Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Diamond Amzawadia Gari Wema Sepetu

$
0
0
Diamond Platinumz ameonesha jinsi ambavyo penzi lake na Wema Sepetu linazidi kuimarika tofauti na habari zilizokuwa zimesambaa kwenye magazeti hivi karibuni.   Mdogomdogo Diamond amemzawadia kichuna wake gari jipya aina ya Nissan Morano kama zawadi ya birthday.   Mwimbaji buyo alishare picha ya gari hilo kwenye Instagram na kumuandikia ujumbe mtamu mrembo wake aliyekuwa miss

UVCCM wamvaa Jaji Warioba

$
0
0
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, aingie mtaani kupambana akiwa na chama cha siasa badala ya kuendelea kutumia mwamvuli wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.   Tamko hilo lilitolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka  alipozungumza na mjini Dodoma nje ya viwanja vya

CUF Yatangaza mkakati mzito

$
0
0
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema kitakuwa tayari kuingia mitaani na kuungana na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, kupinga rasimu itakayopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba kwa madai kuwa haitokani na mawazo ya wananchi.   Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara ulioandaliwa na chama hicho wilayani Kaliua mkoani Tabora, Naibu Katibu wa CUF Tanzania Bara,

Muuguzi Adaiwa kusababisha kifo cha mama mjamzito na watoto wake mapacha kwa uzembe.....Wananchi Wacharuka

$
0
0
HOSPITALI ya Serikali mkoani Shinyanga juzi ilijikuta katika wakati mgumu baada ya kundi la wananchi kuvamia wodi ya wazazi, wakilalamikia uzembe uliofanywa na muuguzi kushindwa kutoa msaada kwa mwanamke aliyekuwa akijifungua na kusababisha kifo chake na watoto wake mapacha aliokuwa anajifungua.   Hali hiyo ilijitokeza saa 12 juzi jioni baada ya wazazi wa mjamzito huyo aliyekuwa

CHADEMA Waliteka jiji la Mwanza.....Polisi watumia Mabomu Kuwatawanya

$
0
0
Baada ya Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kuzuia maandamano ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katikati ya wiki iliyopita, umati mkubwa wa wakazi jijini hapa jana walifurika katika uwanja wa Shule ya Msingi Mbugani kuwasikiliza viongozi wao wa kitaifa. Viongozi hao ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum Mwalimu.Mkutano huo

Big Brother Africa 2014: Picha na Video zote za washiriki wakioga, wakicheza ziko hapa

$
0
0
Ni  siku  6  tu  zimesalia  kabla  ya  shindano  la  Big Brother Africa  kuanza  ambapo  Mshindi  wake  ataondoka na  Dolla  300,000. Usikubali  kupitwa  na  tukio  lolote  kutoka  ndani  ya  jumba  hilo. Picha, Video, Live  Updates, Video  zao  Wakioga  na  Mengine  Mengi  yatakuwa  yakiruka  mtandaoni  moja  kwa  moja  kupitia  site  yako  pendwa  ya  www.bigbrotherafricans.com 

Picha: Beyonce apata shida baada ya nguo kufunguka na kuacha kifua chote wazi akiwa jukwaani

$
0
0
Beyonce Knowles alipata tatizo la aina yake alipowasapraiz mashabiki wake kwa kuungana jukwaani na mumewe Jay Z ghafla katika Global Citizen Festival iliyofanyika wikendi iliyopita.    Akiwa katika harakati za kuimba na kucheza, ghafla top yake nyeupe ilifunguka na kifua chake kubaki wazi huku ‘maziwa’ yakitoka nje ya bra iliyokuwa na rangi ya ngozi yake. Hata hivyo, kitendo hicho

Sad: Msanii Wa Bongo Flava Side Boy Mnyamwezi Afariki

$
0
0
Habari za kusikitisha zilizothibitishwa, zinaeleza kuwa msanii wa bongo aliyekuwa anajulikana kama Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia jana   Side alifikwa na umauti katika hospitali ya Nyangao iliyopo katika mkoa wa Lindi.   Msanii huyo alifahamika zaidi kwa wimbo wake wa ‘Kua uyaone’ aliomshirikisha Ali Kiba. Nyimbo nyingine alizowahi kutoa ni pamoja na ‘Hujafa

TCRA yaanza kuwashughulikia wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii

$
0
0
Mamlaka  ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kuwakumbusha wananchi  kutumia njia ya mawasiliano ipasavyo ili kujijengea heshima kwani kwa sasa hatua kali za kisheria zimeanza kuchukuliwa kwa wale wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii.   Akizungumza na Times fm,  Meneja mawasiliano wa  (TCRA) Inocent Mungy amesema kuwa ipo haja kwa wasichana kujiheshimu kwani picha nyingi mbaya

Amber Rose alimfumania Wiz Khalifa saa nane usiku, Wiz asema alifanya makusudi

$
0
0
Uamuzi wa Amber Rose kutaka kutalakiana na mumewe Wiz Khalifa ulizua maswali mengi huku ‘uchepukaji’ ukitajwa kuwa chanzo cha yote.   Lakini kwa mujibu wa TMZ, Amber Rose alichukua uamuzi huo baada ya kumfumania Wiz Khalifa akiwa na mwanamke mwingine nyumbani kwake majira ya saa nane usiku.   Taarifa hizo zimeunganishwa na tweet ya Amber Rose inayoeleza kuwa anaendelea kulikumbuka

Jeshi la Polisi latumia Risasi za Moto na Mabomu kutawanya wafuasi wa CHADEMA Manzese, Dar es Salaam

