Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Hukumu ya kifo yatangazwa kwa wanawake wanaojiuza pamoja na wateja wao

$
0
0
Katibu wa maendeleo ya jamii katika jiji la Abuja Nigeria, ametangaza ‘kiama’ kwa wanawake wanaofanya ‘biashara ya kujiuza’ pamoja na wateja wao.    Taarifa iliyochapishwa na Today Internet Newspaper imesema, katibu mkuu huyo Blessing Unoh amesema serikali imetoa amri ya kusitisha biashara hiyo ndani ya saa 48, kwa yeyote atakayekiuka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.

Big Brother Africa: Video za Washiriki Wakioga Bafuni ziko hapa ( Video hizi ni kuanzia siku ya 10 hadi ya 18)

$
0
0
Video  za  washiriki  wa  jumba  la  big  brother  wakioga  bafuni  ziko  hapa. Video  hizi  ni  kuanzia  DAY 10  hadi  DAY  18. Kabla  hujaangalia  video  hizi, taarifa  zikufikie  kuwa  mshiriki  mmoja  au  wawili  watayaaga  mashindano  haya  jumapili  ya  wiki  hii. Usikae  mbali  na  TV  yako  kujua  nani  ataondolewa  siku  hiyo na  kama  huna  DSTV, basi  hakikisha  huchomoki 

CHADEMA wapata hati ya SHAKA ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)

$
0
0
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepata hati yenye shaka kutoka kwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) baada ya kupokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu zake zinazoishia Juni 2011/12 na 2012/13    Ukaguzi huo ulifanyika kwa mujibu wa sheria namba 5 ya mwaka 1992 ya vyama vya siasa, iliyofanyiwa marekebisho na sheria namba 7 ya mwaka 2009, unampa CAG mamlaka

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akana kuwepo mgonjwa wa Ebola

$
0
0
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Leonidas Gama amekanusha uvumi ulioenea kuwa yupo mgonjwa wa Ebola mkoani humo.   Akizungumza na mwandishi wa habari wa Redio Sauti ya Injili katika kipindi cha Dira kilichosikika hewani baada ya saa mbili usiku wa Alhamisi, Oktoba 23, 2014,  aliyemwambia kuwa zipo taarifa kuwa yupo mgonjwa amegundulika na dalili za ugonjwa wa Ebola huko Shirimatunda,

Ni marufuku kwa wanafunzi wa chuo kikuu kupigana busu

$
0
0
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Zimbabwe hawaruhisiwi kupigana mabusu. Hiyo ni moja ya sheria kali kwenye chuo hicho. Uongozi wa chuo hicho umedai kuwa wanafunzi watakaokutwa kwenye pozi la kimahaba watachukuliwa hatua za kinidhamu. “Katika umri huu kusema siruhusiwi kumbusu au kumkumbatia mtu.. haiingii akilini,” mwakilishi wa wanafunzi wa chuo hicho, Tsitsi Mazikana aliiambia BBC.

Alikiba akanusha kuandaa watu wamzomee Diamond kwenye Fiesta

$
0
0
Alikiba amekanusha uvumi unaodai kuwa huenda aliaandaa watu maalum wa kumzomea Diamond Platnumz kwenye show ya Fiesta iliyofanyika October 18 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Alikiba amesema kuwa hajui uvumi huo umeanza vipi.   “Hamna ukweli wowote, naanzaje?,” amehoji. “Siwezi kufanya kitu kama hicho. Kikubwa ni kuwashukuru wana Dar es Salaam walivyonipokea,

BASATA lina siku 7 tu kubaini ukweli kuhusu skendo ya Sitti Mtemvu

$
0
0
Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limeanza kuifanyia uchunguzi skendo inayomkabili Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu kuhusiana na kudanganya umri wake. Baraza hilo lina siku saba tu kukamilisha kazi hiyo. Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni, Juma Mkamia aliiambia gazeti la Champion kuwa serikali imelikabidhi suala hilo kwa Baraza la Sanaa la Taifa ili wafanye uchunguzi

Chid Benz Akamatwa na Madawa ya Kulevya Airport

$
0
0
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroine na bangi akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, jana.   Akizungumza Kamanda wa Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP, Alfred Nzowa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa msanii huyo alikuwa njiani

Big Brother Africa: Mshiriki wa kike wa Tanzania ( Laveda ) anaswa na kamera Akipiga Puli ( Akijichua).....Idris Aingilia kati

$
0
0
Leo  ni  siku  ya  20  tangu  Big Brother  Africa  ya  Mwaka  huu  ianze. Naamini   kwa  wale  wanaoifuatilia  wanaburudika  vya  kutosha  na  mambo  yanayotendeka  ndani  ya  jumba  hilo. Ni  Shindano  ambalo  halikuanzishwa  kwa  lengo  la  kuenzi  mila  na  desturi  za  kiafrika, bali  lilianzishwa  kwa  lengo  moja  tu  la  kutoa  burudani  ya  kutosha  ambayo  mwisho  wa  siku 

MAONI: Uchunguzi ufanyike utata wa umri wa Miss Tanzania

$
0
0
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), wameamua kuunda tume maalumu kuchunguza sakata la Miss Tanzania 2014,  Sitti Mtemvu.   Mbali ya kuunda tume hiyo itakayofanya kazi kwa wiki moja, kwa siku mbili mfululizo wizara na Basata wamekuwa na vikao virefu vya kujadili suala hilo ambalo hivi sasa limezua gumzo nchini.   Suala

