Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Askari Polisi wanusurika kulipukiwa na bomu Songea

$
0
0
Askari polisi wanne wamenusurika kulipuliwa kwa bomu la kienyeji usiku wa kuamkia jana lililotegwa eneo wanalokaa asakari hao.   Tukio hilo limetokea wakati wakikagua magari jirani na transimita ya kituo cha TBC Songea katika eneo la mshangano mkoani Ruvuma.   Hata hivyo polisi kwa kushirikiana jeshi la wananchi wamefanikiwa kutegiua bomu hilo.   Kutokana na kishindo kikubwa  wakati wa

Ray C Aifuta Kesi ya Chid Benzi

$
0
0
Wakati nyota wa muziki wa Hip Hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ akikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa  wa Julius Nyerere akiwa na madawa ya kulevya akiwa njiani kuelekea Mbeya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ aliyekuwa amemfungulia kesi ya kumpiga katika kituo cha Polisi cha Oysterbay, amefuta shauri hilo na kumsamehe. Akiongea na Gpl, Ray C alisema ameamua kumsamehe kwa sababu yeye ni mtu

Serikali ya Tanzania yakataa Rasmi kutambua Ndoa za Mashoga ( Jinsia moja)

$
0
0
SERIKALI ya Tanzania imekataa rasmi kutambua ndoa za jinsia moja (ushoga) kama moja ya agenda za maendeleo katika malengo ya milenia 2015 mpaka 2030 katika mkutano wa Umoja wa Mataifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa majadiliano ya malengo ya milenia yanayotazamiwa kumalizika mwakani na kuanza malengo mapya, Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi

Rais aipasua kichwa Ukawa Uchaguzi Mkuu 2015

$
0
0
Baada ya vyama vinne vya upinzani nchini kusaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo, umoja huo sasa unakabiliwa na kazi ngumu ya kuweka sawa mambo, ikiwa ni pamoja na mchakato wa kumpata mgombea urais, kabla ya filimbi ya uchaguzi kupulizwa.    Vyama hivyo vitalazimika kufanya uamuzi katika sera tofauti za vyama vyao, kukabiliana

TCRA yatoa mwongozo wa uchaguzi Mkuu Ujao kwa vyombo vya habari

$
0
0
Ukiwa umesalia mwezi mmoja kuanza kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa rasimu ya mwongozo kwa vyombo vya habari vya utangazaji utakaongoza namna ya kuripoti habari zote za uchaguzi.    Mwongozo huo utawabana pia wanasiasa ambao hupenda kutumia vyombo vya habari kujisifia wakati wa kampeni kwa kutoa misaada mbalimbali kwa jamii.  

Polisi Yatumia Mabomu ya Machozi kuwatawanya Wafuasi wa CHADEMA waliokuwa katika mkutano wa Halima Mdee

$
0
0
Jeshi la Polisi wilayani Kyerwa limetumia mabomu ya machozi kupambana na wafuasi wa Chadema waliotaka kufanya mkutano wa ndani.    Mkutano huo ulikuwa uhutubiwe jana na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee ambaye yuko ziarani katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa.   Msafara wa Mdee uliwasili katika Kijiji cha Karukwara, Kata ya Isingiro saa 8:35 mchana na kwenda

Uozo vyama vya siasa....Mabilioni ya fedha yatafunwa, CCM, CUF, NCCR-Mageuzi na CHADEMA Vyapata hati ya shaka

$
0
0
Na Patricia Kimelemeta-MTANZANIA RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2012/13, imeibua uozo mkubwa katika hesabu za vyama vya siasa.   Mbali ya uozo huo, CAG pia amebaini baadhi ya vyama havina ofisi badala yake vimepanga hotelini na vingine sehemu za uchochoroni.   Ripoti hiyo inaonyesha Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Wananchi (CUF), Chama cha

Mwanamke Anayedaiwa kupigwa na mumewe baa afariki dunia

$
0
0
MWANAMKE Sakina Kopa (41) amefariki dunia siku tatu baada ya kupigwa na kujeruhiwa na mumewe anayedaiwa kuchukizwa kwa kumkuta akiwa baa usiku.    Aidha, katika tukio jingine linalohusishwa na wivu, dereva wa bodaboda amemjeruhi kwa visu mpenzi wake ambaye ni Mwalimu, na baada ya kudhani amemuua, naye alijichoma kisu hadi utumbo kutoka nje, ingawa bado yu hai.   Matukio hayo

Serikali Yashauriwa Kulifuta Jiji la Mwanza

$
0
0
KAMATI ya Bunge inayoshughulikia Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeishauri Serikali kuifuta Halmashauri ya Jiji la Mwanza baada ya kubaini upotevu wa zaidi ya Sh bilioni 40.    Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Rajab Mohammed Mbarouk alishauri hayo jana wakati wa kikao cha kupitia taarifa ya CAG ambapo alisema ubadhirifu huo ni wa kati ya mwaka 2010 hadi 2013.   Alisema hesabu za miaka

Fisi Wavunja NDOA Ya Watu Mkoani Singida

$
0
0
Katika  hali isiyo ya kawaida, Limu Jumanne mkazi wa mkoani Singida, amemtimua na kumrejesha mkewe kwa wazazi wake akidai ni mvivu na mzembe kutokana na kushindwa kudhibiti kundi la fisi walioshambulia na kuua ndama sita wa ng’ombe akiwa machungani.   Limu anayeishi kitongoji cha Itigi, kijiji cha Irisya wilayani Singida anadaiwa kufanya ukatili huo mwishoni mwa wiki baada ya mkewe kurejea

Hatimaye Chid Benz Apata Dhamana

$
0
0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rashid Makwiro ’Chid Benz’ amepata dhamana mapema hii leo katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamilisha taratibu zote za wadhamini wawili baada ya hapo jana kurudishwa rumande alipokuwa hajakamilisha taratibu hizo.

