Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kala: Mwaka huu nimeingiza kipato kikubwa kuliko miaka yote. Akanusha kupotea kwenye game

$
0
0
Hit maker wa ‘Dear God’, Kala Jeremiah amepinga vikali kuwa amepotea kwenye game toka alivyohit na wimbo wa ‘Dear God’, huku akidai kuwa huu ndio mwaka ambao ameingiza pesa nyingi kuliko miaka mingine aliyokaa kwenye muziki. Kala amesema licha ya kutoonekana akifanya show kwa wingi mwaka huu, lakini ameingia mikataba mingi na makampuni mbalimbali.   “Mwaka huu ni mwaka mzuri kwangu

Taarifa ya Diamond kutunikiwa PHD na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, yakanushwa

$
0
0
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Rwekaza Mukandala amekanusha taarifa zilizozagaa zinazodai kuwa msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz atatunukiwa Shahada ya Uzamivu (PHD) kutokana na mchango wake kwa jamii. Akizungumza na Power Jams ya East Africa Radio, Prof. Rwekaza Mukandala ambae yupo nje ya nchi kwa sasa amesema taarifa hizo si za kweli ni uzushi tu.

Msichana aliyeigiza kwenye video ya ‘Nampenda Yeye’ ya Temba afariki dunia

$
0
0
Msichana aliyeigiza kwenye video ya wimbo wa Mheshimiwa Temba aliomshirikisha Dully Sykes,  ‘Nampenda Yeye’ amefariki dunia. Temba amesema msichana huyo aitwaye Batulli alifariki juzi. “RIP Batuli. Dada yng mungu akupunguzie adhabu ya kaburi tutakukumbuka kwa mema yote. Batuli ulijitolea kwa nguvu na mali ktk video yng ya nampenda yy na kwa nguvu za mungu tulifanikiwa,” ameandika

Aunt Ezekiel: Sina ujauzito, nimenenepa tu!

$
0
0
Habari zilizozagaa mitaani kupitia mtandao wa Instagram kuwa staa wa filamu za Kibongo Aunt Ezekiel huenda ni mjamzito, zimekanushwa na muigizaji huyo. Alipoulizwa kupitia U Heard ya XXL ya Clouds Fm kama anatarajia kuwa mama, Aunt amesema hana ujauzito wowote isipokuwa anachojua yeye amenenepa tu na kama mimbo ipo basi watu wataona.    Baadhi ya mashabiki wake wamekuwa wakimuuliza

Wananchi wachoma jengo la bunge na kuvamia ikulu nchini Burkina Faso

$
0
0
Waandamaji wenye hasira nchini Burkina Faso wamelichoma moto jengo la bunge kufuatia mipango ya Rais Blaise Compaore kutaka kurefusha kipindi chake cha utawala uliodumu kwa miaka 27. Mamia ya watu walivuka ulinzi mkali katika jengo la bunge katika mji mkuu Ouagadougou, ambapo walichoma moto magari kabla ya kukivamia kituo cha runinga cha serikali na kisha ikulu.   Mtu mmoja aliuawa

Mwanaume Atiwa Mbaroni baada ya kukutwa akifanya Mapenzi na Kondoo

$
0
0
Mtu mmoja mkazi  wa  Kiamaina, Nakuru amekamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi baada ya kukutwa akifanya mapenzi na kondoo.    Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la John Chege mwenye umri wa miaka 27, ambaye ni fundi wa kukarabati mabomba ya maji katika eneo hilo amekiri kufanya kosa hilo japo amelalamika kuwa mama yake mzazi amehusika kumuandalia mtego wa kumkamata akifanya kitendo

Wema Sepetu Ampiga Chid Diamond.....Wakutana kwenye sherehe, wachuniana kama hawajuani

$
0
0
Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao,

Polisi Waanza Msako Mkali wa Madereva Wawili WALIOUA Abiria 12 jijini Arusha

$
0
0
POLISI mkoani Arusha inawasaka madereva wawili wa magari mawili ambayo yalisababisha ajali iliyoua abiria 12 na kujeruhi wengine watatu.   Madereva hao ni wa basi dogo la abiria aina ya Nissan lenye namba za usajili T519 BDJ na lori la mafuta aina ya Scania lenye namba za usajili T 582 ACR ambao magari yao yaligongana katika barabara ya Arusha Moshi eneo la Madira baada ya basi hilo kutaka

Taarifa ya CAG ya ukaguzi maalum wa IPTL wa akaunti ya Tegeta Escrow

$
0
0
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inapenda kuujulisha Umma kuwa Ukaguzi Maalum wa akaunti ya Tegeta Escrow ambao unafahamika kama Ukaguzi wa IPTL unaendelea na unaongozwa na Hadidu za Rejea (ToR) zilizotolewa na kisha kuridhiwa na Ofisi ya Bunge na Wizara ya Nishati na Madini. Ukaguzi wa akaunti ya Tegeta Escrow uliombwa na Katibu wa Bunge na Katibu Mkuu Wizara ya

