Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Mlemavu wa ngozi anusurika kuuawa

0
0
Msichana Kulwa Joseph (21) mwenye ulemavu wa ngozi (Albino) mkazi wa kijiji cha usonga kata ya sirambo wilayani kaliua mkoani Tabora, amenesurika kuuawa na majambazi watatu, ambapo awali walimteka Balozi wa nyumba kumi na kumpiga ili awapeleke kwa mlemavu huyo naye kwa kubaini nia mbaya akawapeleka nyumba nyingine.   Akizungumza katika kituo cha kulelea yatima na wanaoishi katika

Mchungaji akamatwa na dawa za kulevya za bil.2

0
0
Jeshi la Polisi kitengo cha Kupambana na Dawa za kulevya limekamata kilo40 za dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya shilingi bilioni2.   Tukio hilo lilitokea juzi eneo la Tegeta nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam ambapo Polisi walifaniikiwa kuwanasa watu wawili wakiwa na dawa hizo ndani ya nyumba inayomilikiwa na mchungaji ambaye wakati huo alikua katika kanisa lake lililopo

Mbunge aongoza wananchi kujigawia ardhi Arusha

0
0
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari juzi aliongoza wapiga kura wake kugawa shamba linalomilikiwa na Chama cha Ushirika mkoani Arusha (ACU), akisema amechoka kuona wananchi wake wakisotea ardhi ilhali kuna maeneo hayaendelezwi.   Nassari aliongozana na wapiga kura wake hadi eneo la shamba la Valeska na kuanza kuwagawia ardhi bila ya kuwa na kibali kutoka kwa mmiliki wa

Kijans Alipukiwa na bomu kwenye gari, afa

0
0
KIJANA Juma Rashid anayesadikiwa kuwa na umri kati ya 21 na 23 amekufa baada ya kujeruhiwa vibaya na kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu kilicholipuka ndani ya gari na kumkata kiganja cha mkono, mguu na tumbo, huku watu wengine watatu waliokuwa ndani ya gari hilo nao wakijeruhiwa.   Tukio hilo lililothibitishwa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Longinus Tibishubwamu, limetajwa

Moshi kuwa Jiji Ifikapo 2015

0
0
MKOA wa Kilimanjaro umepitisha rasmi azimio la kuiomba Serikali kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Moshi kuwa jiji ifikapo mwaka 2015.   Azimio hilo limepitishwa katika kikao cha ushauri cha mkoa huo (RCC), chini ya Mwenyekiti wake ambaye ni Mkuu wa Mkoa, Leonidas Gama ambaye amewataka watendaji wa ngazi mbalimbali kutekeleza vigezo vichache vilivyobaki ili kupandishwa hadhi hiyo

Waliofungwa Kesi ya EPA Waachiwa huru

0
0
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachia huru wafanyabiashara watatu, wakiwemo mume na mke, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 13 na miezi sita jela kwa sababu ya wizi wa Sh bilioni 1.1 katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).   Walioachiwa huru ni mume Manase Makale na mkewe Edda Makale, na mfanyabiashara mwingine Bahati Mahenge.  

Sakata zima la Vurugu za Mdahalo wa Katiba NA Jinsi Jaji Warioba alivyodhalilishwa na "Wahuni" Waliomvamia na kumpiga

0
0
MDAHALO wa kujadili Katiba inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, jana ulivunjika baada ya kutokea vurugu ambako Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, alipigwa vibao shingoni na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa CCM.   Hali hiyo ilijitokeza kwenye Hoteli ya Blue Pearl iliyopo Ubungo   Dar es Salaam, baada ya kuvunjika  mdahalo

Kidato cha nne waanza mtihani wa Taifa

0
0
Wanafunzi 297,488 wa kidato cha nne wanaanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari utakaokamilika baada ya siku 20, huku watahiniwa wakionywa kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.    Idadi ya watahiniwa wa mwaka huu ni pungufu ikilinganishwa na ya mwaka jana wakati walipokuwa wanafunzi 367,399.   Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama alisema juzi kwamba kati

Fumanizi Mstuni: Mchungaji Afumaniwa na mke wa Afisa wa Polisi wakingonoka kwenye gari

0
0
Habari kubwa iliyoenea kwenye mitandao ambayo huenda hujabahatika kukutana nayo leo ni kuhusiana na fumanizi lililofanywa na askari polisi katika gari ambapo watu wawili wamekutwa wakifanya mapenzi mchana wa jua kali.    Mitandao ya Zimbabwe imeandika kuhusiana na mchungaji Novert Chivese kukutwa akifanya mapenzi na mke wa afisa wa polisi msituni.   Habari  zinaarifu  kuwa baada ya

Kaimu Mkurugenzi wa TPDC na mwenyekiti wake wa bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.

