Mkuu wa Uchunguzi wa Maandishi wa Jeshi la Polisi Kenya, John Kimani ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kuwa saini zinazodaiwa kusainiwa na Ramadhani Balenga katika hati ya uhamishaji umiliki wa kiwanja pamoja na mkataba wa mauziano ni za kughushi.
Kimani alidai hayo katika mahakama hiyo wakati akitoa ushahidi katika kesi ya kughushi inayomkabili Mkurugenzi wa
Kachero wa Kenya atoa ushahidi mahakamani Dar
↧
↧
Kanusho la JWTZ Kuhusu askari wake kuwapora wavuvi
Kanusho la JWTZ Kuhusu askari wake kuwapora wavuvi
↧
Orijino Komedi wanunua nyumba 7 za NSSF, zina thamani ya shilingi milioni 840
Kundi la uchekeshaji la Orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi
wasanii wake nyumba saba zenye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo
kila nyumba moja ilinunuliwa kwa thamani ya shilingi milioni 120.
Kundi hilo limeweka picha za nyumba hizo kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika:
“ItsOfficialNw Bwn Mseli Abdallah-Planning & Investment Manager
wa NSSF akimkabidhi @
↧
27 Wateuliwa kuwa Makatibu wa CCM Wilaya
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa jana Oktoba 15, 2014 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete imefanya uteuzi wa Makatibu 27 wa wilaya kuziba nafasi zilizo wazi kutokana na sababu mbalimbali.
Nape Moses Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UENEZI
16/10/
↧
Umri wa Miss Tanzania MPYA , Siti Mtemvu umezua mjadala mkubwa miongoni mwa jamii. Inadaiwa si kweli kuwa ana miaka 18
Siku chache baada ya kutwaa Taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas
Zuberi Mtemvu ameibua mshangao wa aina yake kutokana na utata wa umri
wake.
Utata huo uliibuka saa chache mara baada ya shindano hilo kufanyika
Oktoba 10, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar ambapo
wadau mbalimbali walianza kuhoji.
Mara baada ya mrembo
kutangazwa mshindi, habari za chini kwa chini
↧
↧
Watoto 130 hufa kila siku kwa lishe duni
Wakati Tanzania ikisherehekea Siku ya Chakula Duniani, imeelezwa kuwa watoto 130 hufa kila siku nchini kutokana na kukosa lishe bora na matunzo sahihi.
Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza katika hotuba yake iliyosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dk Rajab Rutengwe.
Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani
↧
Mama na mwanawe wachinjwa kikatili mkoani Shinyanga wakituhumiwa kuwa ni wachawi
WATU wawili, Dilu Tungu (80) na mwanawe Bunya Mihangwa (45) wameuawa kikatili kwa kuchinjwa na watu wasiofahamika baada ya kuvamia nyumba hiyo katika kijiji cha Ihugi kata ya Lyamidati wilaya ya Shinyanga kwa kile kilichoelezwa kuwa ni imani za kishirikina.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Justus Kamugisha alisema kuwa tukio hilo lilitokea Oktoba 14
↧
Raia wa kigeni wafa hotelini jijini Dar
WATU sita wameaga dunia jijini Dar es Salaam wakiwemo raia wawili wa kigeni ambao wamekutwa wamekufa chumbani kwao na miili yao ikiwa haina jeraha lolote.
Kwa mujibu wa taarifa za Jeshi la Polisi, raia wa Afrika ya Kusini, Roxxane Hillier (27), aliyekuwa Meneja wa Mgahawa uitwao Water Front katika Hoteli ya Slipway Masaki na rafiki yake wa kiume aitwaye Hylton William aliyekuwa fundi wa
↧
Jambazi aliyeua Afisa Usalama wa Taifa naye Auawa
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, amethibitisha kuwa Jeshi lake limefanikiwa kumkamata jambazi sugu aitwaye Paulo Thamas Milanzi maarufu Chinga (35), Mmakonde mkazi wa Chanika.
Amesema baada ya majibizano ya risasi jambazi hilo lilijeruhiwa na kufikishwa hospitali ya Muhimbili kwa matibabu lakini baadaye alifariki dunia.
Alisema jambazi huyo lilikuwa
↧
↧
Shule yageuzwa Danguro....Wake za watu wafanya Uzinzi hadharani, Wanafunzi wageuza kondomu mapulizo ya kuchezea!
Danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule limefichuliwa baada ya kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na mtu ambaye hakufahamika mara moja.
Tukio hilo la aibu lilijiri ndani ya eneo la shule ya msingi Shekilango, iliyopo Mapambano, Sinza jijini Dar es salaam, hivi karibuni ambapo mke huyo wa mtu alikuwa akichepuka.
Wawili hao, baada ya
↧
Picha 5 za Majeruhi wa Moto Mbagala Dar waliolazwa hospitali ya Muhimbili
Majeruhi 9 kati ya 15 waliofikishwa katika hospitali
ya Taifa Muhimbili baada ya kuungua na moto uliosababishwa na kuungua
kwa lori la mafuta huko Mbagala jijini Dar es Salaam Oktoba 15 mwaka
huu, wanaendelea na matibabu huku hali zao zikiwa bado mbaya.
