Quantcast
Channel: MPEKUZI
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live

Askari Watatu Wajeruhiwa kwa Bomu Songea, Ruvuma

$
0
0
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio kuimarisha ulinzi Eneo la tukio  likiwa limezungushiwa alama na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwangu akizungumza jambo  katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuwatembelea majeruhi hao. Kamati ya ulinzi na Usalama wakiwa Hospital ya mkoa wa Ruvuma. Aliye lala kitandani ni WP ambaye amejeruhiwa akiwa amelazwa katika hospital ya Mkoa

Mwenyekiti Wa CHADEMA Atinga Makao makuu ya Jeshi la Polisi Kuhojiwa huku akisindikizwa na Wanachama wake.....Vurugu Zaibuka, wananchi watawanywa

$
0
0
Baadhi ya wapenzi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakishangilia baada ya gari lililokuwa limembeba Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, alipowasili leo Makao Makuu wa Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, kwa mahojiano. Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakimpa kichapo mwandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima, Josephat Isango, nje ya

Vurugu makao makuu ya Polisi: Waandishi Wa Habari wapigwa na kufukuzwa kwa kutumia Mbwa

$
0
0
Vurugu zimezuka leo asubuhi katika makao makuu ya jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, muda mfupi baada ya Mwenyekiti taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema, Freeman Mbowe, kuwasili kwa ajili ya mahojiano. Mbowe aliitwa na polisi kwa ajili ya kutoa maelezo kuhusiana na kauli aliyoitoa hivi karibuni ambapo kiongozi huyo alinukuliwa akihamasisha

Dodoma nako Hali Haikuwa nzuri.....Baadhi ya barabara zilifungwa kwa Muda, Polisi Wapanda farasi nao walitumika kuwakabili Wafuasi wa CHADEMA

$
0
0
  Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishina Msaidizi wa Polisi EMMANUEL G. LUKULA (ACP) akiongea na waandishi wa habari. ******* Polisi  Mkoani  Dodoma  leo  asubuhi  ililazimika  kuzifunga  baadhi  ya  barabara  za  mkoa  huo  ili  kukabiliana  na  waandamanaji  wa  CHADEMA  waliokuwa  wamepanga  kuvamia  Bunge  Maalum  la  katiba  wakitaka  Lisitishwe. Kaimu Kamanda wa

Picha: Muigizaji mkubwa aliyedai amenyanyaswa na polisi, alikutwa akifanya mapenzi kwenye gari, Picha ziko hapa

$
0
0
Ukweli haufichiki daima labda kuuchelewesha tu! Ndicho kinachomkuta muigizaji wa kike wa filamu ya ‘Django Unchained’ wa Marekani, Daniele Watts aliyewapa wakati mgumu polisi wa Los Angeles kwa kuwatuhumu kumnyanyasa na kumfanyia ubaguzi wa rangi alipokuwa na mpenzi wake Brian James.   Awali Daniele alisababisha matatizo kwa polisi hao baada ya kuonekana katika picha akiwa analia

Kinana Awaponda Wapinzani kwa tabia yao ya kuandaa Maandamano badala ya Maendeleo ya Wananchi

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Maneromango jana wakati wa ziara yake wilayani Kisarawe, Pwani ya  kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kuata Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho pamoja na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi.  Wananchi wa Kata ya Maneromango

Jeshi la Polisi nchini Lathibitisha kuwa Mlipuko Uliowajeruhi Askari Polisi Songea ni Bomu la Kienyeji

$
0
0
JESHI la polisi nchini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa ni bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono lililotengenezwa kienyeji.  Akitoa taarifa ya uchunguzi wa tukio hilo kwa waandishi wa

Nicki Minaj aalikwa kuzungumza na wanafunzi wa shule nyingine baada ya kukataliwa na ile aliyosoma

$
0
0
Nicki Minaj amealikwa kwenda kuzungumza na wanafunzi wa shule ya jijini New York baada ya ombi lake la kutembelea shule aliyosomea kukataliwa wiki iliyopita. Hivi karibuni rapper huyo alizungumza na uongozi wa shule ya Fiorello H. LaGuardia High School na kuuomba aitembelee kama na kuzungumza na wanafunzi lakini uongozi ulimtosa. Kwenye ujumbe wa Twitter, Nicki aliandika:    “I

Habari Kamili kuhusu Vurugu za CHADEMA Zilizosababisha Barabara na Vituo vya Redio kufungwa pamoja na waandishi wa habari kupigwa

$
0
0
Mtikisiko mkubwa wa kisiasa jana umelikumba taifa, baada ya wafuasi wa Chadema kupambana na polisi katika maeneo mbalimbali.   Hali hiyo, ilianza kuonekana mapema jijini Dar es Salaam, wakati Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliwapowasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi saa tano asubuhi kwa ajili ya kuhojiwa.   Mbowe aliitwa kuhojiwa na viongozi wa jeshi hilo kwa madai ya kutoa

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO

$
0
0
Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii iitwayo  JIKO  ni  ya  asili  kabisa  (PURE HERBAL) na inaponyesha  na  kumaliza  kabisa  tatizo  la  nguvu  za kiume

Watoto Wamuua Baba yao kwa Fimbo wakimtuhumu kuuza Chakula cha Familia

$
0
0
JESHI la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watoto watatu, kwa tuhuma za kumpiga fimbo kichwani baba yao mzazi na kumsababishia kifo.   Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Gilles Muroto, alisema tukio hilo ni la mwezi Septemba 15, mwaka huu katika Kijiji cha Mkunyu Kata ya Kikukuru Tarafa ya Mabira wilayani Kyerwa.   Alisema siku ya tukio, watuhumiwa hao, ambao hakuwataja

