Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kila Kona Wanataka "Watuhumiwa" Escrow Wafilisiwe

0
0
Siku moja baada ya Kamati ya PAC kuweka hadharani uchunguzi wa Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow, watu wa kada mbalimbali wamependekeza hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi ya wahusika.   Zanzibar Viongozi wa upinzani Zanzibar wamesema wote waliotuhumiwa kuhusika na vitendo vya ufisadi kupitia Akaunti ya Tegeta Escrow

Tibaijuka: ''Nilipokea Pesa za Escrow''

0
0
Mjadala kuhusu kashfa ya uchotaji wa mamilioni ya fedha katika akaunti ya ESCROW ya Benki Kuu ya Tanzania umezidi kuunguruma nchini Tanzania kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, PAC, na ripoti ya serikali kuhusu kashafa hiyo.   Mambo yaliyojitokeza katika ripoti ya PAC ni kutaja majina ya viongozi na maafisa wandamizi wa serikali walionufaika na mgao huo

Mjadala wa Sakata la Akaunti ya Escrow Leo Bungeni

0
0
Nchambi: Anailaumu serikali kwa kuchelewesha kuleta jambo husika bungeni, watanzania wana hamu ya kujua fedha ni nani? Wakili wa TANESCO (Mkono) alishauri kufunguliwa akaunti (ananukuu maandiko ya biblia kuhusu kuheshimu mamlaka), anasema kila mtu atawajibika kwa namna yake. Mbunge wa Kishapu (CCM), Suleiman Masoud Nchambi.   Hasara nyingine tuliyoipta ni gharama za mawakili(bilioni

Mbunge Lugola Awavunja Wabunge Mbavu Baada ya Kuomba Kuvaa Kininja ili Asiwatazame wahusika wa Escrow Usoni

0
0
MBUNGE wa Mwibara (CCM), Alphaxard Kangi Lugola wakati akichangia katika Ripoti ya PAC kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow bungeni leo, ameomba kuchangia huku akiwa amevaa 'Kininja' ili kutowaangalia usoni wahusika wa sakata hilo.   Mbali na kuvaa hivyo, Lugola pia aliomba kama kanuni zinaruhusu achangie tena akiwa amevaa nguo za chama chake cha CCM ili kuonyesha kuwa CCM haiungi

Bunge "Lawaka Moto" baada ya Freeman Mbowe naye kuhusishwa na Mgawo wa Pesa za Escrow

0
0
Kuliibuka  Majibishano  Makali  Bungeni  baada  ya  Mbunge  Assumpta (CCM)  Kumtaja  Freeman Mbowe  kuhusika  na  mgawo  wa  pesa  za  Escrow, hali  iliyomfanya  John  mnyika  asimame  na  kumtaka  mbunge  huyo  kuthibitisha  kauli  yake.... Bonyeza  hapo  chini  kujionea  mabishano  hayo.

Wananchi wagoma kujiandikisha kupiga Kura

0
0
Wakazi zaidi ta 350 wa vijiji vitatu vilivyopo kata ya Maere jijini Tanga wamelalamikia zoezi la kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kufuatia kituo walichozoea kujiandikisha katika chaguzi mbalimbali zilizopita kuhamishiwa umbali wa kilomita Saba kutoka katika makazi yao hatua ambayo inawalazimu baadhi ya wasamaria wema kujitolea kukodisha usafiri wa pikipiki almaarufu boda

Aunty Lulu Asimulia Alivyobakwa

0
0
Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefungua kinywa na kutoa la moyoni akisimulia tukio baya lililowahi kumkuta la jinsi alivyobakwa.   Akizungumza na Gpl, Aunty Lulu asiyeishiwa na vimbwanga alisema kwamba, kamwe hawezi kusahau tukio hilo maishani mwake. Aunty Lulu aliyeng’ara kwenye Sinema ya Lost Soul

Aibu: picha Chafu za Lulu wa Y-Tone zavuja mtandaoni

0
0
Wauza nyago wanaotumika katika video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva (video queens) wametia fora kwa kurekodiwa mikanda ya utupu na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na simu za kupangusa. Ukiachana na Agness Gerald ‘Masogange’, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’, Rehema Fabian, Husna Maulid ambao walisharipotiwa huko nyuma, mrembo maarufu kwa jina moja la Lulu ambaye ameuza

UKAWA Wachafua Hali ya Hewa Bungeni Baada ya Kugoma Wakishinikiza Waziri Muhongo Awajibishwe......Bunge Laahirishwa

0
0
Vurugu  za  aina  yake  ziliibuka  Bungeni  jana  usiku   baada  ya  UKAWA  Kugoma  kuendelea  na  mjadala  wa  Bunge  wakishinikiza  Waziri  Muhongo  awajibishwe.... Vurugu  hizo  ziliibuka  baada  ya  kiongozi  wa  kambi  rasmi  ya  upinzani  bungeni, mh. Freeman Mbowe  kusimama  na  kumtuhumu  Spika  wa bunge kuwakumbatia  wezi  wa  Pesa  za  Escrow, hali  iliyowafaya  wabunge  wa 

Habari kwa Kina Kuhusu Vurugu Zilizoibuka Jana Bungeni na kupelekea Bunge Kuvunjika

0
0
Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana usiku kilivunjika baada ya vurugu kutawala ukumbini humo.    Vurugu hizo zilianza saa 04:42 usiku hadi saa 04:49 usiku wakati Spika Anne Makinda alipolazimika kuahirisha Bunge hadi leo saa tatu asubuhi.   Chanzo cha vurugu ni kutokana na ugumu wa kutokukubaliana na azimio la tisa, lililolenga kumwajibisha moja kwa moja Waziri wa

Lowassa aomba watu wapuuzie akaunti ya Twitter yenye jina lake

0
0
Toka bunge limeanza mjadala wa kadhia ya Escrow account, kuna mtu au kikundi kwa sababu wanazozijua wao wenyewe wameanzisha akaunti ya mtandao wa Twitter kwa jina la Edward Ngoyai Lowassa, @edwardlowasa. Kwa kutumia ukurasa huo, mtu huyo amekuwa akiandika masuala kadhaa kuhusiana na suala hilo la escrow account na kile kinachoendelea bungeni, ikionekana kama ni kauli ya Mhe. Lowassa.

