Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Rais Kikwete Aweka jiwe la msingi barabara ya Usagala- Kisesa , Pai afungua daraja la mabatini jijini Mwanza

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya kilometa 16 kutoka Usagara hadi Kisesa mkoani Mwanza jana.Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la Nyashishi lenye urefu wa mita 67 lililopo katika barabara ya Usagara Kisesa wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi

Rais Kikwete Afungua Jengo La PPF jijini Mwanza

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la mfuko wa pensheni la PPF mjini Mwanza jana jioni.Wengine katika picha kutoka kushoto,ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana Wiliam Erio, Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Adam Malima, Mwenyekiti wa Bodi ya PPF Bwana Ramadhani Kija, na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evaristi

Watangazaji waiponza Times Fm Radio....TCRA Yaipiga faini ya Milioni 1

$
0
0
KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo kali kwa kituo cha Redio cha Times Fm, pamoja na faini ya kulipa kiasi cha Sh milioni 1, kutokana na kukiuka vifungu vya maadili na kanuni za utangazaji, vilivyopo katika leseni ya utangazaji inayotolewa na mamlaka hiyo.   Akisoma hukumu hiyo jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Margareth Munyagi,

Ubalozi wa Somalia nchini Tanzania Wafungwa

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia, Dk. Abdirahman Duale Beyle amesema kuwa, balozi za Somalia nje ya nchi zimepunguzwa na kufikia 31 kote ulimwenguni. Duale amesema kuwa, balozi hizo zimepungua tangu kulipofungwa balozi tisa za nchi hiyo barani Afrika, Mashariki ya Kati, Asia na hata Ulaya. Ofisi hizo za uwakilishi wa kisiasa zilifungwa kwa muda kufuatia kuongezeka gharama za

Wasanii wa Tanzania kugawiana Mashamba Nyerere Day

$
0
0
MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umeandaa ibada maalum ya kumkumbuka Baba wa taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere itakayofanyika katika mashamba yao yaliyopo kijiji cha Ngarambe, Mkuramga mkoa wa Pawani. Mwenyekiti wa SHIWATA, Cassim Taalib alisema jana kuwa katika ibada hiyo itaongozwa na Shekhe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum kwa upande wa Waislam na  Padri John

Askari Polisi Waliombambika Dereva Makosa na kusababisha kifo cha abiria waondolewa kikosini

$
0
0
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limewahamisha askari wake, WP 5863 Quine na WP 3548 Koplo Maeda kutoka Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Ilala kwa kukiuka maadili ya kazi. Taarifa ya ndani ya Oktoba 2, mwaka huu ya Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu Dar es Salaam iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, imesema askari hao walisimamisha gari dogo na baada ya

Big Brother Africa 2014: Video ya Washiriki wa Botswana na Nigeria Wakioga Pamoja ( Wanaume kwa Wanawake ) Iko Hapa

$
0
0
Baada  ya  Jana  kukuletea  Episode  Tano  muhimu  zilizopewa  jina  la  Video  5  Hatari  toka  jumba  la  Big Brother  Africa zikianika  kila  kitu tangu  shindano la mwaka  huu lianze, hii  ni  nafasi  nyingine  tena  ya kukuletea  maisha  binafsi  ya  washiriki  wa  jumba  hilo  wakioga  pamoja  bafuni.... Kamera  za  jumba  hilo la  kikubwa  zimewamulika  na  kuwanasa  live  mshiriki

Binti wa Mbunge wa Temeke Atwaa Taji la Miss Tanzania 2014

$
0
0
Siti, binti wa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu, usiku wa kuamkia jana ameibuka kidedea katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa Tanzania  (Redd’s Miss Tanzania 2014) katika shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.   Mlimbwende huyo, ambaye kabla ya kutwaa taji hilo alitawazwa kuwa Miss Temeke, aliwabwaga warembo wengine 30 waliokuwa wakiwania taji hilo mwaka

Katiba Pendekezwa Imekosewa......Sasa kuchapishwa upya

$
0
0
Uongozi wa Bunge Maalumu la Katiba, umemuagiza Mpigachapa Mkuu wa Serikali, kupiga chapa upya Katiba Inayopendekezwa, baada ya kubaini makosa ya uchapaji, ikiwemo kuandikwa kwa makosa kwa mjumbe wa bunge hilo kupitia NCCR-Mageuzi Zanzibar, Haji Ambar Khamis.   Katika chapisho la Katiba Inayopendekezwa, mjumbe Khamis ameonekana kama vile alishiriki katika awamu ya pili ya Bunge Maalumu la

TID achukizwa na kukanusha taarifa ya mtandao wa Kenya kuwa alidhalilishwa kimapenzi akiwa jela

$
0
0
Msanii mkongwe wa muziki nchini Khalid Mohamed aka TID amefunguka na kuelezea kuchukizwa kwake baada ya kuandikwa vibaya ya mtandao wa Kenya uitwao Mpasho kuwa alitendewa matendo machafu akiwa gerezani miaka kadhaa iliyopita. Akizungumza na Bongo5, TID amesema habari hiyo si ya kweli na imemdhalilisha.   “Mimi sijawahi hata siku moja kudhalilishwa jela wala kufanyiwa kitu chochote.