$
0
0
Wafuasi wa Chadema jana waliandamana katika mitaa ya Manzese na kusababisha tafrani baada ya polisi kuwatawanya kwa mabomu ya machozi na risasi.    Maandamano hayo yaliyoanza saa nne asubuhi jana, yalihusisha wanachama takriban 30 kutoka maeneo mbalimbali ya Jimbo la Ubungo. Yalianzia Manzese Midizini na kuishia Ofisi za Chadema Kata ya Manzese.   Awali, waandamanaji hao waliokuwa

Tibaigana: Nchi hii inahitaji Rais Dikteta

$
0
0
Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Kamanda wa Polisi mstaafu wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Alfred Tibaigana amekwenda mbali zaidi; anataka rais dikteta.    Kamishna Tibaigana alitoa kauli hiyo katika mahojiano maalumu na Mwananchi nyumbani

Umoja wa Ma-Girlfriend Tanzania Watoa Tamko baada ya Diamond kutoa zawadi ya Gari kwa mpenzi wake Wema Sepetu

$
0
0
September 26 ilikua ni siku ambayo mrembo kutoka Tanzania Wema Sepetu alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ndani ya siku yake hii ukitoa party aliyoifanya kulikuwa na vitu mbalimbali vya kuvutia.    Siku hiyo Diamond platnumz aliamua kumzawadia zawadi ya gari mpenzi wake Wema Sepetu gari aina ya Nissan Murano. Mbali na zawadi aliyoitoa Diamond Platnumz ya gari hilo pia Meneja wake

BAKWATA Yatangaza Siku ya Sikukuu ya Idd el Haji

$
0
0
Baraza Kuu la Waislam Tanzania, BAKWATA limetangaza kuwa sikukuu ya Idd el Haji itafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 5 Oktoba 2014. Akizungumza na TBC, Kaimu Mufti wa Tanzania ambaye pia ni Shehe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ismail Habib Mwakusanya amsesema swala ya sikukuu hiyo itaswaliwa Kitaifa katika msikiti wa Al Farouq uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam na kufuatiwa na Baraza

Watu 250 Hoi Hospitalini.....Walazwa baada ya kunywa Togwa yenye Sumu mkoani Ruvuma

$
0
0
Zaidi ya watu 250 miongoni mwao wakiwemo watoto, katika kijiji cha Litapwasi katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wamenusurika kufa baada ya kunywa togwa inayosadikiwa kuwa na sumu.   Watu hao wamekunywa togwa hiyo katika sherehe ya kipaimara iliyofanyia kijijini hapo juzi, Jumapili.    Watu 27 kati yao walilazwa katika hospitali ya Mtakatifu Joseph ya Peramiho huku wengine

Waziri Mkuu Mizengo Pinda aiokoa Mahakama ya Kadhi.....Asema Januari mwakani Serikali itaandaa Muswada ili kuitambua Mahakama hiyo

$
0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alilazimika kuokoa jahazi la ‘kuzama’ kwa Katiba Mpya kwa kupoza hasira za Waislamu kuhusu Mahakama ya Kadhi kutoingizwa kwenye Katiba inayopendekezwa.    Badala yake Pinda aliwaahidi kuwa Januari mwakani, Serikali itawasilisha bungeni muswada wa sheria ili kuutambua uamuzi unayofanywa na Mahakama za Kiislamu.   Tamko hilo lilitokana na kuwapo kwa

Kura ya HAPANA yatikisa Bunge Maalumu la Katiba

$
0
0
Wajumbe wa Bunge la Maalumu la Katiba jana walianza kupiga kura za kuamua ibara za Katiba inayopendekezwa, huku kura za wajumbe kutoka Zanzibar zikiibua wasiwasi wa iwapo theluthi mbili itapatikana au la.    Dalili za kupiga kura za hapana kutoka upande wa Zanzibar zilianza kujionyesha mapema baada ya taarifa za ndani kueleza kuwa zikikosekana 10 kutoka upande huo wa Muungano hakuna

Nyota ya Jaji Joseph Warioba Yang'ara Shinyanga

$
0
0
BAADHI ya wakazi wa Mji wa Shinyanga, wamepinga vikali kitendo cha baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kumshambulia kwa maneno ya kejeli aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba wakidai mashambulizi hayo yaelekezwe kwa wananchi waliotoa maoni yao katika tume.   Wakizungumza na Majira kwa nyakati tofauti mjini humo jana, wakazi hao wamedai

Kwa Nini Waganga Wanaweza Kuwasaidia Watu Kuwa Matajiri Wakati Wao Ni Masikini?.....Bofya hapa kujua Wanachokifanya

$
0
0
Kuna watu ambao wanapata mafanikio makubwa kwa kutumia uchawi. Ila mafanikio yale hayaletwi na uchawi bali imani ya mtu husika. Tutajadili kwa nini waganga wanaweza kuwapatia watu wengine dawa au mbinu za kuwa matajiri wakati wao ni masikini. Na pia tutaangalia jinsi ambavyo unaweza kutumia mbinu hizi wanazotumia waganga bila ya wewe kuwa mchawi na ukafikia mafanikio makubwa. Kila mmoja

RUVUMA: Jeneza laibwa msikitini, lakutwa kwa afisa mtendaji

$
0
0
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawasaka watu wasiofahamika wanaotuhumiwa kuingia msikitini na kuiba jeneza, Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma. Baada ya kuiba jeneza hilo, watu hao wanadaiwa kwenda nyumbani kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kitanda, wilayani humo, Fidea Mbawala (30) na kuliweka mlangoni, likiwa limesheheni matofali. Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Mihayo Msikhela,
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images