu wa Taasisi za Kiislam, Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kuona hana hatia dhidi ya Kesi ya madai ya Ardhi ya Agrekanza inayomilikiwa na Afidhi Self  iliyokuwa inamkabili.   Akisoma Mashtaka hayo Mwanasheria wa Serikali, Tumaini Kweka mbele ya Jaji, Augustino Shangwe alisema baada ya kupitia vifungu vyote mahakama imejiridhisha

Diamond na Zari Waumbuka

$
0
0
Licha ya madai wanayoyatoa mastaa wawili hot kwa sasa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady kuwa si wapenzi bali kuna project wanaifanya, wawili hao wameumbuka.   Kuumbuka huko kumekuja kufuatia kuvuja kwa picha inayowaonesha mastaa hao wakidendeka huku wakiwa kwenye hisia kali. Katika picha hizo ambazo kwa sasa zinapatikana mtandaoni, Zari anaonekana

Waziri Muhongo Azomewa Bungeni

$
0
0
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amekumbana na wakati mgumu, ikiwa ni pamoja na kuzomewa na wabunge na kukatizwa wakati akitoa maelezo kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kupendekeza yeye pamoja na viongozi wengine waandamizi wa serikali, akiwamo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wawajibishwe. Mbali na kukumbana na wakati mgumu kabla na

Askofu Kilaini na Nzigirwa wazungumzia tuhuma za Wizi wa Pesa za Escrow

$
0
0
Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini amekiri kupokea Sh80.5 milioni kutoka kwa Mkurugenzi wa VIP Engeering, James Rugemalira akisema si mara yake kwa kwanza kupokea fedha kutoka kwa mfanyabiashara huyo kwa kuwa mara nyingi huwa anachangia kwa uwazi miradi ya jamii.   Askofu huyo alikuwa akizungumzia Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), iliyosomwa

Serikali imesema inatambua VICOBA kama mkombozi wa wanyonge nchini.

$
0
0
Serikali imesema kuwa VICOBA ni taasisi binafsi inayomilikiwa na wananchi wenyewe vikiwa ni miongoni mwa taasisi ndogo za kifedha ambazo ni za kibinafsi na huanzishwa, kuendeshwa na kusimamiwa ama kijijini, kitongojini na hata kwenye kata. Hayo yamebainishwa leo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Rungwe Magharibi Prof. David

Baraza la Maaskofu lazungumzia 'mgawo wa escrow' kwa Makasisi wake

$
0
0
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) limezungumzia sakata la maaskofu wa kanisa hilo, Methodius Kilaini na Eusebius Nzigirwa kudaiwa kupewa fedha za akaunti ya Tegeta Escrow na kusema kwa sasa hawawezi kuzungumzia suala hilo kutokana na kuwa linagusa watu binafsi. Limesema kuwa suala hilo halihusu baraza na inaweza kufanyiwa kazi kwa taratibu za kanisa kwa kadri uchunguzi
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images