Baadhi ya miili ya abiria waliouawa juzi na Al-Shabaab eneo la Mandera, Kenya.
Basi lililotekwa na Al-Shabaab eneo la Mandera likiwa njiani kuelekea Nairobi.
Wanajeshi wakiwa eneo la tukio.
Baadhi ya miili ya watoto ambao nao waliuawa katika shambulio hilo.
Miili ya marehemu ambao wengi walikuwa siyo waislamu.
Ndugu wa marehemu wakiwa na simanzi wakati wa kupokea miili ya
Mshauri wa Rais Uhuru: Mauaji ya Kenya Yanalenga Kuzua Uhasama wa Kidini
↧
↧
Sakata Zima La Mtoto Aliyenusuka Kufa Baada ya Kupewa Kipigo Kizito na Hausigeli ( Dada wa Kazi)
Habari kutoka Rukungiri, Uganda zinasema kuwa mtoto mdogo wa miaka
miwili aliyekuwa mgonjwa, amenusurika kifo baada ya kupata kipigo kutoka
kwa dada wa kazi, Jolly Tumuhiirwe (22), aliyekuwa akimlisha.
Jolly alimpiga mtoto huyo Jumamosi iliyopita wakati akimlisha mtoto huyo
aliyekuwa mgonjwa, baada ya kushindwa kula haraka kama alivyotarajiwa
na kutapika.
Bila kujua kuwa nyumba hiyo
↧
Agness Masogange: Sina Mpango wa Kurudi Tanzania
Mrembo aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali
za wasanii Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hatarajii
kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana.
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Masogange alisema
kuwa alivyoondoka nchini na kuelekea Afrika Kusini ameona baadhi ya vitu
vyake vinamuendea sawa na maisha yake yanasonga mbele siku hadi siku
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
Wiki ya SHIDA Bungeni: Saa za Waliobeba Mabilioni ya Pesa IPTL Zahesabika......CCM Yasema Kila Mtu Atabeba Msalaba Wake
Ni wiki ya shida. Wiki hii inatarajiwa kuwa ya
vikao mfululizo na mijadala isiyokoma. Ndiyo wiki inayotarajiwa kuuweka
hadharani mtikisiko wa tano katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete
wakati ripoti ya uchunguzi wa sakata la IPTL itakapowasilishwa rasmi kwa
wabunge na Taifa kwa jumla mjini Dodoma keshokutwa na kuhitimisha
minong’ono na uvumi.
Ni wiki ambayo Bunge litaamua juu
ya
↧
↧
Je, Una Mwili Mwembamba au Umedhoofika kutokana na Maradhi?.....Bofya hapa Ujipatie Dawa Lishe ya kuongeza na kunenepesha mwili
Je
una mwili mwembamba
na unataka kuongeza
na kunenepesha mwili
wako ? Umedhoofika kutokana
na maradhi mbalimbali
na unataka kurejesha
afya yako na
mwili wako ? Unataka kutengeneza
shape ya mwili
wako kwa vitu
vya asili visivyo
na madhara kwa
afya yako ?
Kama jibu ni
ndio basi, hii ni habari njema
sana kwako. Neema Herbalist
ni wauzaji wa
↧
Mdahalo wa Jaji Warioba kufanyika kesho Dar
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imeandaa mdahalo maalumu wa
Katiba utakaofanyika kesho kwenye Ukumbi wa Mlimani City ambao
mzungumzaji mkuu atakuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba, Jaji Joseph Warioba.
Mwenyekiti wa taasisi
hiyo, Joseph Butiku alisema jana kwamba mdahalo huo wa amani ni kwa
ajili ya Watanzania wenye mapenzi mema na utakuwa wa wazi, ikiwa ni
↧
Ni mwanamke ndiye aliyelifanya kundi la Wanaume TMK kumeguka!
Kundi la Wanaume TMK aka ‘wazee wa mapanga shaaa’ lilijichukulia umaarufu mkubwa enzi likiwa na members wote waliolianzisha.
Hata hivyo kundi hilo lilikuja kuvunjika na kuzaliwa makundi mawili,
Wanaume Halisi linaloongozwa na Juma Nature na TMK Wanaume Family ambalo
lipo chini ya Said Fela likiwa na wakali kama Chege na Mheshimiwa
Temba. Na sasa imebainika kuwa ni mwanamke ndiye
↧
Picha ya Diamond na Zari wakinyonyana ndimi yasambaa mtandaoni
Baada ya maneno kusemwa juu ya staa wa ‘Number 1’ Diamond Platnumz
na binti mrembo wa Uganda, Zari ‘the boss lady’ kuwa huenda wakawa na
kitu kinaendelea zaidi ya kazi, picha ya wawili hao wakila ‘denda’
imesambaa mtandaoni.
Zari na Diamond walianza kutawala vichwa vya habari wiki mbili
zilizopita baada ya kupost picha wakiwa kwenye ndege wakitokea Afrika
Kusni kuja Tanzania.na
↧
↧
Jibu la Diamond la kwanini ametumia tena wazungu kwenye video mpya ‘Ntampata wapi’
Baada ya Diamond kuachia video ya ‘Ntampata wapi’ iliyofanyika Afrika
Kusini, amekutana tena na maswali aliyokutana nayo kipindi alipoachia
video ya ‘Mdogo mdogo’, ya kwanini amewatumia zaidi wazungu kwenye video
ya wimbo wake wenye ladha ya Kiafrika.
Hili ndio jibu la Platnumz baada ya kuulizwa swali hilo kwenye kipindi cha Power Jamz kupitia East Africa Radio:
“Kuna kitu kimoja,
↧
Watu wenye Albinism nchini wanaogopa kujitokeza kushiriki katika chaguzi mbalimbali wakihofia usalama wao.
