Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Kadi ya Rais Obama Yakataliwa

0
0
Rais wa Marekani Barack Obama amejikuta katika wakati mgumu baada ya kadi yake ya muamana (credit card) kukataliwa katika mojawapo ya migahawa iliyopo jijini New York.    Obama amekiri kukutana na mkasa huo alipokuwa akizunguma na waandishi wa habari baada ya kusaini agizo la rais litakalotumika kama sheria ya matumizi ya kadi za muamana ambayo itasaidia katika kuzuia wizi wa kadi

Wasichana 200 waliotekwa na Boko Haram watarajiwa kuachiwa huru

0
0
Serikali ya Nigeria na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram, wamefikia makubaliano ya usitishaji mapigano na kuachiliwa huru wanafunzi wa kike wanaoshikiliwa na kundi hilo.   Hayo yameelezwa na mkuu wa vikosi vya jeshi la Nigeria, Meja Jenerali Alex Sabundu Badeh na Hassan Tukur, Katibu wa ikulu ya rais ya nchi hiyo na mshauri wa karibu Rais Goodluck Jonathan na

Rayuu Ataka Wolper akapime UKIMWI..

0
0
Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amemtaka msanii mwenzake, Jacqueline Wolper apime Ukimwi kama alivyofanya yeye.     Akiongea  na  mwandishi wetu, Rayuu alisema anamheshimu Wolper na kamwe hawezi kumsema vibaya lakini alishangaa kuambiwa na mashosti wake kwamba anamsema yeye ana Ukimwi.   “Nilishangaa sana kwa kweli hilo jambo liliniumiza roho na linaniuma mpaka kesho,

Madereva wanaonuka Pombe kufutiwa Leseni

0
0
KAMATI Maalumu iliyoundwa na Serikali kutathmini ongezeko la ajali za barabarani nchini, imependekeza madereva watakaokutwa wakinukia pombe, wafutiwe leseni.   Kaimu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Augustine Shio, alisema hayo jana alipokuwa akikabidhi ripoti ya Kamati hiyo kwa Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe na Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka.   “Sheria ya usalama

NEC ya CCM yaunga Mkono Katiba inayopendekezwa kwa asilimia 100

0
0
HALMASHAURI Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyomaliza kikao chake jana jioni Mjini Dodoma, imeunga mkono katiba iliyopendekezwa kwa asilimia 100.   Katika mkutano wake na waandishi wa habari mara baada ya kukamilika kwa kikao hicho, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alisema Bunge Maalumu la Katiba lilifanya kazi nzuri ambayo inastahili kupongezwa.   Kutokana na hilo,

Katibu wa CHADEMA akipiga chini chama hicho kwa siasa za kidikteta...Ajiunga CCM

0
0
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mtera, Lameck Lubote ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema amechoka na siasa zilizojaa udikteta wa viongozi wake.   Alisema amekerwa na kuingizwa kwa udini katika siasa kwa kuwashirikisha maaskofu wenye mwelekeo wa Chadema kwa kusingizia Jukwaa la Kikristo.   Alisema

Picha: Shilole Azindua Video yake mpya

0
0
  Jana (Ijumaa) msanii wa muziki na maigizo Bongo, Zuwena Mohammed ’Shilole’ amezindua video ya ya wimbo wake wa ‘Namchukua’ ndani ya viwanja vya Ufukwe wa Coco Beach, ambapo watu mbalimbali walihudhuria.

Picha: Vanessa Mdee Akitoa burudani ya nguvu Serengeti Fiesta 2014

0
0
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akitoa burudani usiku wa kuamkia leo katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 viwanja vya Leaders Club jijini Dar.   

Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakiwasha moto wa nguvu serengeti Fiesta

0
0
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dar Leaders Club.   Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akifana yake na Ommy Dimpoz.   Madansa wa Vanessa Mdee wakifanya yao.   Ommy Dimpoz akiimba juukwani wimbo wake wa Nani kama Mama.

Davido Akitoa burudani ya nguvu Serengeti Fiesta 2014....Jukwaa liliwaka moto wa shangwe baada ya Diamond kupanda kumpa Sapoti

0
0
Msanii kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' akikamua kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar. Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akifanya makamuzi na Davido (kulia).

T.I , Diamond Platnumz balaa tupu Serengeti Fiesta 2014....Ilikuwa ni zaidi ya SHANGWE!

0
0
      Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani   kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar. Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.