AJALI: Lori la Mafuta lagonga tuta na kulipuka jijini Dar

$
0
0
Lori la mafuta aina ya Scania likiwa limesheheni dizeli likitokea bandarini jijini Dar es Salaam kuelekea mikoani, liligonga tuta katika Barabara ya Morogoro, eneo la Kimara-Baruti,  likapoteza mwelekeo na kupinduka kisha kuwaka moto na kuteketea kabisa.   Wakati lori hilo likiwaka, mafuta yenye moto yalisambaa na kutaka kuunguza nyumba za jirani lakini Kikosi cha Uokoaji na Zima Moto

Rais wa Zambia, Michael Sata afariki dunia jijini London.....Sata anakuwa Rais wa Pili Zambia kufariki akiwa madarakani

$
0
0
Aliyekuwa rais wa Zambia Michael Sata amefariki usiku wa jana tarehe 28 Oktoba kutokana na ugonjwa ambao bado serikali ya nchi hiyo haijaweka wazi.   Sata (77) amefariki akiwa anatibiwa nchini Uingereza alikokuwa amelazwa kwa zaidi ya mwezi mmoja.   Rais huyo amefariki siku 4 baada ya nchi hiyo kusherehekea madhimisho ya miaka 50 tangu ipate uhuru, ambapo kutokana na kuwepo nje ya

Ajali Yaua Watu 9 Mkoani Arusha baada ya Hiace Kugongana Uso kwa Uso na Lori la Mafuta

$
0
0
Watu 9 wamefariki dunia na wawili kujeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Makumira wilayani Arumeru baada ya basi dogo aina ya Hiace kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.    Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Arusha Lebaratus Sabas amesema kuwa ajali hiyo imetokea majira ya saa Kumi jioni baada ya basi hilo dogo aina ya Nisan lenye namba za usajili T519 DBV

Mlegezo Wamponza Chid Benz Mahakamani

$
0
0
Kuonesha wapo ‘serious’ na mavazi, polisi walimtaiti staa wa Bongo Fleva, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ na kumtaka akavae vizuri kisha arejee mahakamani.    Tukio hilo lilitokea juzi, Jumanne katika Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, wakati staa huyo alipokuwa amefikishwa kusomewa mashtaka yake ya kukutwa na madawa ya kulevya. Akiwa katika viunga hivyo vya mahakama, Chid

Wema Sepetu: Najuta Kuwa Maarufu

$
0
0
‘BEAUTIFUL Onyinye’, WEMA Isaack Sepetu ‘Madame’ ametoa ya moyoni na kufichua kwamba maisha yake ya umaarufu anayoishi yanamtesa kwa asilimia 40.   Pamoja na mateso hayo, staa huyo wa filamu alisema anafurahia maisha yake kama mtu maarufu ikiwamo na kuandikwa na vyombo vya habari mara kwa mara.   “Kuna wakati najutia kuwa maarufu kwa asilimia kama 40 hivi lakini nashukuru kwani kwa

Kesi ya Miss Tanzania bado mbichi

$
0
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemruhusu Prashant Patel kubadilisha hati ya madai katika kesi aliyoifungua dhidi ya mshirika wake, Hashim Lundenga.   Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Frank Moshi, amemruhusu Patel kupitia wakili wake Benjamin Mwakagamba wa kampuni ya Uwakili ya BM, baada ya kuiomba mahakama hiyo kufanya hivyo ili aweze kuingiza gharama ambazo zilijitokeza baada ya

UJUMBE mfupi wa simu ya mkononi (SMS) wa NABII Wavunja NDOA ya Muumini Wake

$
0
0
UJUMBE mfupi wa simu ya mkononi (SMS) wa kimapenzi ambao ulitumwa kutoka simu inayomilikiwa na kiongozi wa kanisa la Ngurumo ya Upako, Nabii Geor David Kasambala kwenda kwa mke wa muumini wa kanisa hilo umesababisha ndoa kuvunjika.    Mwanamke aliyetumiwa SMS na nabii huyo ni Pamela Godfrey, mke wa Wilson Lota, wote waumini wa kanisa linaloongozwa na Nabii Geor David.   Ndoa ya wawili hao

MSIBA : Muigizaji Mzee Manento afariki dunia.

$
0
0
Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia usiku wa kuamkia jana.   Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba  ambazo  ni Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k.   Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

Bosi wa Apple Tim Cook atangaza kuwa ni shoga

$
0
0
Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Apple Tim Cook ametangaza kuwa ni shoga na kwamba anajivunia kuwa hivyo. Cook alitoa tamko hilo ili kujaribu kuwasaidia watu wanaong’ang’ana kutangaza jinsia zao katika ripoti iliochapishwa katika gazeti la biashara la kila wiki la Bloomberg. Wiki hii Cook alitoa changamoto kwa jimbo lake la Alabama kuhakikisha kuwa haki za mashoga na wale wanaobadili
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images