Diamond afunguka juu ya tofauti zilizokuwa zikizungumzwa baina yake na Alikiba

$
0
0
Diamond na Alikiba ndio wasanii wa bongo fleva wenye timu mbili kubwa za mashabiki waliogawanyika na kuwashindanisha kwa niaba yao, Team Diamond v/s Team Alikiba, ushindani ambao umevalishwa ‘mask’ za ‘beef’ ambayo Nasib Abdul amedai kuwa haipo. Platnumz ambaye alikuwa bado hajaamua kuzungumzia tofauti hizo ameamua kufunguka juu ya ushindani pamoja na ‘beef’ iliyokuwa inazungumzwa

Hizi ni nchi duniani ambazo raia wa Tanzania hahitaji visa kwenda

$
0
0
Zifuatazo ni nchi ambazo raia wa Tanzania anaweza kwenda bila kuwa na visa. Botswana – No visa is required for a maximum stay of 90 days Burundi – No visa is required for a maximum stay of 30 days GAMBIA – No visa is required for a maximum stay of 90 days Guinea – No visa is required Kenya – No visa is required for a maximum stay of 3 months Lesotho – No visa is required for a maximum

Mariah Carey – kufuli nje nje kwenye show ya China (Picha)

$
0
0
Ni hivi karibuni tu aliachana na mume wake, Nick Cannon baada ya kuishi kwa miaka sita lakini Mariah Carey hajataka kuruhusu matatizo yake binafsi yaathiri muziki wake na ndio maana yupo kwenye ziara barani Asia. Muimbaji huyo mwenye miaka 44 Jumapili hii alikuwa na show huko Chengdu katika jimbo la Sichuan, China na kuwapa si tu burudani lakini pia kuwaonesha kufuli lake nje nje.

Marekani yapata mgonjwa wa pili wa Ebola

$
0
0
Mfanyakazi wa kituo cha afya aliyemtibu, Thomas Dancun kabla ya kifo chake katika jimbo la Texas nchini Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa Ebola. “Tulijua kuna uwezekano wa kisa cha pili kuripotiwa ,na tumejitayarisha kwa uwezekano huo”alisema Daktari David Lakey ambaye ni kamishna wa idara ya afya katika jimbo la Texas”   Marehemu Dancun ambaye aliambukizwa ugonjwa huo

Rapper Wakazi arithi mikoba ya Gardner, awa maneja mpya wa Lady Jaydee

$
0
0
Rapper Wakazi ndiye meneja mpya wa Lady Jaydee. Amechukua nafasi hiyo kutoka kwa Gadner G Habash. Akizungumza na gazeti la Mtanzania Wakazi alikiri kwamba yeye ndiye meneja mpya wa Jaydee japo hakuwa tayari kueleza lolote kuhusu ndoa ya binamu yake Jaydee na Gardner kwa maelezo kwamba yeye si msemaji wao katika masuala ya mapenzi na ndoa yao.   “Mimi sijui chochote, maana

Ajali mbaya ya basi la Happy Nation na gari dogo....Mfanyakazi wa benki na watu wengine watatu wafariki dunia

$
0
0
Wafanyakazi wa Benki moja hapa nchini wamekumbwa na simanzi iliyosababishwa na kifo cha mwajiriwa mwenzao kilichotokana na ajali iliyotokea jana jioni huko Hedaru, Wilayani Same mkoani Kilimanjaro iliyohusisha gari lenye namba za usajili T653 BZR na basi la Happy Nation.   Imeripotiwa kuwa watu wote wanne waliokuwemo ndani ya gari dogo walipoteza uhai papo hapo.   Picha

Waziri wa maliasili na utalii nchini, Mh. Lazaro Nyalandu azungumzia madai ya kutoka kimapenzi na Aunt Ezekiel

$
0
0
Juzi gazeti moja la habari za mastaa nchini liliandika kuwa ndoa ya Mh. Lazaro Nyalandu ambaye ni mbunge na waziri wa maliasili na utalii nchini na Faraja Kota ambaye ni mshindi wa taji la Miss Tanzania 2004 inatikisika kisa kikidaiwa ni star wa filamu nchini Aunty Ezekiel kudaiwa kutoka na mh. Nyalandu mara baada ya kukutana nchini Marekani katikati ya mwezi September mwaka huu. Aunty

Taswira kutoka eneo la mbagala Rangi 3 baada ya Lori la mafuta kuteketea kwa moto na kuua

$
0
0
WATU kadhaa wanadaiwa kupoteza maisha kwa kuungua kwa moto uliolipuka wakati wakichota mafuta kutoka kwenye lori lililopata ajali usiku wa kuamkia leo eneo la Mbagala Rangi Tatu, Temeke jijini Dar es Salaam.   Kwa mujibu wa mtu aliyekuwa eneo la tukio ni kwamba watu hao walikuwa wakiiba mafuta baada ya lori lililokuwa limebeba shehena ya mafuta kupata ajali kabla ya kulipuka na

Mwanafunzi wa kikie Ajichoma Kisu kisa Wivu wa Mapenzi

$
0
0
Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho. Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka huu maeneo ya Jovena katika Hosteli za Miami ambapo Moza alikuwa akiishi

Tukio la Moto Mbagala: Watatu wafariki dunia.....6 Wana hali mbaya Muhimbili

$
0
0
Watu watatu wamefariki na wengine sita  wakiwa katika hali mbaya Hospitali ya Muhimbili kufuatia tukio la moto uliolipuka kwenye gari la kubeba mafuta  jana maeneo ya Mbagala jijini Dar es Salaam.   Alizumgumza na mwandishi, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Naibu Kamishna Mohammed Mpinga, alisema ajali hiyo haikuleta athari yoyote baada ya gari lile kupata ajali ila athari
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images