Kizimbani kwa kucheza “vigodoro” wakiwa UCHI

0
0
WAKAZI wa eneo la Masasi Mbovu katika Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani kujibu shitaka linalowakabili la kucheza wakiwa watupu kwa staili ya vigodoro kwenye sherehe ya ndoa.   Jemima Jordan (22), Aziza Chukachuka (20), Anna Yohana (25) pamoja na mtoto mwenye umri wa miaka 17 (Jina linahifadhiwa) walifikishwa mahakamani hapo juzi mbele

Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita

0
0
Mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.   Tukio hilo lilitokea majira ya saa 1 usiku Oktoba 7 mwaka huu katika kata ya Daraja Mbili jijini Arusha. Imeelezwa kuwa sehemu yake ya kizazi imeharibika kutokana na unyama huo.   Akizungumza na mwandishi jana

Ruzuku, sheria kuwazuia UKAWA Kusimamisha mgombea mmoja wa Urais 2015

0
0
MGAWANYO wa ruzuku na kikwazo cha Sheria ya Vyama vya Siasa, vinatarajiwa kugeuka kisu kikali, kitakachotishia muungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi.   Tayari Ukawa imetangaza nia ya kusimamisha mgombea mmoja katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu, na mgombea udiwani, ubunge na urais mmoja

Big Brother Africa: Video za Washiriki Wakioga Bafuni ziko hapa ( Video hizi ni kuanzia siku ya 1 hadi ya 10 )

0
0
Video  za  washiriki  wa  jumba  la  big  brother  wakioga  bafuni  ziko  hapa. Video  hizi  ni  kuanzia  DAY 1  hadi  DAY  10. Mbali  na  video  hizi, kuna  video  moja  ya  washiriki  wakifanya  mapenzi  live  ndani  ya  jumba  hilo. Kabla  hujaangalia  video  hizi, taarifa  zikufikie  kuwa  mshiriki  mmoja  au  wawili  watayaaga  mashindano  haya  leo  usiku. Usikae  mbali  na  TV

Aunt Lulu Ampa Somo Johari

0
0
Staa wa Bongo Movies, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumtaka msanii mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kukubaliana na matokeo ya aliyekuwa mpenzi wake Vincent Kigos ‘Ray’ kwamba kwa sasa ana uhusiano na mtu mwingine. Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty Lulu alimtaka Johari kukubaliana na matokeo na aige mfano wake kwani aliachana na Bond Bin Sinan ambaye kwa sasa ana

Dr. Cheni: Rushwa ya Ngono wanaitaka wenyewe, hakuna anayewalazimisha

0
0
Staa wa filamu za Kibongo, Muhsein Awadhi ‘Dk. Cheni’ amekanusha tabia ya wasanii wakubwa kuwaomba rushwa ya ngono wasanii chipukizi na kudai wanaziendekeza wao wenyewe. Akiongea na mwandishi wetu, Dk. Cheni alisema yeye hajawahi kumuomba msanii rushwa ya ngono, isipokuwa anaamini walio wengi huanzisha mahusiano yaliyo rasmi kwa makubaliano yao kutokana na hisia zinavyowasukuma.

Lulu Angekuwa Hollywood Na Selena Gomez Pasingetosha ..... Aachia Ngazi Penzi La Justin Bieber.

0
0
Star mkubwa wa filamu nchini Tanzania Lulu Elizabeth Michael anaonekana kumpenda sana Justin Bieber kama alivyowahi kueleza huko nyuma kuwa anampenda kweli kiasi cha kumfuatilia kwa ukaribu Selena Gomez ambaye ni girfriend wa Bieber.    Hata hivyo Lulu ameonekana kuachia ngazi kwa Bieber baada ya takribani miaka 4 akiwa anaugulia penzi lake moyoni bila mafanikio !   Kama unavyojua

Maajabu: Mti Uliodondoka Miaka Mitatu Iliyopita Wainuka na Kusimama Wima Kama Zamani huko Tabora, Wananchi wagombea magome yake

0
0
Wananchi wa kijiji cha Mfuto katika Kata ya Ufulumo huko Wilayani Uyui, Tabora wamepatwa na mshituko na kuingiwa na hofu baada ya mti aina ya msufi, uliong'oka na kuanguka miaka mitatu iliyopita, kuinuka na kusimama wima kama zamani.    Mti huo wenye kipeo cha futi mbili inaelezwa kuwa ulianguka kwa upepo mkali na kuungua kwa moto wakati wa kuandaa mashamba. Mtangazaji wa TBC anasema

Marekani Yashambulia Wanamgambo wa Syria kwa ndege

0
0
Ndege za kijeshi za Marekani zikirusha makombora kushambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika mji wa Kabane, Syria. Muonekano baada ya ndege za Marekani kutupa makombora.   Marekani wameshambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika mji wa Kabane, Syria kwa  makombora kwa kutumia ndege za kijeshi. Mashambulizi hayo yamesababisha kuwarudisha nyuma wanamgambo hao
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images