Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Maandamano Batili: Halima Mdee na Viongozi 8 wa BAWACHA Wakamatwa na Polisi, Kufikishwa Mahakamani Kesho

$
0
0
Viongozi tisa akiwamo Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee, wamekamatwa na kufikishwa Kituo cha Polisi cha Oysterbay baada ya kufanya maandamano yasiyo halali. Viongozi hao wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kesho (Jumatatu) kwa ajili ya kusomewa mashitaka. Kukamatwa kwao kulikuja muda mfupi baada ya maandamano yao yaliyoanzia kwenye ofisi za baraza hilo

Mtumishi avamia eneo la makaburi na kujenga baa....Wananchi Wacharuka, Vibanda vyachomwa moto

$
0
0
MKAZI wa Mtaa wa Misufini, Kata ya Nyasa, Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara, Innocent Mtaro anatuhumiwa kujenga baa katikati ya makaburi.   Mtaro alijikuta juzi katika wakati mgumu baada ya wananchi wanaodai ni wenye hasira kutaka kumpa kipigo kwa kitendo hicho cha kugeuza sehemu ya makaburi kuwa eneo la burudani.    Mfanyabiashara huyo  ambaye  pia ni  mfanyakazi Idara ya Fedha ya

Ofisi ya Masijala Idara ya Ardhi Kigoma Yachomwa moto... Watu Wanne Watiwa Mbaroni

$
0
0
Watu wanne wanashikiliwa na polisi mkoani Kigoma kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi ya masijala ya Idara ya Ardhi ya Manispaa ya Kigoma Ujiji na kuteketeza hati na nyaraka mbalimbali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jafari Ibrahim, aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Anna Fanuel (46), Makrina Paul (49), Saimon Pius (37) na Tumaini Esau (44). Alisema Oktoba mosi, mwaka huu saa 4.15

Waislamu wakumbushwa kuenzi amani na kuacha kuihatarisha

$
0
0
WAISLAMU wamekumbushwa kujihadhari kufanya ama kujihusisha na vitendo vinavyohatarisha amani kwani hotuba ya mwisho kabisa aliyoitoa Mtume Muhammad (S.A.W) kwa waumini wakati wa Hija kama sasa, pamoja na mambo mengine, ilisisitiza amani.   Ushauri huo ulitolewa jana na Shekhe Sharif Abdulqadir al- Ahdal wakati wa swala ya Eid el-Adha kwa watu wanaoamini katika mwandamo wa mwezi wa

Kibaka Achomwa Moto Maeneo ya Tabataka -Kimanga jijini Dar

$
0
0
KIJANA mmoja (jina halikufahamika) anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto baada ya kukamatwa jana maeneo ya Tabata-Kimanga jijini Dar es Salaam akiwa nyumbani kwa mtu.    Kijana huyo alichomwa moto na wananchi wenye hasira kali dhidi ya wahalifu wa aina hiyo.  

Zitto Kabwe Atwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii

$
0
0
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe, ameibuka mwanasiasa wa kwanza barani Afrika kutwaa Tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii, imefahamika.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mwishoni mwa wiki na Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya Nchi za Afrika Mashariki na Kati (ECASSA)   Mhe. Zitto anatarajiwa kukabidhiwa tuzo yake hiyo katika sherehe rasmi iliyopangwa

Diamond Platnumz Afanya Makamuzi ya Nguvu Big Brother Hotshot Usiku Huu

$
0
0
STAA wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku huu amefanya makamuzi ya nguvu katika uzinduzi wa shindano la Big Brother Hotshots unaofanyika jijini Johanessburg nchini Afrika Kusini.   Katika shindano hilo, Tanzania inawakilishwa na watu wawili mrembo Irene 'La Veda' na Idriss.    Jumla ya washiriki 26 kutoka mataifa 13 ya Afrika watachuana kwa siku 63

Laveda Afunika Ufunguzi wa Big Brother Hotshots

$
0
0
MSHIRIKI wa shinadano la Big Brother Hotshots kutoka Tanzania, Irene 'Laveda' amefunika vilivyo katika shoo ya ufunguzi wa shindano hilo usiku huu nchini Afrka Kusini.   Laveda ameongoza kwa kura zilizopigwa na watu waliokuwa mjengoni akipata asilimia 85 kutokana na shoo yake kali aliyotoa akicharaza vilivyo saxophone na kuwafunika washiriki wengine 25 kutoka mataifa mengine ya Afrika

Serengeti Fiesta Yafanya Makamuzi ya Nguvu Mkoani Dodoma

$
0
0
Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dodoma usiku wa kuamkia leo. Mo Music akitoa burudani kwa wakzi wa Dodoma waliyofulika kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Msanii zao la Serengeti Super Nyota G-Lucky akifanya makamuzi ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma. Y-Tony akiwajibika

Polisi wachana bango la walimu linalohoji posho za Bunge Maalumu la Katiba

$
0
0
Maandamano ya walimu kuingia katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani, jana yalipata mtafaruku baada ya polisi kuyaingilia na kuchana bango mojawapo lililohoji posho za wajumbe wa Bunge la Katiba.    Bango hilo la kitambaa cheupe lilikuwa na maandishi yanayohoji posho ya Sh300,000 waliyokuwa wanapata wajumbe wa Bunge la Katiba, yakilinganishwa na kazi

