Septemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya
Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na
serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi, alihutubia kikao
kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani.
Hii ni hotuba yake (kwa hisani ya Umoja wa Mataifa).
Audio: Hotuba ya Rais Kikwete Kwenye mkutano wa Tabia Nchi- Umoja wa Mataifa
↧
↧
Hackers watishia kuvujisha picha za utupu za muigizaji wa Harry Porter Emma Watson kufuatia hotuba yake ya UN
Staa wa filamu ya ‘Harry Potter’, Emma Watson alitoa hotuba kwenye
Umoja wa Mataifa kuwataka wanaume kuungana katika harakati za usawa wa
kijinsia. Hackers wametishia kuvujisha picha za utupu za mrembo huyo
ambaye ameamua kujitolea kutetea haki za wanawake.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, mtandao wa 4chan ambao
umevujisha picha za mastaa kibao wa Marekani siku chache
↧
Picha: Amber Rose ashare picha yake ya utupu Instagram
Wakati mastaa wengine wanahaha baada ya picha zao za utupu kuvujishwa
mtandaoni bila ridhaa zao, stripper wa zamani na mke wa rapper Wiz
Khalifa, Amber Rose ameamua kutowasubiri hackers wafanye mambo, kwa
kuamua kuvujisha mwenyewe picha yake ya utupu kupitia akaunti yake ya
Instagram.
Amber ambaye ni mama wa mtoto mmoja alishare picha hiyo na kuandika:
“Well before anyone tries
↧
Sandra: Sijawahi kutoa Rushwa ya Ngono kwa Director
MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo,
Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na
mambo ya sanaa hajawahi kuwa na bwana ndani ya klabu ya Bongo Movies na
wala hajawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ kama ilivyo kwa
wengine.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Sandra alisema
kuna baadhi ya wasanii wanafikiri kuwa na
↧
"Si lazima kujua Kingereza hata Messi hajui" - Ray
Mkurugenzi
wa Kampuni ya filamu Rj Company,Vicenti Kigosi amesema si lazima kujua
Kingereza maana hata Messi hajui.
Ray amesema hayo alipokuwa akichat
Live na mashabiki zake kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV katika
kipengele cha Kikaangoni Live kinachokukutanisha na watu mahiri kila siku ya jumatano kuanzia saa sita za mchana mpaka nane kamili.
Mkali huyo ambae kwa sasa
↧
↧
Wafuasi watano wa CHADEMA Mbaroni
Wafuasi
watano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamefikishwa
mahakamani kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko usio halali.
Wafuasi
hao akiwemo Mratibu wa Chadema Kanda ya Magharibi, Christopher Nyawanji
wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Dodoma mbele ya Hakimu wa
mahakama hiyo, Verynice Kawiche.
Washtakiwa wengine ni Laurent Manguweshi ambaye ni katibu
↧
Orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Vyuo Vikuu Mbalimbali 2014/ 2015
Bofya jina la chuo kupakua faili lenye orodha ya majina ya waliochaguliwa
BUGANDO BScN_2014.pdf (82.4 KB)
BUGANDO MD.pdf (106.2 KB)
BUGANDO MEDICAL LABORATORY SCIENCES.pdf (79.7 KB)
BUGANDO PHARMACY.pdf (80.0 KB)
BUGANDO NURSING.pdf (76.0 KB)
IFM BACHELOR DEGREE 2014
MAKUMIRA PROPOSED STUDENTS 2014/2015
MUM Undergraduate Selection - Direct.pdf (561.3 KB)
MUM Undergraduate Selection -
↧
Mchongo mpya alioupata Diamond Platnumz,huu unahusu application ya simu.
Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia
ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba
maandishi yasemayo "Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa kuwa
kijana wako sasa ni balozi wa application mpya iitwayo Mziiki"
Hii ni application ambayo itatumiwa na watu wenye simu za androad
kusikiliza muziki.Huu ndiyo muonekano wake
↧
Nakala ya Rasimu ya Katiba Mpya iliyopendekezwa: Ibara 28 zimefutwa, 42 Zimeongezwa....47 zimebaki kama zilivyo na 186 zimerekebishwa
Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba jana ilikabidhi
bungeni Rasimu ya Katiba inayopendekezwa ikiwa na ibara 289 kulinganisha
na 271 za Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Joseph
Warioba.
Rasimu hiyo pia ina sura mpya mbili ambazo ni
Mamlaka na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na nyingine inayohusu Ardhi,
Maliasili na Mazingira.
Akiwasilisha rasimu hiyo,
↧
↧
Tcu yakifungia chuo cha IMTU kudahiri wanafunzi wapya
Tume
ya vyuo vikuu nchini Tanzania imesitisha udahili wa wanafunzi wapya
katika chuo kikuu cha IMTU kwa mwaka wa masomo 2014/15 na kukipa muda wa
miezi 3 chuo hiko kurekebisha kasoro zinazojitokeza mara kwa mara
ikiwemo kudahili wanafunzi wengi.
