Mnadhimu
wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, akihutubia
katika mkutano uliofanyika jana kwenye Uwanja vya Samunge, Kilombero
jijini Arusha.
Makamanda wa Chadema wakifuatilia mkutano huo.
Umati wa wakazi wa Arusha waliohudhuria mkutano huo jana.
Taswira za Mkutano wa CHADEMA jijini Arusha jana
↧
↧
watu 7 wauawa kwa imani za ushirikina Kigoma
Watu
saba toka familia Nne tofauti wameuawa na nyumba 18 zimechomwa moto
Jumanne wiki hii katika kijiji cha murufiti wilaya ya kasulu mkoani
kigoma, baada ya wananchi kuvamia wakazi wa nyumba hizo kutokana na
imani za kishirikina.
Wakizungumzia tukio hilo ndugu wa watu waliokufa na wakazi wa kijiji
hicho wamesema tukio hilo lilitokea usiku , ambapo baada ya tuhuma za
ushirikina
↧
Rais Kikwete Ahudhuria Sherehe za Miaka 52 ya Uhuru wa Uganda
Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akiwakaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete na Rais Salva Kiir wa Sudani ya kusini kuhudhuria sherehe za
Uhuru wa Uganda zilizofanyika huko kololo Kampala.(picha na Freddy Maro)
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili
uwanja wa ndege wa entebbe Uganda kuhudhuria sherehe za miaka 52 za
uhuru wa Uganda.
↧
Baraza la Maadili Latoa Amri ya Kukamatwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe
Baraza la Maadili limetoa amri ya kukamatwa mara moja Mkuu wa Wilaya ya Korogwe
Mhe. Mrisho Gambo kwa kukaidi wito wa kufika mbele ya Baraza hilo kujibu tuhuma
zinazomkabili.
Akizungumza baada ya kuahirisha kikao cha Baraza hilo lililoanza vikao vyake tarehe
9/10/2014, Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Mhe Balozi Jaji (Mst.) Hamisi Msumi
alisema kuwa amri hiyo imetolewa kwa mujibu
↧
Rais Kikwete: Katiba Inayopendekezwa Imewajali Watu wa Rika Zote
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amewapongeza wajumbe wa bunge maalum
la katiba kwa kupendekeza katiba ambayo imejali maslahi ya makundi yote
wakiwemo wanawake na walemavu.
Rais
Kikwete amesema hayo mjini Dodoma wakati alipokuwa akikabidhiwa
katiba iliyopendekezwa na wajumbe wa bunge maalum la katiba mara baada
ya kumalizika kwa vikao vya bunge hilo maalum la katiba
↧
↧
Wanaoandika Maneno ya Uchochezi kwenye kuta Wasakwa
Watu wasiofahamika, usiku wa kuamkia juzi wameandika maneno
kwenye kuta ikiwamo ukuta wa Kampuni ya Bakhressa katika maeneo ya Tazara
wakidhihaki Katiba Inayopendezwa sanjari na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge
Maalumu la Katiba.
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imesema inafuatilia
kubaini watu wanaoandika maneno ya uchochezi kwenye kuta na kwamba
wakigundulika watashitakiwa kwa
↧
Mpira wa Katiba Mpya sasa kwa Wananchi
Ni msemo maarufu wa wahenga ambapo Rais wa Zanzibar, Dk Ali
Mohammed Shein aliutumia vilivyo juzi katika hotuba yake baada ya yeye na Rais
Jakaya Kikwete kupokea Katiba Inayopendekezwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge
Maalumu la Katiba (BMK), Samuel Sitta mjini Dodoma.
Alisema: ‘Hayawi hayawi sasa yamekuwa’ na akaendelea zaidi
kwa kusema: ‘Waliosema hayawezekani sasa yamewezekana’.
↧
Afande Sele: Katiba aliyokabidhiwa Kikwete ina makosa mengi, haitodumu
Rapper na mwanaharakati Seleman Msindi aka Afande Sele amezungumzia
makabidhiano ya katiba mpya yaliyofanyika juzi katika viwanja vya
Jamhuri Dodoma ambapo spika wa bunge maalum la katiba, Swamwel Sitta
alimkabidhi rais Jakaya Kikwete katiba inayopendekezwa.
Afande Sele amempongeza rais Kikwete kwa hatua hiyo lakini akaonya kuwa katiba hiyo ina makosa mengi.
“Kwa namna yoyote
↧
Shughuli za kijamii zamfanya Ray C aweke muziki pembeni kwa muda hadi November
Msanii wa muziki nchini, Rehema Chalamila aka Ray C ambaye pia
alianzisha taasisi ya kupambana na matumizi ya madawa ya kulevya, ‘Ray C
Foundation’, amesema kazi ya kuwaokoa vijana walioingia kwenye dimbwi la
matumizi ya madawa hayo imemfanya auweke muziki pembeni.
Ray C amesema kuwa tangu January mwaka huu alikuwa na mpango
wa kuachia kazi yake mpya lakini majukumu ya kijamii
↧
↧
Irene Uwoya kuja na ‘Kisoda’, akanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na na Msami
Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amesema anajiandaa kuachia filamu yake mpya iitwayo ‘Kisoda’.
Uwoya amesema alisafiri hadi Afrika Kusini ili kutafuta location tofauti zitakazoifanya filamu hiyo kuvutia.
“Filamu ya Kigoda ni filamu ya aina yake katika filamu ambazo
nimewahi kuzifanya,” amesema Uwoya.
“Filamu inahusu drama and music,
imeshagharimu pesa nyingi sana. Ndani
↧
DCI awasilisha jalada la Mbowe kwa DPP
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI), Isaya Mungulu
amesema jalada la upelelezi wa kesi ya mwenyekiti wa Chadema, Freeman
Mbowe limeshakabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kwa ajili
ya kumfikisha mahakamani.
