Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Wema Sepetu Amsaka Meninah Kwa Kumkwapulia Diamond Platnumz.

$
0
0
Habari mpya zinasema kuwa Wema Sepetu anamsaka meninah kwa udi na uvumba sababu ikidaiwa ni Meninah kutoka kimapenzi na Diamond kwa siri kubwa huku Wema akiwa hana hili wala lile mpaka mapenzi ya wawili hao yalipoanza kukomaa na kuchanua nje na watu kujua.   Inadaiwa kuwa Meninah tayari pia amejua kuwa anasakwa na Wema hivyo kuingiwa na hofu, ingawa akizungumza na gazeti moja la

Kivazi cha Jokate Utata Mtupu....Atinga Mtaani na suruali iliyonichanika

$
0
0
Mwanamitindo  na mtangazaji mahiri Bongo, Jokate Mwegelo amezua utata baada ya kupiga picha akiwa ametinga suruali iliyochanika. Akizungumzia picha hiyo ambayo imevuja katika baadhi ya mitandao, Jokate alisema alivalia mavazi hayo hivi karibuni Afrika Kusini alipokuwa amekwenda kurekodi wimbo wake mpya (hakuutaja jina) na alivaa makusudi ili kuonesha utofauti. “Nimeamua tu kuwa

Mchungaji Awashangaza Waumini wake baada ya kumpiga chini mke wa kwanza na kuamua kuoa wa Pili "Dogodogo"

$
0
0
MCHUNGAJI Peter Rashid Abubakari wa Kanisa la RGC lililoko Mbezi ya Shamba jijini Dar, amedaiwa kuoa mke wa pili aitwaye Pamela Didas Asenga akiwa na umri wa miaka 20 tu ‘dogodogo’. Kwa mujibu wa chanzo, ndoa hiyo ilifungishwa na Askofu Innocent Lugagi wa Kanisa la White House la Durban, Afrika Kusini, Agosti 29, mwaka huu.   Mke mwingine wa mtumishi huyo wa Mungu anaitwa

Diamond azungumzia tetesi za kupanga kumuoa Meninah ........‘Nahuzunishwa sana’

$
0
0
Na Rama Nnauye-Bongo5 Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah,  Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa.   “Unajua hizi habari kiukweli zimekuwa zikinihuzunisha sana,” amesema superstar huyo wa muziki wa Bongofleva Tanzania.  “Unajua mie ni mtu mmoja

Kajala: Watu wanaamini sana magazeti, sina utajiri huo wanaousema na wala sina ubavu wa kumwajiri Wema Sepetu

$
0
0
Kajala Masanja amedai kuwa maisha yake hayajabadilika sana kama ambavyo magazeti ya udaku yamekuwa yakiandika. Muigizaji huyo wa filamu alisema kuwa tetesi kuwa ana fedha nyingi kiasi cha kuwa na mpango wa kumwajiri Wema Sepetu ni uzushi mtupu. “Mbona maisha yangu ni ya kawaida sana,”  Amesema Kajala.   “Mimi naona nipo vilevile hakuna kubwa sana lililongezeka. Nafanya shughuli

Jaji Warioba: Tutakutana mtaani.....Ni kuhusu Rasimu ya Katiba mpya.....Ataka Wajumbe wawaeleze wananchi sababu za kubeza maoni yao

$
0
0
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa na Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba imeondoa mambo manne muhimu yaliyokuwa kiini cha kupata Katiba ya mageuzi.    Akiyataja mambo hayo muhimu ambayo ni maadili ya viongozi wa umma,  madaraka ya wananchi, mgawanyo wa madaraka na muungano.    “Tutakutana

Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta atumiwa Meseji za Matusi

$
0
0
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amesema anapokea meseji za simu zaidi ya 50 kwa siku za kumtukana na kusisitiza ataendelea kupambana kuhakikisha Katiba inayopendekezwa inapatikana.    Sitta alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana wakati akielezea kutoridhishwa kwake na kile alichodai ni namna hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Saed Kubenea inavyopotoshwa na wanaomchukia.

Serikali yang'aka kuyafungia magazeti

$
0
0
Serikali imesema haina mpango wa kuvifungia vyombo vya habari yakiwamo magazeti badala yake itaendelea kuvionya vinavyokiuka maadili.   Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia, alisema hayo jana kufuatia gazeti la NIPASHE kuandikiwa barua na ofisi ya Msajili wa Magazeti, kutaka lijieleze baada ya kuchapicha habari kuhusu Bunge la Katiba jinsi linavyotumia

Mbunge azomewa na wananchi mbele ya Kinana

$
0
0
Mbunge wa Jimbo la Korongwe Mjini, Yusuph Nassir, jana alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuzomewa na wananchi wake wakidai kuwa hatembelei katika jimbo lake.   Zomea hiyo ilifuatia baada ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, kuwataka wananchi waulize maswali kwenye mkutano wa hadhara ili viongozi wake wayajibu.   Akijibu baadhi ya maswali aliyoulizwa na

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma ( UDOM ) Afungwa Jela Miaka 6

$
0
0
Mahakama ya Wilaya ya  Ilala imemhukumu kifungo cha miaka sita jela, Melkiad Kabunduguru(28) baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia.    Kabunduguru ambaye ni  mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma(Udom) atatumikia kifungo hicho baada ya Mahakama kuridhika na ushahidi uliotolewa dhidi yake.   Katika shtaka la kwanza la

