Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Polisi mbaroni wakidaiwa kuhujumu mkutano wa Chadema Mkoani Geita

$
0
0
Polisi wawili wa kituo cha polisi wilaya ya Geita, Ernest Silayo na mwingine ambaye jina lake halikufahamika mara moja  juzi walikamatwa na walinzi wa Chadema, Red Brigedi, wakitaka kuhujumu mkutano wa hadhara wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha). Askari hao walikuwa wamevalia sare za Chadema na wanadaiwa walikuwa wanarekodi hotuba za viongozi wa Baraza hilo. Askari hao

Big Brother Africa: Video ya mshiriki wa kiume wa Tanzania ( Idris ) akioga na mabinti wawili iko hapa

$
0
0
Tukiwa  tunasubiria  kwa  hamu  kubwa  kuona  ni  nani  ataondolewa  leo  usiku, hapo  chini  kuna  video  ya  mshiriki  wa  kiume  wa  Tanzania ( Idris )   akiwa  bafuni  na  mabinti  wawili  wakioga..... Kama  kawaida, washiriki  wa  Tanzania  wanajitahidi  kutunza  heshima  zao  kwa  kuoga  kistaraabu. Unataka  kuiona  video?  > Ingia  hapo  juu  kuiona  video

Yaliyojiri katika Viwanja vya Jangwani kwenye Mkutano wa UKAWA

$
0
0
Yametimia!! Vyama vya Chadema, NCCR Mageuzi, CUF na NLD vimesaini makubaliano ya kuwa na ushirikiano katika shughuli za siasa ikiwa ni pamoja kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi mbalimbali za uchaguzi kuanzia uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa hadi Uchaguzi Mkuu 2015.

Chidi Benz kufikishwa mahakamani kesho Asubuhi

$
0
0
Msanii wa muziki Chidi Benz anatarajiwa kufikishwa mahakamani siku ya kesho kujibu mashitaka kutokana na kesi ya kukamatwa na Dawa za Kulevya, tukio lililotokea Ijumaa wiki iliyopita.   Kwa mujibu wa Kamanda Geofrey Nzowa ambaye  ni Mkuu wa Kikosi cha kupambana na dawa za Kulevya nchini, Chidi Benz atafikishwa katika mahakama ya Kisutu ambapo atasomewa mashitaka yake kwa mara ya

Rais Kikwete Avunja Rekodi ya Dunia ....Apokelewa kwa pikipiki za Polisi China na kuongozwa na pikipiki hizo kwa muda wote wa ziara

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesababisha mageuzi makubwa kwa namna Jamhuri ya Watu wa China inavyowapokea viongozi wageni kutoka nje kwa kuwa kiongozi wa kwanza duniani kupokewa rasmi na pikipiki za polisi na kuongozwa na pikipiki hizo kwa muda wote wa ziara katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.   Rais Kikwete ambaye aliwasili nchini

Nakala ya makubaliano ya vyama vinavyounda UKAWA iko hapa

$
0
0
Pichani ni viongozi wa juu wa vyama vinne vya siasa nchini Tanzania vilivyoingia makubaliano ya ushirikiano wa shughuli mbalimbali za siasa Oktoba 26, 2014.   Miongoni mwa mambo hayo ni kusimamisha wagombea wa pamoja katika uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Uchaguzi Mkuu wa Wabunge, Madiwani, Wawakilishi na Rais katika uchaguzi ujao.

“Ushindi wa CCM uchaguzi ujao hauepukiki.....Wapinzani Mtasubiri sana” asema Dk Shein mkutanoni Kibandamaiti

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi wa Zanzibar wasikubali kugawiwa kutokana na mchakato wa Katiba unaoendelea Akihutubia maelfu ya wana CCM na wananchi wa Zanzibar katika Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika viwanja vya Demokrasia

Nuh Mziwanda achora Tattoo ya pili yenye sura ya mpenzi wake Shilole

$
0
0
Wakati Nick Cannon ametoka kufunika Tattoo yenye jina la mke wake Mariah Carey ambaye wametengana kwa kuongeza mchoro mwingine juu yake hivi karibuni, msanii wa Bongo Fleva Nuh Mziwanda ameongeza Tattoo ya pili ya mpenzi wake Shilole kwenye mkono wake. Nuh amesema mchoro huo wa pili kwenye mwili wake una sura ya Shishi baada ya ile ya kwanza ambayo ni jina la ‘Shishi Bybee’. “Tattoo

Big Brother Africa: Mshiriki wa Kike wa Tanzania Atolewa.....Kupiga Punyeto hadharani kwamponza, Africa nzima Ilimchukia ndani ya Sekunde!

$
0
0
Mshiriki  wa  kike  wa  Tanzania, Laveda, jana  alitolewa  rasmi  katika  jumba  la  big  Brother  Africa  na  kuifanya  Tanzania  kubaki  na  mshiriki  mmoja  tu  ambaye  ni  Idris.   Pamoja na kutoka akiwa na skendo ya kupiga  punyeto mbele ya wenzake, Laveda amesema hakuna anachojutia kwa muda wote aliokaa katika  jumba  hilo .   “Oh trust me when I say this, I would not change

Channel O Yamtaja Diamond Platnumz Miongoni Mwa Wanamuziki 10 Waliobadilisha Muziki Wa Afrika.