Kamera yetu ilifika katika hospitali hiyo na kuwakuta wagonjwa hao
wakiwa wamelazwa katika wodi namba 23 iliyopo katika jengo la
↧
Uchawi wa kutisha: Ndege aliyekuwa Anapaa Ageuka kuwa Mwanamke. Picha zote ziko hapa
Mapema wiki hii katika kijiji cha Oshindi nchini Nigeria wananchi walishuhudia sinema ya bure ambapo kamera zao zilikuwa macho yao na simu zao pale ndege aliyekuwa anapaa angani ghafla alianguka chini baada ya kudandia nyaya za umeme na kugeuka mwanamke.
Kitendo hicho kiliwaacha wananchi vinywa wazi wasijue la kufanya huku wakibaki kupiga picha kwa kutumia simu zao za mikononi.
↧
Jamaa huyu alijikuta akipigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya MACHAFU kwa kukutwa kavaa sare za jeshi ( JWTZ)
Picha unazoona sio utani wala sinema, ni raia wa kawaida akiogelea kwenye dimbwi kwa amri ya mwanajeshi.
Raia huyo alikutana na adhabu kali za mwanajeshi huyo baada ya kukutwa amevaa mavazi halisi ya jeshi la Tanzania maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam.
Jamaa huyo alipokamatwa na kushindwa kutoa maelezo ya kuridhisha akaamriwa kuvua mavazi hayo na kisha kuaza kutumikia mazoezi ya hatari .
↧
↧
Kijana Apigwa mawe na kisha kuchomwa moto baada ya kuiba ng'ombe wawili huko Kahama
Mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Sabo mwenye umri wa miaka kati ya 30 hadi 34 ameuawa kwa kupigwa mawe na fimbo na wananchi waliojichukulia sheria mkononi kisha mwili wake kuchomwa moto baada ya kutuhumiwa kuiba ng’ombe wawili katika kijiji cha Shininga kata ya Kilago,tarafa ya Dakama wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SACP
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
Hii ni Video ya Tukio Zima la Mama MCHAWI Aliyedondoka wakati akijiandaa kwenda kumuua mjukuu wake!
Leo asubuhi tuliweka hewani tukio zima la mama mchawi wa kinigeria alyekuwa amedondoka chini huku akiwa uchi na mwili ukiwa na vidonda sehemu zote...
Mama huyo alidondoka dakika chache baada ya kujigeuza ndege na kupaa hewani akienda kuua mtoto mchanga wa binti yake wa kumzaa.
Inadaiwa kuwa. binti huyo amekuwa akizaa watoto na kufariki
↧
BBA Hotshots: Endelea kumpigia kura Laveda wa Tanzania kumuokoa asitoke Jumapili hii
Mshiriki mmoja wa Tanzania yupo kwenye hatari ya kutoka kwenye msimu wa tisa wa shindano la Big Brother Africa ‘Hotshots’ weekend hii, ambaye ni Laveda (Irene La Veda). Hivyo njia pekee ya kumuokoa abaki kwenye jumba la ‘kaka mkubwa’ ni kura yako.
Washiriki wawili kati ya tisa watafunga mizigo yao siku ya Jumapili. Washiriki waliopigiwa kura na washiriki wengine kutoka ni Esther na Ellah (
↧
↧
Elani (Kenya) kutumbuiza Jumapili hii kwenye Big Brother Africa
Kundi la Kenya, Elani, linaloundwa na watu watatu, Bryan Chweya,
Maureen Kunga na Wambui Ngugi litatumbuiza Jumapili hii kwenye shindano
la Big Brother Africa.
Kundi hilo lililotajwa pia kuwania tuzo za CHOAMVA 2014 lina album
iitwayo ‘Barua Ya Dunia’ na linafanya Afrika Mashariki na kwingineko.
Matukio yote ya Big Brother Africa yanaruka hewani masaa 24 kupitia site yako
↧
Serikali yafuta Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti
SERIKALI imefuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti kuanzia mwaka huu ili kuboresha kiwango cha elimu nchini.
Tamko hilo limetolewa jana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt.Shukuru Kawambwa wakati akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Tabora, kilichoko Manispaa ya Tabora.
Alisema kuanzia mwaka huu, Serikali imeyafuta mafunzo hayo ikiwa ni mkakati maalumu wa kuboresha
↧
Mahakama ya Kisutu yamzuia Davido kuperform katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii
kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido’ kuperform katika
tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na Prime Promotion,
October 18,2014.
Amri hiyo imetolewa jana (October 17) na hakimu mkazi wa mahakama ya
kisutu , mheshimiwa D. Kisoka kufuatia maombi ya dharura
yaliyowasilishwa mahakamani hapo na
↧
More Pages to Explore .....