Lowassa, Makamba ‘wagongana’ kanisani

$
0
0
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba wamewaomba viongozi wa dini kuwasamehe viongozi wa Serikali waliokwaruzana nao wakati wa mchakato wa Katiba na kuliombea Taifa lipate viongozi wenye hekima na uwezo katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.    Viongozi hao walisema hayo jana katika maadhimisho ya miaka 50 ya Kanisa

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Lipumba: Kwanza CCM ing’oke, ruzuku baadaye

$
0
0
Wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akisema suala la ruzuku na viti maalumu ni changamoto kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema hicho si kipaumbele.    “Tunachokitaka ni kuunganisha nguvu zetu ili kuhakikisha tunaing’oa CCM madarakani kwanza, masuala mengine kuhusu ruzuku tutaweka utaratibu maalumu baadaye,”

Askari Polisi Amkata Vidole Vinne Mfanyakazi wake wa Ndani akimtuhumu kumwibia deki.....RPC Mwanza Ageuka Mbogo, aunda tume kubaini ukweli

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia askari wake WP Fatuma wa Kituo cha Polisi Igogo wilayani Nyamagana kwa kosa la kumjeruhi mtumishi wake wa ndani kwa mkumkata vidole vyake vinne vya mkono wa kulia kwa panga, akimtuhumu kumwibia Deki ya Video nyumbani kwake. Tukio hilo la kujeruhiwa kijana Steven Magessa (18), lilitokea Oktoba 20 mwaka huu katika kijiji cha Magange Mugumu

Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo.

$
0
0
Basi la Simba mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar na Tanga  limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani.   Dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.  

Jeshi Lagawanyika kuhusu Uongozi Burkina Faso

$
0
0
Mgawanyiko umeripotiwa ndani ya jeshi la Burkina Faso kuhusu ni nani anayefaa kuliongoza taifa hilo kufuatia kujiuzulu kwa rais Blaise Campaore baada ya miaka 27 uongozini.   Kituo kimoja cha radio kilitangaza taarifa kutoka kwa naibu mkuu wa kikosi cha kumlinda rais kanali Isaac Zida iliyosema kuwa amechukua jukumu la kuliongoza taifa hilo. Mkuu wa majeshi ya Burkina Faso Jenerali

Chidi Benz asimulia story nzima jinsi ilivyokuwa hadi kukamatwa na dawa za kulevya Airport

$
0
0
Rashid Makwiro a.k.a Chidi Benz ambaye ameachiliwa kwa dhamana Jumatano wiki hii, amesimulia jinsi ilivyokuwa hadi kukamatwa Ijumaa iliyopita Oct.24 na dawa za kulevya kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa Julius Nyerere. Chidi alizungumza na Soudy Brown kupitia So So Fresh ya Clouds FM jana.   “Sikuwaambia natumia, niliwaambia dawa ambazo nilikuwa niko nazo lazima nitakuwa

CCM kushika dola uchaguzi ujao - Nape

$
0
0
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema ushindi wa Urais nchini Msumbiji, ni salamu kwa vyama vya upinzani nchini kuwa uchaguzi ujao, CCM itaendelea kushika dola.   Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnauye, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati chama hicho kikitoa salamu za pongezi kwa Rais mteule wa Msumbiji, Filipe Nyusi, aliyeshinda kiti hicho katika uchaguzi

Big Brother Africa: Video za Washiriki Wakioga Bafuni ziko hapa ( Video hizi ni kuanzia siku ya 18 hadi ya 26)

$
0
0
Video  za  washiriki  wa  jumba  la  big  brother  wakioga  bafuni  ziko  hapa. Video  hizi  ni  kuanzia  DAY 18  hadi  DAY  26. Kabla  hujaangalia  video  hizi, taarifa  zikufikie  kuwa  mshiriki  mmoja  au  wawili  watayaaga  mashindano  haya  jumapili  ya  wiki  hii. Usikae  mbali  na  TV  yako  kujua  nani  ataondolewa  siku  hiyo na  kama  huna  DSTV, basi  hakikisha  huchomoki 

Vurugu: Ngumi zapigwa wakati wa mdahalo wa katiba

$
0
0
Vurugu zilizoambatana na ngumi kurushwa zimetokea  katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba.   Vurugu hizo zimezuka baada ya watu waliokuwa na mabango

Padri Mtarajiwa Aaibika Gesti baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

$
0
0
Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Leonard Celestine ambaye anasomea upadri, anayemalizia masomo ya falsafa (philosophy) mwaka wa tatu katika Chuo cha Jordan mjini Morogoro, anadaiwa kuaibika gesti, kisa kikiwa ni mke wa mtu gesti. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni kwenye Gesti ya Silver Inn iliyopo maeneo ya Msamvu mjini Morogoro ambapo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images