Shirika linalojishughulisha na watu wenye Albinism la UNDER THE SAME
SUN limesema watu wenye Albinism nchini wanaogopa kujitokeza kushiriki
katika chaguzi mbalimbali nchini wakihofia usalama wao, huku
likiwatahadharisha kuwa waangalifu kipindi hiki ambapo taifa linaingia
kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwani matukio
mengi yamekuwa yakitokea msimu huu.
Hayo
↧
Rais Kikwete Apokea Salamu za Kheri toka kwa Rais Barack Obama wa Marekani
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya M rishoKikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama jijini Baltimore, Maryland, Marekani.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwa furaha na ujumbe kutoka Ubalozi wa
Tanzania ulioko jijini Washington DC uliomtembelea kumjulia hali na
kwasilisha salamu za Rais
↧
Dully Sykes Atoa Ufafanuzi Kuhusu Wimbo wake uliojaa MATUSI
Siku chache baada ya wimbo wake wa Thats The Way uliojaa matusi
yasiyoweza kuandikika kuanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ,
msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’
amefunguka kuwa halikuwa kusudio lake kuachia wimbo huo bali ulivuja kwa
bahati mbaya mitandaoni.
Akiongea na Mwandishi wetu, Dully alisema kuwa wimbo huo
aliomshirikisha mwanadada
↧
↧
Mtoto Aliyezaliwa na Miguu na Mikono Minne India na Kupewa Jina la "Mungu Mvulana"
Imetokea nchini India baada ya mama mmoja kujifungua mtoto mwenye
miguu minne na mikono minne huku akipokelewa na wenyeji kwa furaha kubwa
na kuitwa ‘Mungu Mvulana’
....
Mtoto huyo amepewa jina la ‘Mungu Mvulana‘
kwa kuwa kuzaliwa na viungo kama hivyo si jambo la kawaida na
huchukuliwa kama mfano wa Mungu kwa jamii za kihindu na watu walisafiri
kutoka kona mbalimbali za nchi hiyo
↧
Askari wa FFU Apigwa Jiwe Kwa Kombea na Kung'olewa Meno 6 na Wananchi
Kumetokea tukio la aina yake katika mgodi wa madini ya almasi wa Mwadui
uliopo katika wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga ambapo askari polisi wa kikosi
cha kutuliza ghasia wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga Pc Idd
Makame(25) amejeruhiwa vibaya mdomoni kwa kung’olewa meno sita baada ya
kupigwa jiwe kwa kutumia kombeo (kwa lugha ya kisukuma Nh'ago) na watu
wanaodaiwa kuwa ni wachimbaji
↧
Watu 9 wafariki dunia na wengine tisa wajeruhiwa katika ajali mkoani Shinyanga.
Watu tisa wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya baada ya
gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Hiace kutoka mjini Kahama
kuelekea mjini Shinyanga kupinduka katika eneo la Buhangija kona kwenye
barabara kuu ya lami ya Tinde – Shinyanga.
Wakizungumza na mwandishi wetu, mashuhuda wa ajali hiyo na majeruhi wamesema
imetokea muda wa saa 4.30 asubuhi wakati dereva wa gari
↧
Mbunge Felix Mkosamali afikishwa mahakamani
Mbunge
wa jimbo la Muhambwe wilayani Kibondo mkoani Kigoma kupitia chama cha
NCCR Mageuzi Felix Mkosamali amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya
Kibondo akituhumiwa kumzuia karani mwandikishaji wapiga kura kwa ajili
ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji kufanya kazi yake.
Mh.Mkosamali ambaye alilala rumande baada ya kukamatwa na polisi
Jumatatu jioni amefikishwa mbele ya
↧
↧
Mgogoro wasababisha wanafunzi 400 kuacha masomo na 10 kupata mimba,mkoani manyara.
Wanafunzi 387 wa vijiji vya kata ya
nambisi wilayani mbulu mkoani manyara wanaosoma katika shule ya
sekondari ya kata ya Murray wamelazimika kuacha masomo baada ya
kushindwa kutembea umbali mrefu wa zaidi ya km 30 wa kwenda na kurudi
kila siku kutokana na wanachi wa vijiji hivyo kuibua mgogoro wa kutaka
kila kijiji kujenga shule yake.
Makamu mkuu wa shule hiyo Bw.Denis Lohay
↧
Raia wa Kigeni ajeruhi sita kwa Risasi Zanzibar
Jeshi
la polisi Zanzibar linawashikilia raia wawili wa kigeni baada ya
kukutwa na silaha na risasi kinyume na sheria huku mmoja ya raia huyo wa
ufaransa amewajeruhi watu sita kwa kuwapiga risasi kutokana na mgogoro
wa umiliki wa hoteli.
Akithibitisha
kukamatwa kwa watuhumiwa hao katika matukio tofauti Naibu Mkurugenzi
wa Upelelezi na Makosa ya Jinai Zanzibar Kamishna Msaidizi
↧
Katiba Inayopendekezwa Haifai - Jaji Warioba
Baadhi ya wajumbe wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba wameitaka
serikali ichapishe kwa wingi na kuzisambaza kwa wananchi nakala za
katiba pendekezwa, ili wananchi waisome, waitafakari na kuielewa kabla
ya kuipigia kura ya maoni huku wakitahadharisha uwezekano wa nchi kuwa
na katiba isiyokidhi matarajio na maslahi ya wananchi endapo wataipigia
kura kabla ya kuisoma na kuiielewa.
↧
More Pages to Explore .....