$
0
0
Juhudi na bidii za Diamond Platnumz katika muziki zinaonekana  hata katika vituo vya kimataifa.    Channel O imemtaja Diamond Platnumz kama mmoja wa wanamuziki walioleta mabadiliko makubwa katia mzuiki wa Africa kupitia kipindi chake cha Top Ten Most ambacho kinatangazwa na Jokate Mwegelo na Ice Prince atika msimu wake huu mpya.    Katika list hiyo Diamond amewekwa nafasi ya kumi

Vurugu zazuka Mkutano wa BAWACHA Muleba

$
0
0
Mkutano wa mwenyekiti wa baraza la wanawake wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Halima Mdee umeingia dosari baada ya vijana wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Chama cha Mapinduzi CCM kuingia na mabango yao katika mkutano uliokuwa ukifanyika kijiji cha Kyamiorwa kata Kashalunga wilayani Muleba na kusababisha vurugu.   Mwenyekiti wa baraza la wanawake Chadema Halima Mdee

Polisi wateketeza mashamba ya bangi Morogoro

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limeendesha operesheni maalum ya kutokomeza bangi katika mkoa huo, kwa kuteketeza hekari Tano za mashamaba ya bangi mkoani humo.   Baadhi ya wananchi wa tarafa ya Mgeta wilayani Mvomero na maeneo mengine mkoani Morogoro, wameacha shughuli halali za uzalishaji mali na kuchangia maendeleo ya huduma muhimu kama za elimu na afya, badala yake kuelekeza

Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue akiri Udhaifu Serikalini

$
0
0
Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue amekiri kuwepo kwa mapungufu katika mfumo wa ufuatiliaji wa tathmini ya fedha na rasilimali za serikali hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya rushwa na utendaji mbovu katika idara na taasisi za serikali kwenye utoaji huduma kwa umma huku miradi mingi ya maendeleo hasa kutoka kwa wahisani kusitishwa kwa sababu ya vitendo hivyo.   Balozi

Freemasons Walipasua kanisa la Anglikana

$
0
0
Sakata la baadhi ya waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Nicholas Mwanza (DVN) kumkataa Askofu Mkuu, Boniphace Kwangu wakimtuhumu kuwa mwanachama wa imani ya Freemason limechukua sura mpya baada ya baadhi ya waumini juzi (Jumapili) kutotokea kanisani hapo kwa madai kwamba mpaka hali ikae sawa. Baadhi ya waumini hao ambao hawakutaka majina yao yaandikwe, walisema wamepoa majumbani

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya atumiwa PAKA Watatu Ofisini kwake

$
0
0
Paka watatu wenye macho mekundu walimshangaza Kamanda wa Polisi Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP Godfrey Nzowa pale alipowakuta katika mlango wa ofisi yake na kumng’ang’ania miguuni. Sakata hilo lilitokea wiki iliyopita wakati Kamanda Nzowa akitoka ofisini na mgeni wake aliwakuta paka hao mlangoni.Kufuatia hali hiyo, wageni na baadhi ya askari

Usiri mikataba ya gesi wazua tafrani kamati ya Zitto

$
0
0
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma (PAC), imetoa siku mbili kwa uongozi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba 26 ya gesi kwa Katibu wa Bunge.   Uamuzi wa kamati hiyo umetokana na menejimenti ya TPDC kushindwa kuwasilisha mkataba hata mmoja kati ya mikataba 26 iliyoombwa na kamati hiyo katika kipindi cha mwaka mmoja sasa.   Akizungumza

CCM: Ndoa ya Wapinzani (Chadema,Cuf,Nccr-Mageuzi & Nld) ni FEKI.....Yasema CCM kuing’oa madarakani ni ndoto za alinacha

$
0
0
NA Selina  Wilson (Uhuru) CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema  hakitishiwi nyau kuungana kwa vyama vinne vya upinzani kwa lengo la kuking’oa madarakani.Kimesema muungano huo wa wapinzani si halali na ni sawa na ndoa ya mkeka.   Pia kimesema ni ndoto za alinacha kwa wanandoa hao wa msimu, ambao kila mmoja anatafuta ulaji, kuing’oa CCM, ambayo imesimamia maendeleo ya nchi pamoja na

Mfanyabiashara Aliyejilipua kwa Risasi jijini Arusha Aibua Mambo Mazito

$
0
0
NA Lilian  Joel ( Uhuru) SAKATA la Mkurugenzi wa Kampuni ya Kitalii ya DAGT, Timoth Mroki, kujiua kwa kujilipua kwa risasi, limeibua mambo mapya kutokana na kuelezwa kuwa wivu wa kimapenzi.   Habari zilizopatikana jijini Arusha, zinasema kuwa Mroki (36), alikuwa na vimada wawili ambao ni wake za watu na kuwa kabla ya kujilipua kwa risasi na kupoteza maisha, alitoa taarifa kwa

Utata wa Miss Tanzania, Sitti Mtemvu kulivua Taji hilo

$
0
0
Siku moja baada ya Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ‘kueleza’ kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Facebook kulivua taji hilo, waandaaji wa mashindano hayo, Lino Agency International wamesema hawajapokea barua rasmi kutoka kwa mrembo huyo ya kulivua taji hilo.    Juzi zilizagaa taarifa kuwa mrembo huyo amelivua taji baada ya kuwapo ujumbe katika mtandao wa facebook ambao

Chidi Benz afikishwa mahakamani akikabiliwa na Makosa 3

$
0
0
Rapa Chidi Benz, jana alifikishwa katika mahakama ya Kisutu  na kusomewa mashtaka yake kutokana na kosa la kupatikana na Dawa za Kulevya aina ya Heroine mwishoni mwa wiki iliyopita.   Kutokana  na  tukio hilo, Chidi amepatikana na makosa matatu ikiwepo kukutwa na dawa hizo haramu, kusafirisha dawa na pia kukutwa na vifaa vya kutayarisha uvutaji, utumiaji wa dawa hizo za kulevya.  
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images