0
0
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petrol nchini Tanzania (TPDC) Michael Mwanda na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika hilo James Andilile wanashikiliwa na polisi kwa kushindwa kuwasilisha mikataba 26 ya TPDC kama ilivyoagizwa na Kamati ya bunge.   Hatua hiyo imekuja baada ya Shirika la Maendeleo ya Petrol nchini Tanzania (TPDC) kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa Kamati ya

Makonda Akana Kumpiga Jaji Warioba......Asema anamheshimu kama baba yake!

0
0
Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, Paul Makonda amekanusha taarifa ya kwamba amehusika kumpiga Waziri Mkuu wa zamani Jaji Joseph warioba jana.    Amesema hawezi kumfanyia kitendo kama kile Jaji warioba kwani anamuheshimu kama mzazi wake.   Katika vurugu hizo, Makonda anatuhumiwa  kumpiga aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji

Spika wa Bunge, Anne Makinda Achaguliwa kuwa Rais Mpya wa Bunge la SADC

0
0
MKUTANO wa 36 wa Bunge la nchi wanachana wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), umemchagua kwa kishindo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda kuwa Rais wa Bunge hilo kwa kipindi cha miaka miwili ijayo.   Mbunge wa Malawi, Njovya Lema amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais. Makinda, ambaye hakuwa na mpinzani katika uchaguzi huo uliofanyika juzi,

Rais Kikwete ataka mafunzo yenye ufanisi kukabili Rushwa

0
0
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kuanzisha mafunzo yatakayotolewa kwa watu maalumu kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa namna ya kupambana na rushwa nchini kwa ufanisi.   Alisema hayo jana alipofungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa

Padri wa Kanisa Katoliki akerwa na USHOGA

0
0
PADRI wa Kanisa Katoliki nchini amedai kupokea maombi ya watu wanaotaka kufungishwa ndoa ya jinsia moja, kitendo alichokilaani na kukikemea, akisema ni kinyume kabisa na taratibu za kanisa hilo, huku akiapa maishani mwake hatafungisha ndoa za aina hiyo.   Aidha, ametishia kuacha kazi ya kumtumikia Mungu endapo atalazimishwa kufanya hivyo, kama ndoa za aina hiyo zikiridhiwa na kanisa hilo

Janga:Bodaboda zinaua watatu kila siku nchini

0
0
Licha ya kutoa ajira kwa maelfu ya vijana wa Kitanzania na pia kupunguza tatizo la usafiri mijini litokanalo na foleni, usafiri wa pikipiki maarufu kama 'bodaboda' umeendelea kuua watu kimyakimya na kuwasababishia ulemavu wa kudumu maelfu ya manusura wa ajali za vyombo hivyo kila uchao. Uchunguzi uliofanywa na NIPASHE umebaini kuwa mbali na vifo na ulemavu, bodaboda zimeathiri pia utoaji

Rais Kikwete Aomba Yasimkute ya Jaji Warioba.....Polisi watoa tamko, CUF Waapa kulinda midahalo ya Jaji Warioba!

0
0
Rais Jakaya Kikwete amesema anaomba yasimkute ya Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba aliyeshambuliwa katika mdahalo wa katiba uliofanyika Dar es Salaam, juzi.   Rais Kikwete alitoa kauli hiyo Mwanza jana katika mkutano wa 12 wa Shirikisho la Taasisi za Kupambana na Rushwa (Safac) unaojumuisha nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa

Rufaa ya Sheikh Ponda Yatupiliwa Mbali

0
0
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeyatupilia mbali maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ya kuitaka isimamishe kesi ya uchochezi inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro hadi itakapotoa uamuzi wa rufaa yake.   Jaji Lawrence Kaduri aliyatupilia mbali maombi hayo baada ya kukubaliana na pingamizi la awali lililowasilishwa

Walimu watumia MIHOGO kuandikia Biharamulo

0
0
Walimu wawili wanaojitolea katika Shule ya Msingi Msali, Kata ya Nyakahura, wilayani Biharamulo, mkoani Kagera wanatumia vipande vya mihogo mikavu na mkaa kuandikia ubaoni baada ya kukosa chaki.   Wakizungumza shuleni hapo juzi, walimu hao walisema hawana chaki za kuandikia na kwamba wanatumia vitabu viwili vya hesabu na kiswahili kufundishia wanafunzi 200.   Mwalimu mkuu wa shule

BAVICHA kutumia chopa kupinga Katiba mikoani

0
0
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake la vijana, kimetangaza kuzindua Bavicha Operesheni itakayohusisha matumizi ya chopa kuzunguka katika mikoa ya kanda za Kati na Magharibi kueneza ujumbe wa kuikataa Katiba Inayopendekezwa sambamba na kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.   Operesheni hiyo itakayojumuisha mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi

Wassira aitahadharisha CCM uteuzi wa wagombea

0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira, amekitaka chama Cha Mapinduzi (CCM), kutokufanya makosa ya kusimamisha wagombea wasiokubalika katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Wassira alisema mwaka 2010 CCM ilifanya makosa katika baadhi ya maeneo kwa kusimamisha wagombea wasiokubalika, hatua ambayo ilisababisha chama kupoteza majimbo na kata ambazo zilichukuliwa
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images