Haya hapa majina yaliyoteuliwa na PAC kuandika maazimio ya kuwawajibisha watuhumiwa wa Escrow…

0
0
Baada ya Spika wa Bunge kuahirisha Bunge mara mbili siku ya leo Novemba 29 ili kuipa nafasi kamati ya PAC iweze kufanya marekebisho ya maneno yaliyoandikwa kwenye maazimio yaliyowasilishwa na Kamati ya PAC, Mwenyekiti wa Kamati hiyo Zitto Kabwe ametaja majina ya walioteuliwa na Kamati hiyo kuandika maazimio ya kuwajibisha watuhumiwa wa Tegeta Escrow.    Kupitia ukurasa wake wa

Helikopta ya Maliasili (TANAPA) Yadondoka jijini Dar....Watu Watano Wakiwemo Rubani na Polisi Wafariki Dunia

0
0
Helikopta ya Maliasili (TANAPA) imedondoka maeneo  ya Gongo la Mboto, Moshi Bar jijini Dar na kuua watu wote watano wakiwemo rubani na Polisi.     

Rais Kikwete Atua Dar Es Salaam Leo Akitokea Marekani Kwenye Matibabu

0
0
Rais Jakaya Kikwete amesema amepona saratani baada ya kufanyiwa upasuaji mapema mwezi huu nchini Marekani.   "Niligundulika kuwa na hatua ya pili ya saratani ya kibofu, ambayo baadaye ikaonekana kuwa ni hatua ya kwanza," alisema Kikwete katika hotuba yake aliyoitoa akiwa uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam baada ya kurejea kutoka Marekani.   Aliongeza kuwa madaktari wamesema sasa

Bunge Laazimia Muhongo na Wenzie Wawajibishwe Kutokana na Kashfa ya Wizi wa Bilioni 321 Tegeta Escrow.

0
0
Bunge limeazimia waziri wa nishati na madini Mhe.Prof Sospeter Mhongo,Waziri wa ardhi Prof. Anna Tibaijuka,Mwanasheria mkuu wa serikali jaji Fredrick Werema na katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini pamoja na bodi ya wakurugenzi wa Tanesco wawajibishwe kwa kuishauri mamlaka ya uteuzi  kutengua uteuzi wao.   Akiwasilisha maazimio hayo mwenyekiti wa PAC Mhe. Zitto Kabwe amesema bunge

Hotuba ya Waziri Mkuu Pinda Aliyoitoa Wakati wa Kuhitimisha Shughuli za Bunge Tarehe 29 Novemba 2014

0
0
I:          UTANGULIZI                                      a) Masuala ya jumla Mheshimiwa Spika, 1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.   Mheshimiwa Spika, 2.Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo: Kwanza: 

Diamond Platnumz Anyakua Tuzo Tatu za Channel O Music Video Awards 2014 ( CHOAMVA14 )

0
0
November 29, haitakumbwa kwenye maisha ya Diamond Platnumz na familia yake pekee, bali pia kwenye muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, baada ya hitmaker huyo wa ‘Number One’ kunyakua tuzo tatu kwenye tuzo za Channel O. Diamond alikuwa ametajwa kwenye vipengele vinne. Vipengele hivyo ni pamoja na Most Gifted East Video, Most Gifted Afro Pop Video na Most Gifted Newcomer.

Wema ampongeza Diamond, amuita ‘kaka’..... Zari achukua nafasi yake rasmi, amsindikiza kwenye #CHOAMVA14

0
0
It’s official, Diamond na Wema Sepetu hawapo pamoja tena. Habari hiyo imekuja katika siku ambayp Diamond amegeuka shujaa kwa kunyakua tuzo za tatu za Channel O. Miongoni mwa watu waliompongeza kwa ushindi huo ni Wema Sepetu ambaye tumezoea akimuita staa huyo ‘my baby’, awamu hii ameitwa ‘kaka’.   “Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did

Hiki ndicho alichokiongea yule Hausigeli ( Dada wa kazi ) aliyempiga Mtoto Uganda.

0
0
Baada ya habari  za yule msichana  anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua headlines katika vyombo mbalimbali vya Kimataifa Duniani, leo kipo ambacho amekizungumza kwa mara ya kwanza tangu afanye kosa hilo.   Msichana huyo Jolly Tumuhiirwe ambaye kwa sasa amekamatwa na Polisi amesema sababu iliyomfanya amtese mtoto Arnella Kamanzi, ni kutokana na kuchanganyikiwa baada ya waajiri wake

Big Brother Africa: Mshiriki wa Tanzania Afanikiwa kuingia Fainali za Mashindano haya.......Washiriki wanne jana waliondolewa

0
0
Habari ikufikie kutoka ndani ya jumba la Big Brother Africa #BBA9_Hotshots kwamba November 30 2014, washiriki wengine Wanne wametolewa kwenye jumba hilo na kufanya game iendelee kunoga.   Goitse mshiriki wa kutoka Botswana, Ellah mwakilishi kutoka Uganda, Sheillah mwakilishi wa Botswana na Trezagah kutoka Msumbiji ndio washiriki walioyaaga haya mashindano Novemba 30 2014.   Idadi ya
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images