Akizungumza
na Waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo Kaimu katibu mtendaji
wa Tume ya Vyuo Vikuu Prof. Magishi Mgasa
↧
Mahakama yatoa hukumu kesi ya Kubenea kuhusu Bunge maalumu la Katiba
Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Majaji Augustine Mwarija,
Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia
maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo;
1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la
Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka
ya Bunge
↧
Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) latangaza maandamano kwenda Ikulu kuonana na Rais Jakaya Kikwete
Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) limetangaza maandamano
kwenda Ikulu kumuomba Rais Jakaya Kikwete asikubali kutia saini Rasimu
ya Katiba inayopendekezwa iwapo itapitishwa na Bunge.
Mwenyekiti wa Bawacha, Halima Mdee alisema jana
kwamba maandamano hayo yatafanyika mwishoni mwa wiki ijayo, baada ya
maandalizi yatakayofanyika kwa siku saba kuanzia jana kukamilika.
Mdee
↧
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watishiwa maisha.....Vipeperushi vyasambazwa kila kona ya mkoa wa Dodoma
Siku tatu kabla ya Bunge la Katiba kuanza kupigia kura Rasimu ya
Katiba inayopendekezwa, watu wasiojulikana wameanza kusambaza vitisho
vya kuwatia hofu wajumbe wa Bunge hilo.
Watu hao wamesambaza vipeperushi katika maeneo
mbalimbali ya mji wa Dodoma usiku wa kuamkia jana, wakiwataka wajumbe
kutoingia bungeni vinginevyo yatakayowapata watajuta, huku wajumbe
kutoka Zanzibar
↧
↧
Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Neema
Herbalist & Nutritional Foods Clinic ni wauzaji wa dawa
mbalimbali za asili.
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu kuwa
tunayo dawa nzuri ya asili inatibu na kuponyesha kabisa tatizo
la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hii iitwayo
JIKO ni ya asili kabisa (PURE HERBAL) na inaponyesha na
kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume
↧
Vanessa Mdee, Diamond na Peter Msechu watajwa kuwania 'All Africa Music Awards 2014'
Wasanii wa Tanzania, Vanessa Mdee, Diamond Platinumz na Peter Msechu wametajwa kuwania tuzo za AFRIMA za nchini Nigeria.
Come Over imemuwezesha Vanessa kutajwa kuwania tuzo katika vipengele
viwili vya Best African RnB Soul na Best Female Artist in Eastern
Africa.
Peter Msechu kupitia wimbo wake Nyota na Diamond kupitia Number One
wametajwa kuwania tuzo ya Best Male Artiste In Eastern
↧
Wakazi wa Songea kupata burudani ya Serengeti Fiesta LEO kwa mara ya kwanza
Baada ya kushusha burudani ya aina yake katika mikoa ya Iringa na Morogoro wiki iliyopita, Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 linaendelea na sasa limejipanga kwa ajili ya kuwasha moto kwa wakazi wa mji wa Songea na viunga vyake kwa mara ya kwanza katika historia ya tamasha hilo nchini. Burudani hiyo ya kihistoria itafanyika leo katika Uwanja wa Majimaji mjini humo.
Kila kitu kipo sawa kwa
↧
Katibu Mkuu wa CCM ndg.Kinana Ziarani Mkoani Tanga
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa
kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.
Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kujenga zahanati Mahenge
↧
↧
Video: Pastor aliyewalisha majani waumini wake, sasa awanywesha petroli kwa madai kuwa itageuka kuwa Juisi ya Nanasi
Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol.
Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa
sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza wafuasi wake kula majani
kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza kula chochote kilichotoka
kwa Mungu.
Kitendo hicho kiliwaacha waumini wengi wakitapika na kuharisha.
↧
China: Kujiunga chuo, kujifunza udereva, ukitaka kuoa au kuolewa sharti uchangie damu
Ajali za barabarani duniani hutokea kila uchao, na wahitaji wa damu
wanazidi kuongezeka huku idadi ya wachangia damu nayo ikizidi kushuka
siku hadi siku na kuleta hatari kwa maisha ya wahitaji.
Kutokana na hali hiyo mji wa Baoji nchini China uko kwenye harakati
za uhamasishaji uchangiaji wa damu kwa mtindo wa kipekee , kampeni
ambayo imewekwa ni kwamba kama unahitaji kujiunga na chuo,
↧
UKAWA Yaitaka Polisi Kuzuia Mikutano ya Kinana Nchini
UMOJA wa Katiba ya Wananchi “Ukawa” wamemtaka Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, kuzuia mikutano ya Katibu Mkuu wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, kama alivyozuia mikutano na
maandamano ya vyama vya siasa vinavyoundwa na Ukawa.
Hayo yamezungumzwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Lissu wakati akizungunmza na waandishi wa habari
leo,
↧
More Pages to Explore .....