Ubunge wa wabunge Wa EAC shakani.....Mahakama yasema taratibu zilikiukwa......Serikali kulipa gharama zaote za kesi

$
0
0
Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), jana imesema uchaguzi wa wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki ni batili kutokana na kukiuka ibara ya 50 ya mkataba wa kuanzishwa Jumuiya ya Afrika Mashariki.   Jaji Kiongozi, Jean Bosco-Butasi akiwa na majaji wengine wa mahakama hiyo, Isaac Lenaola na Jaji Faustine Ntezilyayo, walitoa uamuzi huo katika hukumu ya kesi iliyofunguliwa

Serengeti Fiesta Yatikisa Mjini Songea kwa Shoo Kali ya Kihistoria

$
0
0
Maelfu ya mashabiki wa mji wa Songea  jana ijumaa walikusanyika katika uwanja wa Majimaji mjini humo kushuhudia shoo kali ya kihistoria iliyoporomoshwa na wasanii nyota wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini.   Kwa mara ya kwanza katika historia, shoo ya Serengeti Fiesta iliingia katika viunga vya mji wa songea na shoo kali zilizokonga vilivyo nyoyo za mashabiki wa mji huo mara baada ya

Wahalifu wanaotubu kanisani kuripotiwa Polisi

$
0
0
KANISA Anglikana linakabiliwa na shinikizo la kutakiwa kulegeza masharti ya sheria zake ili wachungaji waweze kuripoti uhalifu wanaousikia kutoka kwa waumini wao wanaoungama. Utaratibu huo umeshaanza kutekelezwa na Kanisa Anglikana Australia ambalo limeruhusu wachungaji kuripoti polisi uhalifu uliobainika wakati wa maungamo ya waumini.   Askofu wa zamani wa kanisa hilo, Dayosisi ya

Mtuhumiwa Auawa kwa Kuchomwa Moto baada ya Kushindwa Kujieleza

$
0
0
MTU mmoja mwenye umri kati ya miaka 25 na 30 ambaye jina lake halifahamiki, ameuawa baada ya kushindwa kujieleza juu ya pikipiki ambayo yeye na mwenzake walikuwa wanajaribu kuiuza Chalinze.   Watu hao walifika Chalinze wakidai kutokea Gairo wakitaka kuuza pikipiki aina ya Toyo yenye namba za usajili T 336 BZC.   Lakini walipobanwa kuhusu kadi ya pikipiki walibabaika na hivyo kuanza

Jaji Warioba Ashambuliwa.....Afananishwa na maiti iliyokufa ikafufuka

$
0
0
Mbunge wa Mbinga Kusini, Kapteni John Komba, kwa mara nyingine amemshambulia aliyekuwa Mweyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kwa ‘kuwaingilia’ na amemuomba Rais Jakaya Kikwete, amuite na kumkanya. Katika mchango wake bungeni jana, Komba alianza kwa kusema, “Ninalo moja kubwa la kuchangia hapa, juzi nilizungumza habari hapa, jamani eh..., mtu akishazikwa,

Mh. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini amwagana na Mke wake......Mwanamke afunguka mazito

$
0
0
  Mwigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ...   Kupiia Instagram, Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema. 

Wiki ya kufa au kupona kwa Bunge la Katiba inaanza leo.....Kura kuanza kupigwa Leo

$
0
0
Wiki ya kufa au kupona kwa Bunge la Katiba, inaanza leo mjini Dodoma wakati wajumbe watakapoanza kuzipigia kura ibara na sura za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.    Shughuli hiyo itaanza huku kukiwa na hofu ya kutopatikana kwa theluthi mbili ya kura kwa wajumbe kutoka Tanzania Bara na theluthi mbili ya wajumbe kutoka Zanzibar inayotakiwa kwa mujibu wa kanuni, sheria na Katiba ya nchi

Rose Ndauka na Mchumba wake Wamwagana

$
0
0
Wachumba wa muda mrefu, staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na Malick Bandawe ambao maisha yao ya kimapenzi yamekuwa yakitawaliwa na msuguano wa chini kwa chini, hatimaye wameachana. Chanzo cha uhakika kimesema kuwa wachumba hao ambao walivalishana pete kwa mbwembwe miaka mitatu iliyopita huku wakipika na kupakua lakini wamekuwa katika mzozo wa muda mrefu wa kifamilia,

Ray alia na 'Maprodyusa' uchwara

$
0
0
Staa wa filamu hapa Bongo, Vicent Kigosi ama Ray kwa jina maarufu, ametoa angalizo juu ya kuibuka kwa wingi  Watayarishaji wa Filamu ambao wamekuwa hawazingatii viwango vya ubora wa kazi na hivyo kuharibu soko la sanaa hiyo.   Ray akiwa kama msanii mwenye mafanikio tayari, amesema kuwa, sanaa hiyo inaendelea kukuwa isipokuwa, Watayarishaji filamu hawa wameongezeka sana na kuna

Maslahi ya taifa yamezingatiwa katika Rasimu ya katiba ya sasa- Kingunge

$
0
0
Mwanasiasa Mkongwe nchini Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru amesema Katiba ya sasa imezingatia masuala ya Msingi na kuwa bora zaidi na kuongeza kuwa vipengele viliyoondolewa ni kwa maslahi ya Taifa la Tanzania. Akichangia rasimu iliyopendekezwa jana bungeni mjini Dodoma Kingue alisema hata kuondolewa kwa mfumo wa Serikali Tatu ni kwa kuwa muundo huo ulikua umelenga kuuvunja
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images