Tanzania yapeleka vipimo vya ebola Nairobi

$
0
0
Vipimo vya mgonjwa aliyetoka nchini Senegal na kuwekwa kwenye karantini mjini Moshi kwa tahadhari ya ebola, baada ya kukaa nchini kwa siku 14 vimepelekwa katika maabara ya jijini  Nairobi nchini Kenya kwa uchunguzi.    Mbali na vipimo hivyo, lakini madaktari na wauguzi wote waliomhudumia na wanaendelea kumhudumia mgonjwa huyo, nao wamewekwa kwenye karantini wakisubiri majibu ya

Nec yaanza kuboresha Daftari la Wapigakura

$
0
0
Kitendawili cha tarehe rasmi ya Watanzania kupiga Kura ya Maoni itakayopitisha au kukwamisha Katiba Inayopendekezwa, kitateguliwa kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec) baada ya kukamilisha uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapigakura Aprili mwaka ujao.    Nec imebainisha hayo jijini Dar es Salaam jana ikieleza kuwa  tayari Serikali imetoa Sh15 bilioni za uboreshaji huo na kwamba

Pinda asukiwa zengwe....Tuhuma zabuniwa dhidi yake, Lengo ni kupunguza nguvu zake Urais 2015

$
0
0
Mkakati wa kumdhibiti Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015, umeelekezwa kwa jamii ya wakulima na wafugaji hususani waliopo mikoa ya kanda ya Ziwa Victoria. Hatua hiyo inadaiwa kufikiwa katika mkutano ulioratibiwa na Chama cha Wakulima wa Pamba (Tacoga) na kufanyika juzi katika ukumbi wa Benki Kuu (BoT) jijini Mwanza.   Pamoja na kulenga ajenda

Sababu za Lucy Nkya (Naibu Waziri wa zamani na Mbunge wa Morogoro Kusini) kurushiana risasi za moto na mwanaye wa kumzaa zabainika.

$
0
0
Kufuatia taarifa zilizozagaa mjini Morogoro na kuripotiwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mbunge wa jimbo la morogoro kusini, Dk Lucy Nkya na mwanaye Jonas Nkya ambaye ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa kupitia vijana, kurushiana risasi kwenye ofisi yao binafsi ya faraja trust fund, watu hao wawili wamekanusha madai hayo na kudai  yameleta athari kubwa katika familia yao.  

Taarifa: China, Tanzania zasaini mkataba wa mabilioni ya uwekezaji

$
0
0
Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China leo, Alhamisi, Oktoba 23, 2014, zimetiliana saini Hati za Makubaliano (Memorandum of Undestanding) ambako taasisi za China zitawekeza mabilioni ya dola za Marekani katika uchumi wa Tanzania. Shughuli hiyo ya utiaji saini imekuwa sehemu ya Mkutano wa Tatu wa Uwekezaji Kati ya Tanzania na China uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Nyumba ya

Fisi Azua Tafrani Singida

$
0
0
Katika hali isiyo ya kawaida wakazi wa manispaa ya Singida wameingiwa na taharuki na kuanza kukimbia ovyo baada fisi kuonekakana katikati ya mji wa Singida akiwa anakimbia na kuingia katika maduka ya wafanya biashara.   Wakieleza kwa hisia tofauti baadhi ya wakazi huku wengine wakiwa wamepanda juu ya mapaa ya nyumba pamoja na watoto wao kwa hofu ya kuumwa,wamesema kuonekana kwa

UKAWA kutoa msimamo wao Jumapili Jangwani

$
0
0
Kamati ya ufundi inayoshughulikia Oganizesheni ya Mikutano ya Umoja wa Katiba ya Wananchi nchini Tanzania (UKAWA) imeandaa mkutano wa hadhara unaotarajiwa kufanyika Jumapili wiki hii katika viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam.   Mwenyekiti wa Kamati hiyo Bw. Singo Benson Kigaila amesema tayari wamesha fuata taratibu zote za kufanyika kwa mkutano huo wa hadhara ikiwemo

Mwanamke aliyejinusuru kubakwa na kumuua mbakaji, ahukumiwa kunyongwa.

$
0
0
Reyhaneh Jabbari mwenye umri wa miaka 26 amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtu mmoja ambaye alifanya jaribio la kumbaka.    Taarifa iliyoripotiwa na CNN inasema mwanamke huyo amenyongwa katika gereza la Tehrain, Iran ambapo alikuwa amefungwa baada ya kutenda kosa hilo mwaka 2007 wakati huo akiwa na umri wa miaka 19.   Mwanamke huyo amekutwa na hatia hiyo

Mabomu manne ya kivita yakamatwa Zanzibar

$
0
0
Jeshi la Polisi Zanzibar limefanikiwa kumkamata mtu mmoja akiwa na mabomu manne ya kivita ambayo yanasadikiwa ni miongoni mwa mabomu yanayotumika katika vitendo vya uhalifu yaliyotokea sehemu mbali mbali nchini.   Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar CP Hamdani Omar Makame amethibitisha kukamatwa kwa mtu huyo ambaye kwa mujibu wa jeshi hilo mtu huyo amekiri kuwa anajishughulisha na

Kukamatwa kwa Chidi: Nzowa atoa onyo kali

$
0
0
Kufuatia tukio la Msanii wa muziki Chidi Beenz kukamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam, Kamanda wa Kikosi cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa aonya vijana kutokujihusha na dawa hizi kabisa.   Kamanda Nzowa amesema kuwa tukio la kukamatwa kwa msanii huyu mkubwa, ni nafasi ya jamii na vijana kujifunza na kuachana na dawa hizi ambazo
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images