Mwanaume Amuua Mkewe kwa Nyundo......Achukua Watoto na kutokomea kusikojulikana

$
0
0
Mwanaume mmoja mkoani Katavi anasakwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mkewe kwa kumpiga nyundo kichwani kisha kuufungia mwili wa marehemu ndani ya nyumba.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari alisema tukio hilo lilitokea kijijini hapo Septemba 14, mwaka huu saa 1.30 asubuhi ambako mwanamke aitwaye Bernadeta Bwetel (38) mkazi wa Kijiji cha Uruwila Wilaya ya Mlele

UJASILIAMALI: Kwa nini Wengi hawafanikiwi kwa Biashara ya Duka??

$
0
0
Wengi wamekuwa na ndoto za kufungua maduka wakiamini yanaweza kuwa daraja la kuelekea kwenye mafanikio. Siyo mbaya kwani nawajua wengi tu ambao wamefanikiwa kwa kuanzisha vioski, baadaye maduka na sasa ni wafanyabiashara wakubwa.   Lakini wakati baadhi wakifanikiwa kwa njia hiyo, wapo ambao wamekuwa wakifungua maduka na baada ya muda kuyafunga huku wakiwa wameambulia hasara.  

Nape Ageuka Mbogo: Amtaka Mbowe Amtangulize Mkewe na Watoto wake wakati wa Maandamano yao ya CHADEMA

$
0
0
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Bw. Nape Nnauye, amewataka wananchi wasikubali kuandamana kwa shinikizo la viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ili kushinikiza Bunge Maalumu la Katiba lisitishe vikao vyake kabla ya Oktoba 4,2014.   Bw. Nnauye aliyasema hayo jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani na kusisitiza kuwa, maandamano

Mbakaji Ahukumiwa Kuchapwa Viboko 20 Nkasi mkoani Rukwa

$
0
0
MKAZI wa Kijiji cha Karundi, Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa, Moses Kang'ombe (17), amehukumiwa adhabu ya kuchapwa viboko 20 baada ya kupatikana na hatia ya ubakaji na kusababisha mimba.   Hukumu hiyo imetolewa juzi na Mahakama ya Wilaya hiyo baada ya kumtia hatiani katika makosa mawili la ubakaji na kusababisha mbakwaji ambaye ni mwanafunzi wa darasa la saba (jina tunalihifadhi), kupata

Serikali za Tanzania na Malawi Zasema hazina tofauti juu ya mpaka wa ziwa Nyasa

$
0
0
Na Mbeya Yetu Blog , Lilongwe Malawi. Waziri wa Habari,Utalii na Utamaduni nchini Malawi Mheshimiwa Kondwani Nankhumwa alisema kuwa Serikali ya Malawi haina mgogoro na Serikali ya Tanzania kuhusiana na mpaka wa ziwa Nyasa.   Aliyasema hayo baada ya kukutana na Jopo la Waandishi Habari wa Mkoa wa Mbeya waliotembelea ofisini kwake katika mfululizo wa ziara ya waandishi

Update: Polisi Wavamia Ofisi za CHADEMA Mkoani Morogoro

$
0
0
Habari  zilizotufikia  hivi  punde  zinaarifu  kuwa  Polisi wamevamia    ofisi  za  CHADEMA  wilaya  ya  Morogoro  na  kuwakamata  Viongozi  waandamizi  Watano  wa  chama  hicho  waliokuwa  wakijiandaa  kuongoza  maandamano  ya  kupinga  Bunge  Maalumu  la  Katiba. Wakati  hayo  yakijiri, taarifa  kutoka  Zanzibar  zinaarifu  kuwa  Polisi mjini Magharibi  wamepiga  marufuku  mkutano  wa  CUF

Kitabu cha "Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi" sasa kinapatikana Bure Mtandaoni

$
0
0
Habari  za  leo  ndugu  wapenzi  wasomaji. Tunapenda  kuwafahamisha  kuwa, tumepewa  idhini   na mwandishi  pamoja  na  wachapishaji  wa  kitabu  cha “Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi“.   Habari  njema  kwako  ni  kwamba, kitabu  hiki  sasa  utakisoma  bure  kabisa  kupitia  blog ya  Ulimwengu Usioonekana.   Kusoma  kitabu  hiki  kuanzia  sura  ya  kwanza  hadi  ya  mwisho, tembelea :

Vanessa Mdee: Jux ni rafiki yangu tu, hakuna zaidi

$
0
0
Vanessa Mdee aka Vee Money amekanusha tetesi zilizopo kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muimbaji wa ‘Nitasubiri’ Jux. Siku za hivi karibuni, Vanessa na Jux wamekuwa karibu kiasi cha watu kuhisi kuwa ni wapenzi.   “Unajua labda watu hawafahamu tu lakini mie na Jux tumefahamiana muda sana na ni mtu ambaye huwa tunashauriana hasa mambo ya kazi zetu,” amesema Vanessa aliyecheka baada ya

Mfahamu zaidi Idris Sultan, mwakilishi wa Tanzania kwenye BBA Hotshots

$
0
0
Mpiga picha na graphic designer anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa. Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa pili. Tumepata bahati ya kukutana na Idris. Ni kijana mwenye vituko sana na ukikaa naye kwa muda mfupi lazima
Viewing all 45270 articles
Browse latest View live




Latest Images