Viongozi CCM Msiwe Chanzo cha Makundi

$
0
0
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu na uwazi si kutoa maamuzi yanayopendelea kundi moja kwenye masuala mbalimbali ya chama kwani wakifanya hivyo, watasababisha makundi ambayo yatajengeana chuki miongoni mwa wana CCM wenyewe.   Katibu wa chama hicho mkoani humo, Bw. Deogratius Rutta, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki

CUF Wamuomba Rais Kikwete atakeleze Ahadi yake aliyoitoa Mkoani Tabora

$
0
0
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi aliyoitoa katika Uchaguzi Mkuu 2010 wa kupatikana Wilaya mpya ya Ulyankulu, mkoani Tabora kabla ya kumaliza kipindi chake cha uongozi mwaka 2015.   Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Tanzania Bara, Bi. Magdalena Sakaya, aliyasema hayo jana katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji King'wangoko, Kata ya Sasu, Wilaya

RUKWA: Mwanafunzi Wa Miaka 17 Amtundika Mimba mwalimu wake mwenye umri wa Miaka 25.....Kamanda wa Polisi asema Mwalimu hana kosa kisheria!

$
0
0
WAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani Rukwa ambako mwanafunzi wa Kidato cha Pili anadaiwa kumzalisha mwalimu wake.   Mwanafunzi huyo aliyemzalisha mwalimu wake ana umri wa miaka 17, wakati mwalimu huyo anayefundisha katika Shule ya

MANYARA: Hausigeli Aiba Milioni 2.6 za Mwajiri wake.....Aruka Ukuta na kutokomea kusikojulikana

$
0
0
MSICHANA anayefanya kazi za ndani katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, anadaiwa kuiba Sh milioni 2.6 mali ya mwajiri wake.   Inadaiwa kuwa siku ya tukio msichana huyo baada ya kuiba fedha hizo, aliruka ukuta wa nyumba na kutokomea kusikojulikana. Mwajiri wa mfanyakazi huyo, Shujaa Baruti alisema tukio hilo lilitokea Oktoba 2, mwaka huu saa 3 asubuhi, kwenye

Lundenga Atupwa Mahakamani.....Shindano la Miss Tanzania Njia Panda!

$
0
0
MWANZILISHI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Prashant Patel, amefungua maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akiomba mshirika wake, Hashim Ludenga, azuiliwe kuendelea kuendesha mashindano hayo yanayotarajiwa kufikia kilele chake Oktoba 11, mwaka huu.   Patel amewasilisha maombi hayo katika hati ya dharura kupitia wakili wake, Benjamin Mwakagamba, akidai

JWTZ yalaani Wanajeshi wake waliopigana na polisi huko Tarime

$
0
0
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)  limelaani kitendo cha askari wake wa kikosi cha Nyandoto 27 KJ Makoko ambaye inadaiwa alishindwa kutii maelekezo ya  askari polisi wa Usalama Barabarani wilayani  Tarime, Mara na kusabisha mapigano baina ya wanajeshi na polisi. Katika tukio hilo ambalo lilitokea Oktoba Mosi, mwaka huu jioni katika kituo cha mabasi mjini Tarime, raia mmoja na askari

Michango ya Ujenzi wa Maabara: Wananchi Waasi.....Wawashambila na kuwajeruhi watendaji wa kata na vijiji

$
0
0
Takribani wiki moja baada ya Ikulu kukana Rais Jakaya Kikwete, kuagiza watumishi wa serikali kuchangishwa fedha na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na watumishi wengine wa serikali kupinga walimu kukatwa mishahara kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari nchini, baadhi ya wananchi mkoani Singida wameasi na kuwashambulia na kuwajeruhi viongozi wa serikali waliokuwa wakitekeleza

Redsan na producer wake, Mtanzania, Sappy wakamatwa kwa tuhuma za ugaidi

$
0
0
Polisi nchini Kenya juzi walimkamata na kumshikilia kituoni muimbaji wa ‘Badder Than Most’ Redsan na producer wake Mtanzania, Sappy kwa tuhuma za ugaidi.   Muimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Mohamed Swabir pamoja na washkaji zake wengine watatu akiwemo Sappy walilala kwa siku moja kwenye kituo cha polisi kati jijini Nairobi kabla ya kuachiwa jana jioni.   Redsan amesema

Utekaji wa Watoto Walitikisa jiji la Dar......Noah Nyeusi zapita kuwavizia wakitoka Shule

$
0
0
Lile sakata la utekaji na upoteaji wa watoto ambao wengi ni wanafunzi wa shule za msingi katika Jiji la Dar na kudaiwa linafanywa na watu walio kwenye magari aina ya Toyota Noah limeingia katika sura nyingine. Safari hii, gari moja lilitupiwa mawe na dereva nusura kuuawa kufuatia kufika katika Shule za Msingi za Kombo na Mtakuja zilizopo Vingunguti, Dar kwa lengo la kuzungumza na

Professor Jay: video za ‘Tatu Chafu’ &‘Kipi Sijasikia’ zimewagawanya sana watu

$
0
0
Professor Jay amesema video za nyimbo zake mbili ‘Kipi Sijasikia’ na ‘Tatu Chafu’ alizoziachia mwezi uliopita zimekuwa na ushindani mkubwa, kiasi cha kuwagawa mashabiki ambao wapo waliopenda zaidi ‘Tatu Chafu’ na wengine ‘Kipi Sijasikia’. “Kitu kikubwa ambacho kimenionesha ni kwamba hizi video zinachuana sana yaani zimewaganwanya watu” Professor Jay amefunguka.    “Hizi video
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images