DCI Mungulu alisema hayo jana alipozungumzia
mwafaka wa shauri la mwenyekiti huyo aliyetangaza maandamano ya amani
kwa wafuasi wa chama chake mara baada
↧
Jambazi Sugu lililokuwa likiwaua kwa Risasi wanawake jijini Arusha Lauawa na Jeshi la Polisi
Jeshi
la Polisi mkoani Arusha limefanikiwa kumuua jambazi aliyekuwa anajihusisha na mauaji
ya wanawake mkoani humo ajulikanae kwa jina la Ramadhani Abdallah Jumanne mwenye umri wa miaka 37.
Jamabazi
huyo ambaye alikuwa anasakwa kwa muda mrefu aliuawa katika majibizano ya risasi
yaliyotokea usiku wa wa kuamkia leo wakati ambao Polisi walifika anapoishi
jambazi huyo kwa ajili ya kumkamata.
↧
Video 5 HATARI Toka Ndani ya Jumba la Big Brother Africa Ziko Hapa
Huu ni Mkusanyiko wa Episodes 5 za Matukio yote yanayotendeka ndani ya jumba la Big Brother Africa tangu lianze Jumapili ya tarehe 5.
Katika mkusanyiko huu wa Video, utafanikiwa kujionea tukio zima la uzinduzi, jinsi washiriki wanavyokabiliana na task mbalimbali wanazopewa pamoja na maisha yao binafsi wakiwa ndani ya vyumba vyao.
Kumbuka
↧
↧
Rais Museven amekataa watu kusalimiana kwa kushikana mikono
October 9 2014 nchi ya Uganda iliazimisha uhuru wake huku rais wake
Yower Museven akizungumza mambo muhimu matatu kwa wananchi wake ambapo
ishu ya kwanza ni kuwataka wananchi wake kuwa makini kutokana na tishio
la magonjwa ya Marburg pamoja na Ebola hivyo waache kusalimiana kwa
kushikana mikono pamoja na kukumbatiana bila kuwepo ulazima wa kufanya
hivyo.
Alisema magonjwa hayo kwa
↧
Maofisa polisi 120 watimuliwa
Maofisa wa Polisi wapatao 120 wa Jeshi la Polisi, waliokuwa
wakihudhuria mafunzo ya kupandishwa vyeo katika Chuo cha Taaluma ya
Polisi Moshi (MPA), wametimuliwa chuoni hapo.
Habari za uhakika zilizopatikana jana kutoka ndani
ya chuo hicho zamani kikijulikana kama CCP, zimedai uamuzi wa kuwaondoa
chuoni ulitangazwa jana na mkuu wa chuo hicho, Matanga Mbushi.
Vyanzo mbalimbali
↧
Mwalimu wa Sekondari Auawa Wakati Akifanya maombi kanisani
Watu wasiojulikana wamemuua Mwalimu Dionizi Ng’wandu wa Shule ya
Sekondari Kagemu iliyopo nje kidogo ya Mji wa Bukoba na kumkata mguu
mtu mwingine wakati wakifanya maombi kanisani.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Ijumaa
wakati mwalimu huyo pamoja na mwenzake aliyetambuliwa kwa jina moja la
Themistocles ambao ni waumini wa Kanisa la Pentecostal Asemblies of God
(PAG)
↧
Kimbunga cha Kinana Chawazoa Katibu wa CHADEMA na wafuasi wake 26 Nyololo, Mufindi
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionesha kadi 27 za wananchama wa
Chadema waliokihama chama hicho na kujiunga na CCM kaatika mkutano wa
hadhara uliofanyika Mjini Nyololo, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa
chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010. Kulia
aliyevaa shati jeupe ni aliyekuwa Katibu wa Kata ya Igowole, Josephat
Soda ambapo wengine ni miongoni
↧
↧
Wema Sepetu, King Majuto Na Diamond Platnumz Kucheza Filamu Pamoja
Msanii maarufu wa filamu nchini King Majuto amesema kuwa ana nia ya kufanya filamu ya pamoja na Wema Sepetu na Diamond Platnumz.
Akizungumza na Bongo5,
King Majuto ambaye filamu zake nyingi zinafanya vizuri sokoni alisema
kuwa amekutana na Wema hivi majuzi na kumueleza hilo na kumtaka
azungumze kuhusu project hiyo ili Diamond akikubali wafanye kazi pamoja.
Majuto alisema kuwa
↧
"Sina Uhusiano Wa Kimapenzi Na Master J" - Shaa
Shaa ambaye ni mwimbaji maarufu wa vibao vya Sugua Gaga na Subira
amekana kuwa na uhusuiano na producer maarufu wa muziki wa kizazi kipya
Master J.
Akizungumza na jarida moja linalotoka kila mwezi
Shaa amesema kuwa ameshangazwa na media kuandika ni wapenzi wakati yeye
na master Jay wapo kikazi zaidi.
Hata hivyo wakati Shaa akiyasema hayo inadaiwa tayari familia ya Master J
↧
Miss Tanzania kufanyika leo Mlimani City jijini Dar
Shindano la kumsaka mrembo wa Tanzania linatarajiwa
kufanyika leo, ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, ikiwa ni
ruhusa kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutupilia mbali
pingamizi la mashindano hayo lililowasilishwa mahakamani na mmoja wa
waanzilishi wa Miss Tanzania, Prashant Patel.
Shindano hilo litashirikisha warembo zaidi ya 20 ambapo watachuana
↧
More Pages to Explore .....